1 HOUR POWERFUL PRAYER INTERCESSION | Pst SARAH | NEW LIFE PRAYER CENTER | EV EZEKIEL | PRAYER

  Рет қаралды 13,042

Prayer House

Prayer House

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga 15 күн бұрын
Nakuomba BABA unijalie kibari cha kukubarika mbele ya boss wangu ma viongozi wangu hakika nisiaibike mimi 😭🙏 hilo ndio ombi langu asbh ya leo BWANA
@bethmwongeli6560
@bethmwongeli6560 23 күн бұрын
Amen 🙏🙌 mama Sarah God bless you migtly
@jacklinematheka9742
@jacklinematheka9742 12 күн бұрын
Mungu nipate nyota ya masomo
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea roho ya mauti ishindwe katika jina la yesu kristo amen
@LOYCEKARISA-c2t
@LOYCEKARISA-c2t 8 күн бұрын
Mungu ucku huu WA leo kupitia haya madhabahu wanyamazishe mahadui zangu ewe mungu wa miungu
@peterwanjalajuma6247
@peterwanjalajuma6247 18 күн бұрын
Mungu naomba unifungulie milango ya biashara na mafanikio Kwa jina takatifu. Amen 🙏
@clareatai4094
@clareatai4094 Ай бұрын
Yesu kupitia hii maombi nifunguliwe baba. Nifunike na damu yako yesu nisionekane mfalme. Plz usiniaibishe mungu wangu😢
@collinsdesmond3881
@collinsdesmond3881 Ай бұрын
Niombee neema ya Mungu niwe tajiri niweze kununua gari langu na nisaidie wasiojiweza in Jesus name
@collinsdesmond3881
@collinsdesmond3881 Ай бұрын
Let all my quotations for Greyram cooling limited to smart printers be approved in Jesus name
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita watoto nawaunganisha na haya madhabau kwa jina la yesu kristo amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita watoto wangu nawafunika na damu ya yesu kristo amen
@clareatai4094
@clareatai4094 Ай бұрын
I connect myself to my highest altar now. There is nothing hard in the eyes of the lord. Case niliyonayo ya contract ya fuad 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥in the name of Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 🙏
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau niongesewe malipo kwa jina la yesu kristo amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea roho inayo niwinda ndani ya hii nyumba ishindwe katika jina la yesu kristo
@ChristabelShumira
@ChristabelShumira Ай бұрын
I connect my life ,, my family and the plan of our wedding in Jesus name 🙏🙏🙏may God answer our prayers in the name of Jesus Christ,,every evil spirit that are planning to destroy our plans i conmant it in Jesus name
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau unitetee kwa mikono ya maadui zangu kwa jina la yesu kristo amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau kirwa arudi nyumbani aende shule kwa jina la yesu kristo amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita watoto nawanywesha damu ya yesu kristo amen
@JacklineMueni-k6d
@JacklineMueni-k6d Ай бұрын
God bless you mam
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea mindomo ya laana ishindwe katika jina la yesu kristo
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea roho ya makelele, wivu, uchochesi, vitina, madharau, kuchelewesha pesa ishindwe katika jina la yesu kristo
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea roho isiyo ya mungu ndani ya kirwa ingolewe kwa jina la yesu kristo
@bethmwongeli6560
@bethmwongeli6560 23 күн бұрын
Vita katika kazi ya mikono yangu Na ya mwangu , pigana wewe hatuwezi bila Neema yako. Kuishi kwetu Ni Kwa Neema tu Mungu tupiganie.
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote anaye tuwinda apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo
@shambulamusumari2783
@shambulamusumari2783 Ай бұрын
I connect my children to this alter wape Neema eeh Mungu
@linetsamweli4731
@linetsamweli4731 2 ай бұрын
Fungua milango ktk Maisha yngu 🙌
@RoseKungaOnyango
@RoseKungaOnyango 2 ай бұрын
Unapofungua wengine usinipite watoto wangu yesu 🙌
@RosinahMuthakye
@RosinahMuthakye 10 күн бұрын
Asante yesu kwa uhai ijakuwa rahisi lakini umenipigania
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba unikumbuke kupitia kwa haya madhabau
@PhillyceIminza-zl6fg
@PhillyceIminza-zl6fg 2 ай бұрын
Jehovah kupitia kwa haya maombi na commit familia yangu ukapate kuitawala en let 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 keep on moving 🙏 🙏🙏🙏
@collinsdesmond3881
@collinsdesmond3881 Ай бұрын
Thnks to God for work approvals from smart printers in Jesus name
@collinsdesmond3881
@collinsdesmond3881 Ай бұрын
Niombee meeting yangu kesho na Mr Wahome on cic projects iende through in Jesus name
@margaretkamene5999
@margaretkamene5999 2 ай бұрын
Mungu niondolea kila aina yoyote ambayo inasumbua maisha yangu. Amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote aliye chukuwa kiatu ya kirwa apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo
@shantiMickel
@shantiMickel 2 ай бұрын
Glory to God always 😢😢❤❤❤❤❤
@BilliahKemunto-nk1co
@BilliahKemunto-nk1co 2 ай бұрын
Yesu naitaji kibali cha kutumika kibali cha maombi Kwa familia yangu ata moja tu apate naomba Kwa jina la yesu
@dancankawa2007
@dancankawa2007 2 ай бұрын
Fungua nyumba yangu baba,,mbariki mke wangu baba
@LizaLiza-nf2cc
@LizaLiza-nf2cc 2 ай бұрын
I connect my self andmum,brothers,sisters,my baby with this alter of newlife
@JohnAthan-v9l
@JohnAthan-v9l 2 ай бұрын
Eeeeh Yesu nikumbuke kwa kweli nakwauruma baba yangu
@julieambogo3013
@julieambogo3013 Ай бұрын
I Conect in Jesus
@catherinendinda5564
@catherinendinda5564 2 ай бұрын
Ee Yesu nitumie kuliko hapo mwanzo.naomba wachawi na waganga wakaachilie nyota yangu ya utumishi.huu ndio urithi wangu na sitakubali itumike kwa njia ya kichawi ee Mungu niangazie kwa mwanga wako
@Prayer_House_ke
@Prayer_House_ke 2 ай бұрын
Pray without ceasing Children of God
@FaithKiberenge
@FaithKiberenge 2 ай бұрын
Naunganisha familia yangu na hii maombi asubui ya Leo🙏🙏🙏🙏🗝️
@catherinendinda5564
@catherinendinda5564 2 ай бұрын
Nitumie kama chombo tu Ee Yesu nisaidie nipiganie.nitumie jinsi utakavyo.fungua maskio yangu ya kiroho fungua macho yangu ya kiroho fungua mikono yangu fungua miguu yangu popote ntakapoenda chochote nitakachoshika kiwe kimetakasika Kwa damu ya mwanao Yesu kristo
@juliansarah8018
@juliansarah8018 2 ай бұрын
Tawala maisha yangu Yesu
@bethmwongeli6560
@bethmwongeli6560 23 күн бұрын
Niongezee Neema nikutumikie Yesu nikubuke. Roho ya uhai kwangu Na Kwa mwanangu Alvin Vincent kareri Na ndugu zangu wote Na uzao wao wote katika kizazi cha tumbo ya mamangu Yesu utujaze Na uhai wa milele.
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea kila roho isiyo ya mungu ndani ya delphine ingolewe kwa jina la yesu kristo
@bethmwongeli6560
@bethmwongeli6560 23 күн бұрын
Ukoo Wangu wote Pande zote mbili wa uone mkono wako Yesu.
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea ndoto baya ishindwe katika jina la yesu kristo
@catherinendinda5564
@catherinendinda5564 2 ай бұрын
Naomba kibali cha kitumika kwa jina la yesu kristo
@FloraKananu-ee1if
@FloraKananu-ee1if 2 ай бұрын
Mungu nipe nguvu ya maombi
@CeciliaMuthoni-z3s
@CeciliaMuthoni-z3s 2 ай бұрын
Amen
@julieambogo3013
@julieambogo3013 Ай бұрын
Marriange Star may God locate in Jesus. Sickness outin Jesus
@patriciambulu2362
@patriciambulu2362 2 ай бұрын
I connect myself and family
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga 15 күн бұрын
Asante Yesu kwa zawadi hii ya Uhai ulitupa 🧎‍♀️‍➡️🙏🇮🇱
@irenemakungu5800
@irenemakungu5800 Ай бұрын
Namuungamanisha mwanangu caroline na mume wangu amon wapate roho ya uhai na maombi
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea madhabau yote ya giza ipingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo
@HylineNyambune
@HylineNyambune 2 ай бұрын
Ameen ameeeen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita wachawi na wanganga wapingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo
@FranciscahNzilani-u4h
@FranciscahNzilani-u4h Ай бұрын
YESU kupitia Kwa haya maobi nifungulie milango nifike Kwa madhibau yangu ya new life Kwa menza ya Bwana on Saturday this month of November
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea mipango yote ya siri na mitengo yote ya kila aina ipingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau niongesewe malipo kwa jina la yesu kristo amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau kirwa arudi nyumbani aende shule kwa jina la yesu kristo amen
@dancankawa2007
@dancankawa2007 2 ай бұрын
Amen
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea roho ya mangonjwa ndani ya Abigail ingolewe kwa jina la yesu kristo
@JenniferBaya-zu5cr
@JenniferBaya-zu5cr 2 ай бұрын
AMEEEEN
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 10 күн бұрын
Rita nakemea kila roho isiyo ya mungu ndani ya delphine ingolewe kwa jina la yesu kristo
@marykalondu6490
@marykalondu6490 Ай бұрын
Amen
@JacklineMueni-k6d
@JacklineMueni-k6d Ай бұрын
Amen
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 1,4 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
MORNING GLORY PRAYERS SERVICE .WITH:PASTOR SARAH EZEKIEL
1:10:51
New Life TV KENYA
Рет қаралды 533 М.
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 12 МЛН
MID-NIGHT PRAYER SERVICE - 7.12.2024
3:33:03
New Life TV KENYA
Рет қаралды 22 М.
LIVE RECORDED SERVICE
3:47:28
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 21 М.