JINSI YA KUKOMBOA THAMANI YAKO|MCHUNGAJI KATEKELLA.

  Рет қаралды 8,363

KATEKELLA TV

KATEKELLA TV

Күн бұрын

HII NI CHANEL AMBAYO ITAKUPA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU PAMOJA NA MASWALI NA MAJIBU KUTOKA KWA MCHUNGAJI AMIEL Y KATEKELA KWA HUDUMA YA MAOMBI NA MAOMBEZI PAMOJA NA KUWEZESHA KWA SADAKA YAKO WASILIANA KWA NAMBA 0756 275 511.

Пікірлер: 74
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 3 ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE, MTUMISHI WOKOVU UMEKUPENDEZA, UMENENEPA , TUNAMPA ROHO MTAKATIFU UTUKUFUHALELUYA AMEN
@HappinessBakuju
@HappinessBakuju 3 ай бұрын
Nabariikiwa sana Sana na maombi yako na yamenivusha Kwa kiwango kikubwa Mungu akutie nguvu
@Neemajolamokataly
@Neemajolamokataly Сағат бұрын
Umbarikiwe sana mchungaji kwaufunuo uriomo ndani yako nasisi wasikirizaji tuna fatiria kipindi tuwe watu wakujifuza sana iri tuwe musaanda kwawezetu
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu
@KaniniMunyi
@KaniniMunyi Ай бұрын
Amen
@ZeldaMzena
@ZeldaMzena 3 ай бұрын
Eee haleluyaaaa Yesu ni Bwana sasa hivi tuna Katekela Tv Mungu ni mtenda miujiza Mungu akufikishe mbalii kwa faida ya wana wa ufalme wa Mungu
@clarewanyonyi78
@clarewanyonyi78 3 ай бұрын
Amen tuombee mchungaji mungu atuweke huru kwaumateka washetani mungu aniweke huru amen
@naikekangele7117
@naikekangele7117 3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe sana mchungaji ume kuwa baraka sana tangu nilipo kupata promover tv kiroho umenikunza na kunitia nguvu ktk kuwa kuwa wachawi
@DograsMussa
@DograsMussa 3 ай бұрын
Mungu azidi kukupa afya njemaaa mtumishi 🙏🙏🙏
@SuzanaJoseph-t1b
@SuzanaJoseph-t1b Ай бұрын
Asante sana Mt naomba uniunge na kwenye group la ukombozi wa familia
@Karen-o6e
@Karen-o6e 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana. Nabarikiwa sana unapolisema/ lifundisha neno la Mungu.
@gracemutono5023
@gracemutono5023 3 ай бұрын
Amen asante sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
@MCH.JAPHETHZACHARIAH
@MCH.JAPHETHZACHARIAH 3 ай бұрын
AMINA SANA LEO SHETANI LAZIMA ANAACHIA NYOTA ZOTE AMEN
@ReginaMwigulu
@ReginaMwigulu Ай бұрын
Bwana yesu asfiwe mtumishi naomba kujiunga na grup la ukomboz wa familiy
@nyamweruhuruma9628
@nyamweruhuruma9628 Ай бұрын
Be blessed so much the servant of God
@KumbuzaKumbuza
@KumbuzaKumbuza 3 ай бұрын
Amina mchungaji Mungu azidi kukuinua ktk jina la Yesu amina.
@MkeWamchungaji
@MkeWamchungaji 13 күн бұрын
Aminaa kubwamchungaji
@maxinenaibei
@maxinenaibei Ай бұрын
Your eyes has really improved
@tulianyota7040
@tulianyota7040 3 ай бұрын
Amen amen asante kwamafundisho nauushuhuda. Nauliza mtumishi umeanza kuji crimu? Ao machongu?
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 3 ай бұрын
AMINA niliomba BWANA akupe Uhuru wa Chanel yako. Hakika BWANA YESU ametenda hareluyaaaa
@maxinenaibei
@maxinenaibei Ай бұрын
I have been following you since 2022 I love your teaching hope you come Kenya Mt elgon in bungoma count
@mabelgreatverypowerfulspir3470
@mabelgreatverypowerfulspir3470 3 ай бұрын
Baraka mtumishi. Huku Washington's ulaya tunakupata vyema. Barikiwa sana
@linetmusee6431
@linetmusee6431 Ай бұрын
Amina! Naomba muniunge kwenye group ya whatsApp tafadhalini
@anausseni6844
@anausseni6844 21 күн бұрын
Amen
@EmmanuelNgendakumana-vl3ol
@EmmanuelNgendakumana-vl3ol 3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mimi nawafatiliya KZbin swali langu Nihili nikihuliza swali kwenye KZbin nitajibiwa swali langu ?
@margaretnekesa2019
@margaretnekesa2019 2 ай бұрын
Ameeen. Baba
@ااا-ح9م
@ااا-ح9م 3 ай бұрын
Ameni,ubarikiwe mutumishi wa mungu
@naikekangele7117
@naikekangele7117 3 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe sana
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 3 ай бұрын
Amen mutumishi
@faithsiame03
@faithsiame03 3 ай бұрын
Amen
@pendomtobela5238
@pendomtobela5238 3 ай бұрын
shaloom naomba kuungwa kwa group
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 19 күн бұрын
Nawezaje kujiungana na what's up tafadhali nisaidieni
@ellyitete938
@ellyitete938 3 ай бұрын
Bwana asifiwe, naomba link kujiunga na grupu la komboa familia
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 3 ай бұрын
Amen 🎉🎉🎉
@Bigborashots
@Bigborashots 3 ай бұрын
AM BLESSED
@AugustMchomvu
@AugustMchomvu Ай бұрын
Naomba namba ya whatsap mtumishi na mm niwe mshirika wako Kweny grop
@frankwilson2484
@frankwilson2484 2 ай бұрын
Powerful
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 ай бұрын
Karibu kasulu tena (HWAZI FPCT)
@jentrixsimiyu-rh6rn
@jentrixsimiyu-rh6rn 3 ай бұрын
Mchungaji naomba tuelezee jinsi ulivyopata wokovu
@happymvula
@happymvula 3 ай бұрын
Angalia shuhuda promover tv no 1-9 anaeleza Kila kitu
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 3 ай бұрын
AMEN
@rosekishinhi8246
@rosekishinhi8246 3 ай бұрын
Naomba kuungwa kwenye group la friends of Katekela plz
@FelisterLigazio-mw3hh
@FelisterLigazio-mw3hh 3 ай бұрын
Naomba mniadd kwenye group
@neemangowo1453
@neemangowo1453 3 ай бұрын
Amina
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 3 ай бұрын
Ameen
@MCH.JAPHETHZACHARIAH
@MCH.JAPHETHZACHARIAH 3 ай бұрын
AMINA TUKO PAMOJA KUMSHAMBULIA SHETANI
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 ай бұрын
AMEEEEEEEN
@nicodemusmpogole967
@nicodemusmpogole967 3 ай бұрын
🙏🙏
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 3 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 28 күн бұрын
Sisi tulishakombolewa kwa damu ya Yesu,Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 3 ай бұрын
🙏🙏👍
@nyangiboke
@nyangiboke 3 ай бұрын
Nami nimjiunga na katekela tv
@Neemajolamokataly
@Neemajolamokataly Сағат бұрын
Bwana yesu asifiwe sana mtu wamungu naomba unierekeze visit yakujiunga na katekera tv
@kizandume3015
@kizandume3015 3 ай бұрын
Jambo mtumishi Mimi niko naswali 2 Mimi niko Australia Mimi siku mojamoja ahotaga mtu amekufa tena anakwaga ni ndungu manayake ninini
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 ай бұрын
AMEEENI
@JaneNgure-k3f
@JaneNgure-k3f Ай бұрын
Jane nakufuatila sana maobi yako Kenya
@emmanuelngunyale3639
@emmanuelngunyale3639 3 ай бұрын
Lakini mtumishi haya mambo ya nyota si mambo ya wanajimu na waganga sisi tuliokoka tunaishi chini ya mpango wa Mungu wala sio kwa bahati wala nyota
@Frosita
@Frosita 3 ай бұрын
Hao waganga wangedili nayo vipi kama hayakuwepo?
@tabithakombe4247
@tabithakombe4247 3 ай бұрын
Andika somo la nyota na mchungaji Amiel katekela
@judithminja770
@judithminja770 3 ай бұрын
Hao waganga mpaka wanadeal nalo unafikiri mchezo ndg???
@happymvula
@happymvula 3 ай бұрын
Uliza tuliookoka wenzio tukwambie....yeye amefanya kazi huko usibishane naye.. Me nipo hapa anachosema nakiona kwenye maisha yangu....
@anseliminalingand4178
@anseliminalingand4178 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu sasa hivi ni muhimu kusoma biblia wewe mwenyewe na kumuomba Roho mtakatifu akufundishe. Maana kuna mambo mengi sana
@elishamafulu106
@elishamafulu106 3 ай бұрын
I received
@MariaMlenda-mv1yh
@MariaMlenda-mv1yh Ай бұрын
1
@katejacob3369
@katejacob3369 3 ай бұрын
Naombeni mniunge kwenye group ya WhatsApp tafadhali. Nipeni muongozo
@LylianeBaumaLyly
@LylianeBaumaLyly 3 ай бұрын
Amen
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 ай бұрын
AMEEEEEEEN
@davidwambura5915
@davidwambura5915 3 ай бұрын
Amen
@JamesNymwarua
@JamesNymwarua 3 ай бұрын
Amen
@carolinetoto8706
@carolinetoto8706 3 ай бұрын
Amen
@josephinemichael6191
@josephinemichael6191 3 ай бұрын
Amen
@annangowi5517
@annangowi5517 2 ай бұрын
Amen
ISHINDE DHAMBI YA ASILI|MCHUNGAJI KATEKELLA
39:25
KATEKELLA TV
Рет қаралды 1,7 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 13 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3 МЛН
KATEKELLA TV is live
55:10
KATEKELLA TV
Рет қаралды 4,8 М.
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 199 М.
UNAWEZAJE KUSTAWI KATIKATI YA MATATIZO
24:47
FRANCIS MWASHAMBWA
Рет қаралды 141 М.
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 153 М.
KATEKELLA TV is live
1:06:37
KATEKELLA TV
Рет қаралды 209
KATEKELLA TV is live  MASWALI NA MAJIBU
53:03
KATEKELLA TV
Рет қаралды 6 М.
What to do and never luck
54:52
Ambassador kimkim
Рет қаралды 10 М.
KATEKELLA TV is live
1:15:47
KATEKELLA TV
Рет қаралды 379
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA GIZA ' MAPANDO YA GIZA ' MAGONJWA,UMASKINI,UCHAWI.
7:55
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 4,6 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН