Afande wewe ni msanii bora wa muda wote Sele man wa pili aliyetunga darubini kali na kukubali sana muziki unaishi hao ndio wasanii legend never die Afande upewe mauwa yako
@Jonas-t9h2 ай бұрын
Huyu mwamba acha kabisa
@mohameddibalaluke92525 ай бұрын
Hatuwez acha msosi,, kwa ukosefu wa pilipiliiiii😂, old times rhymes,.. Big up baba tunda,
@SalegioIssa5 ай бұрын
salute big sele
@kizuzucde57655 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@nathanielshauri51353 ай бұрын
siku hizi matusi tu nyimbo hakuna wanasema wapiga pesa ila maudhui hakuna kweli mtandu matamu ila ukoko unaradha yake