Unatakiwa umwogope Mungu, kwa nini? Hapa unatakiwa uelewe maana maana halisi ya "kumwogopa Mungu" katika muktadha wa kiroho. Katika Biblia, woga wa Mungu hauimaanishi hofu ya kutisha au kukimbia mbali na Yeye, bali unahusiana na heshima kuu, utiifu, na upendo wa dhati kwa Mungu. Maana ya Kumwogopa Mungu 1. Kumheshimu Mungu - Kumwogopa Mungu kunamaanisha kumheshimu kwa kuelewa ukuu wake na mamlaka yake juu ya maisha yetu (Mhubiri 12:13). 2. Kufuata Maagizo Yake - Mungu anataka watu wake waishi kwa haki na uadilifu, na woga wa Mungu hutufanya tujitahidi kufanya yaliyo sawa (Mithali 8:13). 3. Kujiepusha na Dhambi - Woga wa Mungu hutufanya tuepuke dhambi na kutafuta maisha safi ya kumpendeza Yeye (Mithali 16:6). 4. Kumtumikia kwa Upendo - Ni woga unaoambatana na upendo, ambapo tunatii kwa hiari si kwa shuruti, bali kwa kutambua kwamba Yeye ni Baba mwema (2 Wakorintho 7:1). Faida za Kumwogopa Mungu Mungu huwabariki wanaomwogopa (Zaburi 115:13). Woga wa Mungu huleta hekima (Mithali 9:10). Hutoa ulinzi na uongozi katika maisha (Zaburi 34:7). Hutuandaa kwa maisha ya milele na Mungu (Luka 12:5). Kwa hiyo, ni jambo sahihi na la busara kumwogopa Mungu, lakini kwa mtazamo sahihi-kwa heshima, upendo, na utiifu, badala ya hofu inayotufanya tumkimbie.
@BRAXY-kn8qb9 сағат бұрын
Nimepata tumbavu kingine huku njooni msikie😅😅😅😅😅😅
@djmasaicowboy153410 сағат бұрын
Huna akili kuma ww
@MussaTibeth14 сағат бұрын
Umepewa ufunuo mkubwa hawawezi kukuelewa.nikweli Mungu nipendo hatupaswi kumwogopa bali tunapaswa kumpenda
@sabatoager21 сағат бұрын
chunga mdomo mungu ni mkubwa
@josephjohn5Күн бұрын
Kazi nzuri kaka Nipo nasikiliza kazi yako muda huu
@ERACTOMAJIGEКүн бұрын
ERACTO MAJIGE
@NERYJONAS-fw2jcКүн бұрын
Wepana fanya uchaguzi ya thème ya wimbo Yako , baba Mungu ni kuogopa kwasababu Mungu sio baba Yako ambayo anakulea angalisho , mimi ni mwimbaji mwenzako kutoka Congo
@NyandaNkingwa-z6fКүн бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉❤
@AbbassOthumanКүн бұрын
Penda sana ngoma zaki nipo dar lkn hatar❤❤❤❤❤
@blandinabugomba9226Күн бұрын
Hongera sana 🎉🎉🎉❤❤ mtoto wa bukoli ❤❤❤
@totomojatzКүн бұрын
🎉🎉
@totomojatzКүн бұрын
👍🎉🎉
@josephjohn52 күн бұрын
Kazi nzuri kaka tumeipokea
@meshackenos-ev1st2 күн бұрын
Ktk nyimbo hii hata wachungaji wasema
@meshackenos-ev1st2 күн бұрын
Kumbe kuwajuwa maaduwi zako nilahisitu Ktk wimbo huu utawjuwa wabaya wako kwaanae lijuwa neno vizuli hawezi kukosoa yanawahusu nini yawewe na mungu?
@michaelsamwel28322 күн бұрын
Nothing content,imensikitisha sana
@brianambwambo32972 күн бұрын
Brother kama umekosa vya kuimba kasome biblia vizur upate uelewa zaidi kuhusu Mungu.
@NyandaNkingwa-z6f3 күн бұрын
Mmetisha🎉🎉❤
@kachelengwa3 күн бұрын
HIZO sale Sasa za ma densa duu zaman Sana ila kazi safi sana🎉🎉🎉🎉
@NyandaNkingwa-z6fКүн бұрын
Ila ww
@abellyezra25583 күн бұрын
Mnakosa vya kuimba hadi mnamuhusisha Mungu kwenye nyimbo zenu za kipuuzi
@kachelengwa3 күн бұрын
Unyama sana ❤
@NyandaNkingwa-z6f3 күн бұрын
❤🎉🎉🎉🎉
@NsengiyumvaAbeli3 күн бұрын
Undama sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NsengiyumvaAbeli3 күн бұрын
Nyanza msema nakubali sana🎉🎉🎉🎉🎉
@TizohMc3 күн бұрын
Kazi Kali sana Good Director
@BUSHUTV13 күн бұрын
Burudi huku mvua sana
@FikiriFanuel3 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Goma zuri video nzr mmmh
@FikiriFanuel3 күн бұрын
Mmmmmh goma hatar
@PaulmakondaOfficial4 күн бұрын
Nimeielewa
@SteveAlphonce4 күн бұрын
🙏
@MYEJASTUDIO4 күн бұрын
Kaza msaniuiiiiiiiiii❤❤❤❤
@ankosamsukuma38494 күн бұрын
Juhudi yako ndiyo mafanikio yako nakukubali Sana mwamba
@kachelengwa4 күн бұрын
Niko Uganda
@Nyandakatoro4 күн бұрын
Safi sana
@BonifaceMarashi4 күн бұрын
Mmmhh
@Nyandakatoro4 күн бұрын
Safi sana kikubwa ni kupambana
@kachelengwa5 күн бұрын
Kumekucha
@SteveAlphonce4 күн бұрын
🎉🎉🎉
@MichaelYona-t1q5 күн бұрын
Wa kwanza leo me
@PatrisiaDaniely5 күн бұрын
2025 new year naenjoy na ngoma ya nyumbn
@HamisiKamwelo5 күн бұрын
Kaka umetisha sana hii nyimbo
@TecklaKasheka6 күн бұрын
Nimeona bro Kaz nzur 🎉
@EvaNyaumba6 күн бұрын
❤❤❤❤
@djmusakasekesetz81267 күн бұрын
Nakubali sana kaka Tayari Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda Kama Yote 💪
@djmusakasekesetz81267 күн бұрын
Nakubali sana kaka Tayari Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda Kama Yote 💪