Kwa mwanao wa kiume kufyagia umeona amerogwa lkn mkweo wa kiume kufanya kazi za mkewe ni mapenzi aloo huu ni mchezo lkn tukija ktk uhalisia wanawake hila zenu ni kubwa sana congratulationau mpemba na team yako kwa kazi nzuri
@khamiswapemba901910 ай бұрын
Kazi njema mau na team mzima endeleeni kupiga kazi tupo tunaendelea kuwafatilia
@masoudrashidmohammed412410 ай бұрын
Safi sana team nzima kwa ujumbe maridhawa na umefika ktk jamii kikubwa waume tuwe makini na misimamo mizuri isio athari familia. Tupo pamoja ma fans wenu. Hii Imeeeeenda tunasubiria nyengine in sha Allah
@mayaashassan391810 ай бұрын
Ma'shaallah 🎉🎉🎉 kazi nzuri kweli naipenda mno❤
@user-zf7ft8eg1x10 ай бұрын
Jamani mukuwa wapi ilikuwa nasubiria kwa hamu muko vizur masha Allah ❤❤❤
@alhimnamussasaid361910 ай бұрын
Dongo iyo kanzu vp umeipata kwa masalafi au 😂😂
@badrumohd506610 ай бұрын
Hahahahahaha Fanya ukachukue mzigo baba
@mussayusuph866110 ай бұрын
Nampenda mno dada aliyevaa ushungi wa pink. Sijui ameshaolewa
@sameraakhf560510 ай бұрын
Hashuwolo
@issakassimsaid909710 ай бұрын
@@sameraakhf5605jmn hashuo la nini sasa mm mwenyewe nimempenda
@selemohd906010 ай бұрын
@@sameraakhf5605kwann 😂😂
@BMSChasasa10 ай бұрын
Hongera sana wapemba wenzangu nawapenda sana ❤️❤️
@omarramadhan-dm7ce10 ай бұрын
Hongereni xana wapemba wenzangu nawapenda sana
@haithamsalim15710 ай бұрын
Nimewahi like zng 😂
@abdulazizitwalib585910 ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe
@salumali361610 ай бұрын
Karibuni long time
@fadhilfaki642110 ай бұрын
Hongereni sana kazi mzuri
@khamiswapemba901910 ай бұрын
Mtu muume kumsaidia kazi mkewe hapajawa na kosa
@saidkhamis21010 ай бұрын
Jitahidini mendeleze kila siku insha Allah
@gyeong597210 ай бұрын
Mau Plz Kama hajaolewa uyo Ndugu yake Dongo Nakuhitaji awe Mke Wangu Insha Allah ❤❤❤❤❤
@user-np2ou1oj8s10 ай бұрын
Cjacherewa🔥
@user-ip4hn8un7m9 ай бұрын
ماشاء الله
@user-do4rj8xu1s10 ай бұрын
Dah warda acha umbea 😂😂😂😂
@akidahamad14210 ай бұрын
I love wapemba wezangu munajua sana tena sana
@AbdiAlly-ru6nk3 ай бұрын
Jamani m namuomba warda
@mwanawetumwatumwa30009 ай бұрын
Ma Shaa allaha ❤
@engineerkhamis927510 ай бұрын
Great
@kombokichwa8159 ай бұрын
jaman izi kaz ni zawote 😂😂 kusaidiana kuko
@asha112210 ай бұрын
Hao ndio wakwe na mawifi w ckuiz
@binmasoud415010 ай бұрын
Mtu nne tu but ujumbe mzito sana yaan km waziri wa michezo au filam mungepata fungu maalum kwa kuelimisha jamaa. Good job.🎉😊
@mohamedali-xc9ul10 ай бұрын
*mashaallah fantastic nmeikbl sana*
@salumothman527710 ай бұрын
Mchezo unafundisha sana MashaAllah
@jumaamrani329510 ай бұрын
❤
@abuuhafswa10 ай бұрын
Uyu mwamamke yuwapi
@user-wv1ro3ry2l5 ай бұрын
mussa uso mbn huongei
@user-hy9pp5rp9i10 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@abuuhafswa10 ай бұрын
Uyu alievaa. Mtandio mwekundu
@francistz69510 ай бұрын
Daah mussa uso uso ulipolekea wapi
@mwinyisarbok226110 ай бұрын
Leo kidogo ila ya Jana mlitupiga
@omarbosiomar860810 ай бұрын
shukran
@sisdirector332610 ай бұрын
Naomba yuwapiii
@user-wv1ro3ry2l5 ай бұрын
warda ety uck wa manane
@PEMBANKWETU710 ай бұрын
Zmotion studio naomba link ya hio nyimbo yake huo mnanda