Рет қаралды 1,369
Moja kati ya watu wenye influence kubwa kwa sasa katika mtandao wa Twitter ni Roland Barnabas au kama ambavyo wengi humfahamu kwa jina la Madenge.
Madenge amekuwa mgeni wetu wa kwanza kabisa katika show hii mpya kutoka Smart Generation ambayo inalenga kukuletea mafunzo muhimu juu ya maisha kupitia mazungumzo smart kabisa ambayo hutokea kwenye mtandao wa Twitter.
Katika episode hii Madenge alijibu maswali kumi ambayo yametokea huko huko Twitter, karibu utazame, ujifunze na kuburudika pia.