Пікірлер
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 күн бұрын
Miaka 20 iliyopita nimeusikia huu wimbo nimebarikiwa na ninauimba kama vile nimeusikia leo ahsante Yesu kwakuniokoa
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 күн бұрын
Nimeukumbuka na ule wimbo wa wengine watang'aa kama jua na wengine kama mwezi ilikuwa moto sana
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 күн бұрын
Daah menikumbusha mbali sana huu wimbo wakati nipo kwa mtumishi wa Mungu Edward kapokolo mlikuwa mnakuja pale 2005 to 2009 nikiwa maranatha na ninaukumbuka kwa Yesu raha sana
@midlasternelson2166
@midlasternelson2166 8 күн бұрын
Mama zangu wa sokomatola majengo mbata jaman mungu awatunze
@ZuhuraAbdallah-g6o
@ZuhuraAbdallah-g6o 12 күн бұрын
Namkumbka mama angu hakika na kakaangu alikua anaimba vzr kwaya mungu amsaidie kakaangu alipo ainuke Tena na kumtegemea mungu
@MusaPaulo-j1d
@MusaPaulo-j1d 14 күн бұрын
Amani I've juyenu wazeewangu
@promiseLyombo
@promiseLyombo 16 күн бұрын
Mungu hawabariki wenye mmeimba huu wimbo, Bibi angu anaupenda Sanaa
@neemaadamu3698
@neemaadamu3698 18 күн бұрын
Huyo anae piga gitaa solo nihatari
@frolacharles8580
@frolacharles8580 20 күн бұрын
Namkumbuka saana mama aliupenda saana huu wimmbl
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 27 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@TellyMwantepele
@TellyMwantepele Ай бұрын
Wimbo niupendao jmn,na hayo mapigo Huwa yananibarik sana,nataman npae nirud mbeya niwaone bibi zangu wakipg mapgo🥰🥰🥰
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi Ай бұрын
Good
@alphamwasakyen7696
@alphamwasakyen7696 Ай бұрын
Halleluya sifa kwa MUNGU aliye hai
@tijtvlive5233
@tijtvlive5233 Ай бұрын
Kama una sikiliza hii nyimbo juma pili ya leo 22/12/2024 gonga like hapa
@SammyDayaner-w8c
@SammyDayaner-w8c Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SammyDayaner-w8c
@SammyDayaner-w8c Ай бұрын
❤❤❤❤
@aminamgeni6950
@aminamgeni6950 Ай бұрын
Nyieee bibi angu akiamka asubuh lazima ilikuwa aimbe huu wimbo na sasa hatupo nae pumzika kwa amani bibi namsomba 😢
@AsajenyeMwakyoma
@AsajenyeMwakyoma Ай бұрын
😂😅
@SariaMunisi-m5b
@SariaMunisi-m5b Ай бұрын
Wimbo wa masikitiko hawajaonyesha hisia za masikitiko ila wimbo una ujumbe mzuri
@estermwakatundu3028
@estermwakatundu3028 Ай бұрын
😭😭😭😭2024 _12 gonga liky hapa kama unausikiliza huu wimbo jaman umenikumbusha mbali sana
@FrankSambo-bn8mp
@FrankSambo-bn8mp Ай бұрын
Nabarikwa sana🎉🎉
@emmanuelpaul1470
@emmanuelpaul1470 Ай бұрын
Zamani utotoni ilikua ni nyumbo tuu 😢lakini saizi inaeleweka sasa. Mungu turehemu wote na tunaomba mwisho mwema
@roidymwangove6440
@roidymwangove6440 2 ай бұрын
Asante Kwa baraka
@zivemechant9888
@zivemechant9888 2 ай бұрын
This song reminds me of my childhood in Likasi, Congo 🇨🇩 May God bless this man.
@ephraimsimbeye9732
@ephraimsimbeye9732 2 ай бұрын
Hongera sana Yeriko kwaya
@Paulorobati-g2i
@Paulorobati-g2i 2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu 🙏🙏
@ChristianMangungu-k6t
@ChristianMangungu-k6t 2 ай бұрын
Amina fadhili
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 2 ай бұрын
Huu wimbo hua unanifanya nalia sanaaa sijui kwasababu Kwa mara ya kwanza niliusikia msibani
@PeninaPiludasMwangunga
@PeninaPiludasMwangunga 2 ай бұрын
Nawapenda buree kwaya yangu mmejuwa kunifundisha na mapigo❤❤❤❤
@Paulorobati-g2i
@Paulorobati-g2i 2 ай бұрын
I mss you kanisani kwetu
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 ай бұрын
Safi sana! Mungu awabariki❤☑️✍️
@BarnabasClement-v5s
@BarnabasClement-v5s 2 ай бұрын
Nyimbo za kwaya kanisa moleviani Tanzania
@VascoSinkwembe
@VascoSinkwembe 2 ай бұрын
Nakuona dida chama cc wangu waukwaaa yani seboo
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Santee
@jacobmbembela1250
@jacobmbembela1250 2 ай бұрын
Nawakumbuka waimbaji waliolala usingizi mkuuu@ Shangazi yangu Mama Chilale
@jacobmbembela1250
@jacobmbembela1250 2 ай бұрын
❤❤ 3:19
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi 2 ай бұрын
Munga akubalik
@SichivulaGevasi
@SichivulaGevasi 2 ай бұрын
Hongera sana
@norycakes1308
@norycakes1308 3 ай бұрын
Wimbo pendwa wa mama yangu❤❤❤❤❤❤2024October🎉
@EdinaAmson
@EdinaAmson 3 ай бұрын
❤❤❤
@tumainistephano
@tumainistephano 3 ай бұрын
Ameeen wimbo mzuri
@EdinaAmson
@EdinaAmson 3 ай бұрын
Mbalikiweee
@EdinaAmson
@EdinaAmson 3 ай бұрын
Mbona audio haupooo
@FaridaEzekia
@FaridaEzekia 3 ай бұрын
❤❤❤
@yesemwaifwani5099
@yesemwaifwani5099 4 ай бұрын
No comment
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji 4 ай бұрын
😢😢❤❤
@Morry-nx7tp
@Morry-nx7tp 4 ай бұрын
Kazi ya Mungu iendelee
@Maxmill_20
@Maxmill_20 4 ай бұрын
My Grandma jmn😭😭😭😭 nyie acheni kitu kinaitwa kifo
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 4 ай бұрын
Kumkemea
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 4 ай бұрын
Shida inakuwa wapi mara nyingi abiria Huwa wanaona aibu kumkenea dreva anayeendesha gari kwa mwendokasi