Alhamdulillah,,, kwa kweli kuisikiliza kwa makini Sana,, unajua ya kwamba Qur-an ndio kitabu ambacho hakijaacha kitu,,, na limekamilika....na kinaenda sambamba na maisha yetu ya Dunia na Huko Akhera6,, ALLAHU AKBARU.... Allah atujaalie wenye kufata maamrisho yake na kufata sunna za mtume wetu MUHAMMAD SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM.
@saudayusuf-xm8ro Жыл бұрын
🙏🙏
@shekhaissa91543 жыл бұрын
ALLAH awape fadhila stahiki aliesoma qur an hii na pia alietafsiri. Yaani tunapata mafunzo makubwa sana ya maisha yetu.
@fatmakhalef3450 Жыл бұрын
Amin yarab
@mohamedimuki Жыл бұрын
Naaam❤❤❤
@AdinaniChaka-os2ui11 ай бұрын
Mashaar mungu awajalie walio soma kuluani ndio muongozo tunanufaika sana tukizingatia
@zamilmohammed22976 ай бұрын
Amin
@mpwaguzipwagu31998 ай бұрын
Yarabii nakuomba utukinge na Shetwan Maluun na utuongeze njia ilionyooka na Wale waliokua sio Waislam Yarabii waoneshe njia ilionyooka Amiin Inshallwah Yarabii Takabal Duaa
@mpwaguzipwagu319910 ай бұрын
Yarabii nakuomba utujalie tuwe na hofu yako ya kukuogopa wewee na Utizinduwe pale tunapotaka kukukoseya. Alhamdulillah kwa kupata neema ya kuzaliwa ktk Mishipa ya Kiislam na uwajalie Waliokua sio Waislam wazinduke kabla hawajaja kwako Amiin inshallwah Yarabii Takabal Duaa
@mohamedragwee85585 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote atuongoze kwenye njia iliyo nyooka
@cabdidheerecabdidheere22075 жыл бұрын
Alhamdu lillah
@bibiyou59014 жыл бұрын
Bcc
@zamzambarack59015 жыл бұрын
Alhamdulillah sifa njema zote ni zako Allah subhanallah wataala
@aweysmajeni47113 жыл бұрын
. , Lkn NM. NM.
@zabibuwazir2377 Жыл бұрын
Ya Allah tufanyie wepesi ktk kuisoma na kuihifadhi qurani pamoja na tafsiri yake ili tukijuwe kwa undani tunachokisoma,hakika qurani ndio muokozi duniani na akhera Amiin AmiinAmiin
@hajijuma76715 жыл бұрын
Hakika ya Qur-an ni tulizo la moyo kwa wenye yakini na mazingatio. Mashallah. Allah
@MuhamadAli122-c1f5 жыл бұрын
Swaddakta
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Tabaraka llahu shukran
@Awatee4 жыл бұрын
Naam
@mustafahadji29253 жыл бұрын
Ndio kbsa
@silvermoon60402 жыл бұрын
@@amanimudy1365 hfafhfu😎😍
@badriyyamohd88092 жыл бұрын
Hakika quran ni fundisho tusha kwa wale walio amini mungu awalipe kila la kheri mashehe wetu na wale walio amini na awaongoze wale waliopotea aamiin 🤲
@nourumouniry71204 жыл бұрын
الحمد الله رب العالمين وجزاك الله خيرا
@mohmadalmahrizi37172 жыл бұрын
بعد خير جنتي نعيم
@abdulmmande82644 жыл бұрын
Namshkuru Allah kwakunileta duniani nikiwa ktk uwisramu alhamdu lilah
@JumaMkundi100 Жыл бұрын
Kwa hakika Quran ndio kitabu ambacho kimepambanua maisha mazima na mihangaiko yote na njia yaufaulu wa mwanadamu. Na ndio kitabu chakweli kukisoma kwake kina fadhila kukitekeleza kinakuhakikishia ufaulu ktk dunia na akhera kukisikiliza kinakupa raha na utulivu wamoyo na ukareem. Alhamdulillah kwakuwa muislamu mola wangu ni Allah mtume wangu Muhammad na kitabu changu ni Qur'an
@faizabaishe51724 жыл бұрын
MaashAllah, Allah awarehemu maiti zetu na awachanganye na wema Alhamdulilah shukran sana Allah akubark
@mwashimba3 жыл бұрын
Quran ni maneno ya haki hakuna kitu kimewachwa, subhanaAllah ametakasika mwenyezi Mungu,..
@anethdeus41484 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah tuongoze katika kuyafanya yanayositahili mbele yako duniani na hata akhera
@rukayyawendo12682 жыл бұрын
YAALLAH tupe ylio mema dunian na akhera
@Liluwa15 жыл бұрын
Mashaallaah. Mwenyezi mungu atupee imani
@mustafahadji29253 жыл бұрын
ameen
@jaymapepefatma59362 жыл бұрын
Amém
@mariamali18875 жыл бұрын
Ya Allah tuongoze njia njema wanawake wa kiislam
@Awatee4 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@Awatee4 жыл бұрын
Subhana ALLAH
@estherimbuchi71732 жыл бұрын
Masha'Allah Moyo wangu hauna kiu ya muziki tena. Quran ni yenye kutuliza.🙏🏾
@mohamedimuki Жыл бұрын
Mashaallah
@yussufomar409318 күн бұрын
Allah atupe wepesi wa kuisoma na kuisikiliza quran tukufu amiin amiin.
@gilbertvicent42294 жыл бұрын
Allha s.w awajaze heri kwa kutuletea Qur'an takatifu na tafsir yake. .wote walioshiriki hadi sisi kuipata awape jaza iliyo njema
@naimasuleiman6983 жыл бұрын
Amin Allahuma Amin 🙏
@diluhjoe56289 ай бұрын
mashallah allah atuwafikishe tuweze kuhifadh kitabu chake mioyon mwetu....🙏 ameiyn
@abdallahmajura2519 Жыл бұрын
Hakika naipenda Quran. Nitulizo la moyo ya Allah tupe mwisho mwema
@hudimsello36456 жыл бұрын
Alhamdulillahi rabbi l,aalamin kuhimidiwa ni kwamwenyeezimungu molamlezi waviumbe vyote.
@muslimmwalemba63985 жыл бұрын
Barakallahu laka ostadhi allaah akupe umri mrefu wenye mafanikio hapa duniani na ahera tuzidi kufaidika kutoka kwako
@fatmafmly4 жыл бұрын
Shukran sheikh Allah akulipe mema na atujalie tua miongoni mwa umma mtume wetu cku ya kiama
@mbwanarajab47562 жыл бұрын
Allha atujalie mwisho mwema na atusalimishe na adhabu kabla ya kutolewa roho, wakati wa kutolewa roho , adhabu za kaburini na adhabu za siku ya kiama..
@aysharashid10492 жыл бұрын
Allah akufinjie elly ktk kutafsi oulan tunapata mafunzo inshallah 👏👏👏
@jamaludinmanji8856 Жыл бұрын
Allahu Akbar! Mwenyezi mungu ni mkubwa! Ngai ne munene!ngai ne mwenye hinya oothee!
@RamaMohamed-oi9ff8 ай бұрын
Masha Allah, so clear and am proud of being a Muslim, the Qur'an is straight n precise to every point .Allah barik
@lisauroble314 жыл бұрын
Amina hakika sote niwaja kuipenda kurani neno lilotimia kuona ufalume wambiguni na dunian neema tosha allhandulih allha ametuneemesha
@kichunaabdhuu42833 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu nimueza wakila kitu 🤲🤲🤲🤲
@kodakblack383610 ай бұрын
Maashallah 🤲 hakika al Quran ni dawa tosha ukiisikiliza kwa umakini wa hali ya juu sana ❤
@aichaminani3963 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM WALAHAMATURULAH WABARAKATUH MASHALAH MUNGU ATUSAME MAKOSA YETU ATUPE MWISHO MWEMA ALLAH AMIN
@سميرةالعامري-ع4س4 жыл бұрын
Allah awalipe kila la kheri hakika tunapata mafundisho namuomba Allah atuongoze tuwe wenye kuacha makatazo na kufuata mafundisho ameeen tunasikiliza qur'an tunawaombea kwa Allah awalipe janatu firdaus mitume watakatifu wa Allah wawe majirani zenu na sisi sote naatusamehe kwa Rehman zake hakika sisi nidhaifu sana
@brijitamwamwadime97073 жыл бұрын
Amiin 🙏
@zulfaabdalla4205 Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@aishasaidi178410 ай бұрын
Allah Hu Akbar 😊❤❤❤❤❤ hamdulillah 🤲🏿🤲🏿🤲🏿 ALAAh ATU fanye we pesi
@mashakahamsini20072 жыл бұрын
Maashaallah Jazzakallahu kheir Sheikh kazi umeipiga
@shehabakarimbarouk43055 жыл бұрын
Shehe huyu ni maisha yangu kwa usomaji wa kurani
@bimishimwijuma Жыл бұрын
Mashallaah..tabarakallah fii.....napenda sana kusikiza quran ...yanipa utulivu wa moyo
@AbdallahAlly-zz6kxАй бұрын
mungu nimwema na atuongoze katka njia ilionyoka
@jaymapepefatma59362 жыл бұрын
Mashallah. Allah awabalikili
@SalumKhamis-e9l10 ай бұрын
Mashaallah hakika maneno ya Allah ni yenye mazingtio ndani yake . Allah tjaalie tuwe na wake wema.ma family yenye kumjua Allah na kufuata mamrisho yake.
@adamshaban5563 жыл бұрын
Mashaallah Allah awahifadhi mashekhe wetu
@HalimaMzamilo-w5z Жыл бұрын
Alhamdulillah namshukuru mwenyezimungu kwa kuiona siku ya Leo na kupata kusikiliza ladha nzuri ya qur- an .Allah atujalie yaliyo na kheri nasisi na yenye shahari kutuepushia wabillah twahfik
@AbdallahSaid-e7jАй бұрын
Yaa Allah turuzuku elimu na utupe moyo wa fahamu ili tuweze kukuabudu ww tu pekee wala tusikushirikishe na kitu chochote kile.
@alimuhsin66556 жыл бұрын
jazakallah kheir shekhe na sote WAISLAM
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Amin yarabi
@kinderztv90914 жыл бұрын
Amen
@aminaabdiabdi71125 жыл бұрын
Mashaallah barakallah f...
@fatamb2187 Жыл бұрын
Alihamndulillah Rabilighalamina Mashaallah ❤
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah Sauti nzuri sana
@ismailhussein19365 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi kutumia social network katika njia anazozipenda.....inshaallah
@tafsiriyaqurantukufukwakis9665 жыл бұрын
Ameen
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Inshaallah
@KO-gi3gp4 жыл бұрын
Aamiin Yaarab
@asiahamza8074 жыл бұрын
Ameen
@sulaimanafrican81342 жыл бұрын
Amiiin yarab
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah tabaraka llahu
@SumaiyaAli-uq6xh3 ай бұрын
Mashallah ❤️❤️❤️🎉 nimependa
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah 💓💓❤️💓💕💖 mashaallah 💓
@ahmedbasaleh4528 Жыл бұрын
MashaAllah ramadan kareem 2023
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@shekhaissa91543 жыл бұрын
Alhamdulilah kupata fadhila hii inayoendelea kwetu sisi na vizazi vijavyo. Tunafaidika sana kuisikia qur an ikisomwa sahihi ipasavyo na pia kusikia tafsiri ya aya hizi. Hakika hii ni hidaya endelevu kwetu.
@TarhatYahya Жыл бұрын
Allha atufanyie wepesi inshallah❤
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Mashaallah 💙💙:::::💙💙 Tabarakaallah 💙💙:::💙💙 Shukran sauti nzuri sana 💙💙:::💙
@aminkodaqane42 Жыл бұрын
33:02
@GhreebZamАй бұрын
Allah atujaalie tuwe wenye uongofu ya rabby 'Allahu akbar"
@ashrafsleyyum33714 жыл бұрын
Subhana Alah 2wen na mazingatio ktk QUR'AN
@HamzaMcheche7 ай бұрын
Allhamdu Lillah ukumbusho unamfaa mwenye akiri hakika Quran in tiba
@mussashabani87645 жыл бұрын
Allah atujaze khel katka nyoyo zetu hakika hakuna mkamilifu zaidi Yake Allah
@omarykatongo49434 жыл бұрын
Allahu alimu khabiir!!
@fatmakhalef3450 Жыл бұрын
Màshaa Allah. Jazzak Allah Khair ❤️
@aziza909310 ай бұрын
Ya Allah utupe mwshe msho mwema
@mwashabanirashidimitumba77883 жыл бұрын
Allah atuongoze 🤲
@sharifakhamis24613 жыл бұрын
Ya rabbi tuohoze njia iliyo nyooka
@neemamzande85472 жыл бұрын
Mashallhhh ❤️❤️❤️❤️🤲🤲🤲🤲
@manassehjoseph37404 жыл бұрын
Mimi in mkristo lakini naipends sana Quran
@rayasaid40994 жыл бұрын
MashaaaAllah M. Mungu akuongoze katika njia ilionyooka
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Mungu anakupenda In Sha Allah Akujaali uwemwenye kutamka shahada
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
mwenye haki lazma alipende neno lenye haki
@sharifakhamis24613 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuogoze njia iliyo nyooka na ss sote
@safinashabani43813 жыл бұрын
Allah akuongoze katika haq
@hazinamatano6979 Жыл бұрын
Ya Allah tujalie ufahamu Yarrab tuweze kuifahamu Quran vizuri ..
@jokhanassor35075 жыл бұрын
Àlhamdulilah Rabbil alamina 😢😢
@yasalaam5902 жыл бұрын
Mashaallah tabsrakar rahman
@thetruthaboutislamanditste69553 жыл бұрын
Subhaan-Allah Waabihamdhii
@yaseenkara90163 жыл бұрын
Allahu akbar... Allahu Akbar... hakika ya Qur an ni maneno yasio na shaka ndani yake na ni mwongozo kwa wamchao Allah (sw)... Tunakuomba ewe mola wa viumbe vyote Tujalie miili isiokuwa na maradhi.. mioyo isiokuwan na wasiwasi... Riziki za halali tuepushe na shari za zitokanazo na upepo maji moto na kila shari uzijuazo ewe Molla wetu.. tunakuomba tujalie mwisho mwema mioyo yenye kukutambua na kuweza kutambua haki na batili
Thanks you so much sheikh i follow you and i read Quran with meaning
@salimmariga1493 жыл бұрын
Jazak Allah kheir
@hajijuma76715 жыл бұрын
Hakika dunia na Akhera nikama wake wenza "Ukimpenda zaid mmoja wapili" ANAJITENGA" Fanya Usawa. Tafuta MALI kwa AJALI ya Dunia na Amali kwa ajili ya Akhera.tusibabaike Sana na Dunia tukumbuke kuwa Akhera ndio kusidio LETu. Na Dunia ni DHARURA TU. HUO NI UKUMBUSHO NA HAKIKa YA UKUMBUSHO HUMFAA MWENYE KUAMIN """
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran heri inshaallah
@fezamuhawenimana55845 жыл бұрын
Swadakta ndugu. Allah Akujaze barka kwa mfano huu mzuri sana. Barka nyingi na mapenzi ya Allah Yawashukiye ma sheikh zetu hawa (msomaji na mwenye kutafsiri).
@babailu21334 жыл бұрын
Hakika,Dunia si kitu Inshaallah tumche Allah.
@yassinmohamed82414 жыл бұрын
Allah Akbar
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Hakika
@aminananjala81205 жыл бұрын
Allah kareem
@mnandilandsimba86273 жыл бұрын
Maaashaallah hii iruhusu tudownload kweny sim zetu Inshaaallah
@CassimocarlosCarlos-fk8nx10 ай бұрын
Alhamdulillah Allah allah allah
@halimahamis39074 жыл бұрын
Alihamdu lillah mungu Nimwema
@issadad9384 Жыл бұрын
Mungu awalipe kheri
@samiraissangu94944 жыл бұрын
Alla akuzidishie.
@chamog56195 жыл бұрын
Subhannallah tuongowe ktk njia ilio nyooka wala usituongowe ktk njia ulowakasirikia
@munasayed86574 жыл бұрын
Maasha allah Tabarakallah
@azizashaaban870 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah.
@saidabdul93233 жыл бұрын
Amiin amiiin
@samanthaali8735 жыл бұрын
Allahu Akbr
@issaally10515 жыл бұрын
SubhannaAllah
@azzahabdallah71933 жыл бұрын
Masha Allah 🙏
@faizabaishe51724 жыл бұрын
MaashAllah Alhamdulilah
@khabilumfaume30405 жыл бұрын
Mashaallah saut zuri
@zainabuabdallah7883 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@hmsrashd79102 жыл бұрын
Sweet tomatoes mashaalla ❣️
@raashidsambon54584 жыл бұрын
Mashaalah hakika Quran ndio chakula na tulizo LA moyo.
@muddypote8377 Жыл бұрын
Quran ni Tamu sana kusikiliza na hasa kiijuwa kuisoma kwake