NAJIKABIDHI KWAKO   FT ANNA BELLA
4:47
USINIVURUGE   FT UPENDO MULINDA
4:18
TUTAKUKUMBUKA JULIANA
7:18
2 жыл бұрын
Пікірлер
@antipasjohn62
@antipasjohn62 Күн бұрын
2025
@jeromemulaji1279
@jeromemulaji1279 7 күн бұрын
2❤25
@brianomburaevans
@brianomburaevans 9 күн бұрын
wooow sauti nzuuri yenye ushauri mwema here 2025
@HappynessNgwato
@HappynessNgwato 11 күн бұрын
Uko sahihi mch.Mungu akutangulie
@PastorAlex-wo2be
@PastorAlex-wo2be 16 күн бұрын
Barikiwa na Mungu wa mbinguni
@PastorAlex-wo2be
@PastorAlex-wo2be 16 күн бұрын
Barikiwa na Mungu wa mbinguni
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
❤❤❤
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
Baba songa mbele
@MerceySamson
@MerceySamson 16 күн бұрын
Amina mtumishi wa tupo pamoja songa mbele baba mungu Akita gulie
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi 16 күн бұрын
Kosa la magembe ninini wewe mtokambali!!? 😂 Tengenezeni kanisa bhana
@BarakaWeeding
@BarakaWeeding 16 күн бұрын
Wewe amezaliwa wapi mbon moyon mwako kumejaa kinyongo chuki na manunguniko yako hayo ivi unafikiri mmii nafurhia napokua nakuona ukiongea uongo wako hu
@jameskavenuke3714
@jameskavenuke3714 16 күн бұрын
mmekufa kweli,,mmekuwa wanadini tu
@jameskavenuke3714
@jameskavenuke3714 16 күн бұрын
mzee upo mwilini sanaaa wewe,,,,watu gani nyie mkisemwa ukweli mnachukia
@swarehekhalim6423
@swarehekhalim6423 16 күн бұрын
Baba Mungu akubariki Sana. Ulikuja songea nilipenda uhamsho wako. Bwana akutunze.
@Francis-t7l
@Francis-t7l 16 күн бұрын
Nasikitika kwamba hayo madhehebu yote mnamo piganiana hakuna hata moja yesu analitambua,Rev 18
@mwalimulucas3522
@mwalimulucas3522 16 күн бұрын
Na ukweli halitakuja dhehebu lenye majibu
@DavidNdivo-xk7xu
@DavidNdivo-xk7xu 16 күн бұрын
Mungu hawe na wewe mzee wa imani ni wakati wa revival
@swarehekhalim6423
@swarehekhalim6423 16 күн бұрын
Safui
@gracepahali3719
@gracepahali3719 16 күн бұрын
sina koment katika hili,Mungu ndio ajuaye
@musicalunderstanding
@musicalunderstanding 17 күн бұрын
Nimekuelewa vizuri mtumishi, uko sahihi.
@malimanyanja562
@malimanyanja562 17 күн бұрын
Uyu ndio magembe wa geita?
@MosesMulambya
@MosesMulambya 17 күн бұрын
Mungu akusaidie sana si rahisi ungendelea kupigana ndani ya TAG humo humo . Hawa wachungaji wa Leo wanachukulia ulokole kirahisi rahisi kqa maoni Yao wentewe
@mathiasjoseph6920
@mathiasjoseph6920 17 күн бұрын
Mazehebu ni mpango wa shetani baba songa mbele me napenda ukwer wako ila usisahau tatzo lako kwao unahalibu biashara zao. Hawapend hata yesu hawakumpenda kwa ukwer uamusho wa kwer sasa umefka sisi tupo pembeni yako kama yesu alivyo jiwe la pembeni.halichangamani na udini wa mazehebu ila kwer iko wazi
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 17 күн бұрын
Mzee kasepa na kijiji😂😂😂
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 17 күн бұрын
Una busara sana mzee🎉🎉
@JoshuaNteziryayo-n3k
@JoshuaNteziryayo-n3k 17 күн бұрын
Baba muchungaji ma Gembe tuko siku zamwisho watu hawataki kweli lakini tunakusikiliza sana naniukweli kanisa laleo lina shida kiroho mungu azidi kukupa nguvu barikiwa sana
@PaulSanga-m3p
@PaulSanga-m3p 17 күн бұрын
Uko sawa,ujumbe siyo kwa TAG peke yake.wapentekoste tusibeze ujumbe wa mch Magembe. Jiulize maombi ya miaka ya 1990 naleo nisawa? Mahubiri na mikutano ya injili ya miaka hiyo na Leo Iko sawa? Uhusiano wa watumishi wa Mungu wa miaka hiyo na waleo uko sawa? Wapendwa tusidharau tukio hili nani ya kanisa la Tanzania Kila muumini wa Imani ya kipentekoste achukue hatua
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 17 күн бұрын
Mtumishi Magembe upo sahihi, tunapo ona kuzidi kwa ushoga ,ubakaji,mauaji,na ndoa za jinsia moja ni kifo cha kanisa.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 17 күн бұрын
Amen BWANA akulinde
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 17 күн бұрын
Ila sisi Wakristo tumekuwa wajinga sana hatuwezi ku reason kwani kuna uhusiano gani kati ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo na father Christmas?🎄 na mti huu je unauhusiano na kuzaliwa kwa Yesu Kristo? Utambulisho wa Christmas ni father Christmas? Mimi ni EAGT ila hapo tumedanganywa
@stephenlaizer7780
@stephenlaizer7780 17 күн бұрын
Uko sawa kabisa kwa hatua hiyo ya amani
@sikitunathing9429
@sikitunathing9429 17 күн бұрын
Mungu akubariki sana baba
@EfrahimBenitho
@EfrahimBenitho 17 күн бұрын
Ameni balikiwa sana baba yangu MTOKA MBALI mungu akupe miaka ya heli nyingi ya kuongoza kanisa zuli la TAG AMEN
@MESHACKMSEMWA-j4s
@MESHACKMSEMWA-j4s 17 күн бұрын
Mungu ni mwema baba kazi isonge mbele
@elizabethlukindo7849
@elizabethlukindo7849 17 күн бұрын
Wote mmepungukiwa
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 18 күн бұрын
Haya makanisa Yana figisu yule mzee mchungaji wa sabato nae katoa malalamiko Leo mchungaji huyu kule kkkt hivyo2 Yuko vizuri ndio maana vijana hawataki kwenda makanisani kwajili ya ushenzi huu
@MaikoJackson-z1m
@MaikoJackson-z1m 18 күн бұрын
Mchungaji magembe upo sahihi kabisaa
@alexjackson5960
@alexjackson5960 18 күн бұрын
MIMI SIO MTAG LAKINI NAKUMBUKA MWAKA 1988 MOSES KUROLA ALIKUJA MBOZI AKAWA NA MKUTANO UWANJA WA ROMA ,PALIKUWEPO NA JIRANI YETU DADA MMOJA KIWETE TUNAMFAHAMU TOKA AKIWA BINT MDOGO KIWETE WA KUTAMBAAACHA HAWA VIWETE WA SIKU HIZI WA KUBUMBA, KWA MACHO YULE DADA ALIOMBEWA NA KUROLA AKASIMAMA PALEPALE MIMI NILIKUWA NA MIAKA 12 MIAKA ILE JAMANI NILISHANGAA SANA SIO HUYO TU WAGONJWA KUTOKA HOSPITAL WALISIMAMA SIO KUTOKA NYUMBANI JAMANI HOSPITAL KUROLA ACHA KABISA NILIANZA KUUPENDA ULOKOLE SIKU ILE NA SIJAWAHI KUONA HICHO KITU TEENA. MAGHEMBE UKO SAHIHI UAMSHO HAMNA YAMABAKI MASHIRIKA YA FEDHA NA MIRADI TU. MUNGU AKUTANGULIE
@Mosesndahani
@Mosesndahani 18 күн бұрын
TAG kunaroho ya kufukuza watumishi waliobora, kwani hata Lazaro alimfukuza Kulola na Kulola akaanzisha EAGT
@edwardmwaliko9078
@edwardmwaliko9078 18 күн бұрын
Tamaa hiyo ndiyo maana umeanzisha kanisa lako
@ellymaz2187
@ellymaz2187 18 күн бұрын
Tamaa ya nini sijakuelewa?
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
Wewe nae Mungu akuku mbuke akupe ufahamu sahihi mzee hajaanzisha kanisa aliye anzisha kanisa NI Yesu mzee bado yupo ndani yakansa la Yesu ila amejitoa t.a.g hicho nichamatu Kama vyama vingine Yesu Hana t. a.g Yesu ana watakatifu duniani dhehebu kuasi dhehebu sio dhambi ila kumwasi Mungu ndio dhambi Kama dhehebu limeacha kusudi yanini kulin'gan'gania dhehebu nisawa na vazi tu likichakaa naku chanika chanika linatuowatu Baba yangu hubiri kweli Yesu anakuja haleluya
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
Watu wanapenda kusifiwa hatakama hawako sawa hakuna mtu ataingia mbinguni kwa kuwa anaitwa doctor wathiolojia au askofu au kwasababu anawatu wengi anao waongoza Bali ataingi kwasababu ya utakatifu nautakatifu nikuwa macho rohoni au kukesha Kama slivyo sema Yesu sikuhizi usanii uko makanisani tumebaki na majinatu ya upentekoste kweli hali nimbaya tunahitaji uamushoooo watu wanajali mafungu ya sadaka hivi Roho zawatu zisipo ambiwa ukweli zikapotea kwenda JEHANAMU ndio sawa? Heri anaekemea maana upendo wakweli anapoona vitu havikosawa imeandikwa kemea karipia
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
Borahuyu baba alisema kanisa liko aisiyu Yesu aliliambia kanisa unajina lakuwa hai lakini umekufa kumbe Yesu akija Leo anasura yamtu asiye na cheo akaleta ujumbe wakuonya kanisa maasikofu waliorudi mwilini wataanza kusema huyu asipewe kuhubiri tena atatuharibia kanisa Kwanza haja Soma Ooolewenu mliorudi mwinini mkionywa mnakasirika mnalinda vyeo mlivyonavyo Kama walivyo fanya mafarisayo wokovu Haina bosi au Bwana Bwana nimmojatu ndiye Yesu sote tunyenyekee kwake mtuakipewa ujumbe na Bwana ili kuliponya kanisa mnaanza kuleta siasa kuwa kanisa likovizuri viongozi mtadaiwa rohoza watu zikipotea Tena mnahukumu kubwa ila mkifanya vizuri mna thawabu kubwapia nawaombeni viongozi wakanisa la Mungu kubalini maonyo maana niafadhali kukumbu ushwa kuliko kutokukumbushwa
@MohammedHimba
@MohammedHimba 18 күн бұрын
Wewe una Tamara huna lolote
@NimphaSabas
@NimphaSabas 16 күн бұрын
Wewe ndio hunalolote huna pointi ndugu Mungu akusamehe kwa kusema hivyo Hilo neno Mungu kakupa ulitume kwa mzee? au unajisemeatu ujue kila neno lisilo na maana wanaloongea wa nadamu Lita wekwa hukumuni?maana kwamaneno yako utahesabiwa haki pia kwamaneniyako utahukumiwa adhabu?
@IssayaSwalehemajengo
@IssayaSwalehemajengo 18 күн бұрын
Hongera mzee
@Baraka-b7u
@Baraka-b7u 18 күн бұрын
Kuna ambao wako kuzimu kwaajili ya kusherehekea krismass..iyo ni sherehe ya kipagani tutubu BWANA YESU anarudi
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 17 күн бұрын
Kabisa cha ajabu viongozi wetu wana title kama Bishop,Dr ila hawawezi ku reason mambo haya
@Baraka-b7u
@Baraka-b7u 18 күн бұрын
wapendwa chrismass ni mpango wa shetani msisherehekee sherehe za kipagani...hakuna sehem kwenye biblia inaonyesha BWANA YESU alizaliwa 25 Dec..
@AlexHalinga-m9e
@AlexHalinga-m9e 18 күн бұрын
Duniani waelewe hivo kwamba mchungaji magembe tumepewa na Mungu
@MaikoNyondo
@MaikoNyondo 18 күн бұрын
Tag tujiangalie vikundi viingi vimezalishwa mara wababa watoto wamama saizi nasikia mpakapreys nayo ni idara vyote ni pesa jamani
@MaikoNyondo
@MaikoNyondo 18 күн бұрын
Viongozi ndio wanaouwa kanisa kwanza wanachagulia kwa rushwa viongozigani hawaachii madalaka
@PauloMilia
@PauloMilia 18 күн бұрын
Amina baba
@Siamini5474
@Siamini5474 18 күн бұрын
Nimesikiliza kwa umakini sana, hakika Mungu atamlinda ni mzee mwenye hekima sana amefanya maamuzi ya kiimani
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 18 күн бұрын
Amina baba mungu awe nawe
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 18 күн бұрын
Kanisa lako au la Mungu 😅
@NicksonyPeter
@NicksonyPeter 18 күн бұрын
Mungu akubariki baba
@IsayaMakau
@IsayaMakau 19 күн бұрын
Hallelujah 🙌🏾 hallelujah 🙏🏾 hallelujah 🙏🏾 Ni saaa ya Ufufuo wa Kanisa kurudi katika misingi anayoitaka Mungu kwa injili ya kweli. Nakupongeza sana Mzee wangu Pastor Magembe, kwa kweli uamuzi uliyochukua ni wa maana sana.