Asante Sana Kwa habari nyingi ambazo tumezaliwa baadae baada yamiaka mingi kupita,Leo ndio naanza kusikia history nzuri, lakini inaonyesha mwishoni viongozi wetu walikua hawapendani!!!
@mohamediidrisa12593 жыл бұрын
Mashaallah ni kipindi kizuri kinachotupa historia halisi
@salumothman9953 жыл бұрын
Kipindi kizur kiendelezwe tunakipenda
@sangararawarioba30163 жыл бұрын
Mashallah, History nzuri sana
@nassorosuleiman6254 Жыл бұрын
Mashaallah
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Dah si mchezo
@Kyra_xx3 жыл бұрын
mzee Mohamed familia ya Plantein iliishia wapi au walibadilisha majina baadae?
@alexjuma7540 Жыл бұрын
Safi sana kk
@davymaige24182 ай бұрын
Huyu mzee yuko wap? Anapatikana vip? Aiseee hii inchi ina hazina kubwa sana...huyu mzee ni hazina kubwa mno
@samitungo2 ай бұрын
youtube.com/@samitungo?si=Dd9p9FFSTR95G6Wg Davy... You Tube Channel yangu hiyo hapo juu.
@abdallahkhamis7663Ай бұрын
Angalia part 1, wanasema ofisi yake ipo magomeni mapipa Dar