Najifunia kua Mkurya naipenda sana kabila langu la kikurya na Mira zetu zote kama toharaa za kiume na kike❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@HappyMbaba3 күн бұрын
Hongera kwa kazi nzuri ya kuitumikia nchi yetu
@husseinkihemo50935 күн бұрын
matutu nyabange
@USIKUTV5 күн бұрын
Sio poa kanisa huyu mtu
@marykimani96435 күн бұрын
Naipenda tbr
@AbuiMuhali-h9e6 күн бұрын
Kabisa
@ZuhuraMsangi-g9z7 күн бұрын
hapo kidogo sana endelea kutafuta historia hii vizuri ili tupate ukweli😂
@ZuhuraMsangi-g9z7 күн бұрын
hapo kidogo sana endelea kutafuta historia hii vizuri ili tupate ukweli😂
@HassaniManzi-kh3tq7 күн бұрын
Tuletee wanyagatwa
@ArnoldMwegailo8 күн бұрын
Morogoro nyumbani mkaguru org
@nakatebetty844210 күн бұрын
Am in uganda but I was told that am a hangaza from Buhororo ngara district.I dont know my origin thanks for this
@PatientsKezide11 күн бұрын
Tuna mkubali
@Hamissi-s1f12 күн бұрын
❤❤❤❤❤ hm boy
@lucymlekachuma787912 күн бұрын
I love you godliver
@FarajaHaji13 күн бұрын
Wamakua gonga like
@Bintimrembo-y1v14 күн бұрын
Mi nakumbuka amefariki natambaa ila msiba ulikuwa w taifa
@petermasanilo73215 күн бұрын
Nabyalilwa ng'wanza sibitali ya bhukumbi
@PeninahMghoi-vk3nz15 күн бұрын
❤
@emmanuelliche264218 күн бұрын
When do the SUKUMA TRIBE have there traditional ceremony
@kalengashoppingcenter110819 күн бұрын
Wameiacha Nyuma kimakusudi, Bakiri Muluzi alitaka kuijenga mtwara vzr kwa barabara toka mtwara to Malawi wakampotezea
@mbajawagome93619 күн бұрын
Hakuna wakine
@TrevorKipkemboi-j9m21 күн бұрын
Do not loose hope endelea kumtumikia Mungu. na utapàta memà licha ya Yale uliopitia
@felixmakinda768927 күн бұрын
Sisi Wakisii, tukiwa na ndugu zetu Wakuria, Wagikuyu, Wameru, Waragori, na wengine tulitoka Misri. Tukatawanyika huko Mlima Elgon.
@IsayaMalipe27 күн бұрын
Naomba matokeo ya darasa la saba wilaya simanjir
@JohnMavia-u1xАй бұрын
Acha Mungu aendelee kumhifadhi Dada yangu bahati bukuku amina
@daudifungo5521Ай бұрын
Sana Nyabange Naona Unatuwakilisha Vyema Ughaibuni
@RamaIgongaАй бұрын
Ndo mana wanaitwa wangurimi mzee
@MrkakaiАй бұрын
Mbona mmesahau wambugu
@USIKUTVАй бұрын
@@Mrkakai tuta irudua upya
@DjumaAbdallah-xq5mqАй бұрын
Rip
@USIKUTVАй бұрын
@@DjumaAbdallah-xq5mq bado yupo hai
@JosephinaPaulo-h9eАй бұрын
Kwetu mie msubi na guma
@officialkishomonster3831Ай бұрын
Acha uongo GEITA ni kifupi cha (Gold Extraction In Tanganyika)
@USIKUTVАй бұрын
Hahahahahahaha
@ashakinyogoli8108Ай бұрын
wazaram oyeee👌👌👌
@AnnaNzuttuАй бұрын
Mbna sijaona wasubi?!!
@USIKUTVАй бұрын
Angalia vizur utaona
@MussaBahati-m1cАй бұрын
Wimbo alotowa wa sitki tulaumiane nimeupendasana
@MussaBahati-m1cАй бұрын
Bwana yesu asifiwe
@salumutumbo2536Ай бұрын
Msimuliaji inatosha nyamaza
@USIKUTVАй бұрын
Saw
@tumainiamosi2040Ай бұрын
Oyeeeeeeeeee❤❤
@michaelkimathi1549Ай бұрын
Huu utafiti hauko Sahihi kabisa . Haswa Elimu na mambo mengi.
@USIKUTVАй бұрын
Sawa
@RockySostenessАй бұрын
Sawa
@RespikiusMgashaАй бұрын
Tunamkumbuka sana
@basilisamsaka8469Ай бұрын
Jmn wanyaturu ni jina bandia uhalisia wanaitwa WARIMI wametokea Ethiopia,jina la kuitwa wanyaturu hilo limetokana na wasukuma kuwatania na kulikuwa na uwindaji ndio wasukuma walisasiki wakisema (mughuu turu) walikuwa wanaelekezana unyayo wa digidigi,ndio wasukuma wlaliosikia wakaanza kuwata mnyarutu lakini ni kabila laWARIMI
@RashidiFrancis-h8tАй бұрын
Vizuri sana
@EvalineMgonjaАй бұрын
Mungu alaze roho mahal pema
@USIKUTVАй бұрын
Bado yupo hai
@moshiOmari-w4bАй бұрын
Mungu aendelee kukutiya nguvu
@moshiOmari-w4bАй бұрын
Amen
@RoseChipasulaАй бұрын
Mbona nyasa amuisemei
@USIKUTVАй бұрын
@@RoseChipasula tuta kuja nayo soon tu we endelea kukaa nas
@benedictoLukanyima-ig8mmАй бұрын
Ndi omuzinza
@martinmaina4085Ай бұрын
Useless. we only know Rigathi
@LaurentMatigiliАй бұрын
Neno Kila kyaro linamaan gan baada ya wagen kupaita Hilo jina?