WATANZANIA tuwe macho na wasikivu ili kupata maendeleo. Nchi yetu imebahatika kuwapata wanaanchi wenye maksudi ya kupata maendeleo. Mawazo yangu kwa serikali Sasa ni kuitaka serikali kuanzisha na kusimamia AGRICULTURAL BYELAWS NA KUWAGAWIA ARDHI wanaanchi ili waendeleze kilimo cha biashara. Hii iwe pamoja na KUWAGAWIA eka 5 kwa kila family ya watu 5. Kumbuka ardhi ni Mali ya umma. Hii itakuwa MKOMBOZI ili mradi wanufaika walime mazao ya biashara. Inawezekana tutimize wajibu wetu. [ IT CAN BE DONE: PLAY YOUR PART]
@Optionxll_Playz111 күн бұрын
Hivyo viwanda kama hivyo vingekuwa kila mko hasa mikoa ambayo ina mari gafi , wataramu wetu amukeni basi ,tusingekuwa tuaomba mikopo nyenye liba kubwa .
@AbuuRamadhani-o7k23 күн бұрын
Tuwe na viwanda vya kuchakatà madini Tanzania
@AbuuRamadhani-o7k23 күн бұрын
Bila waarabu na wahind bc Tanzania haiwez kufika mbali tuache ubaguz tuwakaribishe waarabu wawekeze
@zuhuramniwasa106325 күн бұрын
Hichi kiwanda kipo mbele ya nymba yangu, mita kama 50, Original plant ambacho kiwananda dada kinachotengeneza cement ya Diamond ilikuwa kama mita 200 kutoka makazi ya watu, na huko ndani kuna kimto unaokusanya maji ya mvua, wakaja kununua hizo mita 200, wakajenga Ukuta na wameziba mitaro yote iliyokuwa inapeleka maji ya mvua kwenye mto, Sasa mvua ikinyesha maji hayana kwa kwenda ninapata shida sana jamani na hakuna anayetusikiliza, sina shida na kiwanda lakini watengeneze mifereji ya maji ya mvua kuondaka kwenye makazi ya nyumba zetu
@agneskayange2804Ай бұрын
👋👋👋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Hivi tunakwamia wapi kuwa na kiwanda kikubwa Sanaa cha nchi raw materials zipo lakini tumipigwa ganzi !!!!!!!!?
@raphaelkessy7360Ай бұрын
🇹🇿China yetu ita kuwa Zambia na Magendo mpakani kwa bithaa zinazo pitishwa hapa hapa Bandarini Zambia ita ondoa ushuru wa foroza ili ziingie kwao kisha zirudi kwa njia za panya 🇹🇿🔥
@JovinusMuchunguziАй бұрын
Cement
@JustinJoseph-k2tАй бұрын
Viongozi wa nchi hii wanakimbia mno na magali
@davidluangisa4515Ай бұрын
Aisee hii nimeilewa
@OnesmoSanga-j2fАй бұрын
Saruji I cement
@OukoCliff-h4xАй бұрын
Saruji ni nini
@RonnieBertinАй бұрын
Siment tunayotumia kujenga nyumba
@boychiduАй бұрын
Naungana na wewe mheshimiwa 🎉🎉
@mawazoaliselemaniАй бұрын
Hamna jipya hapo ni maongezeko ya urasimu tu
@edmondlalika-m7i2 ай бұрын
kiongozi wawatu
@TuntufyeBrayson2 ай бұрын
Jamani hii spidi mbona kubwa mtatuuwa sasa
@PasserbyMan-ju8ky11 күн бұрын
😂 ndo I like Yani ndo I like
@RichardGhatiOjina2 ай бұрын
Hi
@allymusira21532 ай бұрын
Mitano tena ❤❤
@kamanda0072 ай бұрын
Wangeweza kuwekeza hivyo vitu vyote miaka mingi sana iliyopita, tatizo tumejaza wajinga tuu na wezi , sijui kwanini hawajifunzi namna ya kuongeza ufanisi, na sio bandari tuu, mashirika yote ya serikali yanaweza kujifunza na kuweka mifumo kuboresha maisha na mapato ya Taifa lote, sisi sio maskini, shida tunaongozwa na wajinga watupu, God help us
@bajagihaji89233 ай бұрын
Haya ni maendeleo
@fidelfidel-jz4iw3 ай бұрын
Toeni fursa mikoa yote bila hujuma sio watu wote kurundikana Dar na uzuri Tanzania inawezekana kila mkoa
@fidelfidel-jz4iw4 ай бұрын
Hilo ni wazo zuri kwani watu watajufunza mbinu za biashara hakika zamani kulikuwa na wafanya biashara wa kihindi tu yani biashara kubwa leo wabongo wote wanafanya biashara kubwa lazima watu wajifunze kwa wengine
@maggie6585 ай бұрын
Hongereni sana
@FatnaAlly-go7yt5 ай бұрын
Oooh allah jaalia amani na ulinzi na usiri wa hali ua juu kwa waumini😅
@rehemaothuman37645 ай бұрын
🎉❤
@MpandujiNdassa5 ай бұрын
mko wapi
@rubenlengai71956 ай бұрын
Jina la kiwanda linatisha ikiwezeka wabadilishe jina
@FrederickThadeo7 ай бұрын
Machinga tatizo majiko matilie ovyo kabisa nchi inaendeshwa na sela sela zitu ni tatu wakulima wafanyakazi wafanya biashara Siya machinga machinga ni sela ipi
@FrederickThadeo7 ай бұрын
Wanaopanda biashara barabarani kaliakoo watoke machinga watafutiwe pakwenda
@abdonrichard30557 ай бұрын
Serikali yetu nia yake ni njema kabisa katika kukuza maendeleo ya biashara, viwanda na uwekezaji ndani ya nchi. Lakini ikumbukwe mji haujengwi na wazawa tyu. Lazima turuhusu lakini uku tukiangalie namna nzuri ya kunufaika na huu mwingiliano wa watu kutoka nje katika nyanja hii ya biashara, viwanda na uwekezaji.
@abdallahally8427 ай бұрын
Usumbufu mkubwa hamkuugusa ni kero ya tra kukamata kusumbua mitaani na kutaka rushwaaaaa
@abdallahally8427 ай бұрын
Wizara isaidie wafanyabiashara kunyanyaswa na tra na police hasa kariakoo ni kero na rushwa hurrasment Kwa wadau wake
@ChristopherGambi10 ай бұрын
Asante sana
@ChristopherGambi10 ай бұрын
Asante sana mama
@issajuma8791 Жыл бұрын
Naam Mazingira Rafiki kwa Wafanya Biashara Kazi Kazi Mhe. Waziri Sis Tunakuelewa
@mkayamkaya9257 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKfYiJqbeNyVmKM
@cornelmassawe856 Жыл бұрын
Mimi ni mfanya biashara wa kariakoo Hili suala la wawekezaji kuondoka ni kweli. Na Wala tusiunde tume Tafadhali wafanyabiashara tupo tyari kuwaambia tunayo pitia, changamoto zimekuwa nyingi sana 1. Kamata kamata ya TRA Hii ndio kero namba Moja unakuta mteja katoka nchi jirani kanunua mzigo mkubwa alafu anakamatwa eti kwamba risiti hazijitoshelezi wanawapeleka kwenye vituo vya polisi wanawapiga fine ya 3-6M Nimepoteza potential customers Tunapoteza mitaji Tunauza bidhaa zetu kwa Bei ya hasara maana mizigo tuliyo nayo inakuwa outdated, bidhaa nyingine Zina expire Ukweli ni kwamba serikali haiwezi kutanuaa wigo wa kukusanya Kodi kwa kukamata na kusumbua wafanyabiashara haswa wateja. Mkitaka kujua angalieni mzunguko wa biashara kabla na baada ya kuanzishwa hii operation ya kukamata watu. Biashara inakufa mnajitahidi kututangaza huko nje na kuhamasisha wageni waje kuwekeza Ila Sheria zenu na strategies Zina warudisha nyuma sana. Mnawaza kuchukua Hela za wafanyabiashara na mnasahau kwamba mnatakiwa kuwa Linda Ili kesho na kesho kutwa mpate Kodi nzuri. Ushauri wangu ni mmoja tuu. Acheni kukamata wateja. Mizigo inavo ingia bandarini inalipiwa Kodi zote. Watu wenye maduka pia Wana makadirio walio fanyiwa wanalipa Kodi. Angalieni mizigo ikisha ingia sokoni acheni wafanyabiashara waenjoy acheni tufanye kazi. Tunahangaika kutafuta wateja tunawapata alafu nyie mnakuja kuwakera. Mf. Mmewahi sikia mzigo wa mtanzania umekamatwa china??
@eliasmollel8017 Жыл бұрын
Yes we can, Wizara ya Uwekezaji hoyee.
@mehboobkarmali5211 Жыл бұрын
Well done
@hidayabomani401 Жыл бұрын
Napenda Kukupa Hongera Waziri ila tuna changa Moto Kubwa Huku Kwetu Kurasini Mivinjeni Kinajengwa Viwanda Na Bado Kuna Makazi ya Watu Je Waziri Mnatutendea Haki Wakazi Wa Mivinjeni Tunakuomba Waziri Kutembelea Uje Uone Mazingira Yalivyo Tunakuomba Sana Wakazi Wa Mivinjeni
@hidayabomani401 Жыл бұрын
Tunakuomba Tena Jitahidi Uje Uone mwenyewe Je Viwanda Na Makazi Na Viwanda Vinakubalika Kisheria
@hidayabomani401 Жыл бұрын
Nakuomba Waziri waweke Wazi Wawekezaji wa Kurasini Mivinjeni Wanakosa ushirikiano na Watendaji tupo Hatarini Matank ya Mafuta tunayo jirani sana ni Hatari sana Mfikishie Taarifa Hizi Rais Wetu Mpendwa Mama Yetu Mama Zakia Suluhu Vikwanzo ni vingi Sana Hapa Kurasini Mivinjeni
@hidayabomani401 Жыл бұрын
Matank ya Mafuta
@adelickinyasi89722 жыл бұрын
Ongera sana Tanzania juu juu sana
@sakinachamshama13982 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@charlesishara70832 жыл бұрын
Hongera kwa hatua nzuri wizara ya UWEKEZAJI viwanda na biashara
@guzomc2552 жыл бұрын
Ninachokipenda mimi na watanzania walio wengi ni kuona serikali yetu au watanzania wenzetu kuwekeza katka secta ya viwanda na sio kusikia watu wa nje kuja kuwekeza kwa sababu walio wengi huja kutunyonya na si kingine wanakuja na zaidi ya malengo serikali yetu inabidi kuwa makini sana na hili tunao umia ni sisi wananchi..
@guzomc2552 жыл бұрын
Mashine zina umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu ningeshauri serikali iweke mkazo katika maswala haya na ningependa kuona wamiliki wawe ni watanzania ama serikali yetu . upande wa bei ya mashine hizi kwetu sio rafiki Ila natamani kuona watanzania wakimiliki na kuzifanyia kazi ipasavyo ninaimani tutajiweka katika nafasi nzuri na kupunguza gharama .. Yote kwa yote Hongereni sana Hivi ndo vitu tunavyotaka kuviona katika nchi yetu ila inabidi mtengeneze mazingira kwetu vijana pwent yangu kubwa nalenga kwetu watanzania tuwe ndo wamiliki
@EngBaravugaTV2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kipindi hicho cha Uwekezaji. Asante kwa ujumbe, nimependa maelezo ya Business Clinic
@romastasenterprises44472 жыл бұрын
Hongera sana Mh waziri. Jambo muhimu hapo ni kuhakikisha kipuri kitakachozalishwa na kmtc kiwe na ubora sawa kabisa na kama kingeagizwa nje ya nchi. Hicho ni kiwanda kikubwa kabisa huko china kuna wazalishaji wadogo ukiangalia mpaka unashangaa na wanazalisha bidhaa safi. Big up