IBADA YA JUMAPILI TAREHE 26 JANUARI 2025
1:15:59
Jumapili hii karibu ukutane na muujiza wako
1:22
SIKU YA 2 YA SEMINA
1:16:05
14 күн бұрын
KUFANIKIWA KATIKA KUFUATA | ASKOFU SENTOZI
1:00:53
IBADA YA JUMAPILI 12 JAN 2025
56:43
14 күн бұрын
KARIBU GILGAL TUABUDU PAMOJA
1:23
21 күн бұрын
IBADA YA MWAKA MPYA 2025
47:10
28 күн бұрын
SIKU YA 21 YA MAOMBI
48:57
Ай бұрын
MAELEKEZO SIKU YA 21 YA MAOMBI
3:42
SIKU YA 20 YA MAOMBI DEC 2024
52:48
AGENDA YA KUOMBA SIKU YA 20
4:59
SIKU YA 19 YA MAOMBI DEC 2024
55:03
AGENDA SIKU YA 19
4:52
Ай бұрын
SIKU YA 18 YA MAOMBI
1:06:16
Ай бұрын
AGENDA YA KUOMBA SIKU YA 18
5:05
SIKU YA 17 YA MAOMBI
45:05
Ай бұрын
SIKU YA 16 YA MAOMBI DEC 2024
46:48
MAELEKEZO YA MAOMBI SIKU YA 17
4:40
Agenda ya siku ya 16
4:28
Ай бұрын
SIKU YA 15 YA MAOMBI
38:00
Ай бұрын
AGENDA YA KUOMBEA SIKU YA 15
6:49
SIKU YA 14 YA MAOMBI
57:52
Ай бұрын
SIKU YA 13 YA MAOMBI DEC 2024
34:03
SIKU YA 12 YA MAOMBI DEC 2024
47:30
Пікірлер
@dicksondamson1186
@dicksondamson1186 3 күн бұрын
Amen
@dicksondamson1186
@dicksondamson1186 15 күн бұрын
Ayubu Daudi, kanzi nzuri sana.
@venerandatinanzila704
@venerandatinanzila704 15 күн бұрын
Amina Mungu akubariki sana baba kwa semina nzuri, ingawa kuna wakati kunakuwa na mwangwi ambao unasababisha kutokusikika maneno vizuri
@shadrackwilliam5391
@shadrackwilliam5391 15 күн бұрын
Semina nzuri saaana. Ubarikiwe baba
@christinagaspervitta4439
@christinagaspervitta4439 15 күн бұрын
What a fully packed and profound teaching my Bishop! 😳😳😳Siwezi ikosa seminar hii baba nitaifuatilia mpaka mwisho wake maana nami nataka kuwa mfuasi anayefuata sio wa longolongo tu😂😂👏👏👏👏👏👏
@dicksondamson1186
@dicksondamson1186 16 күн бұрын
Mungu ni maisha yetu.
@helenabagege66
@helenabagege66 16 күн бұрын
🙏🙏🙏😍
@christinagaspervitta4439
@christinagaspervitta4439 Ай бұрын
Amina, Amina baba yangu, nami najiungamanisha na neema hiyo na Neno hili la mwaka. Na iwe kwangu kama Bwana alivyonena kwa jina la Yesu, na kupitia kinywa cha nabii wake, Askofu Eliab Sentozi. Amen✍️✍️✍️🙏🙏
@petermbelembe7089
@petermbelembe7089 Ай бұрын
Asante Sana baba
@PASTORSTEVENBARICK
@PASTORSTEVENBARICK Ай бұрын
Ashikiliwe Mungu sana
@christinagaspervitta4439
@christinagaspervitta4439 Ай бұрын
Amina baba. Hakika Mungu ni mwema, pasipo neema yake haiwezekani kutubu ama kuja kwake. Nami namwomba Mungu anisaidie nizidi kutembea katika neema yake kwa jina la Yesu. Amen
@edmundnayo
@edmundnayo Ай бұрын
Hakika nimejifunza kitu
@mvangabalele3260
@mvangabalele3260 Ай бұрын
Mungu tujalie tuliyoomba.
@Bowazii
@Bowazii Ай бұрын
Mungu awabariki kwa huduma
@EsterRwiza-wg5uz
@EsterRwiza-wg5uz Ай бұрын
Tuko pamoja baba ubarikiwe sana
@RichardNyashebo
@RichardNyashebo Ай бұрын
amen
@veronicasangali
@veronicasangali Ай бұрын
Amen baba tuko pamoja
@amaniarajiga1902
@amaniarajiga1902 Ай бұрын
Amen Bishop tupo pamoja
@YusuphMageta-qn9pc
@YusuphMageta-qn9pc Ай бұрын
amina Baba ubarikiwe hakika MUNGU akupe miaka mingi
@amaniarajiga1902
@amaniarajiga1902 Ай бұрын
Amen Bishop wangu
@judithbwimbo551
@judithbwimbo551 Ай бұрын
Amen
@judithbwimbo551
@judithbwimbo551 Ай бұрын
Amen
@jeromejustine6754
@jeromejustine6754 2 ай бұрын
Thank you. This is a blessing ❤🎉
@helenabagege66
@helenabagege66 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙏🙏
@kafulirahillaryhabel6728
@kafulirahillaryhabel6728 2 ай бұрын
Wanawake wanatuzidi sana wanaume mahudhurio, laiti wangekuwa wanayaishi hayo wanayoyasikia, wangelikuwa ndio wamiliki wakubwa kiroho na kimwili.
@AinessAgustino-c6p
@AinessAgustino-c6p 2 ай бұрын
Nimewamic xan.ndugu zangu mbarikiwe
@amaniarajiga1902
@amaniarajiga1902 2 ай бұрын
Amen
@dicksondamson1186
@dicksondamson1186 2 ай бұрын
Biggest one
@jpaschal5982
@jpaschal5982 2 ай бұрын
Ni wakati kujitizama ikiwa kuna jambo linaloendelea kinyume na ufalme kulisitisha mara moja. Amen.
@helenabagege66
@helenabagege66 2 ай бұрын
🙏🙏🙏🥰
@shobecktz3877
@shobecktz3877 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@joanmanuelsdelvalle
@joanmanuelsdelvalle 2 ай бұрын
*Upinzani Kamili Dhidi ya "Injili ya Kidunia"* 🏛 🪖 🪘 💰 . Kwa watu wengi, Yesu alifikiriwa kuwa dhaifu kwa sababu hakutumia silaha, siasa, au kupendelea eneo moja. Lakini wanapotaka kutumia jina lake kutoa mamlaka kwa dini mpya, harakati, na viongozi, Yesu anaacha kuonekana kuwa dhaifu na anakuwa kama "uovu unaohitajika"-mtu wanayelazimika kumjumuisha katika timu yao ili kupata uaminifu. . Mfano wazi ni kwamba katika nchi nyingi, watu wanazuiwa hata kuzungumza na kufundisha kuhusu Yesu. Jambo la kweli la kushangaza na la dhambi ni kwamba viongozi wao wamemtumia, na wakati mwingine bado wanamtumia, Yesu kana kwamba alikuwa mshirika wa harakati zao. _ Wanachagua sehemu za Maandiko kwa uangalifu ili zitosheleze mahitaji yao, hata wakitumia maneno ya Paulo wa Tarso na wengine, kubishana au kusema: . "Hata hivyo, Paulo au Yakobo walisema..." "Hata hivyo, Muhammad alisema..." "Hata hivyo, Rais Trump, Rais Bukele, Rais Milei, Cash Luna, Agustín Laje, mchungaji wangu, shehe wangu, mwalimu wangu, kuhani wangu, rabi mmoja Myahudi sana... alisema..." _ Upinzani unaodhibitiwa au utakatifu uliodanganywa haukiri YESU kama mamlaka ya juu mbele ya BABA, bali wanamtumia kama kibaraka wao wakati wowote wanapotaka. Mfuasi wa kweli wa YESU anaelewa jinsi msimamo wake unavyopaswa kuwa kuhusu Nira Isiyolingana. Kulingana na ukweli wa kihistoria, tunaweza kusema kwa uhakika kwamba Yesu ndiye mtu aliyetumiwa na kudanganywa zaidi katika historia. . Yesu alielewa kikamilifu mwelekeo wa binadamu wa kutafuta faida za kimwili na nguvu za kidunia. Katika mafundisho yake, tunaona kukataliwa kabisa kwa aina hii ya "injili ya kidunia" au kuzingatia faida za muda mfupi. Yesu alisema wazi kwamba ufalme wake "si wa ulimwengu huu," na mafundisho yake yalisisitiza kuachilia mambo ya kimwili, unyenyekevu, na kutafuta hazina mbinguni, si duniani. Yesu hakuwahi kuhimiza wafuasi wake kutafuta ulinzi wa kijeshi au nguvu za kidunia; kinyume chake, aliwafundisha kuwapenda adui zao, kugeuza shavu lingine, na kumtumaini Mungu kama kimbilio lao pekee. . Njia ya Yesu ilikuwa tofauti sana na kile watu walitarajia na kinyume na aina ya uongozi uliotafutwa na wale wanaotaka mwokozi wa kisiasa au kijeshi. Wakati Shetani alipompa "falme zote za ulimwengu na utukufu wake" ikiwa angeanguka mbele yake, Yesu alikataa jaribu hili, akithibitisha tena kwamba misheni yake ni ya kiroho pekee. Yesu alielewa kwamba nguvu ya kweli na mamlaka ya kweli hutoka katika mabadiliko ya ndani na uhusiano halisi na Mungu, si kutokana na kudhibiti ulimwengu au kuwa na ushawishi wa kisiasa. _ Kwa kufuata wazo hili, umaarufu wa Yesu haukutegemea kuridhisha maslahi ya kimwili au ya kidunia bali katika kutoa njia ya ukombozi na amani ya kiroho. Uongozi wake, tofauti na "injili ya kidunia," ulijengwa juu ya upendo, msamaha, na kujisalimisha kabisa kwa Mungu, bila kufanya makubaliano na nguvu au vurugu. Njia hii tofauti ndiyo hasa inampa Yesu nafasi ya kipekee na ya msingi katika historia, akiita utii wa kweli usio na maslahi ya kidunia. Uchunguzi huu pia unatusaidia kuelewa vizuri jinsi wale wanaofuata wahusika wa kibiblia au kihistoria wenye mtazamo wa vita, kama Mfalme Daudi au manabii fulani wapiganaji, wanavyoweza kuathiriwa na mwelekeo kuelekea migogoro, kutetea eneo, na utaifa. Mielekeo hii inahusishwa na maslahi ya kimaada na ya kidunia na huwa inategemea kujiona muhimu, kiburi, na ubinafsi. .
@joanmanuelsdelvalle
@joanmanuelsdelvalle 2 ай бұрын
*Je, ni nini kinachofanana kati ya:* Mahakama ya Uchunguzi (Inquisition) Utawala wa Korea Kaskazini Makanisa ya Kikristo chini ya Chama cha Kikomunisti cha Uchina na Vietnam Nchi kumi na nane za Kiislamu *Katika jinsi wanavyoadhibu wale wanaotafuta maisha bila kulazimishwa na kunyimwa uhuru, wakiheshimu uadilifu wao na uwezo wao wa kufikiri kwa uhuru.* Pia, je, baba anayetumia vitisho na udhibiti mkali anaweza kweli kuhamasisha upendo wa kweli na wa dhati kwa watoto wake? Je, aina hii ya udhibiti haionyeshi ukosefu wa ujasiri katika ukweli wa kile kinachotetewa? *Yesu alifundisha kwamba ukweli ndio unaowaweka watu huru, si taasisi. Kwa hivyo, mwanadamu anapaswa kushikamana na ukweli na si mifumo ya udhibiti inayolenga kuilazimisha.* .
@helenabagege66
@helenabagege66 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@EsterRwiza-wg5uz
@EsterRwiza-wg5uz 2 ай бұрын
Hongeren sana wana wa BETHANIA
@elizabethngallaba4422
@elizabethngallaba4422 2 ай бұрын
Ameeen!!
@amaniarajiga1902
@amaniarajiga1902 2 ай бұрын
Amen Bishop NENO LA nguvu
@BraytonMussa-c9r
@BraytonMussa-c9r 3 ай бұрын
Mungu azidi sana tena sana by Charles zephania
@Mtumba2222
@Mtumba2222 4 ай бұрын
Baba mungu akubarki sana
@irenembalilaki3794
@irenembalilaki3794 4 ай бұрын
Tunaomba nyimbo zingine za gilgaly
@irenembalilaki3794
@irenembalilaki3794 4 ай бұрын
MUNGU awabariki sana.
@irenembalilaki3794
@irenembalilaki3794 4 ай бұрын
Wimbo unanibariki sana.
@PaulButungo
@PaulButungo 4 ай бұрын
@mvangabalele3260
@mvangabalele3260 4 ай бұрын
Powerful message
@NdakiBahati
@NdakiBahati 4 ай бұрын
Amee
@HenryNjunwa-i1v
@HenryNjunwa-i1v 5 ай бұрын
Wewe ni yule wa bukoba secondary
@NdakiBahati
@NdakiBahati 5 ай бұрын
Amen
@BraytonMussa-c9r
@BraytonMussa-c9r 5 ай бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mungu
@venerandatinanzila704
@venerandatinanzila704 6 ай бұрын
Amina Amina
@faustinmtui9764
@faustinmtui9764 6 ай бұрын
Asante baba kumbe sadaka ni lazima