Пікірлер
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 56 минут бұрын
Tatizo la Watanzania kumpigia makofi ya ushabiki hata kama mtu anazungumza maneno yasiyo leta maendeleo yeyote,badirikeni msiwe wajinga Kila siku zote msifu mtu kwa kutafakari malengo,malengo ni mkakati Maalumu ambao ni Siri yenu sio Hazarani kushinda kwa mfumo húó sii rahisi mnapoteza muda nyinyi mtajuta.
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q 5 сағат бұрын
Tunapenda siasa za hoja kwa hoja. mwishoni tutajua nani bora
@uchumitv
@uchumitv 4 сағат бұрын
@@Ajiratime-j4q Tunashukuru Kwa maoni yako
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 20 сағат бұрын
Lisu ni sawa na kisu kilichokuwa ndani ya Ala (kihifadhia kisu) hawezi kuongoza anaagenda watanzania mwangalieni huyo,kwanza hajui History ya Nchi hii na hilo ni jambo muhimu la kuzingatia watu kama hawa ni sawa na wale walioshabikia mpaka Libya na Iraq leo wanajuta,mwacheni aseme Akili vichwani mwenu aendako huyo nikubaya ameshakuwa haaminika,mfurahiyeni mtaliya peke yenu huyo atakimbiliya Uberigiji,bora huyo Mbowe mliyetoka naye mbali mtajuta.
@uchumitv
@uchumitv 14 сағат бұрын
Ngoja tuone mwisho itakuwaje
@EgnoNdomba
@EgnoNdomba Күн бұрын
Kura zipigwe mshindi atangazwe , mbowe miaka mingi mno katawala, hiyo sio democrats.
@uchumitv
@uchumitv 14 сағат бұрын
Ngoja tuone
@NehemiahSamsony
@NehemiahSamsony Күн бұрын
Mungu akulinde lissuuuu❤
@revokachira119
@revokachira119 Күн бұрын
Mimi kama mzalendo wa Nchi hii nafurahi sana kuona wote wanaotarajiwa kuwa wenyekiti wa chama cha mazuzu ni watu wa hovyo ambao hawana sifa zakuishinda ccm. Wote wamepoteza Mvuto, hawana sera zaidi ya kumtajataja Kamanda, chuma, jiwe, jembe mwamba Magufuli.
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 22 сағат бұрын
Ww hapo zuzu kama mazuzu wengine
@RamaDzengo-ns3nj
@RamaDzengo-ns3nj Күн бұрын
Watazania msindanganyike na mtu mrongo mtakuja juta sana mbeleni
@arnoldyndossy
@arnoldyndossy Күн бұрын
Apewe nafasi
@arnoldyndossy
@arnoldyndossy Күн бұрын
Anafaa kuwa nwenyekiti wa chamade
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g Күн бұрын
Next cheaman
@talibsaid8096
@talibsaid8096 Күн бұрын
Huna mpya bro maneno mingi lete sera maana hayo maneno hayatokushindia kura
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Fıkra finyu sana. Tunaomuunga mkono tutatafuta kura. Si yeye, yeye ni taasisi . Ukiwa na uwezo mdogo kifikra unakuwa mzigo na tatizo katika Jami. Mko wengi wa namna hii ambao mmebweteka tu.
@RamadhanTajiri
@RamadhanTajiri Күн бұрын
Hakuna Sera kubwa na muhimu kama mabadiliko ya katiba
@kinegemsigwa
@kinegemsigwa Күн бұрын
Anafaa kuwa mwenyekiti wa chandema
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q Күн бұрын
Anafaa kuwa mwenyekiti lakini apunguze hasira
@uchumitv
@uchumitv Күн бұрын
Kikubwa ni kuwaombea ili wahakikishe nchi inakuwa na aman .
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Anamsukumo usiozuilika na usiokubalika wala kuvumilika tena. Hii ndo hasira anayotupa. He is passionate na watu, nchi na utajiri mkuu wa nchi hii kwa kutawaliwa vibaya. Inafikia wakati hutakiwi kuwa mvumilivu wa kijinga tena. Sisi si wajinga na tusifanywe wajing na kundi dogo la watu. Namkubali ndugu Lisu kwa asilimia 200.
@MoreenTwazihirwa
@MoreenTwazihirwa 2 күн бұрын
Eeeh Mungu Nisaidie niache
@uchumitv
@uchumitv 2 күн бұрын
@@MoreenTwazihirwa utaacha Kwa kudra ya mwenyezi Mungu
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q 5 күн бұрын
Hizo pesa zote milioni 400 umelipwa kweeli au na wewe ni kiki?
@uchumitv
@uchumitv 5 күн бұрын
Inawezekana.
@gideongerald2846
@gideongerald2846 4 күн бұрын
Sio rahisi mtu kusema mapato yako halisi in public
@errydeo8865
@errydeo8865 3 күн бұрын
Waulize waandaaji kama ANASEMA UWOGO! SHIDA YENU MNAFIKIRI MONDI NI MSANII MDOGO! HE IS BIG!
@SalumKombo-sf5gs
@SalumKombo-sf5gs 8 күн бұрын
CCM ubavu. wa kishinda hawana ubavu wa kushinda si bara si zanzaba kilicho baki ni wizi tu wa kura ndo maana swala la katiba ngoma ngumu kwao haiwezekani
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 9 күн бұрын
Hivi huyu mzee mbona hanajifanya hanajua kila kitu yani watanzania wote wajinga
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q 11 күн бұрын
Siku hizi mbona matamko ni mengi sana?
@uchumitv
@uchumitv 11 күн бұрын
Kama yapi Tena?. Lakini tunashukuru Kwa maoni yako
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 12 күн бұрын
Mh, hakuna uchaguzi, tupe mwelekeo, wapi tupo,wapi tunaelekea,❤
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 12 күн бұрын
Story hatusaidii,tueleze tunaelekea wapi.😂
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 12 күн бұрын
Hatuingii Tena kwenye uchaguZi wa mwakani
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 12 күн бұрын
Mh,lisu sisi wananchi hatuingii t
@RafaelMollel-c6b
@RafaelMollel-c6b 13 күн бұрын
Serikali ya ccm sio waaminifu
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 14 күн бұрын
Mnatusumbua tu hakuna uchaguzi
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale 15 күн бұрын
mzee kama hutoi tamko unabaki na stori tu hatukuelewi twenfe kwenye katiba
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 15 күн бұрын
Katibaaaaaa ,
@JonathanDaud-i7z
@JonathanDaud-i7z 15 күн бұрын
Haya matamko makali yanayo tolewa na hao wanaotoa yanaishia wapi?
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 16 күн бұрын
hivi mambo hayo tutakuelewa mdongo wangu hivi machungu unayaelewa kwanini ?bado tunapinga ngumi ukutani eeeetumechoka kwani huyo samiya kachanguliwa na nani. ? nabado mnambembabeba tu ama amewatiya changa la macho
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 16 күн бұрын
mimi nilijuwa chadema watakuwa na chakutuweleza ilitujielewe tunaelekeya wapi sasa maneno matupu mpakalini
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Mliwekeza matusi umevuna matudi
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 16 күн бұрын
Mjinga wewe umevuna matusi
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 16 күн бұрын
Wacha matus
@NestoKipila
@NestoKipila 16 күн бұрын
Hii raana iaze kwaware makarani watendaji porisi na ccm wote
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q 16 күн бұрын
Kidumu chama cha mapinduzi. Hongera sana
@uchumitv
@uchumitv 16 күн бұрын
Sawa sawa
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 17 күн бұрын
Ahsante mama yetu kwa ubuni mkubwa wa maendeleo unaozidi kuwaletea wanakagera
@uchumitv
@uchumitv 17 күн бұрын
@@FaidhaWaijaa hakika
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 18 күн бұрын
Majina hayakuandikwa kwa kufuata herufi ndo maana yanatuchanganya
@uchumitv
@uchumitv 18 күн бұрын
Asante
@DaudiLukumay-rq3wk
@DaudiLukumay-rq3wk 21 күн бұрын
Bhn qsante
@MagdalenaBeenad
@MagdalenaBeenad 21 күн бұрын
Asante
@Sakina-q2v
@Sakina-q2v 23 күн бұрын
CCM hooooyeeeee❤❤❤
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Safi Chief
@uchumitv
@uchumitv 23 күн бұрын
Hakika
@Ajiratime-j4q
@Ajiratime-j4q 24 күн бұрын
hotuba kali sana
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Viva CHADEMA Viva
@uchumitv
@uchumitv 24 күн бұрын
Tunashukuru Kwa maoni yako
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Ahsante kwa kukutetea
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Kila laheri mwenyekiti mtarajiwa
@uchumitv
@uchumitv 24 күн бұрын
Hakika
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Upewe jimbo mama Bukoba mjini
@lifardKombolela
@lifardKombolela 24 күн бұрын
we ndo tapeli mkubwa
@uchumitv
@uchumitv 24 күн бұрын
Jamani tuwe na aman
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa 24 күн бұрын
Haki usawa Amani vikatawale
@uchumitv
@uchumitv 24 күн бұрын
Hakika
@FaridSaleh-i8b
@FaridSaleh-i8b 28 күн бұрын
Lissu ana IQ ya juu sana lkn Mayahudi weusi yaani CCM na serikali yake wanamfanyia Lissu na watu wenye IQ ya dhuluma dhahiri lkn wengi hawajui.
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa Ай бұрын
Elimu izidi kutolewa kwa wananchi hasa katika kipondi hiki cha uchaguzi.
@uchumitv
@uchumitv Ай бұрын
Hatari.
@driss4957
@driss4957 Ай бұрын
Tundu Lisu ni story teller, Huchoki Kumsikiliza!!!!!...Karizmatic !!!!
@FaidhaWaijaa
@FaidhaWaijaa Ай бұрын
Hizi ndo hoja za wawakilishi wetu mnapaswa kupeleka huko
@uchumitv
@uchumitv Ай бұрын
Thanks