Come Mombasa mikindani primary school na Ganahola utaona shops za wameru wanauzia mugokaa kwa watoi , even now bado wanauza from 6:30pm…
@HusseinKagesho7 ай бұрын
nimekosea hapa! Ni Muheshiwa gavanor Adulswamad S.N❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌹🌹❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤
@ismailfarah34637 ай бұрын
Respect is two ✌ way traffic, let them bring CLEAN and Halal products!!!PERIOD!!! NO MUGUKS, NO MIRAA!!!🎉🎉🎉
@masonlevington1547 ай бұрын
i used Muguka to help me concentrate when i studied for my highschool final exam and score A- avarage second highest in my class
@kaka-mx6bl7 ай бұрын
😂Wacha jaba boss...sio mzuri...
@ranoxranduh97437 ай бұрын
Ndo maana umejaa madevu
@sabihasalim9427 ай бұрын
@ranoxranduh97😂😂😂🇬🇧
@kaka-mx6bl7 ай бұрын
@@sabihasalim942 Ati alipata A...
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
😂😂😂😂
@athmannyundo35067 ай бұрын
Hawa watu bila Mombasa watakufa njaa.. Wanafaa watuheshimu maumbwa
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Bila Mombasa Wana tetemeka, it's coz of the money.
@sabriamber17067 ай бұрын
MAA Shaa Allah Tabaraqallah Mr governor, endeleta kabisa tuko nyuma yako now that's where naeza tamani kuishi ustadh swabir amber
@Kamanda.457 ай бұрын
Uko sawa gavana utapata wauzajai wengi watoi wao hawali wanauzia watoi wa wengine waembu pia hawali wanauzia watu wa mombasa ,uko fit gavana badirisha sura ya mombasa kabisa tunakusupport sana tukiwa kirinyaga
@Aunty2547 ай бұрын
We support you gavana..,wacheni kuuzia watoto mogoks
@eshasaid32587 ай бұрын
Umuhiwa wa mtu nimuhimu ndiyo yuwatufikiriya❤❤❤ gavana❤❤❤ni muhimu kupiga pwani❤
@geraldoh-ent7 ай бұрын
Editor analalia kazi , mbona inajirudia
@ranoxranduh97437 ай бұрын
Wakauze huko meru kwao waapuuz sana mbona wana force mombasa
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Wanajua Mombasa ndio Kuna pesa za haraka. Washenzi sana hao.
@ireneimbuhira77597 ай бұрын
Gavana ako sawa ata kwetu ma soja wafanya kazi usiku kama wana jaba
@saidmohamed71787 ай бұрын
Gavana sema na gavana Achani 002 unauzwa na unafikia hadi 001
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Banae. Jana Niko shika adabu naona uki toka kwale waingia Mombasa kwa bodaboda.
@johnlobuin42127 ай бұрын
Introduce taarab music competition Mr.governor. We are missing our Swahili poetry ,music, educational Swahili dramas. Build social halls for the community to interact and display their beauties and weddings too.
@MwakesiChonga7 ай бұрын
Pongezi sana gaverno Kwa kusikiza uamuzi wa wananchi wako wa mombao kuhusu mugukaa inapigwa dawa Leo tunaletewa kesho.
@merimm64557 ай бұрын
Pongezi naunafangia barabara
@abdikadirgaleef39667 ай бұрын
Best decision ever made by governor 100% also ban mirra
@kellymramba85007 ай бұрын
Gavana uko sawa Kwa lugha ya mtaa... Uko handasi😂😂
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
😂
@changamwe7 ай бұрын
naona mpaka ameweka accent ya kinairobi. huyu jamaa ywaeza survive kokote😅😅😅
@saidmohamed71787 ай бұрын
Ni kweli utamcheka mwanda wazimu kama sio ndugu yako but kama ni ndugu yako utakuwa ukimstikia
@khamisibro21067 ай бұрын
Beste zangu wawili wamechizi kisha chakusikitisha zaidi ni mtu na ndungu yake wa damu.
@nassernasser14577 ай бұрын
Na wao Wana tajirika sisi ndio tuna achiwa ulezi wa machizi for the rest of our lives
@wanyanya6847 ай бұрын
Is it a must Muguga to be sold in Coastal Region? Let mirraa farmers find another market but not coast.
@turbomedia2547 ай бұрын
stop hiding behind what is not the problem!We know the problem so the best is to tackle the existing problem and with this done it will pave way for how to tackle small issues like mogoka!!!!!!
@agnesnjoroge16387 ай бұрын
This man Abdulswamad ..
@bahatisuleimangowa19807 ай бұрын
Abdullah mitano tena
@sophiaesmarcharo97757 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Kamanda.457 ай бұрын
Ban veve pia
@sheikhaswalehsalim33927 ай бұрын
Hebuni mu stop hizo zote mira na hizo zote
@collinsoconnor58437 ай бұрын
Wame ban Mogoka, lakini wanallow Unga na Bangi. 😅😂😂
@rashidseif32567 ай бұрын
kwani Unga na Bangi ni legal?
@collinsoconnor58437 ай бұрын
@@rashidseif3256 Yes, ni legal Mombasa.
@merimm64557 ай бұрын
Huyu ni ngombe
@KhalifAbdi-rn1tc7 ай бұрын
Mugoka ina cost 50 na mira ina cost 300
@jackiel27987 ай бұрын
Ati miraa 300kshs...wapi ? Ni come ni buy
@ArcardMgendi7 ай бұрын
We support our Govenor 100%. Let the farmers expand their market to other parts of the country. We have had enough of it for the years we have been your loyal cutomers.
@maneibaztv59437 ай бұрын
Kuna mtoi alitumwa shop abuy mchele duka ni ya vaite akapwe mchele ya jaba😂
@Gamby31AI7 ай бұрын
The use of cathinone, the active stimulant compound found in khat leaves, can lead to various side effects, especially when consumed in large quantities or over an extended period. Some of the common side effects associated with cathinone use include: 1. **Physical side effects**: - Increased heart rate and blood pressure: Cathinone can cause a temporary elevation in heart rate and blood pressure, which may lead to cardiovascular issues, especially in individuals with preexisting conditions. - Appetite suppression: Users may experience a decrease in appetite while under the influence of cathinone. - Gastrointestinal issues: Chewing khat leaves containing cathinone can lead to digestive problems such as constipation, stomach discomfort, and ulcers. - Insomnia: Cathinone's stimulant effects can interfere with normal sleep patterns, leading to difficulty falling or staying asleep. 2. **Psychological side effects**: - Anxiety and paranoia: Some individuals may experience heightened anxiety, paranoia, or even hallucinations as a result of cathinone use. - Mood swings: Cathinone can affect mood regulation, leading to emotional instability, irritability, or depression. - Cognitive impairment: Prolonged or frequent use of cathinone may impair cognitive function, memory, and concentration. 3. **Addiction and dependence**: - Cathinone has addictive properties, and regular use can lead to physical and psychological dependence. - Withdrawal symptoms such as fatigue, irritability, and cravings may occur when someone tries to stop using cathinone after prolonged use. 4. **Social and economic consequences**: - Excessive use of cathinone can impact relationships, work performance, and overall productivity. - In regions where khat use is prevalent, social norms and economic disparities may be influenced by the widespread consumption of cathinone-containing products. It's essential to be aware of these potential side effects and risks associated with cathinone use. If you or someone you know is experiencing negative effects from cathinone use, seeking help from a healthcare professional or support services is recommended.
@magodoromagodoro14867 ай бұрын
Bob marley typing......
@johnlobuin42127 ай бұрын
This conversation is good
@miltonmwendia11097 ай бұрын
Sahii unasimiaji gava muguka ushafika kongowea Ruto asasema 😂😂😂😂
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Story za jaba hizo. Ruto hajasema kitu. It's upon him to tread carefully on this issue,
@johnlobuin42127 ай бұрын
Very correct
@iceplay187 ай бұрын
mhesh wacha watu wakulele jabaa , mombasa haina kazi wacha siasa nyingi
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Mbona mairungi hayauzwi kwa shule jaba ndio lauzwa kwa shule.
@kenedymugwimi65297 ай бұрын
Muguka is a variety of miraa acha kutubeba ufala wewe
@kithinjikaimenyi84027 ай бұрын
host wanakelele mpaka hatuskii governor
@ChumanaSusi7 ай бұрын
Opinion yangu tuu VybeRadio. Tafadhali VYBERADIO tumia KISWAHILI.lugha ya kila mtu. Wacha tuu kwa heshima kutumia kingereza haina maana leo kwa wengi sisi hustlers unatuchosha.
@martingachare68447 ай бұрын
Mkiwa na nani?
@RiazJuma-v9k7 ай бұрын
Why is that the previous tik tok Governor katarina banned Shisha but they were themselves going to Jumeira Resort holding parties n consuming shisha
@sayeedfellah47067 ай бұрын
Gavana umechemsha, katika press conference yako ya kwanza ulisema kuwa county hawawezi zui jaba kuuzwa wala kuingia isipokua kuweka mikakati yakuuzwa, sasa watu wakienda court mzee utaoata Aibu sanaa
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
Kitu haujui ni kua he has the COLLECTIVE majority of the people of Mombasa behind him. Embracement ni yetu sisi. Yeye tumefanya kumtuma tu. Na tukishindwa, Kuna hauta zengine za county.
@sayeedfellah47067 ай бұрын
@@kabuthakabutha9472 Hawezi shinda hyo kesi broo Mughoka sio had drug, watu wangapi wamekua nyuma ya watu n kesi ikifika mahali imefika watu hupoteq
@RiazJuma-v9k7 ай бұрын
SHOGA ANA KATA UNGA SI SHIDA..NI MOGOKA BECAUSE HIS PARTNER IN CRIME OF DRUGS 😢
@MarkNjuki-ut5bs7 ай бұрын
Wewe mhesh this is nt fare
@RiazJuma-v9k7 ай бұрын
Wewe Governor uko kwa stimu za miraa..even now
@gottimaranzano94097 ай бұрын
Khat is illegal in the UK, South Africa as well.
@mbwayastatehouse6957 ай бұрын
Hatuko Europe tuko Kenya
@gottimaranzano94097 ай бұрын
@mbwayastatehouse695 sio mambo na europe or kenya. It's based o. Tha facts. Do your research na uangalie madhara ya miraaa.
@user-vb3ff1mr8l7 ай бұрын
Khat is legal in Kenya and mombasa is still in kenya.one term governor congratulations.
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
ATI One term governor! wewe uko Mombasa kweli!!! 😂😂😂
@RiazJuma-v9k7 ай бұрын
Firstly huyo maziwa lala Governor does he know kids under age are sold cigarette in our shop around Kenya..no shopkeeper ask for ID to this kids sent by parents to buy cigarette
@IBRAHIMALIMWAFUJO7 ай бұрын
Uliskia wapi sigara inaharibu akili wewe matako
@ramadhansoud24417 ай бұрын
Secondly ww maziwa amka citizen wat action have u taken to stop that bad behaviour in our community?
@RiazJuma-v9k7 ай бұрын
He is entirely refusing about the A class drugs so it means his support the sell of drugs but no mogoka
@idalahow7 ай бұрын
Where are North Eastern Governors....let them stop Miraa and Mugukaa...Acheni Miraa pandeni mahindi...matunda na vitu zingine....Miraa na Mugukaa ni drugs hata hazikubaliwi UK, EUROPE, UARABUNI....Except labda tu Yemen na Somalia...na hizo pia zita haramishwa karibuni
@dennismugambi21837 ай бұрын
Show us evidence of kids buying
@saidmohamed71787 ай бұрын
Njoo nikuonyeshe wangapi vijama wamechiz.Nyinyi huko meru munatuuzia na nyinyi hamutafuni mungoka wala miraa.
@saidmohamed71787 ай бұрын
Gavana sema na gavana Achani coz huku kwake bado unauzwa na unaliwa hadi kufika 001.
@abdallahtirimy78397 ай бұрын
You should visit Mombasa if you need evidence...We MSA residents have the proof already
@MwanaPolo-di8xq7 ай бұрын
Wengiene wanachizi ju ya majini bana
@kabuthakabutha94727 ай бұрын
MUGAMBI!!!! Kuna statistics za negative effects of muguka kutoka MEWA hospital, Portreize, na Nacada. The numbers have been rising significantly since 2019.
@maryisler19247 ай бұрын
Mogoka and Mira sio mbaya. Govonor first help our children to get out from drags😂 . Wewe Govonor haki what are you looking for haki. We thought you'er clever but hapa sasa from me you get from 100% you get 0%
@qacmMedia7 ай бұрын
Come Mombasa mikindani primary school na Ganahola utaona shops za wameru wanauzia mugokaa kwa watoi , even now bado wanauza from 6:30pm…
@zakayolugano17877 ай бұрын
Ban mnazi
@qacmMedia7 ай бұрын
Come Mombasa mikindani primary school na Ganahola utaona shops za wameru wanauzia mugokaa kwa watoi , even now bado wanauza from 6:30pm…
@qacmMedia7 ай бұрын
Come Mombasa mikindani primary school na Ganahola utaona shops za wameru wanauzia mugokaa kwa watoi , even now bado wanauza from 6:30pm…