Рет қаралды 109,531
Hakimu mkuu wa mahakama ya Makadara amelazwa hospitalini hapa jijini Nairobi baada ya kupigwa risasi na afisa mmoja wa polisi. Afisa ambaye ni ocs huko londiani anaarifiwa kumvamia na kuanza kummiminia risasi hakimu monica kivuti alipokuwa akisoma hukudu dhidi ya mke wa polisi huyo