🔴KURA ZA MAONI ZAIBUA MAMBO
2:42
9 сағат бұрын
🔴PANYA ASABABISHA KIFO.
7:03
16 сағат бұрын
Пікірлер
@JuliusSenyael-ej6hg
@JuliusSenyael-ej6hg 3 сағат бұрын
We mcc uongo tyu
@IssaAbdallahIssa-ex7bl
@IssaAbdallahIssa-ex7bl 10 сағат бұрын
Iyo sio dar ni zanzibar airport
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 18 сағат бұрын
Tunamshukuru muumba azidi kutubariki teendelee zaidi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Күн бұрын
Acheni uwongo. Bado kabisa hajifikia Kenya pamoja na ufisadi wawo. Kama ufisadi Tanzania tumewazidi Kenya. Wewe Marara acha kudanganya watu.
@issapagali1330
@issapagali1330 16 сағат бұрын
WIVU TU.😮.(Envy) sorry for you.😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅.
@section8ight174
@section8ight174 Күн бұрын
Kenyans are still stuck on the IDEA of Tanzania of the PAST loool Newsflash Kenyans, Tanzania has gone CLEAR, someni number plate ya nyuma!
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 18 сағат бұрын
Plate# ya nyuma izingatiwe🤣🤣📌
@section8ight174
@section8ight174 14 сағат бұрын
@@tumainimayala8187 hapo sasa 😂
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Күн бұрын
Naukawaambie waache mdomo mkiona Kobe ameinamisha kichwa
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 Күн бұрын
Hawa wanopinga hawajawahi kufika uwanja wa ndege wanaisikia tu huyu ni mkenya
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j Күн бұрын
Baado kabisa
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Күн бұрын
SAWA,ILA SWALI NI HILI: KWA NINI KILA KITU NI DAR...TU?
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp Күн бұрын
DAR KAMA MJI MKUU WA KIBIASHARA T'ZANIA NI LAZIMA IONEKANE NADHIFU NDIO JICHO LA WAGENI NA SI KWA TANZANIA TU KUNA RIO DE JANEIRO ULIO KUWA MJI MKUU WA BRAZIL KABLA YA KUHAMISHIWA BRASILIA, LAGOS KABLA YA KUHAMISHIWA ABUJA NA KWINGINEKO ILIYO KUWA MIJI MIKUU INA WEKWA KIBIASHARA ZAIDI.NA POLE POLE MWANZA, ARUSHA NA KWINGINEKO IFIKIA KUBADILIKA.
@section8ight174
@section8ight174 Күн бұрын
Kwani hujaona the NEW Arusha and Songwe Airports? Ngoja kwanza MSALATO karibu inamalizika hivi punde loool mtajinyongaaaa! Hapo bado hamjaona ya Zanzibari na ile ya MWANZA ipo mbioni kumaliZiwa, tunawaonea huruma aisee!!
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 18 сағат бұрын
@@section8ight174wataji murder kweupeee😂😂😂😂
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 18 сағат бұрын
Ulitakaje?,Ulitaka kila kitu kiwe Nairobi!?,Aaa Wapi! Nairobi ilikuwa Ni Zamani kwa Sasa ni Dar,kaa kwa kutulia!
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 9 сағат бұрын
@@brysonkaale3003 😂📌
@bongo39
@bongo39 Күн бұрын
Mama anapiga kazi ❤
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r Күн бұрын
Nikweli
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Күн бұрын
Acha ujinga wewe TV yako ni yachawa😂
@thamani5842
@thamani5842 Күн бұрын
Kazi iendelee❤
@donking-d4t
@donking-d4t Күн бұрын
Wapuuzi tu hao achana nao..
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Күн бұрын
We mwenye tv ni CHAWA tu
@MonicaJasson
@MonicaJasson 2 күн бұрын
Miwago Tz usichoke kutupatia habari na matukio
@MiwagoTz
@MiwagoTz 2 күн бұрын
Asante sana,nipo teyari
@MonicaJasson
@MonicaJasson 2 күн бұрын
Safi
@MonicaJasson
@MonicaJasson 2 күн бұрын
Tanzania mbele kwa mbele
@EsauBoy-k1z
@EsauBoy-k1z 7 күн бұрын
Aaaah sio watu wazuli duuuu
@IsraelIlomo-q2k
@IsraelIlomo-q2k 9 күн бұрын
☑️
@NeemaChiuyo-d4t
@NeemaChiuyo-d4t 10 күн бұрын
safi sana miwago tz
@MiwagoTz
@MiwagoTz 10 күн бұрын
Asante sana,Endelea kuangalia MiwagoTz.
@AliceJulias-h6n
@AliceJulias-h6n 15 күн бұрын
Miwagotz kwenye ubora wake,Safi Sana kijana
@AliceJulias-h6n
@AliceJulias-h6n 15 күн бұрын
Kumenoga nitakuita kwenye shughuli yangu
@MiwagoTz
@MiwagoTz 15 күн бұрын
Karibu!
@FatmaMkwera
@FatmaMkwera 17 күн бұрын
Safi Miwago
@MonicaJasson
@MonicaJasson 20 күн бұрын
Aya bwana unaweza
@ElishaAidan
@ElishaAidan 21 күн бұрын
Safi
@MusharafuYunusu
@MusharafuYunusu 21 күн бұрын
Tujitokeze kujiandikisha katika daftari la makazi kuanzia tarehe 11
@almachiuserasto9056
@almachiuserasto9056 23 күн бұрын
Mmmmh
@olivermwakikuti
@olivermwakikuti 25 күн бұрын
Kidum chama tawala chama dume chamaimala
@olivermwakikuti
@olivermwakikuti 25 күн бұрын
Jaman nakipenda sana chama chang lakin xjapenda wangevua walau baret combat ipewe heshima yake jaman
@elizabethbuchebuche5553
@elizabethbuchebuche5553 29 күн бұрын
Mmmmmh hiyo kasi ya kuongea sasa, kajifunze upya
@MiwagoTz
@MiwagoTz 29 күн бұрын
Asante sana
@DkMzikiuloendashule
@DkMzikiuloendashule Ай бұрын
💯💯💯🎙️
@AliceJulias-h6n
@AliceJulias-h6n Ай бұрын
Nimependa hiki kipindi endelea nacho kitakupeleka mjini pia vijana watajulikana
@MariaSamweli-y2u
@MariaSamweli-y2u Ай бұрын
Hongera sana Kiongozi umeeleweka sana,Music naamini utapata umesikika
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
Asante sana
@comredmuslimmputa2275
@comredmuslimmputa2275 Ай бұрын
Amir anasahau greder limekuja baadae sana,tulifyeka kwa mikono na kungoa visiki kwa mikono greder limekuja wakati wa mbelwa wakati uwanja tumepewa wakati wa Mzee Mayola na miaka mingi sana baadae
@comredmuslimmputa2275
@comredmuslimmputa2275 Ай бұрын
Umefanya jambo la maana sana kuleta hii taarifa
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
@@comredmuslimmputa2275 Asante Sana
@MejasonMzazi
@MejasonMzazi Ай бұрын
Kaka mimi ni mtanzania ninaeishi South Africa kwa muda wa miaka 20 sasa, japo huwa nakuja bongo mara moja moja. Nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi vyako mbali mbali hapa mtandaoni. Kwa Tanzania mimi ni mzaliwa wa magomeni kagera jijini Dar es salaam. Lakini baadae tukahamia Salasala ambapo wazazi walijenga. Hivyo ikikupendeza, uwe unatuwekea na makala inayohusiana na kile kinachoendelea huko Salasala na maeneo mengine ya mkoa wa Dar es salaam. Shukran sana kaka.
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
Asante sana kwa kufuatilia MiwagoTz,Nimepokea ushauri wako ninaufanyia kazi kwa haraka sana,Asante sana endelea kuifuatilia MiwagoTz.
@MejasonMzazi
@MejasonMzazi Ай бұрын
@@MiwagoTz Asante sana bro 🙏
@NeemaChiuyo-d4t
@NeemaChiuyo-d4t Ай бұрын
Wafanya biashara wa nyuki polen
@rachelerasto1967
@rachelerasto1967 Ай бұрын
Iko madale sehem gan
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
NJIA PANDA YA SKAUTI ULIZA BODA WATAKUFIKISHA
@ZAINABHEMED-p4v
@ZAINABHEMED-p4v Ай бұрын
Asante kaka kwa habar
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
Asante sana
@MgeniParamba
@MgeniParamba Ай бұрын
Hakika shule nzuri na ninaamini wazazi wa Madale na Mitaa Jirani tuleta watoto wetu maana tunaimani Sana na Ubora wa kazi zote.
@NeemaChiuyo-d4t
@NeemaChiuyo-d4t Ай бұрын
Kazi nzuri sana miwago Tz
@MiwagoTz
@MiwagoTz Ай бұрын
Asante sana
@KhadijaElias-u9f
@KhadijaElias-u9f 2 ай бұрын
Mashallah ujumbe muhim sana na mzito mno lau tukiufata tutakuwa namapenzi baina yetu
@MusaJafeti
@MusaJafeti 2 ай бұрын
Darasa kubwa mnooo,Mungu akubariki MiwagoTz ninakufuatilia kila siku
@MiwagoTz
@MiwagoTz 2 ай бұрын
Asante sana❤❤❤
@NeemaChiuyo-d4t
@NeemaChiuyo-d4t 2 ай бұрын
Sawa Babu nmekupenda bure
@MusharafuYunusu
@MusharafuYunusu 2 ай бұрын
Kaka nakubali utafika mbali unajitoa sana kwenye mambo ya kijamii one day yes
@MiwagoTz
@MiwagoTz 2 ай бұрын
Asante sana ❤❤❤
@MonicaJasson
@MonicaJasson 2 ай бұрын
Mmasai yupo vizur
@MonicaJasson
@MonicaJasson 2 ай бұрын
Imependeza❤❤❤
@KhadijaElias-u9f
@KhadijaElias-u9f 2 ай бұрын
Shukrani sana ust ujumbe mzito MUNGU atuongoze KATIKA UCHAGUZI tuchague VIONGOZI wenye KHOFU na MUNGU ILI yasitukute MADHARA kama HUYO tajiri
@KhadijaElias-u9f
@KhadijaElias-u9f 2 ай бұрын
Shukrani sana ust ujumbe mzito MUNGU atuongoze KATIKA UCHAGUZI tuchague VIONGOZI wenye KHOFU na MUNGU ILI yasitukute MADHARA kama HUYO tajiri