Abdu Kiba Feat Nay and Neiba || Uyoo Sio Demu || Official HD Video

  Рет қаралды 3,710,900

Mziiki

Mziiki

Күн бұрын

Пікірлер: 1 400
@NickodemusLucas
@NickodemusLucas 11 ай бұрын
Its 2024 we still rockin with this Vybe 🎉🎉🎉🎉
@MartinDaridajega
@MartinDaridajega 9 ай бұрын
Yes 🎉🎉
@joanjelagat3269
@joanjelagat3269 8 ай бұрын
Mbaya sana❤
@FatumaHassan-l5g
@FatumaHassan-l5g 8 ай бұрын
​@@MartinDaridajega11a1W
@kristaboniphace6873
@kristaboniphace6873 7 ай бұрын
🎉🎉😊
@MillycentSidi-ij7rr
@MillycentSidi-ij7rr 7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SerekaMwita-c5j
@SerekaMwita-c5j 7 ай бұрын
ambao bado tupo hapa 2024 tujuane kwa like 👍 👌 😂😂😂😂😂😂😂😂
@HenryMchilo-dc9ks
@HenryMchilo-dc9ks 5 ай бұрын
😂😂😂
@hamphreyhlyatuu5215
@hamphreyhlyatuu5215 4 ай бұрын
Tupo Bado. 2024 tunsdunda. Mungu mkubwa
@HazinaSaid-cv9oz
@HazinaSaid-cv9oz 4 ай бұрын
Bwanee😂😂😂😂
@samwelsimon6842
@samwelsimon6842 4 ай бұрын
July 2024 still watching
@michaelcred8309
@michaelcred8309 4 ай бұрын
Maisha mengi blood
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 Жыл бұрын
Hii ngoma Bado yachana Hadi Leo,.. kama umeisikiza mara kumi na simu battery low nipe like Mchizi wangu...
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 5 ай бұрын
Ngoma hii kweli kweli naikumbuka sana kwa demu nilikuwa naye. Demu sooo, bado June 2024 naiskiza. Na wewe kama hivo gonga like. Love from Burundi. Nay apa amenikaza sana
@nadhifagabriel
@nadhifagabriel Жыл бұрын
Ambaooo tunasikiliza hiiii ngom 2023 like zanguu jmni ❤❤❤❤❤❤
@HarunaRamadhan-vk6yy
@HarunaRamadhan-vk6yy 8 ай бұрын
❤ Mwambaa Uyooo Pamoko Sana
@sundaysanchez640
@sundaysanchez640 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤​@@HarunaRamadhan-vk6yy
@mwanritumsifueli7768
@mwanritumsifueli7768 5 ай бұрын
Nikosawa❤❤❤❤❤❤❤
@nadeenblouch3257
@nadeenblouch3257 Жыл бұрын
Nimejikut tu sina lakusem nilipo pitia comment zenu 🥰🥰🥰iyi song sio yakitoto nawambia like zenu basi😪😪😪
@godfreyamos477
@godfreyamos477 2 жыл бұрын
Kama bado unaipenda hii ngoma unaagali gonga like😍😍
@crstinaa
@crstinaa Жыл бұрын
Ngoma bado lakubalika tena kwa sanaa
@jovinmashauri5394
@jovinmashauri5394 8 ай бұрын
kakudanganya osterbay wakati anakaa manzese afu we mwenyewe unafuraha.....usimwamini hii...🔥
@alexandermumo4535
@alexandermumo4535 Жыл бұрын
2023 and still I can't get iff the heavy bass boom in this music. I love everything about it 💕
@joycemasawe382
@joycemasawe382 Жыл бұрын
5
@joycemasawe382
@joycemasawe382 Жыл бұрын
5
@joycemasawe382
@joycemasawe382 Жыл бұрын
5
@TheNdaki
@TheNdaki Жыл бұрын
Hili Goma Usipime ukiskizaa katika speaker la #JBL 🔊
@sindennismesota9071
@sindennismesota9071 Жыл бұрын
​@@joycemasawe3821😊😊😊😊😊😊11111qq1111111111qqqqqqqqqqqqqqq😊qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq😊
@georgeelnico4784
@georgeelnico4784 4 жыл бұрын
kama unaamini Neyba ndo alitisha kwenye hii ngoma like please 2020
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 жыл бұрын
NICO TV ONLINE Wametisha woote
@deodatusmramba9054
@deodatusmramba9054 4 жыл бұрын
Ngoma Kali sana long time
@chilechinura3079
@chilechinura3079 4 жыл бұрын
naamin ilo broo saut kinanda
@mohamedsuleiman1222
@mohamedsuleiman1222 4 жыл бұрын
Awote walitisha
@hamadkatambo9653
@hamadkatambo9653 4 жыл бұрын
Neiba
@mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76
@mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76 6 жыл бұрын
Ndani ya 2018/=2019 ukiwatch hili Dude...nbinyie hapo nkupe zako...Gonga Like
@jamesshio533
@jamesshio533 6 жыл бұрын
Mtoto_Wa_Kiba79 MO_FAYA TZ ya nampata kutoka pande za mwanza
@listerescobar8547
@listerescobar8547 6 жыл бұрын
Mtoto_Wa_Kiba79 MO_FAYA TZ good
@muhibukesh7121
@muhibukesh7121 6 жыл бұрын
1.10.2018...nouma sana Neyba kaua
@husseinabdallah8235
@husseinabdallah8235 6 жыл бұрын
Mtoto_Wa_Kiba79 MO_FAYA TZ nn
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 жыл бұрын
Tunaendana nayo sawa team kiba damu
@remigiusmwageni6274
@remigiusmwageni6274 4 жыл бұрын
Ninakupenda sana mchizi wangu wangu ndio maana nakwambia 2020 nani mwingine anakubaliana namimi
@ayubujumanne808
@ayubujumanne808 2 жыл бұрын
💥💥💥💥💥
@frankstaminatz4266
@frankstaminatz4266 5 жыл бұрын
Kwa hii ngoma wahuni walitisha gonga like twende gud 2019 December
@RachelBugengo-zb3zy
@RachelBugengo-zb3zy 11 ай бұрын
2024 gather here 🎉😊
@japhetlust5050
@japhetlust5050 7 ай бұрын
Pamoja
@uziamsimbe4700
@uziamsimbe4700 7 жыл бұрын
kiba family mnajua sio siri... like my comment kama bdo unawatch this song till now
@mjombayai6888
@mjombayai6888 6 жыл бұрын
Uzia Msimbe acha hzo ngoma zilikuwa balaaa sana had sasa nakubali kinyama big up
@shafiihchongowe2221
@shafiihchongowe2221 6 жыл бұрын
Sanaaaaa
@amedeusngowi2845
@amedeusngowi2845 6 жыл бұрын
Jgg
@robertchiwuyo7887
@robertchiwuyo7887 5 жыл бұрын
Uzia Msimbe uhakika dright
@salummbata8731
@salummbata8731 2 жыл бұрын
Hii ngoma naikubali sana 30 July 2022
@flinchclassic1726
@flinchclassic1726 3 жыл бұрын
Alafu mbona msingemchukua neiba kings music ..? Kuliza tu anajua sana jamaa 2021 inatesa tu
@anisasaid4552
@anisasaid4552 6 жыл бұрын
Yani nikikusikiliza kama na msikiliza ali kiba yani mnajuasana kiba family
@boniphacemwita8318
@boniphacemwita8318 5 жыл бұрын
Yaukweli
@teddyelizabeth9072
@teddyelizabeth9072 4 жыл бұрын
Sana yaan
@abdallahselemanmazengo755
@abdallahselemanmazengo755 4 жыл бұрын
Ngoma bado iko vizurii
@cloudinhoabdi868
@cloudinhoabdi868 Жыл бұрын
I remember playing this song all the way from Nairobi to Kitale back in those days. Still a hit now in 2023. Love it
@DaltonOdari-ue9vq
@DaltonOdari-ue9vq 11 ай бұрын
Lusifuma saa
@zuberyrashidi9951
@zuberyrashidi9951 3 жыл бұрын
Tunaenda nalo hd 2021 goma bado linalipa like kama zote 🔥🔥
@zaruomary6509
@zaruomary6509 3 жыл бұрын
Ndio jombi
@geofreychristopher7204
@geofreychristopher7204 3 жыл бұрын
Hii ngoma inabamba moyo mpaka leo 12.08.2021 17:17
@officialsirdun_tz6134
@officialsirdun_tz6134 3 жыл бұрын
Sanaaa
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
ukitaka kujua ili dude alikuachi salama weka kwny bufa uone shoo Lake dadeki 2019 nalitizma apa ney true BOY shidaa sana
@modernthika3140
@modernthika3140 5 жыл бұрын
Japo n ya enz za ktambo kiax bt bado inachapa,ina mafunzo mob I xei,,,gonga like bax
@directorsuntana4922
@directorsuntana4922 5 жыл бұрын
Sio poa mzee
@emmanueljulius5757
@emmanueljulius5757 5 жыл бұрын
daaah kwenye bufa n nomaa
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
@@modernthika3140 ngma kali sana hii
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
@@directorsuntana4922 atareeee
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 2 жыл бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 2022✨🎇 Everlasting masterpiece
@solomonkitonka6904
@solomonkitonka6904 2 жыл бұрын
Am here
@selemaniiddy3296
@selemaniiddy3296 2 жыл бұрын
@@solomonkitonka6904 😜😜😜😜😜😜m677😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😥l
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 5 ай бұрын
Leo nmerudi tena june 18 mwaka 2024 weka comment kama umeumizwa na umepata penzi jipya 😂😂😂
@humbleshoal
@humbleshoal Ай бұрын
Same here
@Norbert_Assenga
@Norbert_Assenga 4 жыл бұрын
Kama unachek hii ngoma July 2020 baada ya corona gonga like apa tule mziki mzuuri 💯...
@deniseshayo1329
@deniseshayo1329 4 жыл бұрын
Pamo1 xana k
@jeniferleonard6697
@jeniferleonard6697 4 жыл бұрын
Ninamuelewa xn abdukiba
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
2023 bado ni wicked tune love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@bruhankuhunguru4810
@bruhankuhunguru4810 9 ай бұрын
The way Neiba sang this song was amazing at all. He had classic tune
@ezekielnyitambe.9316
@ezekielnyitambe.9316 4 жыл бұрын
2030 siku Kama hii ntakua hapa Mungu akijalia 😇😇
@mamuurama5828
@mamuurama5828 3 жыл бұрын
Amiin
@zaruomary6509
@zaruomary6509 3 жыл бұрын
Inshallah
@enginierthalion-kid4998
@enginierthalion-kid4998 Жыл бұрын
Io siku ikifika unshtue please. Ukiona sreply basi ujue karash... Nawe pia nikiona hunshtui pia ntajua karash😁😁😁
@maniofficialtz9936
@maniofficialtz9936 10 ай бұрын
leo tupo 2024 bado miak mingap broh 🙏🙏🙏
@aminaathuman4919
@aminaathuman4919 9 ай бұрын
@@enginierthalion-kid4998 🤣🤣🤣🤣🤣ujuwe khalas
@suleimanmohammedali2502
@suleimanmohammedali2502 Жыл бұрын
Mazuuu ndio alicheza,,,big up niggaz 😎 still watching 2023
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
Huyu *NEYBA* ni kisanga na robo aiseee kamsikilizeni kwenye ngoma ya *Amirado ft ney wa mitego & neyba-nimechoka* mtasadiki ninachowaambia Wale wa 2020 Gonga like tukamchague magufuli tena 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@djnduli931
@djnduli931 9 жыл бұрын
Huyo sio demu ni demu wa kitaa huyo huyo sio demu ni demu wa masela
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 2 ай бұрын
Hongera sn kwa aliyenyonga hii ngoma pa1 na hawa raia watatu... bonge la ngoma 2024 bado nalilisikiliza
@Pierejr
@Pierejr 2 жыл бұрын
Until now 2022 my favorite song since childhood 🔥🔥🔥osterbay kumbe manzese
@neybachmghalu
@neybachmghalu 2 жыл бұрын
bonge la hit badoo ,,,💯✔️
@princeprince2452
@princeprince2452 2 жыл бұрын
Chek ya shidonna prince..pia hio tamuu kzbin.info/www/bejne/Z2anhpJqqqtjmZY
@hamadimwachotea1730
@hamadimwachotea1730 2 жыл бұрын
mziki mzuri haujifichi kweli
@shida4433
@shida4433 2 жыл бұрын
Shida
@frankjoel5249
@frankjoel5249 2 жыл бұрын
N now im still listening 😂😅😂
@MubayaSelemani
@MubayaSelemani 5 ай бұрын
Mnanikumbusha mbali sana guys Neiba na nay wametisha kwenye hii song Mpaka Raha
@FauzaFauza-d2h
@FauzaFauza-d2h 5 ай бұрын
Ambao tumekumbuka kusiliza goma hili jul 5 tujuane nimekumbuka mabali Sana daah like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@dorinetarus
@dorinetarus 9 ай бұрын
the song is a true story marafiki s chote kingaacho n dhahabu usimpe moyo usije kaliaa
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 5 жыл бұрын
Msinicheke zamani kipindi anaanza kuimba nilikua najua ni mapacha na Ally kiba nilikua nawagomea wenzangu😄😄
@ngindotv8576
@ngindotv8576 3 жыл бұрын
Aaaaaaaaaaa Asha mtamu
@amanibartoni8950
@amanibartoni8950 3 жыл бұрын
Huhuhuhuhuuuuuu
@peterangatia7091
@peterangatia7091 3 жыл бұрын
Si kaka na Ali kiba
@TabuSese
@TabuSese 10 ай бұрын
Ambao tuko 2024 na bado tunaisikiliza hii ngoma
@saidmsuche5446
@saidmsuche5446 9 ай бұрын
Kwani Neiba alipotelea wapi aisee watoe collabo nyengine na Abdu kiba na ney
@bakarbeka8391
@bakarbeka8391 6 жыл бұрын
Daaah ili dude stil liko vzuri bt amini usiamini since then nlifagilia Neyba Mwanzo neyba alienda wapi mm fan wake sanaa
@masalumasunga8969
@masalumasunga8969 5 жыл бұрын
Huyu ndio abdukiba sasaaa....who else is with me 7/12/2019
@josephabel7654
@josephabel7654 4 жыл бұрын
Neyba namkubali sana nyimbo zake akuchi kunakucha na uje ngoma kali sana
@zennamdachi4387
@zennamdachi4387 Жыл бұрын
Ambao tuko hapo kufunga mwaka ns nyimbo za kale tujuwane 2023😊27,j3
@mjombayai6888
@mjombayai6888 6 жыл бұрын
Ngoma kali sana jitahidi mwanangu utafika mbali sana Mungu ni mwema,
@rizymolleljr7086
@rizymolleljr7086 5 жыл бұрын
Ndani ya 2019-2020 ukiwatch hii ngoma like and comment twende Sawa
@moricusmodest2881
@moricusmodest2881 6 жыл бұрын
Kiukweli naupenda sana huu wimbo tangia nikiwa sekondari hadi mpaka sasa nikiwa chuo kikuu;! " I know huwezi laumu kumpenda yule; alisema mtoto mdogo na bado yuko shule;!
@juliusonesmomfumya4836
@juliusonesmomfumya4836 5 жыл бұрын
Kitambo sana jombaa
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 Жыл бұрын
Now 2023 ..abduukiba neiba na ney hamtokuja kuimba nyimbo Kamahii🙌
@elizampole4366
@elizampole4366 6 жыл бұрын
kuna vitu nakumbk vingivingi sana ..nikisikiliza hii nyimbo .
@faridahassan9777
@faridahassan9777 6 жыл бұрын
Eliza Mpole ata Mimi shoga. Upo wapi
@sadalajr9438
@sadalajr9438 4 жыл бұрын
Unakumbuka ulikuwa wap kipindi hicho
@victorchampion1513
@victorchampion1513 4 жыл бұрын
2020, namwona NEYBA mzee wa PENZI KISU KIKALI,, pia namwona MR NAY, wa mungu yuko api, PIA nmwona Abdul Kiba ambaye alishindwa kufunga penalti mbili ktk mechi ya SAMA-KIBA, kama umenielewa, gonga like hapo chini .
@eugineokite1296
@eugineokite1296 3 жыл бұрын
Who else still listening throwback 🎵🎶songs,very motivational
@gfshbxbbx7640
@gfshbxbbx7640 4 жыл бұрын
Nafunga mwaka na nyimbo zangu za kale kila nyimbo ya abukib inahistorya kwenye maisha yangu kutoka oman 2020:12:10
@georgekinabo68
@georgekinabo68 6 жыл бұрын
Nadhan mashabk wa Arsenal hapo wamevmba vchwa sio pw. Weka like yako ya nguvu hapa kama bado unaichek ngoma
@yustochitema8201
@yustochitema8201 5 жыл бұрын
Umejua kuotea bro
@arafakassela5398
@arafakassela5398 3 жыл бұрын
Wangap bd tunaikubali nyimbo hii mwaka huu ikiwa Leo 16/2/2021
@MTALIITV
@MTALIITV 6 жыл бұрын
uyu Neiba anajua sanaa🔥🔥🔥mpaka Leo....nimemuelewa....yuko wapi huyu jamaaaa????anajua mpaka ywakera😂😂😂
@gracemyinga3683
@gracemyinga3683 5 жыл бұрын
MTALII TV hata mimi nimemuelewa
@yustochitema8201
@yustochitema8201 5 жыл бұрын
Neiba anajua sana ila bahati hana na kwenye maisha muombe Mungu vitu vyote lakini usisahau kumuomba bahati
@frankmiraco9844
@frankmiraco9844 5 жыл бұрын
@@yustochitema8201 huna akili mungu humpa mtu kwa wakati wake usiongee ujinga mungu hamnyimi mtu bahati
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 жыл бұрын
MTALII FOREAL neyba mashine mm namkubali 100000℅.
@dianadayana4661
@dianadayana4661 4 жыл бұрын
Me at sijui huyu jamaa noma asee
@denisdeus
@denisdeus Жыл бұрын
Neyber na abdu wamshikur nay japo iyo kwa buku iliikosesha tuzo hii Ngoma ,,,,,,2010 ilikua inachukua tuzo akapewa ommydiponz ,,kwa nyimbo ya nainai Ila abdu alitisha Sana mpka kesho
@youngmoney5093
@youngmoney5093 5 ай бұрын
ambao tupo hapa 2024 tujuane july❤
@festoluoga4352
@festoluoga4352 4 жыл бұрын
Hatari sana nina history nahii ngomaa daah jamani hizii ndo zilikuwaga songs kalii🙏💥💥
@jaymespapah8393
@jaymespapah8393 7 жыл бұрын
Ngoma imeenda skuli,,bado naipenda 254
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Imetulia tuu sana
@iranangole7007
@iranangole7007 5 жыл бұрын
Kama na w unachek hii ngoma 2020 weka like yko
@shabnmbango5100
@shabnmbango5100 4 жыл бұрын
Atali sana ili ngoma du!
@hurumandosi702
@hurumandosi702 4 жыл бұрын
@@shabnmbango5100 pamoja sana
@teresiahresian2449
@teresiahresian2449 4 жыл бұрын
@@shabnmbango5100 aatt
@alexaiddan979
@alexaiddan979 4 жыл бұрын
Neyba anatisha
@tamsonkavafi4453
@tamsonkavafi4453 4 жыл бұрын
iko.
@bonikitonganihatarisana2870
@bonikitonganihatarisana2870 6 жыл бұрын
kiukweli wimbo huu unagusa maisha yangu wakati na mwanadada mmoja du!!!
@hanzurunikazunarichilyenga9150
@hanzurunikazunarichilyenga9150 3 жыл бұрын
Yaan nmeamini kaz ya chujio ni kuchuja chai na mbege ila limeshindwa kuchuja hii ngoma #neiba🙌
@immamassasi7941
@immamassasi7941 9 жыл бұрын
neiba anaweza huyo jamaaa
@eliasrobert1938
@eliasrobert1938 4 жыл бұрын
Ali kiba family Noma kimusic
@mutheukaylee
@mutheukaylee Жыл бұрын
2023 bongo music forever ❤🇰🇪🇹🇿
@ShamsaDavid
@ShamsaDavid Ай бұрын
Gonga like kama unamkubali kiba
@Dannywonderz
@Dannywonderz 11 ай бұрын
2024 still listening ❤❤😊
@denniskamau7602
@denniskamau7602 Жыл бұрын
This song is a trend on TikTok, I thought it was a new banger 😂😂 kumbe it's a tbt banger🎉
@njorogemyke2059
@njorogemyke2059 6 ай бұрын
Since wew ni wa 2000 huwezijua😂
@shuaibomrion1217
@shuaibomrion1217 5 ай бұрын
I like Neiba
@innocentdeshayo1330
@innocentdeshayo1330 3 жыл бұрын
It's 2021 and still listening beautiful voice ......who is with me here
@derrickkori2975
@derrickkori2975 2 жыл бұрын
2022
@aishamohamed9868
@aishamohamed9868 6 жыл бұрын
Haichuji thnx kiba family
@francepaulo6842
@francepaulo6842 6 жыл бұрын
Aisha Mohamed kwer
@kassimuzahoro6184
@kassimuzahoro6184 4 жыл бұрын
Old is gold
@malatumalatu5155
@malatumalatu5155 3 жыл бұрын
Aisha Mambo zko
@blackwalkerscrew_zanzibar
@blackwalkerscrew_zanzibar 3 жыл бұрын
hiii nyimbo atowe tena kwa kumshirikisha mboso itakaa poa Abdu Kiba Feat Nay , Neiba na mboso hapo itakaa poa sana au munaonaje
@longishoabediningori4618
@longishoabediningori4618 6 жыл бұрын
my favourite song forever 2019/ 2020 if your like me men just like..like mistake ❤
@edgakid8472
@edgakid8472 5 жыл бұрын
Longisho. Oleningori
@shemumichael9592
@shemumichael9592 4 жыл бұрын
Feb 2020
@shabanially7332
@shabanially7332 3 жыл бұрын
Aaàààaa0papl
@sophiahussein6034
@sophiahussein6034 2 жыл бұрын
I will get bx
@frankbenard4662
@frankbenard4662 5 жыл бұрын
Hii ngoma ilileta ma bishoo sana kipindi hicho Niko kidato cha pili mwanza sec daahh!!! Tulikuwa tunacheza hii ngoma basi mademu kujigonga big up sana neyba
@sambuchingoro6988
@sambuchingoro6988 5 жыл бұрын
2019 bado nacheki hii ngoma, kama na ww gonga like.
@blessrozina3553
@blessrozina3553 5 жыл бұрын
Yani nakumbuka zamani
@michaelfrank6525
@michaelfrank6525 5 жыл бұрын
Tupo 2020 mkuu
@sadamselem4697
@sadamselem4697 4 жыл бұрын
Ninoma sana
@yosephakomba2686
@yosephakomba2686 4 жыл бұрын
Sambu Ching'oro Safi sna
@mumyally5901
@mumyally5901 4 жыл бұрын
Abdul kiba hapa alikua hajaingiwa na upepo wa kusulisuli alikua yuaja kwa kasi kimziki ,jiziki safi sana
@patricjunior3134
@patricjunior3134 5 жыл бұрын
Kama hii ngoma inakugusa Kama my gonga like tujuane 2019
@bouffdaddy4383
@bouffdaddy4383 9 ай бұрын
2024 at midnight am still awake to listen to this on a Friday night ❤
@hamzahussein4493
@hamzahussein4493 5 жыл бұрын
who's watching today 2019? this song is classic. Huyu Neyba kapotelea wapi?
@yobisbeautyhubyobishumanha4848
@yobisbeautyhubyobishumanha4848 3 жыл бұрын
Noma hii!!!
@daniikirunda7113
@daniikirunda7113 6 жыл бұрын
Neiba uLichinja Sana
@abditari
@abditari 11 ай бұрын
king studio inakufaa abdul achana na wcb
@t33pelos77
@t33pelos77 6 жыл бұрын
Abdul hapa uliimba
@mbondokambi8053
@mbondokambi8053 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah hawezi tena kutoa ngoma Kama hii
@bigjuma4481
@bigjuma4481 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah i like your comments
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah Exactly my
@kailajeftav6326
@kailajeftav6326 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah .
@kailajeftav6326
@kailajeftav6326 6 жыл бұрын
Saumu Hassan .....
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 3 ай бұрын
Juzi tu alikuwa hapa chunya hakika nay wa Mitego unakinukisha kinoma noma
@hk_ballers
@hk_ballers Жыл бұрын
Neiba smoked the beat 🔥
@ahmedabdi6094
@ahmedabdi6094 9 ай бұрын
Always Tanzania number one in all music 🎶🎵 sio kama mangombe zingine 😢😅
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 10 ай бұрын
Turolud uku 2024 tujuane kw like za kutosha aisee bc tu nakumbuka mbali xna enzi hizo tupo kwenye mkesha wa MWENGE balaa mkwaju bado wa moto aiseeeeeeee tia like z kutosha s mchezo muziki mnene cd ndogo
@ayuburamadhani3384
@ayuburamadhani3384 4 жыл бұрын
Ngoma ni Kali Sana haichiji sio za akina dayamondi zinasahaulika mapema Sana na huwezi amini hata Yee naye huenda hazijui tena
@ktvonline606
@ktvonline606 5 жыл бұрын
Anayeisikiliza hii ngoma 2019 tujuane.... Qwambaáa
@shakiramkotya4598
@shakiramkotya4598 4 жыл бұрын
Noma sana
@paul1985ization
@paul1985ization Жыл бұрын
Hii combination ni mwisho wa matatizo. Safi sana.
@MichaelJefwaChai
@MichaelJefwaChai 4 ай бұрын
Kama Bado una enjoy hii Ngoma July 2024 gonga like
@MeedyBakari
@MeedyBakari Жыл бұрын
Ngoma inaishi bado ney bar mmetenga sana
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 6 жыл бұрын
2019, tupo?? like APA.
@yustochitema8201
@yustochitema8201 5 жыл бұрын
Moja ya nyimbo iliyofanya poa sana miaka takribani 7 iliyopita lakini bado iko vizuri sana,hongera sana Abdul kiba.
@danyjohn6256
@danyjohn6256 6 жыл бұрын
Nampenda mpenda yeye jamani me namta taka yeye
@asinathmuhidini4046
@asinathmuhidini4046 3 жыл бұрын
Neyba. Uko wap wewe ludi kwenye gem. Brotha. Unajuwa kuimba mbka unakelaaa sauti nzuriii
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 жыл бұрын
Nipen like nyingi hili dude
@suwedimussa6635
@suwedimussa6635 3 жыл бұрын
Uku kitaa wanagonga hata kwa buku 2021 twende sawa
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 2 жыл бұрын
Wah the internet doesn't forget! What a tbt..Neiba, Abdukiba and Nay Wa Mitego🔥🔥🔥
@PulcheriaAssenga
@PulcheriaAssenga 10 ай бұрын
2024 twende zetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@mimah1547
@mimah1547 5 жыл бұрын
Haichuji hii ngoma aisee😍😍😍
@ralfbuanar9118
@ralfbuanar9118 Жыл бұрын
Kakudanganya Oster bay wakati anakaa manzese... Neiba 🔥🔥
@youngmaster5244
@youngmaster5244 5 жыл бұрын
31 December 2019 12 pm upo na ww u afunga nayo mwaka gonga like
@poghonaugostine5570
@poghonaugostine5570 2 жыл бұрын
Hii inakumbusha life yngu ya utotoni aki asante huyu Abdukiba
@praygodlaiza9159
@praygodlaiza9159 2 жыл бұрын
Here we go 2022🔥🔥🔥 music brings back memories
@frankndebile-mw9mu
@frankndebile-mw9mu 11 ай бұрын
Ngoma za zamani zilikua na kijiujumbe frani ivi Kwa ndani ila ngoma za saiz Zimejaa na matusi tu ila hii ngoma myaka 100000 inaishi tu❤❤❤
Abdukiba - KizunguZungu (Official Music Video)
3:41
Abdukiba
Рет қаралды 975 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 26 МЛН
Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video
4:28
Mziiki
Рет қаралды 7 МЛН
Nay wamitego ft Diamond - Muziki gani {official video}
4:15
Diamond Platnumz
Рет қаралды 3,7 МЛН
Tundaman Featuring Chege - Starehe Gharama(Official Video)
4:37
Tunda Man
Рет қаралды 1,1 МЛН
▶ Ommy Dimpoz Ft Ali Kiba - Nai Nai (Official Video)
5:21
Ommy Dimpoz
Рет қаралды 3,1 МЛН
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 2,3 МЛН
Mr Blue | Tabasamu | Official Video
4:42
Mziiki
Рет қаралды 2,7 МЛН
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 19 МЛН
SAJNA ft. JOSEFLY - MGANGA_YAMENISHINDA (Official Video)
5:38
kidbwoy
Рет қаралды 1,2 МЛН
Top C   Lofa
4:14
Erique Mgema
Рет қаралды 1,6 МЛН
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
4:38
Diamond Platnumz
Рет қаралды 24 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 190 МЛН