KUMEKUCHA CASSIAN AMVAA KIBOKO YA WACHAWI
2:52:06
Пікірлер
@alicejohn2567
@alicejohn2567 9 минут бұрын
hello handsome😂 kabla hujasema zaidi kuhusu PT naomba pitia shuhuda za siku ya alhamisi😊 ubarikiwe mtumishi
@tulimwaipopo-eq3be
@tulimwaipopo-eq3be 10 минут бұрын
Baba Mungu akukumbuke hatuwezi kufanya ibada pamoja sio kwelivijana wetu walianza vizuri wanamaliza vibaya
@TuzabacarBacar
@TuzabacarBacar 12 минут бұрын
Mungu akulinde sana mapinha kristo
@hellaskarras1567
@hellaskarras1567 14 минут бұрын
Mh ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@user-ds6fp6gb1v
@user-ds6fp6gb1v 17 минут бұрын
Tony umecha njia ya kweli.....kama unampenda YESU tubu rudi kwenye nia ....
@esterpeter8556
@esterpeter8556 19 минут бұрын
Na kimsingi pasta toni anajua fika anachokifanya sio kama haelewi,mimi nilivyoona wako sijui Nigeria wanapokea tuzo nikasema imekwisha , Mungu amrehemu tu
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 21 минут бұрын
Huyu toni alianza vizuri kapata washirika wengi anaanza kuingia gizani
@EricMaingi-f8b
@EricMaingi-f8b 24 минут бұрын
Ev. Pascal, ahsante kwa kutufungua macho. Mungu akutie nguvu katika huduma hii
@nestorypesambili7341
@nestorypesambili7341 26 минут бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@donatusnestory4760
@donatusnestory4760 33 минут бұрын
Mseme kiboko ya wachawi ila muache mtumishi wa Mungu Nabii Suguye
@loveandrew9694
@loveandrew9694 39 минут бұрын
Kwani Tony ni pastor!mi namuona kama motivational speaker.....anachohubiri sio Habari za wokovu na kwenda mbinguni....
@FrancoMsangawale
@FrancoMsangawale 40 минут бұрын
Nakufuatilia vema mtumishi wa Mungu.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 47 минут бұрын
makafiri wote ni motoni.Tatizo lao hawamjui Mungu aliyewaumba.wakifia kwenye ukafiri ni motoni
@djbless6201
@djbless6201 52 минут бұрын
2024 let's gather here and listening this song
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 57 минут бұрын
Martha anaonekana anapenda mambo ya dunia , Injili imemuinua sasa ameanzia kuitukanisha
@FrancoMsangawale
@FrancoMsangawale Сағат бұрын
Mungu akutangulie kaka na azidi kukutangulia katika yoote.
@user-ko5it5hz6b
@user-ko5it5hz6b Сағат бұрын
Asante Mungu kwa mtumishi wako
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Wakenya jirani zetu kamani acheni vurugu mtaisha roho zetu zinauma sana. Kumbukeni nchi nyingi za Afrika anakabiliwa na hali ngumu ya maisha sio Kenya tu watu wanapambana na maisha na sio kukaa barabara kwa maandamano.
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 Сағат бұрын
Nilikuwa na subiri mtu aongee kuhusu huyu Tony maana watu wengi wanapotea na kwa sababu hawana neno hawezi hata kutofauti kweli ya Mungu na udanganyifu wa watu na njaa zao
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Hakika huyu ndiye mtumishi. Barikiwa uongezeke baba
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Asante kwa kuwasaidia jirani zao neno laMungi lasema mpende jirani yako kama nafsi yako. Tunawapenda Wakenya
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Сағат бұрын
Sawa kabisa mtumishi wa Mungu ni kweli Ruto anateseka sana lakini Mungu atampigania atavuka tu
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Сағат бұрын
Huyu kiboko ya wachawi nilikuwa napenda kumfuatilia lakini sasa hivi naogopa hata kuangalia ibada zake siku moja alikuwa anasema mtu hata akionyesha chupi yake yy ataangalia tu na pia yy hawezi kukemea dhambi.Nimeogopa sana ni Mungu yupi anayemuhubiri!
@user-nu4ct7yc9o
@user-nu4ct7yc9o Сағат бұрын
Glória Deus!, estamos juntos servo de Jesus amém 🎉🎉🎉.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI Сағат бұрын
Hii tumesoma chuo kabksa tena ilkuwa second Year first semester 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@philipongenzatv
@philipongenzatv Сағат бұрын
Musigombane jamani muitane
@PetroShija-kj3fr
@PetroShija-kj3fr Сағат бұрын
Mtumishi huyohafai aachetu utumishi nimuhunitu
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 Сағат бұрын
Duh Tony!
@RichMbilinyi-v4t
@RichMbilinyi-v4t 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ameeeeeeeeeee
@AngelaRamau
@AngelaRamau 2 сағат бұрын
Ameni 🙏
@olivamgalilwa3529
@olivamgalilwa3529 2 сағат бұрын
Ni vigumu kumuuelewa pastor Tony kama una D mbili
@FaithHozza
@FaithHozza 2 сағат бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 2 сағат бұрын
Nilikua namfuata namsikiza nikagundua hapana hapana mwaka umepita sasa ona someone else has seen alijificha kweli hungejua
@sianagodson3690
@sianagodson3690 3 сағат бұрын
Ujumbe wenye nguvu, tunakuombea upaze sauti zaidi,kila mwenye mwili asikie neno la Mungu ambalo Roho anakumbusha kanisa.
@christmoremillinga5295
@christmoremillinga5295 3 сағат бұрын
Mi napita
@EasterGlory
@EasterGlory 3 сағат бұрын
I wish kukuona kwa ukaribu tufanye interview kidogo mtumishi wa Mungu nayakubali mafundisho yako
@EasterGlory
@EasterGlory 3 сағат бұрын
Huyu hana jipya
@dismasvinono2266
@dismasvinono2266 3 сағат бұрын
Kiboko ya wachawi ni shetani na alaniwe katika jina la mungu baba muumba mbingu nchi na ardhi
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 3 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Cassian umenena vyema sana, sasa wahubiri wanaangalia pesa tu
@user-we5zc7xk8x
@user-we5zc7xk8x 3 сағат бұрын
Nikweli huu tulionao ni utawala wa mnyama utawala wa kikatili tuu maana waafrika bado wanaendeshwa kwa ukatili na kufanyiwa unyama pasipo kuogopa chochote koo nyote wa ubiri mko chini ya utawala wa mnyama maana mumeikubali kuitumikia sheria ya unyama
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 3 сағат бұрын
Ni kweli Balaza la Makanisa ulimwenguni EKUMEN ni Sanamu ya Mnyama kwa hiyo ni Ufunuo 13:11-16imeanzishwa Marekani tangu mwaka 1946. mungu mwenye Nafsi tatu ni alama ya Mnyama Ufunuo 16:13-14 Ni fundisho lililotoka Rumi likipi amri ya kwanza, Likipi Biblia Waebrania 6:13:Isaya 42:1: Isaya 43:21 Isaya 45:23. Hiyo inapingana na Mathayo 28:19 mkabatize kwa jina (moja) Siyo majina (wingi) Inapingana Matendo 2:38 Kwa jina la Yesu Kristo siyo majina. Matendo 10:48.Matendo 19:5.Hayoni ni baadhi ya mafundisho ya meshika jamii za watu wanajihita Wakristo. Hao Dini nyingine azijui ABC.
@rozerozeDavid
@rozerozeDavid 3 сағат бұрын
Km huna chakufanya mpumzika mn hata mungu alimtumia rajabu je xio akaham au mungu mjing nyie watu km una tafut kikihebu achen
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 3 сағат бұрын
Brother iman ya mtu binafsi imesha anza makanisani sasa imesha kuwa hali mbaya kulingana na mafundisho wanayo toa kutoka vyuo vya bible ni hali ya baraaaaaaa!!!!
@GraciousYn
@GraciousYn 4 сағат бұрын
Kwanini kuhukumu wewe je wewe si mwanadamu? je uko wapi upendo wako katika kuonya? Je Injili ni kwa ajili ya walio haki tu? Angalia sana mwenendo wako je wewe ni mkamilifu? Kwanini kuyatizama mabaya tu katika kazi za wengine mwachie Mungu mpimaji na mhukumu wa yote ukafanye yale yakupasayo, kwani umesahau ya kua sisi tu mwili mmoja katika Kristo?
@GraciousYn
@GraciousYn 4 сағат бұрын
Kwanini kuhukumu wewe je wewe si mwanadamu? je uko wapi upendo wako katika kuonya? Je Injili ni kwa ajili ya walio haki tu? Angalia sana mwenendo wako je wewe ni mkamilifu? Kwanini kuyatizama mabaya tu katika kazi za wengine mwachie Mungu mpimaji na mhukumu wa yote ukafanye yale yakupasayo, kwani umesahau ya kua sisi tu mwili mmoja katika Kristo?
@GraciousYn
@GraciousYn 4 сағат бұрын
Kwanini kuhukumu wewe je wewe si mwanadamu? je uko wapi upendo wako katika kuonya? Je Injili ni kwa ajili ya walio haki tu? Angalia sana mwenendo wako je wewe ni mkamilifu? Kwanini kuyatizama mabaya tu katika kazi za wengine mwachie Mungu mpimaji na mhukumu wa yote ukafanye yale yakupasayo, kwani umesahau ya kua sisi tu mwili mmoja katika Kristo?
@GraciousYn
@GraciousYn 4 сағат бұрын
Kwanini kuhukumu wewe je wewe si mwanadamu? je uko wapi upendo wako katika kuonya? Je Injili ni kwa ajili ya walio haki tu? Angalia sana mwenendo wako je wewe ni mkamilifu? Kwanini kuyatizama mabaya tu katika kazi za wengine mwachie Mungu mpimaji na mhukumu wa yote ukafanye yale yakupasayo, kwani umesahau ya kua sisi tu mwili mmoja katika Kristo?
@aronmapunda2023
@aronmapunda2023 4 сағат бұрын
Wewe unatafuta pesa kwa kujinufaisha michango ya nini suluhisho ni kuachana na dini michango yanini?
@rehemakipesile4930
@rehemakipesile4930 2 сағат бұрын
Bila pesa atapata wapi vitendea kazi vya kuhubiri injili!!?
@evaseleman
@evaseleman 4 сағат бұрын
Mnao Pinga inamaana hamsomi BIBLIA? mimi sipendi Ile manabii na mitume wanachukua nafac ya MUNGU huku wakifunika kwa kuonekana kama watumishi, sikilizeni unumbe uwasaidie.
@GraciousYn
@GraciousYn 4 сағат бұрын
Aonavyo Mungu si sawa na mwanadamu aonavyo kwahiyo wewe wawahukumu kama nani , Yesu mwenyewe alikuja kutafuta kile kilichopotea si kwa ajili ya wakamilifu ungekua na nia njema ungemtafuta Pastor Tony ukaongea nae kwanza