Пікірлер
@mwanamosishah4104
@mwanamosishah4104 5 минут бұрын
Shukran kwa Dua nzuri. Kuoga, ataogea chronic au nje ya yumba? Hapo tunaomba maelezo.
@adamomary1054
@adamomary1054 2 сағат бұрын
Nisaidie ustadhi kufasisi ndoto yangu
@adamomary1054
@adamomary1054 2 сағат бұрын
Na kama nimeoa nikaota nafunga ndoa na mwanamke mwingine mimi naota zaidi ya mara nne
@jumahemed7546
@jumahemed7546 2 сағат бұрын
Allah AKULIPE kheri
@peterkibendela767
@peterkibendela767 8 сағат бұрын
Assalaam aleykum Shehe, nina maswali, kadhaa 1.Mbwa wa ulinzi, na wajua wezi wanavyosumbua, hapo inakuwaje? 2:Mimi nina fuvu la nyati na Kingoni , ambavyo nimevilipia leseni kabisa kuvimiliki, navyo ni sehemu ya mapicha na vinyago? Shukran
@fahmimohd261
@fahmimohd261 11 сағат бұрын
Shukran shekh ila ungekua unaandika au kutaja aya gani au sura gani
@suleimanroba5896
@suleimanroba5896 11 сағат бұрын
Ni mnyama gani ustadh
@Salsabiil12
@Salsabiil12 12 сағат бұрын
Jazzaka llah khayra
@Abuuzakia-x3d
@Abuuzakia-x3d 14 сағат бұрын
Jazakallahu kher
@pabloLOOKMAN-m4j
@pabloLOOKMAN-m4j 15 сағат бұрын
Sheikh tuandikie dua
@Abuuzakia-x3d
@Abuuzakia-x3d 16 сағат бұрын
Shekh sisi tunapata faida kubwa nikuombe acha na wale wanaosema vibaya achana nao
@ostosmani
@ostosmani 16 сағат бұрын
Ni sahihi hali hii tunayo sana sana
@FatumaMtswano
@FatumaMtswano 17 сағат бұрын
Lakini kuna Israeli sheikh huyo popote kambi😅😂😂😂
@JamalKanani
@JamalKanani 16 сағат бұрын
Lkn ameshindwa kuwapata mateka wao
@FatimaAbdulla-s4i
@FatimaAbdulla-s4i 19 сағат бұрын
Shukrani jazakallahu kheir
@kassimmwazinga741
@kassimmwazinga741 20 сағат бұрын
Amin Yaa. Rabbil Alamina
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 20 сағат бұрын
Kuota unasomesha watoto wadogo wa madrasa mana yke nn?
@AshrafMangala
@AshrafMangala Күн бұрын
Hapana shekh s kweli kwaiyo ukifanya zinaa ukiweka picha izo autapata zambi kwakua malaika hataweza kuingia alafu Sasa basi tukiweka picha hatutaweza kufa kwakua malaika mtoa loho hataweza kuingia kwakua nayeye ni malaika
@AshrafMangala
@AshrafMangala Күн бұрын
Hapana s kweli shekh Sasa ukifanya zinaa autapata zambi kwakua malaika aingii jeeh ukiweka picha au midoli jeeh malaika mtoa loho hataweza kuingia 😢
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 Күн бұрын
Somo zuri sana ila vyema ukawa unatutajia izo aya zinapatikana ktk sura gani hyo ndo itakuwa njia nyepesi kuzijua
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv Күн бұрын
Mashaalllah
@MbundiKotwa-em8oi
@MbundiKotwa-em8oi Күн бұрын
Samahani sana sheikh 🙏 najua hukuwa na nia mbaya sheikh wetu ila kuna sehemu samahani naomba mara nyengine ungepunguza ukali wa maneno pale ulipokua ukifahamisha baada ya kutoa salamu tumia t neno KALIO itakua imeeleweka kuliko kutumia lile neno ambalo umelitumia ila samahni sana sheikh🙏🙏🙏
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 Күн бұрын
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu shekh ee h kabsa tuandikie shekh
@ostosmani
@ostosmani Күн бұрын
Safi
@Abuuzakia-x3d
@Abuuzakia-x3d Күн бұрын
Shukran kwa darsa
@khamissmohd
@khamissmohd Күн бұрын
Mie sikufahamu kabisa inachosemasauti ndogo
@khamissmohd
@khamissmohd Күн бұрын
Unanong'ona mno
@khamissmohd
@khamissmohd Күн бұрын
Hatukisikii kabisa video zako zoote
@allybenali543
@allybenali543 Күн бұрын
Mswiba
@KijoliKallaghe
@KijoliKallaghe Күн бұрын
Shukran mii alhamdulilah..nipo safi..%
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Күн бұрын
Toba ya rabbi hivi na wewe umezukia wapi subhanallah hii dini ya uislam mbona jamani imevamiwa
@msimbutv
@msimbutv Күн бұрын
Niombee dua kaka kama nakosea Allah aniongoze
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Күн бұрын
@msimbutv hiyo nafasi uliyoipata itumie vizuri utakuja kuona faida yake ukifumba macho
@Abuuzakia-x3d
@Abuuzakia-x3d Күн бұрын
Wew hujielewi kosa la ostdh hapo nin?, mbona shekh kishk alitoa darsa la tafsiri za ndoto tena alizungumzia jina mahaba .
@FatimaAbdulla-s4i
@FatimaAbdulla-s4i Күн бұрын
Asalam alaikum warahmatulah wabarakatu, tuandikie hapo chini sheik
@HadiaMusa-c6v
@HadiaMusa-c6v Күн бұрын
Shukran Allah akupe siha na afya njema biidhillah asante ❤
@MaryamMgallus
@MaryamMgallus Күн бұрын
Asante Allah akujazie kheri
@LovenessOlaph
@LovenessOlaph Күн бұрын
Naomba namba zako za simu
@mrope348
@mrope348 Күн бұрын
Hizi amri ni kwa wafia dini pekee, sisi tulio huru hatuwezi kuishi kwa hofu hivyo!
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 күн бұрын
Mukielezeya kitu kwanini hamuxugumzi munachukuwuda asante
@FaidaAbedi
@FaidaAbedi 2 күн бұрын
Shukran
@HamidaJan-l9p
@HamidaJan-l9p 2 күн бұрын
Shuhraaaaaan....
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 2 күн бұрын
ASALAM ALAIKUM JE UNAWEZA KUWASOMEA WANA NDOA WASIOWEZA KUFANYA WENYEWE ? NA DUA HII SIKU NGAPI
@NishishikareFuraha-q8r
@NishishikareFuraha-q8r 2 күн бұрын
Tunashukuru Allah akulipe Kila kheri
@YasinKabula
@YasinKabula 2 күн бұрын
Asallam Allaykum, sheikh darsa ya leo nzuri sana, kama inawezskana hii dua iandike hapa kwenye comment
@kessyathuman8095
@kessyathuman8095 2 күн бұрын
Shukran sheikh Ally othman, jazzakah allahu kheir
@kalombomutami2665
@kalombomutami2665 2 күн бұрын
Waleikum Salam wa Rahmatulah wa barakatuh
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih 2 күн бұрын
Masha'Allah tabaarakarrahmaan ta'alaa alhamdulillah shukran jaziillah ustadh insha'Allah Aamin 🤲🤲🤲 ya Rabby Aamin
@HalimaHalima-z1p5q
@HalimaHalima-z1p5q 2 күн бұрын
Asante sheikh
@shekhabuuidd6807
@shekhabuuidd6807 2 күн бұрын
Allahumma amin
@Abuuzakia-x3d
@Abuuzakia-x3d 2 күн бұрын
Safi shekh naona leo kilio chetu umekisikia umetuandikia
@msimbutv
@msimbutv 2 күн бұрын
WAMAN YATAQI LLAH YAJAALAU MAGHRAJA,WAYARUZUKUUHU MIN HAYITTHU LAA YAGHTASIB LAAHAULA WALAA QUWATA ILA BILLAH LAALIYUL ADHWIM 2 LAAILAHAILALLAHU MUHAMMAD RASULULLAH BISIMILLAH RAHMAN RAHIM INNALLAH DHUU QUWATIL MATIYN 3 ALLAHUMMA TUQIDHWIIY ANNI DIINI WAAGHININY MINAL FAQIR WALAA HAULA WALAAQIWATA ILLA BILLAHI LAALIYUL ADHWIM, 4 ALLAHUMMA URUZUQUNA HASSANA TAWAQULI ASTAGHAFIRU LLAH LAADHWIM X3 ALLAH ANTA AALAM TWALABATUKA FAAJABA TWALABANIY 5 UTAMSWALIA MTUMR
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 күн бұрын
Jazakkallahul-kheir
@MagdalenaAlmasi
@MagdalenaAlmasi 2 күн бұрын
Allah akulipe shekhe
@مريممريم-ت7ج2ي
@مريممريم-ت7ج2ي 2 күн бұрын
Tufike pont shekh