"Niko fresh bila prince anko hani feel". If you watched fresh prince of Bel air utaget hii bar.
@dennisinkwa52335 жыл бұрын
Naweza sound CORNy nikisema SELF RAISING, usi MINDi (mahindi) grind (kisiagi) yangu huwanga AMAIZING ( a-MAIZE-ing). Hii Wordplay waluhya pekee ndyo wataiget! Kubali imekupita! Abbas remains one of the greatest to have done it! Bars all day!
@nm80615 жыл бұрын
Abbas = Andre 3K
@andersonpyaban80425 жыл бұрын
hahaha kali bro
@KadisonEdison5 жыл бұрын
Wah! Now I get it!
@lameckongeri55085 жыл бұрын
hehehe mimi hikunipita
@joemwenda89415 жыл бұрын
actuslly the line is; "naweza sound HORNY nikisema self raising".
@Shilavula9 ай бұрын
Kama umetoka Mic Cheque pitia hapa😂😂😂🦅
@paulsantos96699 ай бұрын
😂😂😂
@mwangi699 ай бұрын
Nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na high noon 🌚
@edwardngugi51799 ай бұрын
😂🤟
@Mannu-pg7br9 ай бұрын
siunitaje tu mzee😂😂
@itsyourboyabdi56848 ай бұрын
Wallaai 😂
@virusimbaya5 жыл бұрын
Hii sasa ni ile ya kichizi...maaaad tune
@kylefidel33456 ай бұрын
Baba Hazam my GOAT
@EricMunene-k7i11 ай бұрын
2024 wapi nduruu
@telvinsanchez76015 жыл бұрын
Nobody: Abbas: Nimelay low key, niliangusha padlock, sa hii natoa lock na mikono za hancock 🙆🏽♂️😳 Barsss 🔥🔥🔥
You can hear the pain in Scar Mkadinali's voice when he says, "The radio don't play me...no pain no gain...bado tuko underground na sichoki."
@collinskhaoya3446 Жыл бұрын
Radio yenyewe ilikubali sasa...
@kabzkabogo356010 ай бұрын
Sai wanachezwa adi wanambia hao watu wa radio wameboeka😂
@penninahwanjiru38585 жыл бұрын
OG: Kaa si ndeng'a ,siezi kosa kisu. Industry ina ma pirate utadhani Mogadishu.
@yobi82135 жыл бұрын
hii ndio tunataka kuskia tukisema play KE music. legendary collaboration.🔥
@wwahome Жыл бұрын
Whole bar based on cereal wordplay! "Naweza sound corny (corn) nikesema self raising/ Usi usimaindi (mahindi) grind yangu huwa ama-zing (maize)"
@mutisya_9 ай бұрын
Jerry D huwa underrated sana
@ElJefeRomano5 жыл бұрын
Scar aka Mr Riz Mangwai 🔥🔥🔥🔥
@HarttheBandOfficial5 жыл бұрын
TUNATAKA LYRICS !!!
@MosesOnyango5 жыл бұрын
Mara beste ni kadera Mara juzi niliona adi vera mara zimenirunda kibera Mara zimenirunda kivela Dosh 🔥🔥🔥🔥🔥
@starborn30015 жыл бұрын
baddest lyricist
@museIan_TV5 жыл бұрын
Domani alizika🔥🔥
@bernhnj37545 жыл бұрын
Baaars🔥🔥🔥🔥
@ciirakibebe5 жыл бұрын
Domani Munga is underrated! The best lyricist now.
@likehimkarumbi68612 жыл бұрын
Dosh ni nareee hehehe
@peterkamau3521 Жыл бұрын
This song alone is bigger than the whole Tz hiphop scene. 💯
@birch_kalawa5 жыл бұрын
Abbas wordplay assassin. Hio ya cast ya Fresh Prince amehit 🎯🎯
@RadiantTunes5 жыл бұрын
Bongi yako ni which ha ha ha...tupatane kenkom
@kbkthedruggist79744 жыл бұрын
"Mlinimisjudge ju mlinicheki na kataxine na kichoki".. my life right now. Big up G!!
@iceboxthrill2569 Жыл бұрын
after 3 years, is that still your life?
@dfw_jerry Жыл бұрын
@@iceboxthrill2569wanted to ask tooo😅
@georgenduuru Жыл бұрын
@@dfw_jerrywalai tena 😂
@xavierkelvin1912 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@wawerugitonga700711 ай бұрын
Waprove wrong G
@ericl.barasa17814 жыл бұрын
Who else is jamming to this in 2020?
@brianludeya54284 жыл бұрын
Kabisa we still listening to the best
@midigolawrence50554 жыл бұрын
quality beats mahnnnn
@jumahjacob99504 жыл бұрын
Me. Nilibuy ngware kinduklu ndio nikuwe na high noon
@iannyatindo50134 жыл бұрын
Rong rende💯💯
@solomonkariuki18674 жыл бұрын
🙋♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️🙋🏿♂️
@AllanKashero5 жыл бұрын
Niko Fresh bila Prince Unko haniFEEL (Uncle Phil) Aunt Vivian na Hillary si wako na bills Hata ka sijawaJAZZ bado nachill Mi sio GEOFFREY lakini nadeliver at will ASHLEY hii ni rap for real Only when you have watched the FRESH PRINCE OF BEL-AIR you can understand this. Abbas Kubaff the GOAT
@fino.c25644 жыл бұрын
Nime-lay low-key, ... Naamka mapema lately, ... Abbas KANG! KANG!. Hii ndio inafaa kuwa mziki..
@Gikash4 жыл бұрын
First things Firsts Rest in Peace Uncle Phil. #FreshPrinceofBelAir
@martinmaina15084 жыл бұрын
What a sick jam Aki wakenya hupenda ngoma za ufala! Ii ngoma inafaa kuwa na 1 m by now
@Itsgonnabebad7 ай бұрын
Wacha tu_distinguish nani rapper nani p**sy,Nani shark yaani papa nani Shushi juu maboy nili inspire ndio mpaka sasa wananitusi..buda that's hard hands up.
@ndungu99825 жыл бұрын
Abbas and wakadinali 🔥🔥🔥🔥 mwoto Sana 💯💯💯💯💯💯💯 #rongrende #@domani my best 👍💯
@allanomfisa90074 жыл бұрын
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu na plan kuwa tycoon #Mad munga
@KottyDennis5 жыл бұрын
"The radio dont play me so i play my way" I felt that shit wakadinali 💯🐐
@absolomkaranja7594 жыл бұрын
2:07 Khaligraph ''leave you in a comma, apana alama ya dukuduku'' The BEST line!!
@samuelmuiruri62975 жыл бұрын
Kaa c ndenga siezi kosa kisu💪@papa jones🌐
@yubizkip23094 жыл бұрын
...Naamka mapema lately Siwezi bwaga unga juu mkate ni basic Manna toka heaven ladha yake tasty Sunblest nilikuwa tangu the 80's AbbasKubabaGang!
@sagalakidaha79615 жыл бұрын
God anibless na gari yangu nataka kuiskizia ndani...
@josephmugo63825 жыл бұрын
"wee ni snitch unadhani mbona siukushuku, kutuseti ndio zako juu ya marupurupu"🔥🔥 OG fires shots at Octo...game on😂😂
@gapkuminatatu97645 жыл бұрын
Wawawa......manze hii wacha niskie nikiwa kindungulu ndo ikuwe high noon... 🔥🔥🔥🔥🔥
@Jamaliow Жыл бұрын
2023 and still jamming to this masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥
@swalehmuslim15565 жыл бұрын
Nilibuy ngware kindukulu ndio nikue na high noon
@kamau585 жыл бұрын
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni Na rende ina ride through Ata mitaa za mbali......my crew Nilibuy ngware kindukulu 'Shh shh Ndo nikuwe na high noon 😎
@partozkikosi76155 жыл бұрын
Let's gerrit. Wrong Rende. Baddest collabo from the 1st, 2nd and 3rd generation. If you know you know.
@joshmenawe5 жыл бұрын
Kabisa. Kadinali ndiyo link hapo
@Quicksilver1st5 жыл бұрын
Niko Fresh bila Prince, Uncle haniPhil, Aunt Vivian na Hillary si wako na bills, Hatakaa sijawaJazz bado na chill, Misiyo Jeffery lakini nadeliver at Will, Ashley hii ni rap for real! 🔥🔥🔥🔥 GOAT
@Rheejammani5 жыл бұрын
It's liit kila msee amekam through ...but domani amekill hiyo Hook
@LoxDeChiz5 жыл бұрын
kesi juu ya kesi lazima kitaeleweka
@fino.c25644 жыл бұрын
ABBASSSSSSS! NARE FIRE MOTO!!!!!!!!! Every line killed it, mind blown , press replay Mzito rudi uwape mafunzo.
@dannisndegwa77085 жыл бұрын
Mafans wa octo wako wapi? Hope wameskia bars Turn up the volume 🎚
@groovy53574 жыл бұрын
enjoy tu ngoma achana na octo
@kkeals1964 жыл бұрын
Octo achana Na yy ako ligi ingine
@arbancomic4 жыл бұрын
Octo ni GOAT. Superleague.
@RadiantTunes5 жыл бұрын
Tupatane #hiphoprepulik tufanye mambo Yetu..welcome khali Jones
@ShilakuInnocent-s7r2 ай бұрын
Mara better ni ka dera Mara juzi niliona hadi Vera Mara zimenirunda Kibera Mara zimenirunda kivela🥵
@mgdarapper25795 жыл бұрын
Abbas in adi building... Kimoja iwashwe kwanza...#MoreFire
@ianchelian5 жыл бұрын
Hii Rende ni Rong 🔥🔥🔥 Nimelay low key niliangusha padlock Nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na #HighNoon Industry ina ma pirate utadhani Mogadishu If I die usisahau kuwaambia I lived my life
@eunicemagwambo80654 жыл бұрын
Since baby steps nimeona nikiomoka! Has to be the dopest line.
@BenituBonto11 ай бұрын
Pia kwako wamelike WA me change
@yogotonyeugine11 ай бұрын
Scar was it. 2:43 Alibonga sense.❤❤ Swali ilikuwa watapenya lini. Mans washapenya❤🎉🎉
I am hurt, am appalled that this record is not trending already. Kwani watu hawana taste ya good quality music siku hizi?
@morriskiema5 жыл бұрын
I thought the same pia....our industry ni messed up...
@johnnjau32895 жыл бұрын
True
@FootballForLifeFFL5 жыл бұрын
...Utadhani Mogadishu 🔥🔥Jones
@mikemaloya11958 ай бұрын
High noon lzm huwezi sota tena ujinyime feelz
@PapiLink5 жыл бұрын
ati swali ni moja utapenya lini 😂😂
@phenomenalke62755 жыл бұрын
Never thought i would live to listen collabo ya Wakadinali ,Abbas na Khaligraph... Mad love , Mad Respect .
@James-el4vw5 жыл бұрын
Abbas kubaaafff😂Niko fresh bila Prince, naamka mapema lately ,siwezi mwaga unga juu mkate ni basic🔥🔥🔥🔥🔥🔥still the king of barz
@henryohanga5 жыл бұрын
Scar, that was emotional. You made it already, the world cannot ignore you anymore! Cheers and keep doing!
@cedricchagwi5490 Жыл бұрын
He is now untouchable....
@peterkariuki5114 Жыл бұрын
swali ni moja tutapenya lini that was deep
@daprinceonit9095 жыл бұрын
Na plan kuwa tycoon. Ni riala au inaeza kua high noon Chukua vile unapenda
@thee_tiggop392910 ай бұрын
"The radio don't play me so I play my way" I felt that Scar line fr.... 2024 and Wakadinali have taken over...🎶➕️🫡
@jumaevance36955 жыл бұрын
Hii si mazishi ni cremation 🔥🔥🔥
@dankiptala72955 жыл бұрын
Mbogi ya waras na wajanja🔥👊👊
@AfroSonKE5 жыл бұрын
hapo sawa si upuzi ya wamlambez#kenyan hip-hop is back
@clementmuema98725 жыл бұрын
rong rende itabaki kuwa juu siku zote. 🔞🙌⛔⚠🚫💣📢 ....
@briangreatah0075 жыл бұрын
Now this is Authentic Kenyan Music,mafatheee
@KE_J.F7 ай бұрын
Mistari zimetosha mboga🍀
@Michael_Kagechu5 жыл бұрын
Hii ndio iyo kenyan rap... Mistari zimechongwa utadhani miti! Domani 🔥🔥🔥... Rong rende, OG, king wa sao 🙌🙌
@vdjdylan3 жыл бұрын
NIMEBUY NGWARE KINDUKULU NDO NKUE NA HIGH NOON🔥🔥
@Ngurez3 жыл бұрын
That chorus is the best part for this particular masterpiece.
@robinsonaliero79434 жыл бұрын
ata mtaa za mbali napiga scene tupu...High noon💥💥💥
@legranmaestro5 жыл бұрын
Kuzoza kwa full force. Hii ni shida mob kwa ngoma moja. Legendary X3 🔥🔥🔥🔥🔥
@mkulima6665 жыл бұрын
"Siwezi bwaga unga ju mkate ni basic 0:51...." nilibuy ngware kindukulu ndo nikuwe na high noon 1:26...." ka si ndeng'a pia siwezi kosa kisu 2:12..." hii ni mbaya sana" [ #Kubaff #Wakadinali #OG ] -> Hawa ndo maBAZENGA wa #HipHoP254 #BarzHataree
@otisMadeIt5 жыл бұрын
Mad munga never ever disappoints... He shud always have the last verse
@allantowett92312 жыл бұрын
🫡This is timeless ,it will live on forever.
@IYANIZZO5 жыл бұрын
Ma Boy Nili Inspire Sai Ndo Wananitusi O.g 👑 🔥🔥
@benayun1115 жыл бұрын
@NIEC COLLEGE nmecomment kiusanii si kama fan...mi nlikemba izo words lakini kumbuka target audience buda...si kila mtu msanii apa nje na hakuna mkenya hupenda kustrain...ndio utapata ka msee si fan wa domani atapita iyo verse angojee kuskia akiroga hook tu
@Pro_Voke5 жыл бұрын
Class in session buda,funzeni hawa watoto kutema mistari🔥🔥🔥 Scar ameacha kovu kwa verse yake!!!!!
@lilmoseg12314 жыл бұрын
kabro acha kujiangusha ww ndo uko in class 'kovu' ni scar in swahili so akiisema mara Thao everyone's good with it.....Ni Jina YAKE
@modanayeye5 жыл бұрын
Real hiphop,mziki hadi kwa damu🔥🔥🔥🔥
@birch_kalawa5 жыл бұрын
Moto!!🙌 Hii ni ya ma Bazuu !
@MohammedAli-wn5kt Жыл бұрын
Yaani leo ndo reaalise Abbas kubaf anavibe na ile familia ya BEL AIR🫡💯master
@basicboystv46185 жыл бұрын
nilibuy ngware kindukulu ndo nikue na high noon 😤🔥🔌
@graceyothim97855 жыл бұрын
Baddest collabo , can't wait for the video... Wapi likes za scar......
@BenituBonto11 ай бұрын
Wali like ajy na venye huringa
@aidenmattaka82515 жыл бұрын
Khaligraph is lyrically gifted.. Shout outs from Tzee
@mukuhanyota46135 жыл бұрын
ya khali ni flow buda sio lyrics...kuna tofauti KUBWA SANA
@felixtiffs62605 жыл бұрын
@@mukuhanyota4613 Buda cheza chini ...hajashow humsee wa TZ poa. but its true
@innocentkarani7274 жыл бұрын
@@mukuhanyota4613 ni both. He is versatile recording artiste
@victoromwambisnr65044 жыл бұрын
@@mukuhanyota4613Buda Khali ako na flow na lyrics pia.. Cheki hii:- "Nina Miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi Wacha tudistinguish nani rapper nani pussy Nani shark yani papa nani zushi Ju maboys niinspire ndio mpaka sasa wananitusi. . Bro kama hizo si lyrics ni nini?
Nimeadd up shit ka io🤣unajua si wote hatuna lyrics
@entertainmenthub10075 жыл бұрын
Ndyo nmeiget.. I was immature for this... Now i get it.. Word play 💯
@zackkariuki56005 жыл бұрын
This songs as kina Abbas na kina papa Jones na Wakadinali, Lazima udig deep mahn
@TopG_Tyrus4 жыл бұрын
Nilibuy NGWARE Kindukulu 🍁🍁😁🙂...hsh..hsh...Ndo nikue Na HIGH NOON🌋🔥🌄⚡
@DerrickAbucheri5 жыл бұрын
1. Abbas is great as always 2. Khaligraph is versatile can do Trap and as well Real Rap 3. Wakadinali, this song should have been longer honestly.
@s.o64355 жыл бұрын
Mad Vibes
@DerrickAbucheri5 жыл бұрын
@@s.o6435 maahn. I've replayed it countless times
@s.o64355 жыл бұрын
Just like that the tune automatically becomes a classic..
@billnkichabe6485 жыл бұрын
True... Like 10 mind ivi
@ruftonebadman2935 жыл бұрын
Kwanza verse Ya Domani imeisha tu hivyo yaani😔😔😔 after zimeturunda kivela🌋🌋💥
@kanobiandhisizmsandschizms65155 жыл бұрын
hii mbogi inachachisha mbaya...KEHipHop to the World....#BigBeatsAfrika
@g-chess83635 жыл бұрын
Hapa lazma ningepita niweke muhuri..... Abbas... Sezi mwaga unga juu mkate ni basic... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DenaBlaze5 жыл бұрын
"...usi mind grind yangu uwa amaizing!" ~ Abbas
@kaykaystro90955 жыл бұрын
Abbas kubaff hapo sasa,asante kusimama wimaa na baba theirs khali...moooore fireee
@kaa_star2549 ай бұрын
kama U FROM MIRITINI bring it ON
@mace8575 жыл бұрын
Hiphop iko saved!! Domani kwa hook🔥🔥🔥
@OfficialYoungboss5 жыл бұрын
Moto sanaaa🔥🔥🔥#eastkwamabeast kangkang🎙️🔫
@kenwachiwa5 жыл бұрын
On repeat hii all day nikiget high.
@silwanosilas55355 жыл бұрын
Dzamn⚡️⚡️⚡️🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽💯💯💯
@vixi_vik36475 жыл бұрын
watajua wajui 💪....RONG RENDE TO THE TOP 💯 NA RIDE THROUGH
@denineblack87015 жыл бұрын
mlinimisjudge juu mlinicheki na kitaxin na kichoki... high noon fayaa. mmemurder hio beat.
@jefrokatai54185 жыл бұрын
Whoa! Hii ni 🔥. Abbas, cast yote ya `Fresh Prince of Bel-air` inafa kuskia hii. Khali, Wakidinali.. hapo Sawa. Shukran for kukumbuka jeshi ya boom-bap.
@eddientengeri65702 жыл бұрын
Si mlini misjudge juu mlinicheki na ki-taxin na kichoki... This hits different all the time man
@jdeneden94335 жыл бұрын
35_60 rep sisi si majokaaaaaa ka mafala flani Lit.....tutatesa mshangae
@kinyuab.76834 жыл бұрын
Na imeisha nkaskia ni kama stima zimeenda...
@ciirakibebe5 жыл бұрын
That hook is out of this world! All hail Wakadinali. Nimewaskia kwa cypher flani.... Dope!
@spiderpigkreng5 жыл бұрын
Abass!!!! Daaaamn!! Hiyo bar ya fresh prince joh maaaad