Naiona kaz ya kumlinda rais ilivokuwa ngumu kipind chake
@AgnesHassan-y8v4 күн бұрын
Mungu akubariki na aendelee kukupigania
@AgnessMsovela4 күн бұрын
🎉🎉🎉
@issaomarmagoma4 күн бұрын
Magufuli tunakukumbuka umetutetea Moçambique juu ya Al-Shabab tunakukumbuka daima
@BambuchaOG6 күн бұрын
2024 tuko hapa🎉
@princekagame820310 күн бұрын
Vitu vyote vimekaa kijanyajanya
@nassoroc10 күн бұрын
Ujanja ujanja kivipi chifu wakati alichoeleza ndo uhalisia?!
@andrewkilulu10 күн бұрын
Sitakaa kukuamini tena umekuwa mwana -si -hasa 😂
@mashakabundala995511 күн бұрын
Wakenya mpoo
@kelvincharles726311 күн бұрын
HAYA MAMBO YA AJABU SI WAJENGE FLYOVER ILI PASIWE NA UBOMOAJI TENA
@DavidCurtis-e4c11 күн бұрын
We tumia akili na wewe sikiliza anachoongea na vipimo vinavyotajwa hapo ni vikubwa mno daraja litakuwa pana na refu kwenda juu na sio unavyotaka wewe
@nassoroc10 күн бұрын
Chalamila ameongea uhalisia! Kinachopita juu ya mto, ziwa, bonde, bahari n.k kinaitwa DARAJA na kile kinachopita juu ya ya vitu vilivyotengenezwa na binadamu kama vile juu ya barabara nyingine, reli, n.k ndo kinaitwa flyover. Sasa pale Jangwani kitakachojengwa lazima kiitwe daraja kwa sababu inapita juu ya kitu cha asili, yaani Mto/bonde. Miaka ya baadae ikionekana hata daraja bado linaleta usumbufu na wakaamua kujenga "barabara" nyingine itakayopita juu ya hilo daraja hiyo sasa ndo itaitwa flyover!! Kwahiyo ni suala la tafsiri tu kwa sababu hata daraja linaweza kuinuliwa juu kabisa lakini ili mradi chini yake ni kitu cha asili kama vile mto basi bado litaitwa daraja hata kama litainuliwa meta 100 kwenda juu!
@benimlisa605611 күн бұрын
Chalamila anajua kuelezea mambo. Hana kupindapinda. Inavyo onekana Chalamila alikuwa smart sana shuleni.
@HoseaLeonard11 күн бұрын
Bila shaka huyu ndio Muhandisi wa Mkoa
@egdldm498111 күн бұрын
Hivi huyu jamaa anaelewa maana ya flyover
@benimlisa605611 күн бұрын
Ndo maana kasema pale awajengi flyover bali ni daraja
@egdldm498111 күн бұрын
@@benimlisa6056 Inaonekana Chalamila hajui tofauti ya daraja na flyover. Kinachotakiwa kujengwa pale Jangwani ni Overpass ambayo kimsingi ni flyover kwa sababu chini yake watatengeneza bustani na pavements kwa watembea kwa miguu kikiwemo kile kipande cha barabara ya Morogoro kutoka Magomeni hadi Fire.... Urefu wa kipande kile huwezi kukiita daraja.
@nassoroc10 күн бұрын
@@egdldm4981 Wewe ndo unaonekana hujui hiyo tofauti lakini Chalamila yupo sahihi! Overpass na Flyover ni kitu kile kile- moja ni American English na nyingine ni British! Tofauti ya msingi kati ya overpass/flyover na bridge ni kwamba overpass inapita juu ya barabara au man-made structure kv reli wakati bridge inapita juu ya "natural structure" kama vile juu ya mto, bahari, korongo, bonde n.k! Kutokana na hilo ndo maana Chalamila amesema kinachojengwa pale sio flyover bali ni daraja kwa sababu linapita juu ya mto (natural structure)!
@ogdosho9312 күн бұрын
Mheshimiwa tunaitaji pajengwe na arena apo
@peternassari763412 күн бұрын
Saf
@HavanansiData12 күн бұрын
Arena ya nini. Dar inahitaji park, kama Uhuru park. Bustani ya kupumzika. Jiji zima haliwezi kukosa sehemu ya wazi ya bustani ya mapumziko, hata Nairobi wana Uhuru park
@hassanmakame11 күн бұрын
@@HavanansiData Mnazi Mmoja was designed kuwa public park mfano wa Nairobi Uhuru park...it's unfortunate watawala wamekwapua eneo lile na kulifanya kama uwanja wa maonyesho ya shughuli za serikali kama uwanja wa Saba saba....!
@HavanansiData11 күн бұрын
@hassanmakame Yes, hata Dodoma kuna Nyerere Square ila naona kama padogo. Bustani za wazi ni muhimu. Siyo kila kona kitega uchumi. Mtu akitoka nyumbani hana pa kukaa, akitaka kupumzika aenda Coco beach au Bar. Lazima maeneo ya Bustani za wazi yajengwe. Ingekuwa uwezo wangu, hata pale Stand ya Mabasi Ubungo, ningefanya hivyo, ila wameshamuuzia Mchina kajenga Mall. Mwanza Buzuruga badala wapaache pawe bustani ya wazi, wanatafuta Mwekezaji aweke kitega uchumi
@peternassari763411 күн бұрын
@@hassanmakame mnaz mmoja pananiuma sana Pako center ilitakiwa iwe park nzuri sana
@Majebelemathias13 күн бұрын
Wewe ni kenge
@stanslausmachege217914 күн бұрын
Kisa kubwa kijana Magufuli
@leonobama497514 күн бұрын
I’m from Kenya but RC Mwari kiboko i salute him, 😅 The passion he has for changes..
@SadiqKumbata-q2u14 күн бұрын
Hongereni sana JWTZ 🎉
@hajjiomary238316 күн бұрын
Kuwe na azabu kali km mukiakiki ni mwizi na ndo alichukua kuanzia maika 15 sio mbaya wote mgeni 30.mbona kwa wenzetu kuna azabu kali pia wasiwasau watu wadaladala wanasabisha foleni kuwawekea faini kubwa nao akizua magari anapakia abiria fiani ilwe lak 3 analipa hapo kwa hapo sio mbaya tutakuwa sawa
@yusufmohamed887417 күн бұрын
Huyu anatetea ugali wake
@Ramadhanseleman-x8p17 күн бұрын
Au wanunua vyuma chakavu ziwe taasisi za ulinzi mfano jwtz
@Ramadhanseleman-x8p17 күн бұрын
Shaba ifutwe tz
@emmanuelnduki608917 күн бұрын
Busara imetumika ubarikiwe kiongozi
@Brunn-mh2bq17 күн бұрын
Msiwaendekeze sana hawa. Nchi za Ulaya na Marekani sasa hivi wanajuta kuwakaribisha.😢
@FahadiMuridi19 күн бұрын
Tunda ana fa nana naw ema kiasi
@SenyagwaRaphael22 күн бұрын
很好
@RizikiFuta22 күн бұрын
P
@FatumaAmini-i1m23 күн бұрын
❤❤❤❤
@msafirimbangule153125 күн бұрын
Kweli umechagua pakupumzika Mzee wetu
@MNYARUALIM25 күн бұрын
Chama kapotea San alivoenda yanga ubora ule Hana ten
@estermbwambo-l9g26 күн бұрын
😅😅Ardhi ya tabora inafukuliwa mpaka inalia!!
@neemafyumagwa791326 күн бұрын
Hongera Sana
@princemozes992328 күн бұрын
Pasta iyo ni tamu
@HenryMBwaga29 күн бұрын
Mmm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@MasaweMasawe-r5b29 күн бұрын
Mungu atawasimamiya tuu
@B23-i8p29 күн бұрын
Wanatutisha tusijitetee,Shahidi nani na wananchi walikuwa wengi
@charlespetro96729 күн бұрын
hiyo inasababishwa na hofu kwa watanzania na watu wasio julikana ndo shida hiyo sasa
@MariamChimwaga-w9oАй бұрын
Saf
@bakermusa9033Ай бұрын
Balile ati ukikutana na serikali wanasema eeee eeee eeee wasiojulikana😂
@UwamariyaDusabeАй бұрын
Hello fatafaka 😂😂😂😂😂😢😢😢😂😂😂😂 and
@UwamariyaDusabeАй бұрын
Hello fatafaka 😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😂 and I are
@RehemaMlowe-k6tАй бұрын
Kijana upo viziri,wachache hawapendi .
@MuslimYouthmanАй бұрын
Ina lilah waina ilaih rajiun
@ELPHAZJAVANAMONAMONАй бұрын
Vijana kama hawa wenye maono katika taifa mnawateka na kuwaua wakat hii ni hazina kwa taifa, fisiem kwel mmechoka
@Noelsaramba-q2zАй бұрын
Magufuli tutakukumbuka...
@JoakimuOmpeshiАй бұрын
Mumefika kwa kamanda Mulilo,mmekwisha,hanaga masihara huyo
@AbdulFatah-f7gАй бұрын
Nawapongeza sana police hongera kamanda wetu
@BARAKAJOSEPH-j4uАй бұрын
Mbonayule alietjwa n sativa hajakamatwa hapo mumetupga na rungu la kichwa