Ajamuibia mungu kamibia mwansdamu,kna ukumu ya mungu na mwansdamu pia,wizi waache na iwe fundisho
@نوفل-س5رАй бұрын
Kuondoka ama kutoondoka si hoja ,hoja kubwa ni mazingatio ,atambue kwmba hapo ndo mwisho wa kiburi ,
@AbdulSaid-bn2giАй бұрын
❤❤❤2025 inshaallah
@AbdulSaid-bn2giАй бұрын
Uhakika njaa Kali sana
@WaziriOmari-f3hАй бұрын
Sitawahi kushiriki kwenye haya matukio
@binismail2029Ай бұрын
Hongeraaaaaaa
@binismail2029Ай бұрын
Alhaj Goya Kamanda mkuu wa mashauri bora
@MuhsinJuma-v1yАй бұрын
Mashllha 💚💚
@AbdulSaid-bn2giАй бұрын
Allah yupo na nyinyi viongozi wetu
@allymbarouk5362Ай бұрын
Mm sahizi simsomesh mtt wangu kazi bure labda asomee fani Unasomea masomo magumu hadi chuo kisha ajira huna kisa huna kadi ccm anaajiriwa kilaza sababu analala maskani. Shame on you anaefnya hivyo
@allymbarouk5362Ай бұрын
Utenzi umekamilika
@mukhtaromar-g5pАй бұрын
Kweli baba kura kwa act wazalendo 2025 mwinyi ameshindwa kutokomeza njaa
@DarajaniZanzibrАй бұрын
OMO ni mbaguzi
@w405826 күн бұрын
Darajani mbaguzi wewe hasidi mmoja mkosefu wa malezi shadidivu wa udhalim
@BimdogoAlawiАй бұрын
Pampe km nn naomba jina la hy nyimbo
@SabraAbdilnasirАй бұрын
Mashaallah
@DullahYussufАй бұрын
Pemba ni nyumbami licha yakua hali ya maisha ni ngumu sana lkn ❤❤❤❤❤❤❤❤
@moodyzanzibar4336Ай бұрын
HAYO ULOSEMA YANAFAIDA GANI KWA MWENYEZIMUNGU KATIKA UMRI WAKO HUO HAO WENZIO WANAKUINGIZA KWENYE MITIHANI WATAKUJA KUKUCHEKA TUU ,BAADA YA KUMTAJA MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA UNAZUNGUMZA UPUUUZI WA HURURI ZA DUNIA - SUBUHANNAH LAH TUMCHE MOLA
@najmathiney652 ай бұрын
Lipo wap hili holi
@AbdallahSaid-w5f2 ай бұрын
Msomaji Qur-an Mashaallah❤❤❤yupo vizur
@OmarHabibu2 ай бұрын
baba hunambaya
@KhamisMbarouk-l5c2 ай бұрын
Zanzibar Moja malaka kamil inshallah
@husseinbakar23582 ай бұрын
Umekwisha binadam sio samaki unatakiwa unapo kaa duniani usijisahau umekweisha
Kweli hii nizaidi ya utenzi imemaliza kweli ajira ya zanzibar imekuwa kuokota chupa na sokoni vyeti utaweka ndani mtihani tumechoshwa na majambazi hawa allah waondishe wasije kutumaliza hawa majuja wa majuaa
@abdallahmsham-eb7jz3 ай бұрын
mpaka raisi wa zanzibar anachanguliwa dodoma duuuuu
@baraghash49643 ай бұрын
Ccm kubadilika ni mwiko kwa maana wanakua wanaitwa vikao vya usiku, kupewa maonyo na kutishiwa. Ndio maana ccm wamekaza vichwa hawataki kubadilika ktk kuidai mamlaka yetu kamili.
@baraghash49643 ай бұрын
💜💜💜💜💜
@RamoDee3 ай бұрын
Dah kweli vo jana tulichukuliw kwa magari wanafunz mashuleni tukapelekwa Amani na kuvaa uniform hatukuruhusiwa tuliambiwa tuende tumevaa kama tuition tu tena na Attendence ya majina ilichukuliwa ambaye hakwenda jumatatu ana kisanga cha kujibu 😂😂 Wallah nlishangaa nafika Amani nakuta mijitu ya CCM nkaona ajabu Me nlijua labda ni sherehe za nanenane kumbe mikutano ya CCM😅😅
@ALIKHAMIS-un4fv3 ай бұрын
Mansour MashaAllah anaongea fasaha sana hana matusi wala porojo yeye anaongea kwenye mstari
@@ayoubrashid8392 Wallah wanafunz Jana tumejazwa vo
@lenniefei67103 ай бұрын
Baraka ameomba Chama radhi na jee 'waarabu' anaowatukana tangu zama pia amewaomba msamaha ?!
@DuniaNdogo3 ай бұрын
Allah akupe kauli thabit sheikh 😢
@R10_Rajab3 ай бұрын
Bohora una chuki tu na roho mbaya yaani unamuingilia mtu mpaka kwenye harusi ya mwanawe duh ety unahoji pesa za harusi ya mwanawe unajua daktari Hussein alikuwa waziri wa ulinzi ?tena kwa miaka kibao anashindwa aje kumfanyia mwanawe harusi ya gharama? roho mbaya itakuua bohora
@R10_Rajab3 ай бұрын
tatizo hicho chama ni cha tanganyika mnadhani wao watakubali zanzibar iwe mnavyotaka nyinyi
@R10_Rajab3 ай бұрын
Nyinyi pigeni kelele ila 2025 Hussein Mwinyi mitano tena maana hayo maneno tokea babu sefu wa ntambwe tumeyasikia