MashaAllah nizur sana Allah akuongoze katika kazi zako inshaAllah 👌👌👌❤❤💞💞💕
@OmarAli-sq6ok2 жыл бұрын
Amin yarabiii
@husseinhamad22582 жыл бұрын
Maashaallahh kaka Afaaizu Allahh akubariki na mambo yako ya kidunia na akhera inshallahh
@muhamedsaid-kd8cd5 ай бұрын
Ah ninzury sana inavutiahashaallah nmeipenda kutoka moyon❤
@FatmaSalim-c4s9 ай бұрын
Mashaa Allah baraka llah fiika, Allah yahfadhuka
@ahsamhamed94402 жыл бұрын
Mashallah bismillah Mashallah ❤ 🙏 Allah akubarik aibarik na kazi yako
@OmarAli-sq6ok2 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah Allah mungu amuhifadhi Kwa kila Baya kazi nzuri afaaiz endelea hivyo hivyo
@husseinhamad22582 жыл бұрын
Amiinn inshallahh.🤲🤲
@barghashally77912 жыл бұрын
Kaz Kaz maashallh
@jumaamour44062 жыл бұрын
Nakukubali kinoma
@user-ky4sl7cp1i9 ай бұрын
❤ I like this song
@hajichum702 жыл бұрын
mashaallah mashaallah mashaallah my best munsheed wanguuu yaani hii nasheed nikimsikilizishia mdogo wangu yaani anafurahi wallah maana kasoma skuli hii mashaallah afaidh mungu akulipe mazuri ktk kz zako inshaallah
@abdul-karimchannel51852 жыл бұрын
Mashallah,hakika kk Afaiz mungu akujaalie maisha mema dunian na akhera.AMIIN Ahsant kk kazi nzuri sana mungu akuzidishie kipaji chako,ila kk never give up in Sha Allah,naamin one day tutaonan face to face, mashaallah.🙏🙏
@ashamgeni63622 жыл бұрын
Ni kawaida yako kufanya vizuri afaaiz❤️
@hilalsalum1833 Жыл бұрын
Afaiz luheta we towa na nasheed ya baba
@khalfanalmazidy97212 жыл бұрын
🥰Masha Allah 😍 Masha Allah 😍 Afaizu luheta kwakwel unatupa maneno matamu