Пікірлер
@JanethDulla
@JanethDulla 6 күн бұрын
asante sana dada endelea kutufundisha😘
@MariamRunyeta
@MariamRunyeta 6 күн бұрын
Hizo sufuria nazipata wapi
@divahcruz
@divahcruz 2 сағат бұрын
mwanza
@DavidMwakatobe
@DavidMwakatobe 8 күн бұрын
Sorry dada divah hiyo mashine inauzwa bei gan?🎉🎉
@divahcruz
@divahcruz 2 сағат бұрын
45 mpaka 60 apo inategemea na mahali ulipo
@SuziAtieno
@SuziAtieno 8 күн бұрын
Napenda sana mapishi yako cake naomba uwe unatufundisha kiasi Cha vfaa kwa kilo
@HamisiMsaf
@HamisiMsaf 12 күн бұрын
Kwenye mkaa unatumia dk gapi
@divahcruz
@divahcruz 10 күн бұрын
Dk 45 mpka lisaa kama mkaa ukiwa mbaya
@مطبخاروىللاكلاتالشعبيه
@مطبخاروىللاكلاتالشعبيه 13 күн бұрын
ان شاء الله تبارك الله تسلم يديك يا حبيبه قلبي ربنا يحسن ما بين ايديك بارك الله فيك احلى لايك لست الكل❤❤❤🎉🎉🎉
@Nerayniraty
@Nerayniraty 14 күн бұрын
Mi natk kujifunza Zaid kupik keki ety
@Nerayniraty
@Nerayniraty 14 күн бұрын
Ahsant San ety Mimi nilikuwa nashindwa
@jamilashemndolwa6251
@jamilashemndolwa6251 23 күн бұрын
Nice
@KelvinMethod-p4q
@KelvinMethod-p4q 28 күн бұрын
Ninaomba namba
@NicolausTengelakwi
@NicolausTengelakwi 29 күн бұрын
Sasa madam samahan hivo vikombe 2½ ni Kama kiasi gani yaan ni kg au½ kwa mzani
@SurprisedAutumnTrees-yl9mw
@SurprisedAutumnTrees-yl9mw Ай бұрын
Uko vizuri
@EbenezerNkwanga-r8g
@EbenezerNkwanga-r8g Ай бұрын
4 re
@SophiaSalum-j7p
@SophiaSalum-j7p Ай бұрын
Nimependa jams i
@MarimuKessy
@MarimuKessy 2 ай бұрын
Dada ivovi pimo navipataje naonba unisaidie
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
njoo dm instagram @divalife2024 niambie mkoa uliopo
@ZulfaIddi-v3g
@ZulfaIddi-v3g 2 ай бұрын
Ukiweka mayai kwapamoja inakuaje
@JuleithBalilemwa
@JuleithBalilemwa 2 ай бұрын
I like this❤
@luchyguchy18
@luchyguchy18 2 ай бұрын
Oven yangu hauna time ni nyuzi joto tu je nifanyeje
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
haina shida , set moto wako 130 utakua unaangalia muda kwa saa ya kawaida
@MariamMbena-v1b
@MariamMbena-v1b 2 ай бұрын
Na mm nataka kujarb dada
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
Angalia video vizuri, fata maelekezo utaweza tu
@shambulajentrix
@shambulajentrix 2 ай бұрын
Kama huna blue band unaweza tumia cooking oil??
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
Ndio inawezekena
@latifaramadhani-w7x
@latifaramadhani-w7x 2 ай бұрын
Sorry madam naomba vipimo vya mzani ya receipe hii hvy me sielew samahan lkn🙏
@IrenKalashan-s1e
@IrenKalashan-s1e 2 ай бұрын
Asante sana dada
@nafisaakberali1700
@nafisaakberali1700 2 ай бұрын
Slow
@nafisaakberali1700
@nafisaakberali1700 2 ай бұрын
Very dliw you use cloves
@GladnessKaaya-y1s
@GladnessKaaya-y1s 2 ай бұрын
Natamani kujua my dear
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
Karibu ujifunze
@AnnoyedHummingBird-gc7ib
@AnnoyedHummingBird-gc7ib 2 ай бұрын
Ndo nmeanza kujifunza inatakiwa ufanye mazoez kwa mda gan Ili uwe mwepesi kupika
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
Inategea na wepesi wa uelewa wako mpenzi
@ikamalle
@ikamalle 2 ай бұрын
Yummy 😋
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
Oooh asante , barikiwa sana ika😘
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 3 ай бұрын
Nafkiri hizoo ni katles za nyama sio kachori🥰imekosekan mayai tu👌nicee
@HappySaid-g4f
@HappySaid-g4f 3 ай бұрын
Napenda tambi nyama
@kiresonjrsportsbench
@kiresonjrsportsbench 3 ай бұрын
Kilo moja inatoa maandazi mangapi?
@Juniorjuju-d4f
@Juniorjuju-d4f 3 ай бұрын
Hello
@AshaDaudi-kc3fv
@AshaDaudi-kc3fv 3 ай бұрын
Unaelekeza viziri lakini dada ungekuwa unatuwekea cake ya robo gram ngapi maana ukisema vikombe utujui vikombe gani maana kila mtu nauwelewa wake mwali tusaidie kwailo 🙏🙏
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
sawa , ntaweka video inayoelezea vipimo asha .asantee
@WinifridaMchiro
@WinifridaMchiro 3 ай бұрын
Eti kwani nilazima uwe na mashine wakati wa kuchanganya
@divahcruz
@divahcruz 2 ай бұрын
sio lazima
@muniramussa1827
@muniramussa1827 3 ай бұрын
Hiyo kikombe 1 ni sawa na robo au
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 3 ай бұрын
Asante kipenzi
@aminahassan4059
@aminahassan4059 3 ай бұрын
Hii cake ni ya unga nusu au robo?
@ChollohMchafu
@ChollohMchafu 3 ай бұрын
Nimependa
@RachaelAnnah
@RachaelAnnah 3 ай бұрын
Nice
@eledinakatorogo7147
@eledinakatorogo7147 4 ай бұрын
Nahitaji kujua vipimo Kama unga wamgu ni kilo 2.
@divahcruz
@divahcruz 4 ай бұрын
Apana kipenzi auweki mafuta
@ShikuKariuki-
@ShikuKariuki- 4 ай бұрын
Done pitia pitia
@NeemaMmari-n7q
@NeemaMmari-n7q 4 ай бұрын
Mimi nataka ya biashara naomba kipimo kilo 3
@divahcruz
@divahcruz 4 ай бұрын
Sjawahi kupika kilo 3 mpenzi , jaribu kuangalia kwa mziwanda bekers
@iddahravity9369
@iddahravity9369 4 ай бұрын
Nzuri sn huweki mafuta?
@BeatriceCrispin
@BeatriceCrispin 4 ай бұрын
Hellow dear oven yangu ni kenwod
@SalomeLasway-gl5tj
@SalomeLasway-gl5tj 4 ай бұрын
Kama huna mashine na mkono tu haifai
@divahcruz
@divahcruz 4 ай бұрын
Ina faa sana , unatumia mwiko ama mchapio
@AshuraMachela
@AshuraMachela 4 ай бұрын
Iko poa
@MwanaishaZaniali
@MwanaishaZaniali 4 ай бұрын
Kama ukipika tambi za nyama utapendelea kula nanini chai au nanini
@rosemarysifuel-kombe4402
@rosemarysifuel-kombe4402 4 ай бұрын
Learnt
@AnnJuma-r4l
@AnnJuma-r4l 4 ай бұрын
Hii nitajaribu kupika cake zuri sana yapendeza
@AnnJuma-r4l
@AnnJuma-r4l 4 ай бұрын
Ongela Dada divah mafundizo mazuri God bless you