- Kenyan Gospel - Maxton Media Production (2014) Contacts :+254 724 874872 Dir: KOFFIBOY / maxtonmediaproductions
Пікірлер: 90
@mathieuwamoto Жыл бұрын
mungu aku bariki Sana kwa mafundisho kama ivyo biblia inatuonesha Ku Lukanda ya yohana4:23-24.
@priscampolenkile63812 жыл бұрын
Ameen ameeen Moyo wa ibada ndio MUNGU anautazama
@faidachihubagala51096 жыл бұрын
Mungu akuongezee zaidi na zaidi kaka katika Christo. Huu vimbo ni faraja kwa moyo wangu sana
@Mr_moneyu Жыл бұрын
mungu akubariki sana kaka akuzidishiye maisha mema 😍😍😍
@user-qk5xc9er4v11 ай бұрын
Amen grory of jesus 🙏
@antoinettengoy8667 жыл бұрын
kwakweli iyinyimbo unanifurahicha sana na nikiwa kwenye mahombi nikihitiya na sikiya nguvu ya jabu sana Mungu akubariki sana
@bienvenukichambaomar5067 Жыл бұрын
This song on another level
@newtonsimba79307 ай бұрын
Great worship.Asante Utv .
@robertbalume21372 жыл бұрын
Merci pour ces musiques qui ne cessent de nous affermir et nous restaurer.
@ariseandshine3 жыл бұрын
So amazing! Asante sana ndugu kwa huu wimbo. We worship the Lord of Heaven! God bless your ministry 🙏
@leontinebinlydi94592 жыл бұрын
Amen ubarikiwe 🙏👏🙏👏
@adamfifi95842 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@orenisrael8234 жыл бұрын
Eeeh my Darling Baba uwepo wako ukae nasi.I belong to You🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌Mtumishi Mungu akuinue ktk Huduma yako.
@SadamAyubu-wx8nj7 ай бұрын
Sifa kwa Mungu
@JosueElie6 ай бұрын
Merci pour votre balance mass Massilia 🙏🙏🙏♥️♥️🤭
@jean-pierrehonorengimbi5474 Жыл бұрын
VRAIMENT C'EST PROFOND
@daviddaudi9997 жыл бұрын
The best song of the universe.God bless u all
@AfisaMjeda-zb1um Жыл бұрын
Mungu awe nawe
@barikiwa22 Жыл бұрын
My fave song 😍
@easysounds29794 жыл бұрын
I’ve listened to this song for more than 20 time.... may God bless you brother 👍🏾
@jeanefelix702 жыл бұрын
Amen 🙏 jina la Bwana wetu YESU KRISTO na litukuzwe milele na milele
@joharimayemba74495 жыл бұрын
umenibariki sana kaka kwa huu wimbo ubarikiwe mtumishi
@fatumajohn20198 жыл бұрын
nimegunduwa siri moja nikikuabudu kwa Roho na kweli atasikiya
@kezajeannettemisago86945 жыл бұрын
Amen Sijui nilikuwa wapi Kwa huu muda wote bila kusikia huu wimbo Mzuri mungu wangu Eeehhh mungu wangu na Barikiwa sana umegusa moyo wangu pamoja na shida zangu Ipo siku mungu ata tenda Nazidi kumuomba Kwa roho na kweli
@winnymoraa12445 жыл бұрын
"nimegundua Siri moja ukimwabudu kwa Rono na kweli shida zote maishani ndiposa....." Amen
@agnespius13495 жыл бұрын
I'm blessed,,,,, Lord Jesus take more of me and give me more of you,
@aishakaombwe36906 жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo maana inanipanguvu ya kusonga mbele mungu ashindwi na kituuu
Wah, have bn searching this song, not knowing artist name
@salomewekesa72093 жыл бұрын
Kwa kweli tumuabudu kwa Roho na kweli atasikia,asante Sana mass barikiwa
@machozimare10769 жыл бұрын
amena ubarikiwe baba kwa nyimbo nzuri
@jeannedarc66563 жыл бұрын
Ooh,Merci ndugu,wimbo huu unatosha kwa kumwomba Mungu,Maisha Marefu
@agneskyando32416 жыл бұрын
Nilifurahi sana kutazama album yako kwa Mara kwanza 2016,lakini nyimbo zako zinavutia sana hats zile za mda mrefu.
@bienfaitkarhezi7070 Жыл бұрын
Kwa sifaa n'a maabudu mungu anatukaribia n'a kutufariji🙏🙏🎤🎤
@MsNdane3 жыл бұрын
2021...Nimekumbushwa hii nyimbo.... Utukufu kwa Bwana!! 🙌🙌
@michelbasslova5 жыл бұрын
My favorite singer.. Mass Masilya
@judithkihampa76543 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi! Yani huu wimbo huwa hauniishi hamu ya kusikiliza. Umeyagusa sana maisha yangu.
@ramadhanidonne24313 ай бұрын
Amina Good 👍 congo 🇨🇩
@Csirdirected3 жыл бұрын
Napenda hii wimbo saaana
@emoalembe47909 жыл бұрын
Hata kama hatuja pata majibu ya maombi yetu tujifunze kusubiri .
@emanuelymleli28926 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Mungu na azidi kukutumia kama apendavyo nawe ndivyo utakapo pata raha nafsini mwako, Bwana na aenende nawe kama alivyokwenda na Musa.