Рет қаралды 17,798
Najaribu kutengeneza animated 3D text kwenye app ya AVU inayopatikana playstore kwa mara kwanza , yaani kwaufupi hii ni preview ya app inaiyoitwa avu section ya 3D text nilijirekodi siku ya kwanza nilipo ipakua app na siku ya kwanza nilipo anxa kuitumia.
. Sio video muhimu sana nimeweka kwa lengo la kutunza kumbukumbu tu lakin kama umeitaza bas shukrani sana .
ila tutorial za kuhusu video editing nitaweka soon official
this is how i was editing 3D text in AVU video editing software