Daah huyu mama mwembamba lakn sauti yake asikwambie mtu barikiwa sana mama mungu akuweke nanunawapenda nyote daah napendaga sana Huwa nikiona vijana wanatumikia mungu kamahvi🙏🙏🙏🙏♥️
@mbajiamina5 күн бұрын
Sasaiv kawa mboge kidg af kawa mweupe
@methodnkundumukiza6367Ай бұрын
Talehe 24 mwezi wa 12 mwaka 2024 hakika ni mimi peke yangu.
@musabalinaki96924 ай бұрын
Who is listening 2024 let us gather here
@mariamgedi26944 ай бұрын
Nipo nipo september 2024
@NtamamiloGibson3 ай бұрын
I'm here too
@MercyJepchumba-i9i2 ай бұрын
Am here my best song
@JamesKema-m5n6 күн бұрын
Wow kazi nzurii❤❤❤
@antonykibirisho73534 жыл бұрын
Yaani Mimi ninaupenda huu wimbo sana.kila Siku lazima niuskize zaidi ya Mara saba.Hii kwaya Mungu aibariki sana.Nawapenda sana.
@GodfreyMasika-q1y7 ай бұрын
Wimbo huu 2013 nilikuwa nipo kwenye pito Moja kubwa nilikuwa nauludia hata mala kumi niwimbo wangu pendwa ❤
@victorsomba8673 жыл бұрын
Sitochoka kamwe kumkimbilia huyu YESU , Wala sitochoka kamwe kuiskiliza hii nyimbo. Mubarikiwe Sana sana.
@graceedasalemba89624 жыл бұрын
Nabarikiwa na hui wimbo miaka yote, Yesu azidi kuwapa sauti, Afya njema ili Mumtumikie na mcheze vizuri kama huyo mtoto hapo mbele. Nadhani sasa amekua mkaka
@rahelcharles78619 ай бұрын
Yaan hata nikiwa na mawazo nikisikia huu wimbo najiona ni mtu wa maan kwa mungu
@jeffersonmusyoki879826 күн бұрын
This song comforted m one dei I saw darkness in life..God bless u ..more grace
@kimilasayi2626 Жыл бұрын
Aki kweli dunia ina mambo, ubarikiwe mwimbishaji pamoja na watu wako amina
@JenipherKMadataАй бұрын
December 2024 still watching this nice choir
@EzekielSakumi-qg8vt Жыл бұрын
Namwamini mungu wangu aliyeniumba mimi
@IvonBatistamontERO-x3l6 ай бұрын
Me gustan estas canciones cristianas africanas pertenezco a una comunidad cristiana
@stevenstationary5 ай бұрын
Jesus bless you
@HappyAndrew-kj9vg4 ай бұрын
❤❤❤❤
@davidmjuba96712 жыл бұрын
Nice song yaan hii nyimbo nkiipenda nkiwa shle ya msing mpaka sasa npo kdato Cha sita bado naipenda tuh daaaaaa mungu ni mwemaaa
@Abigailkalekye Жыл бұрын
This is my favourite songs since I was young until now,,, infact the small guy infront gives me challenge in the way he dances. Love you guys🥰🥰🥰🥰
@dorcaslor21664 жыл бұрын
VIVE TANZANIA GOSPELS Hallelujah Ndio Tupigane kuacha Dhambie Amen And Amen
@GeoffreyMutuku-b5i Жыл бұрын
Bwana awabariki sana bwana emaus band,,,wimbo mkali sana,,❤❤❤
@JohnNdamo-qn6pu Жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbushaga enzi izo,barikiwa sana
@RosemaryPeter-x7s Жыл бұрын
Mlitisha sana enzi hizo
@Sheylahope Жыл бұрын
My favorite gospel music ❤❤❤ still watching 😊
@kevinmwailolo86384 жыл бұрын
Wimbo huu dogo kaniacha hoiiii kabisaaa yan salut kwake
@buzurubzr3104 Жыл бұрын
Safi Sana! Huwa nafarijika na huu wimbo wenu mbarikiwe jamani
@eunicekisumo9611Ай бұрын
Today 1/1/2025 🙏🙏🙏
@petervenance18973 жыл бұрын
Amakweli dunia ina mambo kumbe nanyie mupo!! Emu niwatakie baraka za Bwana ziwe nanyi
@beatricesawe32362 жыл бұрын
Kweli dunia isitushughulishe tufanye tunayostahili kwani tunapita tu!🙏🙏🙏
@dorcaslor21664 жыл бұрын
Amazing you guys are so special Alafu mi na ba penda mu livaa Vipi Wimbo Y’a Kiroho Michezo muzuri sana Munapendezewa ba Malaika y’a Mungu Na ba Coachs Congratulations Amen Shalom Shalom Shalom
@malyawayinawapatavizuli50214 жыл бұрын
Huu wimbo unnikumbusha mbali Sana kipindi bado tunaimba ilikuwa balaaaa Safi sanaa
@medadsamson25412 жыл бұрын
kweya zote ila hiiiiii siwezi kuisahau💪💪
@jeniffermuoka11256 жыл бұрын
I listen to this song ten times when in the house be blessed Emaus and may you go far in praising
@neemasimbeye54072 жыл бұрын
Yaani nawapenda Emmaus band adi naumwa 💋💋💋💋💋💋
@jackjackson61133 жыл бұрын
Emaus bend nawapenda San mungu Awe nanyi
@emmanuelrobert5043 жыл бұрын
Emaus bend album, aict makongolo choir, aict Chan'gombe vijana choir album, malampaka happy album, Anastasia mkabwa ft Rose mhando,
@josephinenyaundi6624 Жыл бұрын
Waaau may you be blessed abundantly, I love your energy and singing from deep of your hearts ❤❤❤
@paulcosmas79412 жыл бұрын
Mungu awabariki mnajua kinirudisha kwenye njia ya Mungu
@aggydush63172 жыл бұрын
I love the small boy... Mpaka anafeel hio song ... Congrates
@EMMANUELSHIJA-fz7du10 ай бұрын
Hongereni sana watumishi wa Mungu naifatilia sana emaus band kahama nalishikaga sana japo sikiliza nyimbo zenu
@GodfreyMasika-q1y7 ай бұрын
Yule dogo wa mbele atakuwa kakua siku hizi
@Ruganzu1232 ай бұрын
mungu akupe wepesi ktk wmbaj wako
@JohnMusau-m4q2 ай бұрын
Hiyo wimbo ni mzuri, naomba unitumie kwa my phone.
@moseslagat4463 жыл бұрын
My favorite song to dance 🔥🔥can’t just sit and listen without dancing 🙌
@GeoffreyMutuku-b5i Жыл бұрын
Waaah,,❤❤❤, smartee sana,,
@lizzycharles50617 жыл бұрын
yes mwimbo mzuri naupenda mnoooo
@gladnesssidiu4922 Жыл бұрын
Naupenda huu wimbo milele😊
@danielmathengeofficialpage40582 жыл бұрын
It's a job well done, you are an inspiration to my heart and soul and hope to many . keep up!
@LeonardmaigeKidonge7 ай бұрын
Kweli mwana damu una ringia nn sasa duniani tuna pita jaman
@PeninaAgai Жыл бұрын
Hii nyimbo naipnd sana❤❤❤❤❤
@ChristopherSaimon-ts1xl Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@amathanireuben20982 жыл бұрын
Nyegezi sda
@NeemaOsca Жыл бұрын
Kwa.kweli.naupenda.huu.wimbo.mung.awabarik
@ts42992 жыл бұрын
I love this song so much keep up ɢʊʏs🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏽
@peterwatenyela53037 жыл бұрын
Asant sana waimbaji Wa Emaus Band Kahama mubarikiwe sana mmenifariji.
@mikapeter4957 жыл бұрын
mungu awabaliki
@mussamakungu72095 жыл бұрын
Mungu bariki hawa waimbaji make huu wimbo naupendaga sana, sana,sana!!!!!
@irenenduku46653 жыл бұрын
Nyc song indeed....barikiweni
@GraceJosephati Жыл бұрын
Bwana. Awabariki. Sana. Amen
@barakaabery Жыл бұрын
nawakubali Sana watu wa nyumbani kwetu mbalikiwesana
@danielman734 жыл бұрын
Fantastic may God bless you
@wifridadastan90448 жыл бұрын
Bwana awabariki sana kwa utumishi wenu
@jamesandrea10445 жыл бұрын
Mi james
@maryamhongelamama73263 жыл бұрын
Mubalikiwe
@JoshuaMwamahi Жыл бұрын
I love your songs congratulations
@elishajoshua95904 жыл бұрын
Ni zaidi ya uimbaji
@Mariam-lu1mg2 жыл бұрын
Wimbo huu unaujumbe mkali Sana
@veronicamnico47734 жыл бұрын
Yaah duniani tunapita, malingo achana nayo.
@salomewandya72572 жыл бұрын
Tunajisahau sana
@ChristineNdunge-c3y6 ай бұрын
Amen 2024
@DanielMusembi-x9i Жыл бұрын
I really like this song plus style yake
@saidothmani75222 ай бұрын
Amine 🎉🎉
@hermanjoseph95066 ай бұрын
Achan na mamb ya dunia,good song
@barnabamagesa77588 ай бұрын
Amina
@nelsonbisi64992 жыл бұрын
Good song message sent
@winnymbula4 жыл бұрын
Hii ni wimbo yangu kila siku na penda
@webingogo36334 жыл бұрын
Huyo dogo ananibariki acha kabisa!
@jonathnjoshua Жыл бұрын
naupenda sana huwimbo
@neemamtunzi35924 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nakumbuka pindi mlipo kuja ngara tulienjoy sana karibu tena
@neemamwasenga5703 жыл бұрын
Nawapenda sana
@lordorcas93442 жыл бұрын
Batoto y’a YERUSALEMU SHALOM
@romadyelia75064 жыл бұрын
God bless Emmaus band
@lindahoney3608 жыл бұрын
I love the song....
@gabrielamrutu62772 жыл бұрын
My favorite song 🔥🔥🔥🥰
@momylaviel8 ай бұрын
🎉🎉🎉
@NAOMIPHILIMON9 ай бұрын
Mbarikiwe xana
@HappyTomas-y4c Жыл бұрын
mwa madam
@bonfaceotieno78622 жыл бұрын
Best ever
@irenemwende7944 жыл бұрын
My favourite song
@gerardpaulshinyanga87582 жыл бұрын
Tuachen maov tumkumbke mungu wetu
@deusshigegele17913 жыл бұрын
Kwa kweli ujumbe ni mkali hasa
@emmanuelrobert5043 жыл бұрын
Eti na jaman nataka kuwa na album ya nyimbo hizo et nifanyaje niwe naangalia kwaya KZbin bila ata kuwasha bando nisaidie ndg yangu
@nessmictam868311 ай бұрын
2024 ❤❤❤❤
@olivianiyonizigiye86404 жыл бұрын
God bless all of you
@mussadeusdedith27266 күн бұрын
2025 here🎉
@sengatv71012 жыл бұрын
God bless all members of choir
@DANIELYOEL-lm8vy11 ай бұрын
Mbona nyie watumishi . mnashangaza Dunia😢 wimbo mumeufunga usidownloadiwe!!!
@mariamgedi26944 ай бұрын
Mm pia kila nikitaka niuchukue nashindwa
@TAJIRICALVIN7 ай бұрын
2024❤❤❤❤
@olivianiyonizigiye86404 жыл бұрын
Good song
@shahnkate2 жыл бұрын
My favorite song 🙏🙏🙏
@FrankThomas-s1z Жыл бұрын
Mubarikiwe
@margaretwangari18514 жыл бұрын
I love this song. The message is strong. Be blessed