Mashallah..darsa Zuri Sana la Banu Israel BT sioni online part 25 ya Banu Israel series...Allah Akupe Umri mrefu Wa Kheri Uzidi kutuelimisha,Ya Sayyid Aidarus Mzee Mwenye.
@hassanidha37449 ай бұрын
Ipo 3 days ago
@IbrAhim-sv3ne9 ай бұрын
A.Alleikum ustadh, shukran mara, Darsa hii ilikua ni history ya elimu muhimu sana katika maisha yetu ya Kushukuru kwa kile ulichonacho hata ikiwa ni kidogo. Mayahudi sio ni kwamba hawana, wanacho kingi na chakuzidi, lakini wamekosa kushukuru. Inshaa Allah mwenyezimguu atupe subra na awape ushindi ndungu zetu wa Palestine 🇵🇸.
@mtumzimawalamu56839 ай бұрын
Ameen
@zanzibaronlytv34709 ай бұрын
Mashia Allah awazinduwe ktk ukafir
@hassanmakame8 ай бұрын
Allah akuzindue utoke kwenye upotofu wa uwahabi...uwahabi ni kansa katika jamaat muslimiin!
@moahmed34148 ай бұрын
Ukafir wao uko wap?
@salimsalim-g4q9 ай бұрын
Mbona Nabii Yakub Jina lake jengine aitwa Israel?Nani alimpatia Jina Hilo?
@hassanmakame9 ай бұрын
Angalia darsa zote za sheikh...swali hilo lilijibiwa. Kama nakumbuka vizuri, Israil maana yake ni mja wa Allah kwa lugha ya hebrew....jina hilo alipewa na Allah mwenyewe. Usisikize story za bible kuhusu hilo jina, ni upuuzi na Sheikh alisema hivyo. Wabillahi Tawfiq.