Allah akurehemu sheikh wetu na akulipe ujira mkubwa kwa elmu yako inayo tufaidisha
@kulthumali50508 жыл бұрын
mashaallah very nice,
@mzaramoabdallah17077 жыл бұрын
bahiru,rudi kasome ndugu.Bado hujaelimika.unaropoka ropoka tu.Wewe ni mtu wahabi huez elewa ahlu sunna waljamaa wanafundisha vipi.nyinyi mnafuata qala fulan,qala mwenye hela,qala mtu mkubwa ndio mafuato yenu. mrudi mkasome hamujaelimika bado.mnayojua ni kuoa wako wengi.kuzungumza mambo ya faragha in front of the people basi mwende kusoma jmn
@husseinahmed52165 жыл бұрын
mzaramo Abdallah hutoweza kumuelewa Kwa chuk zako binafsi,, we ndio urud ukasome
@saidsheikh84904 жыл бұрын
Elmu ni bahari ndugu,kwani hujapata faida na hiyo elimu chache Bahero ameipeana hapo?.