ABOVE ONLY HOLY COMMUNION SERVICE - 7.2.2025

  Рет қаралды 40,133

New Life TV KENYA

New Life TV KENYA

Күн бұрын

Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451

Пікірлер: 50
@lucyndanu5991
@lucyndanu5991 Сағат бұрын
Kupitia sacrifice niliotoa, eeh Mungu niponye macho yangu, spirit of cancer,tumours out. Mtoto wangu apone Spirit ya Asthma, phemonia out in Jesus' name. Uhai ni wetu Amen
@JanetMichael-eb2uz
@JanetMichael-eb2uz Сағат бұрын
I connect my kids and my parents and sibling family and myself and my husband God remember us this year and answer all our prayers we have cried a lot going through pain through our enemies and this year is our year in Jesus mighty name 🙏🏿🙏🏿
@Chepkg
@Chepkg 17 минут бұрын
I connect my husband,I ,my siblings,my parents to this altar,protect us from evil plans and traps oh God ,
@JanetKaingu-f7o
@JanetKaingu-f7o Сағат бұрын
Asante Yesu kwa uponyaji Napona magonjwa na wote waliokua wagonjwa wamepona kupitia kwa maombi ya Newlife namshukuru mwenyezi Mungu kwa hilo
@JanetKaingu-f7o
@JanetKaingu-f7o Сағат бұрын
Kwa upendo wako Yesu nimekombolewa nakushukuru Mungu wangu kwa Neema yako na Ukombozi kwangu na kwa family yangu yote in Jesus might Name
@Edwinmwangi-m2b
@Edwinmwangi-m2b 12 минут бұрын
Asante mungu naomba mume wangu akombolewe aachane na pombe kabixa na doayetu iwe ya braka maishani mwetu na nyota ya njeri ya masomo na vijana nyota ya kazi katika jina la yesu na nyota ya maisha
@EpinaMomanyi
@EpinaMomanyi 2 сағат бұрын
Asifiwe yesu,pastor naomba mungu aniondolee ndoto mbaya ,madhabahu ya umaskini,uchawi, ulogi, magonjwa,mangaiko ya kazi.tuwe na baraka tele in Jesús name.
@JanetKaingu-f7o
@JanetKaingu-f7o Сағат бұрын
Wewe n' Mungu na utabaki kuwa Mungu kwangu na kwa family yangu yote usifiwe Yesu milele yote in Jesus might Name
@MaryWasike-z9e
@MaryWasike-z9e 7 минут бұрын
Through this alter l pray for good sleep and dream,I dedicate our business through this alter everything to go smoothly and together with tomorrow meeting and training
@EmmaculateOginga
@EmmaculateOginga Сағат бұрын
Mungu baba naomba unibadilishie roho,,,, naomba roho ya ufanisi Jehovah
@JanetKaingu-f7o
@JanetKaingu-f7o 53 минут бұрын
Nashukuru Mungu kupitia Madhibahu haya nimekombolewa na Family yangu Aaaaaamen
@maryhabwe
@maryhabwe 13 минут бұрын
Oooh dear Lord may through my sacrificee may this year be may above only in marriage na mikono zangu zijue pesa na nyota ya ufanisi na mali na utajiri iwe juu yangu in JESUS NAME amen
@freddyzumah2102
@freddyzumah2102 57 минут бұрын
I connect my dad, mum, nzuki mueke madhabau haya yanibariki nitagulie nipeee kibali hekima na Imani na roho ya ufanisi na nyota
@martinndungu1284
@martinndungu1284 38 минут бұрын
Mungu naomba ulizi kwa mtoto wangu naomba unishindaniee vita vyengu n Jesus name amen
@nicholusmutua-c1d
@nicholusmutua-c1d 56 минут бұрын
Naomba mtu wa rohoni aamshwe afanye kazi ndani yangu in Jesus name
@martinndungu1284
@martinndungu1284 35 минут бұрын
Mungu niondolee roho ya operation n Jesus name
@nicholusmutua-c1d
@nicholusmutua-c1d 58 минут бұрын
Naomba tithe hii iwe manukato kwako yesu na uikubali
@LinaLina-v3n
@LinaLina-v3n 2 сағат бұрын
Shalom 🙏
@EpinaMomanyi
@EpinaMomanyi 2 сағат бұрын
Naomba nota ya ufanisi.spiritual husband, noto za wavu narebuke in Jesús name.pia naombea familia yangu uwaondolee magonjwa ya kila aina wawe salama.
@lindahotieno
@lindahotieno Сағат бұрын
God give my daughter good results she is doing her midterm exams
@EverlineAmbenya
@EverlineAmbenya 34 минут бұрын
Amen niombe kichwa ufahamu inirudie
@nancynyanchio3909
@nancynyanchio3909 2 сағат бұрын
Kupitia hii neema Mungu unisaidie na ufungue macho yangu ya kiroho na wachawi wafe wote wenye wanaotutesa na naomba Angelica apone na Andrine apone na wachawi wafe
@EpinaMomanyi
@EpinaMomanyi 2 сағат бұрын
Naomba nota ya ufanisi.spiritual husband, noto za wavu narebuke in Jesús name.
@MwendeJackline-s3w
@MwendeJackline-s3w 38 минут бұрын
I connect my mum and dad with alter
@domitilarwakunda807
@domitilarwakunda807 56 минут бұрын
Amen kweli iyo baba yangu
@LinaLina-v3n
@LinaLina-v3n 2 сағат бұрын
Amen 🙌🙏🙌🙏🙌🙏🙌🙏🙌
@JanetMichael-eb2uz
@JanetMichael-eb2uz Сағат бұрын
God remember all my brothers mbithi muema makau Charles wambua mercy and Janet answer our prayers we are not going through what we have gone through in 2024
@NaumiGetusie
@NaumiGetusie 48 минут бұрын
bwana naomba unitawale kwa kazi ulinipa baba
@SalomeNyaroo
@SalomeNyaroo Сағат бұрын
Mungu wangu fungua mtoto wangu anayeenda shule wiki ijayo apate pesa ya rent aende amalize masomo yake
@melodiusnyamagelo5671
@melodiusnyamagelo5671 Сағат бұрын
Nimechoka kuolewa kuzaa kulizwa kushiliki na wachawi na wafu kunyaganywa vitu kiroho kila siku YESU nikomboe
@Angela-fw2op
@Angela-fw2op Сағат бұрын
AMEN 🙏
@hadassahdebintisarah4250
@hadassahdebintisarah4250 15 минут бұрын
Amen 🙏🏾
@EpinaMomanyi
@EpinaMomanyi 2 сағат бұрын
Naomba nota ya ufanisi.
@ShamimShisia
@ShamimShisia Сағат бұрын
Bless our family
@francismatolonyamai9600
@francismatolonyamai9600 Сағат бұрын
Pastor tunatakakuja mesayambwana Bibi yangu abebi mtoto lakini fedha sinatu leta shinda lakini lazima tukuje
@BarakaSamuel-r2q
@BarakaSamuel-r2q 3 сағат бұрын
Mungu nikomboe jina lang. Kwa jina la yesu nipee mafanikio Kaz ya mikono yang ifanikiwe kwa jina la yesu nyota yang irudi kupitia masabau ya pastor Ezekiel amen amen amen 🙏 mungu nisadie mm baraka samweli
@Angela-fw2op
@Angela-fw2op 3 сағат бұрын
AMEN
@carol3857sc
@carol3857sc 4 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nancynyanchio3909
@nancynyanchio3909 2 сағат бұрын
Ndoto mbaya ya kukojoa damu kemea bwana hiyo roho ya mauti kemea bwana
@francismatolonyamai9600
@francismatolonyamai9600 Сағат бұрын
Amen
@BernadetaMassawe-qb9vb
@BernadetaMassawe-qb9vb 2 сағат бұрын
Ameeen
@SamuelKivuva-h8d
@SamuelKivuva-h8d 13 минут бұрын
💰💰💰💰💰💰💫💫💫💫💫🏍️🏍️🙌🙏🤲
@CaltonLitswa
@CaltonLitswa Сағат бұрын
Amennnnnnm
@melodiusnyamagelo5671
@melodiusnyamagelo5671 Сағат бұрын
Nimekosa duka la biashara naomba MUNGU unibariki nipate nyota ya biashara ndoa maombi na maono nguvu uweza mamulaka kiroho
@Star-z7i2m
@Star-z7i2m 3 сағат бұрын
😊
@melodiusnyamagelo5671
@melodiusnyamagelo5671 Сағат бұрын
Naomba nyota yangu ingae kimataifa nifunguliwe macho masikio na roho hekima mahalifa akili inayokumbuka ndoto za mbingu
@Sarahakothnyahongo
@Sarahakothnyahongo 3 сағат бұрын
Azamu azamu mtusaidie
@MaryWasike-z9e
@MaryWasike-z9e 6 минут бұрын
Nakataa ndoto mbaya za Mauti Na vifo vya mapema
@Sarahakothnyahongo
@Sarahakothnyahongo 3 сағат бұрын
Azamu kuna tatizo gani haionyeshi
@ToniceOdiwuor
@ToniceOdiwuor 2 сағат бұрын
Emen emen
MID-NIGHT PRAYER SERVICE - 07.02.2025
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 189
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
MALAIKA - NYAMIRA KMTC SDA CHOIR [OFFICIAL VIDEO]
4:00
Seventh Day Adventist Church Nyamira KMTC
Рет қаралды 94
ABOVE HOLY COMMUNION SERVICE - 6.2.2025
11:49:16
New Life TV KENYA
Рет қаралды 47 М.
LIVE RECORDED SERVICE
4:54:05
New Life TV KENYA
Рет қаралды 1,5 М.
Look Forward Not Far | Pastor Steven Furtick | Elevation Church
58:54
Elevation Church
Рет қаралды 225 М.
Citizen Nipashe | 7th February 2025
31:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 12 М.
LOFI Quran • Get Instant Relief From Mental Fatigue and Overthinking ✦ NOOR
3:04:08
ABOVE ONLY HOLY COMMUNION SERVICE - 04.02.2025
10:21:10
New Life TV KENYA
Рет қаралды 48 М.
MASTER HILTON RAWLS III | RUN
26:41
AGAPE FAMILY WORSHIP CENTER
Рет қаралды 786 М.
THE FIVE DIMENSIONS OF FAVOR  || Pastor T Mwangi
30:08
KS Tv Plus
Рет қаралды 73 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН