Kama na wewe uko hapa kwasababu ya Abdul misambano gonga like tujuane
@jumabomba43164 жыл бұрын
Nimekuja kumuangalia Mzee Abdul km naww umekuja gonga like twende pamoja
@beloyalbert23594 жыл бұрын
😭😭😭😭 najiskia kulia tu
@picdotstudio47854 жыл бұрын
yaan hii nyimbo ya ASUU ni bonge moja la ngoma, ikiimbwa hadi mwili unasisimka..unaweza isikiliza hata mara 50 isikuchoshe. anayeamini sasa hakuna nyimbo ni blaa blaa tu, nipe like zako chap chap
@robertjagad58265 жыл бұрын
Kuna watu hata wakiimba nyimbo moja tu hawatasahaulika, J.I mmoja wao na kidato kimoja big song forever
@dsouzamaguno70065 жыл бұрын
Uwezo ukiwepo fanya lolote kwaajili ya Mama sababu hakuna kama Mama,Mama ni Mungu wa Pili baada ya Mungu,Mama ndiye sababu ya uwepo wako. Safi sana Kaka Mdogo
@nizzoflavour72935 жыл бұрын
HONGERA BROTHER UMEONGEA VIZURI SANA KAMA UMEPENDA ALIVYOONGEA JAMAA GONGA LIKE
@capramlacky81525 жыл бұрын
Hakuna kama mamaa❤❤❤..mpka nmemkumbuka wa kwangu
@capramlacky81525 жыл бұрын
@MWANYANJE TV dooh we acha tu......
@eduwardchales95915 жыл бұрын
capram lacky mufanyie na wakwako
@capramlacky81525 жыл бұрын
@@eduwardchales9591 me wa kwangu alishaendaaa kwa mungu...thus why nkasema hivyo
@capramlacky81525 жыл бұрын
@@kutesakenethmusuuza9658 thanks
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Nimependa sanaaaa hi Party kuona Wazazi wote wa Diamond wako Happy 🙏
@evelynebushuru14695 жыл бұрын
Na hiyo ndio la muhimu muno. Hawana machungu dhidi ya nwanao
Much love my shemegi.Nyinyi hatari kwa nyimbo na fasihi.Nawavulia kovia la joho kwa heshima🙏
@feronandsulubu67113 жыл бұрын
Mbosso ni genius
@jurmainezaidi7395 жыл бұрын
Alieelewa vaz la gabo Kama Mimi gonga like tafadhar.....
@hassannkeya55685 жыл бұрын
Gabo nomaaaaaaa
@taniahsasha78265 жыл бұрын
diamond achia remix
@ireneonjiko89663 жыл бұрын
Beautiful. ASU WANGU my all time favourite bango....always loved it since I heard it in 2003....❤👌👌👌....Asu moyo unge kuwa nguo ninge ku azima uivae hadi milele....❤❤❤....cant have enough of Abdoul's Asu...
@jordanfromyt28615 жыл бұрын
Nani ana subiria rimix hii kwa hamu sana gonga like Button kama uko pamoja namimi
@talentsolution7705 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona baba sasibu😭😭😭i like it😘
@dolorosakway14114 жыл бұрын
Yuko na bint yake Queendarling
@zuuzuwayna58385 жыл бұрын
Leo nimeona raha mno kuona baba mzazi wa diamond yuko happy na hawajamtenga
@yuusufnuur57525 жыл бұрын
Naaa kweli pamoja sana
@frashconnect.15 жыл бұрын
Hamna namna.
@malicboy79735 жыл бұрын
Dahhh simba umenimaliza. Mpaka baba yupo ndani ajab wallah. May Allah bless your family. 🙏
@ayshamahariq66655 жыл бұрын
Kwel kabsa bro ndoa muhim
@ndamayapejr77255 жыл бұрын
Msambano Pleaaz huu wimbo urudie tena kwa vyombo vya kisasa
@stevewanga9575 жыл бұрын
Hii nyimbo ilikua naipenda 2 sana... Long time hizo
@auntyominde35655 жыл бұрын
Aki jina la wimbo pliz
@stevewanga9575 жыл бұрын
@@auntyominde3565 Asuu by msambano
@rehemasalim5135 жыл бұрын
Siku hizi haupendi?
@rehemasalim5135 жыл бұрын
@@auntyominde3565 Asu
@stevewanga9575 жыл бұрын
@@rehemasalim513 yanikumbusha mbali
@lizopwaa76375 жыл бұрын
i wait remix mboso kapita litakuwa bonge la ngoma
@bulaloalindamtobesyaofficial5 жыл бұрын
Yaani diamond huu upendo anamuonyesha mama yake ni baraka tosha. Wengi wanajisahaugi sana... furaha ya mama ni baraka kwa mtoto wake. Big up
@halidimgonza59452 жыл бұрын
Gud performance Abdul Misambano, Asu is my best song
@MadinaAmisi2 ай бұрын
Nimeipenda hi nyimbo ❤❤❤🎉
@anakissiya86754 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo gonga like kama nawe waupenda
@mrishorajabu11345 жыл бұрын
kama umeona mzee wa diamond ananenepa sku iz gonga like
@zawadihamisi95855 жыл бұрын
Yaani mm sijawahi ona wallh nkupenda sana baba tiffah mungu akuweke
@ReMuriithi4 жыл бұрын
This is the 10th time iam watching the video. I love the song Asu Wangu its my favourite, the red dresses and everything about the party
@azzesalum17175 жыл бұрын
Hauwezi amini nilipo muona baba mondi akicheza namwanae roho yng imefurai sna nilishindwa kujizuia hadi chozi limenitoka
@Msonjo5 жыл бұрын
Hauna kazi
@oxyrio12245 жыл бұрын
@@Msonjo hahhaa
@hamadsaidy87525 жыл бұрын
Azze salum tuwalee wa watt wetu kwaupendo
@angelsarehe55245 жыл бұрын
Azze Salum pole
@zeyriog67225 жыл бұрын
Ata mi pia mwil umencxmka xana hexhma yake bro
@munnababygal84605 жыл бұрын
Jamani nimependa baba diamond nae hajatengwa hapa hongera sana shemeji yetu diamond ubarikiwe
@timelessbeauty56775 жыл бұрын
I love the presence of mzee Abdul which indicates maturity after separation ...thanks mzee ....maasidi jifunzeni sasa
Jaman mbn ilinipita hiii dah😭😭ila hongeren mlo kuwepo
@saphinesyyohana71393 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana.misambano.niliipenda Sana hi nyimbo.
@zawadkilua14425 жыл бұрын
Diamond ww ni moto umefanya hii nyimbo nimeitafuta diamond ww ndio asali ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿
@graceyates14884 жыл бұрын
BARAKA TUPUUUUUUU. BABA MAMA MTOTO.....❤️❤️❤️❤️. Forgiveness is the best .#family
@getmad99083 жыл бұрын
Hapo badaye Mzee abdu kiliumana maskini wakamkata 😭😭😭 alikuwa ana furaha Sana siku hiyo Mzee😭😭
@calowamaye40095 жыл бұрын
I’m so!!! Happy to see diamond happy with his all his family’s especially with his father 👍🏽👌🏽👋
@hamzamoshi82755 жыл бұрын
WALE TULIOLUDIA MALA 10 KIPANDE ALICHOIMBA MBOSSO TUJUANE KWA LIKE
@mukunzinaplouse80253 жыл бұрын
Mpak sasa nakiludia bro mboss ni kiboko yao
@carolmuchiri7885 жыл бұрын
Raha telee jameeni wimbo huu wanikubusha mbali sana, Tz'd sitoki, Khadija kopa Malkia wa Taarab twakuona kwa ubali mwapendeza!
@mrfestomsyangi130523 күн бұрын
Tujuane 2024 kama umekuja kwa ajil ya asuu 🙌🏽🙌🏽
@fredrickmlati28442 жыл бұрын
Abdul wamepiga kolabo na mboso great vibe
@SaimonKalemera-im5dq9 ай бұрын
Abdyul masimango 🎉🎉❤
@nubian_queeeeen Жыл бұрын
This man Abdul gave my aunties in Kenya 🇰🇪 sleepless nights in the late 90s wallahi. Translate hii message ifike TZ 😅.
@issakissongo3615 жыл бұрын
Those days when we had REAL MUSIC
@zuchu_charts44025 жыл бұрын
Kabla mziki haujawa veiws....dah we miss those days
@aminhoyo88005 жыл бұрын
Wangapi wange penda re mix ,wa wimbo huu ,gonga hapo
@shifamakame46225 жыл бұрын
Haina remix hy bwana ht wakitowa sio asu hy
@ireneonjiko89663 жыл бұрын
The original anytime is bae👌
@qaccimside5707 Жыл бұрын
2023 here we are.......much love to this legendary all the way outta +254
@brinahminja82564 жыл бұрын
Naipendaaa had naliqqq
@janenyaga7262 жыл бұрын
👌🙏👍👍✌️✌️I love you bro parent first heshima ndugu
@queenbhanji72235 жыл бұрын
mzee abdul anafuraha sana aiseee
@beatricemapembe89415 жыл бұрын
Yaani queen Dareen nakukubali sana. Umetulia huna kimbelembele. Hongera
@halimafuketi83695 жыл бұрын
Nakupenda sana ww mwanamme!Mungu ndo anajua
@abubakaromarkhan13985 жыл бұрын
Love You Simba unatupa changamoto kama sisi vijana ya kuzidi kupambana
@hamadsaidy87525 жыл бұрын
Kweli kabic
@adijaadija83395 жыл бұрын
Nafurahi kumuona simba namama yake nababa simboo😍😍😍
@aminaamnah71595 жыл бұрын
Wapy team gabo like kma zte.uyooooooo
@aminaalli22875 жыл бұрын
Dai muinue Abdul misambanano ni msanii mzur sana na anapendwa..mmoja wapo Mimi napenda sana nyimbo hiyo
@nickalreadyknows5 жыл бұрын
Amina Alli ukisema kumuinua itakuwa fedheha dharau huyo pia ni brand labda support ndogo ndogo kama promotion
@blessingbagio48575 жыл бұрын
Baba dai amefurahi sanaaaaa jmn yaani Mungu akiamua kukurudshia furaha anairudsha na unasahau balaa lote nyuma
@risukiart46153 жыл бұрын
mzee abdul a.k.a comand safii simba
@blacknature76375 жыл бұрын
Nimefunguwa kwakumuona Abdul misambano tu
@luqash_luqman97444 жыл бұрын
707 nakumbuka jaman tanasha wetu dah sai jeeee
@TheSalma19995 жыл бұрын
Nimependa baba alivyocheza na mume mwenzie kiroho safi kabisa asanteni kwa kumualika baba yetu dudu la yuyu agha
@fikirinyangasi79735 жыл бұрын
Sio uchawi sio Freemason, tuwapende nakuwaheshimu mama zetu kwa dhati ndo njia kuu yakufanikiwa
@abubakaromarkhan13985 жыл бұрын
Kabisa Love and respect for our belovely Mums equal to success
@iammusic34045 жыл бұрын
@@abubakaromarkhan1398 Sem kuna wachaw namashoga Watasema et illuminati Matako yao!
@yuusufnuur57525 жыл бұрын
swadaktar
@ashuraussein75825 жыл бұрын
Naam
@محمدعبدالله-غ1ق8ظ5 жыл бұрын
haki ni raha mpaka basi simba allah azidi kukuogoza na kukulinda na atakulipa kwahilo lakumsamehe babako mue na maisha mema familia nyote kajumla tanasha kaza kamba dadangu wanao sema wache waseme ww tumia nafasi yako sikuzote wa kenya hua hatuna papara yetu vitendo2 kenya woyeeeeee
@asiansky47865 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumuona baba daumond nae yumo penda sana nasib
@mrishomzelela46275 жыл бұрын
9:10 Combination ya baba diamond,mume mwenza na Platnumz mwenyewe wakicheza pamoja kama vile ukuutiukuuti yaani dizaini kamduara vile hatarii
@sameraamiry38492 жыл бұрын
DaaH dua zote laKini umemuacha
@khalfanikhanga53125 жыл бұрын
Rahaa sana baba mama na watoto wanapo furahi pamoja
@fatumaissa25805 жыл бұрын
Hatari asuu sijui remix itakuwaje wametisha sanaaaa
@annastaziavenance17355 жыл бұрын
Darling ako na happy kumuona mzee wakee
@cherrietanzania62185 жыл бұрын
Can't get tired looking this performance
@saadunankamia4043 жыл бұрын
Masikini mzee abduli mrudishieni furaha mlimpokonya jamn so sad😭😭😭😭2021
@salmaswai54435 жыл бұрын
Namkubali Sana Abduli misambano
@nyangesaidi5792 Жыл бұрын
Huyu mbosso daah
@rosechild50215 жыл бұрын
I remember this beautiful song in Burundi.
@ramadhanmbudo15965 жыл бұрын
Nakumbuka kitambo sana wakati nyimbo hii ina hit mpaka leo.
@bosslady43325 жыл бұрын
I like this song ❤❤ from DR CONGO 🇨🇩
@vinmilez57395 жыл бұрын
Mbosso mtu mbaya Yan hizi ndo nyimbo zake af wamematch vizur na msimbano
@maryamjey63405 жыл бұрын
MashaAllah ...pesa jamani sabuni ya roho😍😍
@abdulseif40935 жыл бұрын
mboso ama lavalava nawaamini sana naamini mkiipiga cover hii ngoma itakuwa kali sana🙏
@Belalargib5 жыл бұрын
So cute ❤️ Tanzania 🇹🇿
@sukariyao65372 жыл бұрын
Me more 😘🤟🇹🇿💃💃💃💃
@vincentcharles43855 жыл бұрын
Mmeitendea Haki nyimbo
@rechokezia82135 жыл бұрын
Congratulations mond mey God bless you
@iddijuma36505 жыл бұрын
Am so happy to see diamond and his dad huging
@blandinamwarabu50252 жыл бұрын
Yes didn't see it
@beloyalbert23594 жыл бұрын
😭😭😭 mzeee abdully
@saladaniel92744 жыл бұрын
😭😭😭kwa furaha ya mzee Abdul kucheza nabnasib
@chusseboywcb28085 жыл бұрын
Baba ya mondi anaqenge kamfatisha mwanae kabisa huhuhu😁😁😁😁😁🔥🔥🙏🙏🙏nimependa sanaaaaaa
@NeitanLion5 жыл бұрын
great voice great vibe
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
♥️ misambano from Tanga masha allah nyimbo iliyotulia
@hamzacedricole36735 жыл бұрын
Sharifa Abdullah lie from Burundi 🇧🇮 alikimbia vita ya Burundi 🇧🇮 1993 ila ni mmanyema mzaliwa wa Burundi 🇧🇮 na alikua Naimba kwa lebo ya jasmine apo buyenzi Burundi 🇧🇮 na uncle wangu kitambo San ila sio mtu wa ntazania
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
@@hamzacedricole3673 nimekubali
@amidasuleiman39835 жыл бұрын
Misambano bwana nakupenda bure
@masoudmasasi18015 жыл бұрын
hii nyimbo nikiisikilizaga nasisimka sana bonge la nyimbo
@husnatgamaah13355 жыл бұрын
Kali sana wallah
@pilikasimu15935 жыл бұрын
Hongera chibu kutoa fursa kwa wanamuziki wengine
@sir_ENOCKMACHA5 жыл бұрын
Noma shoo kali mazee
@susanonyango86165 жыл бұрын
Babake Diamond ameongeza miaka kumi zaidi ile furaha anayo haina kifani 😍
@owjaymontesenos8135 жыл бұрын
Gonga like kwa baba dangote na queen darling 💯💯💯
@Noah-se3ni5 жыл бұрын
Wow wow Amazing Talk well done brother,💑👏🌹💯
@kitumba69655 жыл бұрын
Nasib anampenda Mama ...nakibali 👍
@dianamkuna28985 жыл бұрын
Mdogo mdogo tu aijalishi ana maisha gani
@esharamadhani34385 жыл бұрын
Diamond ukifanya remix ya wimbo wa ASU itapendeza sana