No video

1. HATARI ZA USHIA NA UKWELI KUHUSU MASHIA ||SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله

  Рет қаралды 2,929

NURU YA SUNNAH

NURU YA SUNNAH

Күн бұрын

#habarimubashara #tanzanianyoutuber #habarizauhakika #livestream #livestreaming #juhany #bandar_baleela #awaztv #salafimanhaj #awaztvnews

Пікірлер: 30
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 3 ай бұрын
Alhadulilah kwa ukweli wote shaikh kassim Allah akuhifadhi
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 ай бұрын
tandika ruduud hao wazushi wote
@user-wo7xl2ey8y
@user-wo7xl2ey8y 3 ай бұрын
Mashia lana ziwashukie
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 8 күн бұрын
Njooni tufanye mnakasha na hayo maswali yasiyijibika
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 8 күн бұрын
Kama hautojali na unajiamin andika barua ya kufanya mnakasha na sisi vijana tu iwe live kwenye media zoote na pawe uwanjan na watu waje wengiii na hayo maswali yako
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 8 күн бұрын
Huku kwenye mitandao nilazma yshinde tu kwa sabab unaongea mwenyewe na unaoongea nao muawahab tuu njoo uwanjani😂😂😂😂
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
ITIKADI YA UIMAMU INATOKA KWA ALLAH NI YA KWELI KWANI QURAN 2:124 IMEELEZA HIVYO
@user-zz9bj1wh5i
@user-zz9bj1wh5i 2 ай бұрын
Udhia ni lana
@ramygichero1016
@ramygichero1016 3 ай бұрын
Maeneo matukufu mmeshindwa kulinda kila siku mnapokonywa maeneo hamna mipango yoyote mmefeli kidunia Jerusalem imeondoka ivoo milima ya golani ndo kule Syria mmenyanganywa sasa nyie mnahangaika mambo yasiyo kuwa namaana
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
HUO ANAOONGEA HUYU MZEE SABABU ZA IMMAM ALI KUTOA BAIYA NI UONGO MKUBWA HAKUKUWA NA SABABU HIYO AACHE KUDANGANYA UMMA
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
QURAN 2: 124 SOMA WATU WENYE KUWA VIONGOZI WANATOKEA KIZAZI GANI
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
KWELI ELIMU YA HUYU MZEE NI NDOGO SANA ANAKATAA VITU VILIVYOANDIKWA KWENYE QURAN KUHUSU UIMAMU
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
MASUNI HAWAWASAIDII MASUNI WENZAO WA PALESTINA ILA MASHIA NDIO WANA WASAIDIA HALAFU UNALETA MANENO YA USHIA MBAYA.
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
naomba kusema hivi kuwa MZEE KASIM MAFUTA HAWEZI KUELEZEA MASWALA YA UGHALIFA KWASABABU HILI SWALA LIPO WAZI KATIKA VITABU VYA MASUNI NA KILA ITU KIMEELEZWA , HANA HOJA PAMOJA NA KUSOMA KWAKWE KOTE , NAMSHAURI ASOME TENA HADITHI ZA VITABU MNAVYOOVIITA SAHIHI MTAPATA KUONA
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Golo wewe 😂😂 ingia utube soma mijadala ya skhe kasim na mashia golo kisha tia akilini kama hao hawezi wasomi wako wewe nani? Unabweka
@ibnayub2374
@ibnayub2374 2 ай бұрын
Ughalifa ndio kitu gani? Yaan KISWAHILI hujui halaf unamkosoa sheikh 😂
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 3 ай бұрын
Tutuwe maidha kuhusu palestina tuache kukosoana kimadjebu hali sasa NI mbaya waisilamu wanakufa Kama kuku nyinyi mpo na mashia VP .tuiyete palestina
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 3 ай бұрын
Misikiti takribani yote imekaa kimya kuhusu kadhia ya wapelestina wanauwawa Kama kuku
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 ай бұрын
sisi hatuna uwezo wa kivita acha vita yetu iwe dhidi ya hawa hawa wanao haribu dini MASHIA NA MASUFI WAZUSHI
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 3 ай бұрын
Toa wewe hayo mawaidha,sisi twazungumzia kila jambo kwa wakati wake hivyo usitufundishe na kutuchaguliia cha kuzungumza.twazungumza ulevi,uzinifu,uchawi,,uganga,ushia,,uahmadiya n.k na sio tuzungumzie jambo moja tuu kama unavyotaka wewe
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 3 ай бұрын
Huu ni msiba sheikh mwenye elimu nzuri kama hiyo hujui tupo katika wakati gani unaleta mambo ya usuni na ushia? Hujui mayahudi huko wanazidi kuua roho za waislam kakatili na hujui nini la kufanya? Unaleta mijadala ya madhebu eti nani ni mkweri? Jibu ni jepesi mkweri ni yule anapopatwa na shida muislam mwenziwe bila ya kujali dhehebu lake anampa msaada sasa wewe unatoa msaada gani kwa wapalestana? Mbona unawapa msaada mayahudi kuua ndg zako?
@abubakarilugina-zw4gt
@abubakarilugina-zw4gt 2 ай бұрын
Acha jazba sikiliza mpaka mwisho Kisha jibu Maswali uliyoulizwa
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 ай бұрын
Wewe umefanya nn kuhusu palestina.....wewe na ukoooo wako....em tuambie.....?????
@user-xt3vk9vf6p
@user-xt3vk9vf6p 3 күн бұрын
Kwani wewe unataka afanye nini huyo sheikh qassim..au unataka aende huko palestian ama!!!
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 3 ай бұрын
Mafuta hoja zako nyepesi sana. Lakini kwa vile sasa hivi tuko vitani na tunaomboleza mauaji ya halaiki yanayofanyika kwa watu wa Gaza, tutawajibu vita ikiisha.
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 3 ай бұрын
Hamuwezi,mafuta ni mafuta kweli tena mafuta ya moto usijaribu kuingiza kidole utajuta tuu
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 3 ай бұрын
Hahaaa upo vitani shia golo au upo kitandan unapiga --- vitan unge coment nyie mnaakili gani rafidhwaa yaani unakiili weewe hapo upo vitani wewe mmmh labda vita ya kitandan
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/pGSQfGSYZ5djhcUsi=CUOPnflPgqCygwbA KULENI CHUMA HICHO
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/mqqlYXR9ocmKa6csi=4rfLYYLF4w1gToWn ONA MABWANA WENU
2. HUU NDIO UKWELI KUHUSU USHIA||SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله
1:51:57
HISTORIA YA ELIMU YA SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله
30:02
NURU YA SUNNAH
Рет қаралды 3,1 М.
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 11 МЛН
WASIA TATU ZA MTUME MUHAMMAD S.A.W:  MUHADHARA SHEIKH KISHK BURUNDI
1:29:55
Kishki Online TV
Рет қаралды 3,3 М.
MBONA MNAWAPOTEZA WATU KWA VINYWA VYENU? ||SHAIKH ABDALLAH HUMEID
34:29
NURU YA SUNNAH
Рет қаралды 3,6 М.
MSIMAMO WETU NIKUA MASHIA SIYO WAISLAMU
27:46
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 28 М.
TIBA YA UCHAWI, HASAD NA KIJICHO|| SHAIKH ABDALLAH HUMEID
36:41
NURU YA SUNNAH
Рет қаралды 65