Nyumba ya Ufufuo Na Uzima Kitui county Mwingi Town ilioko chini ya mchungaji kiongozi (SNP) Joseph Mumo, ni mahali ambapo miujiza na maajabu ya YESU inafanyika. Hatuna dini Wala ukabila Wala mila,,, Tunamuamini YESU KRISTO, Neno la MUNGU Kama Msingi wa kanisa
#Facebookpage: Nyumba ya ufufuo na uzima kitui county
#Facebook: Ufufuo na Uzima Kitui
#
[email protected]#+254790701010