Hongera sana my dear mwenyezi mungu atakusaidia utakuwa sawa naelewa unavyojisikia
@peninaamour28024 ай бұрын
congrats kipenz hat me nlikula mlenda na ugali mwanzo mwisho na haipiti siku bila apple here now with my daughter she turned 5 last month❤❤
@ikamalle4 ай бұрын
Awww Hongera my dear 🥰
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 ай бұрын
Hongera sana dear ❤🎉
@catherinemwanyigu22994 ай бұрын
Hata mimi nafurahi kuangalia video zako da Ika. Mungu awatunze
@ClarenceFord-f4c4 ай бұрын
Jamn congrats babes 😄😃😃😃am happy wooyooo
@ZulfahMuhammad4 ай бұрын
Hongera sana habibti wetu Mola akutangulie kwa safari hiyo mashaAllaah nimefurahi sana ❤❤❤❤
@ikamalle4 ай бұрын
Amen ❤️
@azirajuma5534 ай бұрын
Hongera ika..tunaelewa unavyojisikia mpendwa
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰
@israeluronu99584 ай бұрын
Pole Ika Mungu akuvushe salama mpenzi,, umenikumbusha mbali, ongeatuu na sisi maana ndomarafiki zako wa ukweli dya😅😅
@ramadhaniswaleh94464 ай бұрын
Allah atakupa kheri in sha Allah usjali dadangu
@khadijahali48374 ай бұрын
Maa shaa Allah
@cath70994 ай бұрын
Congratulations and Good luck on your pregnancy😀
@donathakimaro8044 ай бұрын
Hongera sana.. Mungu akutangulie
@ikamalle4 ай бұрын
Amen 🙏
@GiftJohn-db8zj4 ай бұрын
Congratulations dear 😊
@zaitunilyimo90124 ай бұрын
Kwani umeshakiona ika tulia mama utayaona ya mimba. My baby is 10 months now sijasahahu msoto niliokula 2023 but am thankfull to God am a mom 😊
@sheelamo93864 ай бұрын
Mungu akupe wepesi dear kwenye hio safari and just follow doctors instructions
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰
@AlbertSinkala-j8y4 ай бұрын
stay blessed cc❤
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰
@Thisisgrace9794 ай бұрын
Mimba yangu inanifanya niwe very active, but huu mwezi wa mwisho sihisi njaa kabisa, naweza kushinda bila kula, ni light juice tu😢
@Truly_Afrikan4 ай бұрын
Try take a cold bath Everytime wajiskia hovyo, my 1st trimester was so bad for me, napenda 🍎 pia Sana, nsansa sanaaa😮,kuingia 3rd sasa uuwi nyama yoyote ile ,samaki au daga sili, hata wali sili, only vegetables na ugali ndio naenjoy sana
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰
@RaniyahAnwar4 ай бұрын
I remember nlikua hvo hvo when i used to do videos nlikua nafeel better its very weird but its the truth...Sio rahisi such moments kua mbali na familia lakn ndo hvo we dont have a choice ..Everything will be okay in due time ❤❤
@ikamalle4 ай бұрын
Aww thank you Raniyah🥰🥰
@SifaJasitin4 ай бұрын
Yaan apo kwenye mlenda na mm ivyo ivyo ila mi niko mwishoni my Ika Mungu akuvushe salama mwaya
@ikamalle4 ай бұрын
Jamaniiii nakuonea wivuuu sasa 😂 Mungu akutangulie dear 😊
@SifaJasitin4 ай бұрын
@@ikamalle Asante sema mbavu zinauma mpaka naomba uchungu uje tu yaan ila tutafika kikubwa Dua
@sarahwilson5864 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@clarisseopy3 ай бұрын
❤
@KideNetworks4 ай бұрын
Akuje February 🎉nipate mwenzangu wa birthday ❤
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@VailethEvarist-f3b4 ай бұрын
Am so excited kama mimba nimebeba mimi❤😂
@ikamalle4 ай бұрын
Hahaha thank you dear 🥰
@rahmakassimabdi93904 ай бұрын
Mm nilitapika first trimester adi nkajichukia 😩
@ShamsaHassan-co9ir4 ай бұрын
Ika utajifungua mtoto wa kiume nakwambia
@ikamalle4 ай бұрын
Hahaha kwanini??
@AsmaSoud-et9ht4 ай бұрын
Nipitieni guys
@magrethhokororo25324 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@SalomeFrank7134 ай бұрын
Mambo ika naelewa unavyojisikia nikawaida mamy chat na mie 😜
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰
@SalomeFrank7134 ай бұрын
@@ikamalle ❤️❤️❤️
@joyce557274 ай бұрын
❤❤❤
@SalomeFrank7134 ай бұрын
Usitukemee bc tunajua sio ww 😂😂😂😂 na iyo itakuwa baby boy inshallah 😅😅😅😅
@ikamalle4 ай бұрын
😂😂😂 Amen Amen
@rosemarysulle92884 ай бұрын
Kitu mimba naiheshimu sana,si kwa kutapika kule.ila mwishowe utafurahi ia mtt😅😅
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@nancyg86643 ай бұрын
😂😂😂
@khadijakhamis93684 ай бұрын
Dear ni kawaida kikubwa KUNYWA maji mengi sana utajisikia vizuri na pia ni vyema uanze clinic kabisa inawezekana damu Iko chini na LAZIMA ujihisi unaumwa plz NENDA ukapime kwanza dear kama damu Iko chini ya 11 LAZIMA Uwe unajihisi hivyo in 1st
@ikamalle4 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰
@salmaalnaman74774 ай бұрын
Mimba zina visa kila ayna😅 mimi nilikuwa natamani chips na maharage😂😅
@ikamalle4 ай бұрын
Hahaha wewe umetisha aiseee 🥰🥰
@jacklinekidava7444 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@haikajohn89244 ай бұрын
😂
@nancyg86643 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@twalalykalokola52804 ай бұрын
Tafuta mfanyakazi ika, akusaidie hata wa day peke yake, you're getting so tired😢
@ikamalle4 ай бұрын
Hahaha umeona eeeh 😭😭
@Sylviabutale4 ай бұрын
For the boobs is normal i experienced it very painful