NGARAMTONI ARUSHA
5:33
Жыл бұрын
ASA
4:59
Жыл бұрын
KAMATI YA UKAGUZI
4:34
2 жыл бұрын
MAABARA YA WAKALA WA MBEGU
2:31
2 жыл бұрын
Uzalishaji wa Mbegu ASA WAONGEZEKA.
4:04
COMPASSION
4:21
2 жыл бұрын
ASA WAJA NA MBEGE BORA TABORA
4:10
2 жыл бұрын
Пікірлер
@paschazianestorymatunda6490
@paschazianestorymatunda6490 2 ай бұрын
Msitumie mbolea za kisasa jamani
@GuzuraGuzura
@GuzuraGuzura 3 ай бұрын
Mnatuchanganya bna, michikikichi n bure, au n hela? Na km n hela n sh ngap?
@RugeiyamuKahwa
@RugeiyamuKahwa 4 ай бұрын
Shamba hili liko maeneo gani mkoani Kagera ili twende kuona na kujifunza?
@emmanuelgadau266
@emmanuelgadau266 8 ай бұрын
Uko MKOA Gani?
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 5 ай бұрын
Yuko arusha
@emmanuelgadau266
@emmanuelgadau266 8 ай бұрын
Hongera sana
@helentelemla5623
@helentelemla5623 9 ай бұрын
Nahitaji mawasiliano yako please
@selemanijilla5978
@selemanijilla5978 9 ай бұрын
Acha habari zisizo na ukweli aje kuchuka Miche wapi kigoma Miche inauzwa tsh3000/6000 taja eneo lenye Miche hiyo
@abdallahkumbi7120
@abdallahkumbi7120 Жыл бұрын
Waziri Hussein Bashe mungu akupe Afya njema na umri MREFU, uzidi kutuwekea mazingira mazuri ya kilimo; PAMOJA NA PONGEZI HIZO SISI WAKULIMA WA MKONGE BONDE LA MTO UMBA WILAYANI LUSHOTO TUMEJITOA NA KUITIKIA MWITO WA KILIMO HICHO TUKIJUA UTAJIRI KWETU UNAKARIBIA LAKINI TUNAISHIA KUNYONWA KWA KUUZA MAJANI YA MKONGE BADALA YA BRUSHI. MH WAZIRI KAMA UJUAVYO KATANI INAHITAJI MASHINE YA KUCHAKATA BRUSH AMBAPO WAKULIMA WADOGO HATUNA UWEZO WA KUNUNUA CORONA KITU KINACHOSABABISHA TUUZE MAJANI, SHAMBA LA MKONGE MNAZI NDIYO SEHEMU TEGEMEO YA KUTUOKOA KWA KUCHAKATA MKONGE WETU KISHA TUMUUZIE LAKINI UTARATINU HUO WILAYANI LUSHOTO HAUPO ISIPOKUWA KOROGWE NA MAENEO MENGINE. TUNAOMBA UTUSAIDIE TUPATE FAIDA YA MKONGE WETU ASANTE ABDALLAH SALIM KUMBI - MKULIMA WA MKONGE MNAZI
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 Жыл бұрын
Mbogu mzuri sana
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 Жыл бұрын
Kazi ya kutawaza Bata hiyo
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 Жыл бұрын
Kwanini huo utaratibu wa mbolea ya ruzuku usiwe wakudumu kuliko kulazimika kununua mbolea kutoka nje yanchi kwani hizo nchi zenyewe alizo zitaja Bashe zinaongozwa na mitume kusemakwamba kwa Tanzania haiwezi kufanya hivyo
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Tunaomba namba zenu
@jastinmollel9592
@jastinmollel9592 Жыл бұрын
Mfuko Moja ni pesa ngapi
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Жыл бұрын
Uko wapi
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Yani unajisifia mbegu ni nzuri kwenye kunia 5 au kumi
@nathanielsteven2186
@nathanielsteven2186 Жыл бұрын
Ni wilaya gani hii?embu nijuze nifike hapo tuonane
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Mkoa wa Kagera inaweza kuwa kitovu cha uzalishaji mazao ya kilimo. Mkoa huu haukupewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo kupitia kilimo.
@bakarygau3044
@bakarygau3044 Жыл бұрын
Wap mnapatikana wap
@mussanassoro552
@mussanassoro552 Жыл бұрын
Bashe ww ni kiboko
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 Жыл бұрын
Wapenzi wa Mazoezi pita hapa subscribe channel yetu Kwa video za Mazoezi kupunguza uzito kuongeza misuli kujenga mwili
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 Жыл бұрын
🥰
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp 2 жыл бұрын
Ongera mimi nataka mbegu nitaipataje
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 2 жыл бұрын
Glory to God its all about seed quality and food safety
@mishomalluben5628
@mishomalluben5628 2 жыл бұрын
Nahitaji mbegu zaarizeti morogoro maduka ya asa wapi natokea pwani msaada tafazari
@simionmarwa7335
@simionmarwa7335 2 жыл бұрын
Hongereni Sana. Tuko pamoja kazi iendelee
@malikkb6444
@malikkb6444 2 жыл бұрын
Hongera sana waziri. Wazo Zuri sana na nimkombozi wa kilimo chetu na uchumi wetu kwa jumla.Hii project ifanywe mikoa yote yenye potential ya umwagiliaji.
@kikoremway7458
@kikoremway7458 2 жыл бұрын
Ni wap huko ndugu nasi tuje
@paulkamwezile2923
@paulkamwezile2923 2 жыл бұрын
Mimi niko GEITA tayari nilishalipia umeme tangu Mwezi wa Mei 2022 lakini mpaka sasa sijaungnishiwa umeme ninalala gizani!
@kajunakalugaba5269
@kajunakalugaba5269 2 жыл бұрын
Namba yako ya simu chief
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Alafu mnafanana nazo hatasura
@jahakaducha3291
@jahakaducha3291 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@mwinjumaganga2995
@mwinjumaganga2995 2 жыл бұрын
Kilimo ni pesa wew hapo unetumia Hela nying sana kilima mkono ni kuhangaika tu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Mwambie bana shida ya watu huwaga hawasemi ukweli hakuna kitu rahisi ww mm nimelima heka 15 mpaka sasahivi sijaotesha lakin nimesha tumia milion 3 sasa jiuze mpaka nioteshe na ifikie tu kukomaa siyo chini ya milioni 5 hapa sijui Kama kunakupata au kukosa acha mchezo hakuna mtu ambaye hapendi kufanikiwa kilimo nikama mgodi tu wa madini unaweza piga Moto hata miaka 5 nausipate kile unacho hitaji
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Ikuta misuzi ni wapu huko
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Hii mbegu ya ASA mmh mbona Mimi imeniamgusha au ni ASA iPi?
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Jamani nisaidieni na mimi Nina eka zangu 2 mlandizi sijui nilime nini. Naomba mwenye utaalamu anisaidie kwa ushauri
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
My kila mkoa una mazao yake. Mlandizi kunastawi nanasi, mihogo na viazi vitamu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
@@rinaldaoman7892 ndo hivyo ndugu utaalamu wa kulima na sehemu ya kupata mbegu ndo sijui nikipata mtu akinielwkeza nitashukuru
@elizabethmarcello7349
@elizabethmarcello7349 2 жыл бұрын
Bei gani guniaa
@elizabethmarcello7349
@elizabethmarcello7349 2 жыл бұрын
Hybrid
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 2 жыл бұрын
Je mbegu hiyo inafaa hata Kwa wilaya ya Bagamoyo?
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 2 жыл бұрын
Ni mbegu gani hiyo unayolima?
@christophernyambaza7587
@christophernyambaza7587 2 жыл бұрын
Mawasilisho
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 2 жыл бұрын
Hongera sana
@kulwamussa3612
@kulwamussa3612 2 жыл бұрын
Vijana wanaogopa kulima wanawaza hasala badala yakuwaza wajikomboe vipi kimaisha mjini kwenyewe hawana wanalorifanya tatizo lawatala wanataka mgawane hajibule kilimo niutalam kwamimi nilie zaliwa vijijini nafaham vizuli kilimo chakisasa kinahitaji nini kwanza zaokama hili lazima uandae pesa yakutosha ili kiskupe shida badae iwe lahisi kwako
@mwerindejacksom4390
@mwerindejacksom4390 2 жыл бұрын
Du ulivo mzurihiv unakulamende
@charlesmaige2227
@charlesmaige2227 2 жыл бұрын
Kwa hao wadudu tutumie dawa gn maana ixhakua changamoto sana
@charlesmaige2227
@charlesmaige2227 2 жыл бұрын
Samahan ningependa kuuliza I've hua kunamashine za kupukuchua alizeti
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Sidhan. Ila zikuanikwa juan ukigonga mara mbili2 inapukutika chini yote
@nyamahembasarya9858
@nyamahembasarya9858 Жыл бұрын
Ndio huku kongwa zipo
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 2 жыл бұрын
Tuonaomba namba zake za simu kwa uzoefu Zaid na sisi tunafanya kilimo Kama yeye ni kikund Cha vijana
@athmanndeje3425
@athmanndeje3425 2 жыл бұрын
Which type of irrigation?
@abdillahmaulid6941
@abdillahmaulid6941 2 жыл бұрын
Asa waje kusini tuamaeneo makubwa na mazuri kwa kilimo Cha alizeti
@focusnyigu3818
@focusnyigu3818 2 жыл бұрын
Mawsiliano yako
@brunotinda4810
@brunotinda4810 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka!!!