Пікірлер
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 6 сағат бұрын
Mashabiki bwana chama mwacheni kafanye yake ameifanyia simba makubwa jamani mpeni mauwayake
@DanielChaula
@DanielChaula 8 сағат бұрын
Mwaka huu tutajua timu yako halisi
@DanielChaula
@DanielChaula 8 сағат бұрын
Uchomwe
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm 9 сағат бұрын
Kk we unajua mpira
@UmarRachideMussa
@UmarRachideMussa 11 сағат бұрын
Muacheni liyenasi mana munabowa babu pasuwatu usijali pamoja sana
@UmarRachideMussa
@UmarRachideMussa 11 сағат бұрын
Kwele viongoni wanazinguwa wapasuwe nzee ama wape vidonge
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 12 сағат бұрын
Roho pwi pwi pwiii huyo ni mtu alieumia sana kuliko wana simba wote baada ya chama kuondoka
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 12 сағат бұрын
Huyu anadharau sana na mungu huwa hampi mja mwenye madharau na mwambieni achunge sana madharau sio mazuri .fei toto sio kama hawezi kuja simba anaitaka kama leo . But tatizo huyu jamaa anaporopokwa hajui anaoropokwa kitugani,na maneno yake yanajikanyaga ,dola milion mbili si afafhali nikanunue mchezaji urope mpuuzi
@binbadru8408
@binbadru8408 13 сағат бұрын
Unasema eti yanga kachukua kombe uwanja mpya Aman znz!!? Mbona Simba imeanza kuchukua ubingwa wa muungano Zanzibar kwenye uwanja was Aman mbona nyie vyura hua Hanna kumbukumbu😮
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 13 сағат бұрын
Bro acha kuharibu brand za watu
@tellyandrew7030
@tellyandrew7030 13 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU 13 сағат бұрын
Kama simba yetu muiache haiwapi fulaha sisi tunaipenda hivyohivyo
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU 14 сағат бұрын
Ila hata nyie watangazaji nikundi moja mnawahoji mpaka wehu
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU 14 сағат бұрын
Hivi mashabiki wa simba mnaeishi na mchome si mmkamie mpaka avue jezi? Ningekua nakutana na mchome angeniambia kwanini kuku anakunywa maji rakini hakojoi
@SalumMahimbo-e4l
@SalumMahimbo-e4l 14 сағат бұрын
Hawa wachambuz wanaomuhoji huyu chiz kashavuta bangi lake jalalan wanajua atakachoongea ni upuuz mtupu lakin wanamieko nae kumuhoji
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU 14 сағат бұрын
Azam yamsajili mtu kutoka mashujaa inamaana Azam hawana hela? We mchome we ni mkundu tu unaliwa tako
@IreneBukombe
@IreneBukombe 14 сағат бұрын
Chunga sana maneno Yako, umenikera japo ckujui, Simba nikama familia yangu mtu akiiongelea vibaya Simba Huwa nachukia sana. Unaboa we jamaa😭😭😭💯
@IreneBukombe
@IreneBukombe 14 сағат бұрын
Vua tu hiyo jezi haikufai. Hatukutaki Simba maana wasariti wote wanaondilewa. Hakika mnakera sana mashabiki kama nyie hamfai hata kuwarithisha watoto wenu.😭😭😭😭
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf 14 сағат бұрын
Mjinga wewe
@IreneBukombe
@IreneBukombe 14 сағат бұрын
Watumwa bwan😅😅😅 wewe ulienda kwa mo akakwambia Hela anazozimiliki? Wewe umetumwa Tena ni mchawi wewe cyo bure
@Barakaveresi
@Barakaveresi 14 сағат бұрын
Huyu bwana hua ni mjinga sana ana tabia za kike mpuuzi kweli.
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 14 сағат бұрын
Hawa ndio wasaliti wa cmba shibiki wa kweli hawez kuwa ingia toka hata kama timu yako inafanya vibaya mtoto wako akiwa mbaya huwez kumchukua wa jiran akawa wako unamlea na yy aje kuwa mtoto mzur kwako
@DenisiMeja
@DenisiMeja 14 сағат бұрын
Mzee wang unakitu mkubwa😅😂🙌
@shackxhassan4877
@shackxhassan4877 14 сағат бұрын
Wee chokoo tyuu mda wote nikuiponda simba yetu
@moseshaji1177
@moseshaji1177 Күн бұрын
Respect kwenu
@MikidadiNyangi
@MikidadiNyangi Күн бұрын
Uongoz wa simba uwe makin sana kwan uto wana wapiga misumar wachezaj wetu
@FumaoFumao-d8w
@FumaoFumao-d8w Күн бұрын
Kŵeli
@rashidikusaga9719
@rashidikusaga9719 Күн бұрын
Safi sana Mzee masatu una madini sana baba
@davidfelician2903
@davidfelician2903 Күн бұрын
Naam, fei akija msimbazi namuona akitoka Hadi ulaya kama samata .
@AISHAALLY-zl8rz
@AISHAALLY-zl8rz Күн бұрын
Daah nimependa sanaa majibu ya uyu mzeeee
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Күн бұрын
Yanga wanategemea uchawi waganga wao saizi wapo kazini kuwa Loga wachezaji simba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Күн бұрын
KILA KIPEMBE KILA KONA WATU WANAONGEA MAMBO KUHUSU SIMBA KWELI SIMBA TIMU KUBWA DUNIANI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kamanda7703
@kamanda7703 Күн бұрын
Japhet. Fanya one on one interview na said peke yake usimueke kwenye beef. Mpe mda yeye kama yeye.
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 Күн бұрын
Watawapiga vijomi na wasiweze kukimnua
@FraziaGeorge
@FraziaGeorge 2 күн бұрын
Itakuwa ww ndo unaumwa Acha simba ipendeze bana
@LeonardMayala-gv1yx
@LeonardMayala-gv1yx 2 күн бұрын
Hapa dinga misugwi
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 күн бұрын
Mkiwasifia sana wahuni wanaingia msituni,, utaona jmaa anakua majeruhi
@user-up4kd4di7h
@user-up4kd4di7h 2 күн бұрын
Anaongea ukweli
@MchungajiMwamengo
@MchungajiMwamengo 2 күн бұрын
Wewe ni mgonjwa wa kufikiri nyamaza kimya wanaojua kuchangia waendelee.
@MchungajiMwamengo
@MchungajiMwamengo 2 күн бұрын
Well done Kisugu Kuna mtu anaumwa eti ulivyo mpongeza mh.Rais kwake Hilo kelo achana naye hanitambui
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA WAKALI WA KARIAKOO🎉🎉🎉❤❤❤
@rubenntiyaga3358
@rubenntiyaga3358 2 күн бұрын
Huyo ni Rais wa nchi ana haki kuiweka picha yake hapoo!!!
@MhalishSwalehe
@MhalishSwalehe 2 күн бұрын
Mpira unachezwa na vijana au chezwi na wazee
@user-sz7sr1nx6f
@user-sz7sr1nx6f 2 күн бұрын
Huo ni ujinga wako kwani we ndo umewachagua? Kiele ele tu.
@franccoz94
@franccoz94 2 күн бұрын
SAJILI ANAZOFANYA SIMBA HANA WACHEZAJI WA KUCHUKUA KOMBE MBELE YA YANGA NA AZAM
@NeymaTarimo-uk1zw
@NeymaTarimo-uk1zw 2 күн бұрын
Sawa were unayefanya sailing nzuri
@feetfirsttz
@feetfirsttz 2 күн бұрын
Sawa sawa Shekh Yahya mpiga ramli maarufu!!
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 2 күн бұрын
Utajua hujui soon
@user-ok7su4ic2t
@user-ok7su4ic2t 2 күн бұрын
😂😂
@user-eb3jd7if1l
@user-eb3jd7if1l 2 күн бұрын
Ww akuna unacho juwa ww
@KhatibuKhamis-yq5zq
@KhatibuKhamis-yq5zq 2 күн бұрын
Wameanza kujisahau😂😂😂
@KhatibuKhamis-yq5zq
@KhatibuKhamis-yq5zq 2 күн бұрын
Ardhi iliomtoa pacome yao yaooo😊
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n 2 күн бұрын
Utopolo kumfunga tena Simba msahau msiishi kwa kukalili,,, zile 5 Cha kimchongo ,,,nasimba washawajua mbinu zenu,,
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h 20 сағат бұрын
Acha ushamba we kolo tulia dawa ikuingie lile Kono la nyani la halali 😂😂😂😂😂 tutaendelea kuwashona mpaka mseme
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 күн бұрын
Wapumbavu sana, yaani nyie MAKOLO mumfunge YANGA ..?....🤣🤣🤣..mnaota nyie
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
USFUNGWE WEWE NANI???? MATOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 күн бұрын
@@salimmalaka256 ...Tulia ww KOLO nije KUKUTIA Tena nyingine ..!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
@@ismailmasoud6001 MACHOGO FC AKA MAFISI FC MACHOGOOOOOOOOO
@farajalegnand9294
@farajalegnand9294 2 күн бұрын
Utukufuu kwa MUNGU, hakika ni kwa NEEMA TU , ubarikiwe Brother 🥳🥳🔥