Mwenzenu nikimiss kuangalia bongo move bas Huwa na angalia hizi bas na enjoy jamn 😍😍😍😍
@GadnagihabashiHassaniАй бұрын
Ww km mm
@safiaadan93045 жыл бұрын
Really nilikuwa nasubiri sana hii part 2 kama ulikuwa unasubiri kama mimi basi gonga like bapo chini😘👍👊
@elizagadau1835 жыл бұрын
Nice
@mussajossy39145 жыл бұрын
Part one sijaion humu
@michaelelias50425 жыл бұрын
Good Sana move nzuri sana
@michaelelias50425 жыл бұрын
@@elizagadau183 good
@getray33942 жыл бұрын
movei mzuri sana good work
@stevenswai46397 ай бұрын
Leo ni 14/06/2024 nikiwa naangalia movie za Wajina Marehemu #Steven Charles Kanumba.. Tasnia ya bongo movie imepata pengo kubwa sana aisee, You were very important Actor in our Nation, True legend of All Time. Binafsi nitajivunia uwepo wako kupitia movies ulizoziacha ingawa uwepo wako haupo..
@BettyMshana7 ай бұрын
Nan ana angalia hii movie 2024🤣🙌
@MariamuPaulo-ui2kt6 ай бұрын
Stivnikanumba
@PaulKitavi6 ай бұрын
mimi apa
@lydiahboyani22756 ай бұрын
Time ilitoka tulikua wadogo huu ndio mda wetu 😂😂😂
@gracemumbi16945 ай бұрын
Tuko wengi😂😂😂
@GeorgeOgutu-lh3sn5 ай бұрын
😂😂mimi George apa😅😅😅
@nanaezoro2 ай бұрын
Nitakukumbuka daima kanumba😭😭🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@wkjshsxbbsbs63923 жыл бұрын
Kanumba my most, hundsome And my best actor among all am here 2022 it's all most 10years since you left but your movies are there for me na bado ziko na muvuto zaidi,I wish ungekuwa hai ungekuwa umefika mbali sana mahali ulipo Mungu ndio anajua na aendele kukupumzisha na kukupunguzia adabu ya kaburi much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shoshoaaa21765 жыл бұрын
Ati toba wema ametokea kama msichana mumbichi ❤👌 Kanumba ulikua wajua kazi yako kweli pumzika kwa mani
@olestamadaha81344 жыл бұрын
kweli
@saum9697 Жыл бұрын
😊😂
@JustineRebecca88 Жыл бұрын
Who else is watching this movie today(February 13, 2023 😂😂😂 ❤ I miss the old bongo movie 😢
@OFFICIAL-WANJIRU Жыл бұрын
Meee😂😂😂
@KanadeMrangu Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@hamzasuleiman96052 жыл бұрын
Yaaan Kanumbaaa , kwa ufund wako mkubwaaa , daaah HAKUNA aliyefikia level yako mpk leoooo, DAH MUNGU MWEMA SANAAAA 😭
@nicholaskipchirchir27362 жыл бұрын
We miss you Steven kanumba continue rest in peace 😭😭
@obadiahjusto28532 жыл бұрын
we miss you Steven kanumba
@robertmaloba891 Жыл бұрын
May almighty forgive his sins and put his soul to rest i miss u unckle stevo
@brendawekesa11083 жыл бұрын
I can't imagine that kanumba is no more, it's so sad to believe bt that's the reality we have to accept,r.i.p big brother.💓💓🙏
@bintdavid76724 жыл бұрын
Kanumba kanumba kanumba kila niangaliapo movie zako naumia najikuta nalia ama kwel kifo hakina huruma Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
@rebeccaumuhoza70212 жыл бұрын
Wema and steven kanumba was the best, i can't get tired of watching their movies, RIP brother kanumba 😭😭
@linuskaruru-ek7zs Жыл бұрын
❤🎉😂
@SoslyneNanjala-oi9zf11 ай бұрын
Rip😭😭
@muremamurema88673 ай бұрын
Ns
@muremamurema88673 ай бұрын
Vp
@JoyceObiero-c4m3 ай бұрын
Rqty @@SoslyneNanjala-oi9zf
@SmartArtisttz4 ай бұрын
Kanumba alikua fundi haswaa mpaka sasa sijaona mwigizaj kama yeye Mungu ailaze roho yake mahali pema
@TichaCozzie Жыл бұрын
Too entertaining and educative too.he was actually real and true African actor
@derickmuchonji84025 жыл бұрын
fantastic movie, mapenzi yana nguvu jamani 🇰🇪I don't believe kama stiv Kanumba alikufa 🤔🤔? kifo hakina uruma, mola amlaze mahali pema 😭😭😭.
@SayuniSemroki4 ай бұрын
Hakuna kama yy😅😅😅😅😅
@josephjoshuakubagwa33982 жыл бұрын
Jana nimekua nikiangalia Penina the jezebel Daughter, fake simile, she is my sister, stolen will, village pastor, the magic house and family tears bila kusahau Moses. zote ni visu huyu jamaa hatari sana alikua very creative
@JacksonLaitei-ro1jy2 ай бұрын
Sana
@spesdayana63235 жыл бұрын
Nimefurahisha sana kamaunaipenda kama,mimi,tia,like hapo,ongeesana
@MarieBahati-yq1sy6 ай бұрын
J'aime ces film
@lovenessnorasko58554 жыл бұрын
Hizi ndizo zilikuwa movie jaman,,,,mtu unaangalia hadi unaenjoy daah,,, kama vile marehemu Steven Kanumba aliondoka na tathinia ya filamu jaman namuombea apumzike kwa aman huko aliko.
@mrfirstborn28394 жыл бұрын
Tasnia hajaondoka nayo maana hizi movie sio zakw
@dyanatanz65745 жыл бұрын
Ila mama kanumba ulizaa jaman mmmh. Mtoto anasura mtoto anakipaj.wangekuwa binadam uwa wanarud tunge mludisha jaman. Pia alikuwa analoho nzur amewainua weng kimaisha. Tangia amekufa huyu kaka sijawah angalia bongo Mov wala bongo fleva. Nina atakuja kuzaa kijana kama huyu kwa hapo Tanzania
@mwanaidinyakarungu98235 жыл бұрын
Jamani mm ninapo sikia Kuhusu kanumba au kuangalia filam zake roho inaniuma sana
@christercharles56764 жыл бұрын
Sansa
@Jessy-f4n5 жыл бұрын
Aki mungu ungelikua unalibwa jameni ungeliaja uyu kaka awe hayi kweli dah Recit in pice brother setven kanumba me am still watching your movies 🙏🙏
@estherwafula2912 жыл бұрын
Wooow very inspiring na touching movie 🤔🤔 continue resting in place kanumba😭😭🙏 I still remember you as my hero
@leonardmanyanza10584 жыл бұрын
Hakuna kama wewe bro kila movie yako kali zote daaaah wap ray kama umependezwa na wolper alivyokuwa kwenye hii movie Angekuwa hivyo hivyo hadi leo gonga like hapa tujuane
@SayuniSemroki4 ай бұрын
Alikuwa na kipaji jaman
@beatriceherbert46735 жыл бұрын
I, jaman Kama Mungu angekuwa anatusikiliza Kanumba angerudishwa jmn hta bongo movie siangaliagi tenaaa, R. I. P mwamba wa bongo movie2025 pia nikoo
@wemachigunga18034 жыл бұрын
Beatrice Herbert j
@kingblack65602 жыл бұрын
R.i.p habibi kanumba bado tuna enjoy na ujumbe uliwo tuachia 😭😭
@KaristiOtto3 ай бұрын
Upi?
@TerryKathengiАй бұрын
Jameni l like this couple mbona hamukuona jameni...Aki Kanumba na Wema mlikuwa munaendana kabisa🥰
@queenjames10262 жыл бұрын
Kanumba alivyoita vivian my queen he is so romantic jmn rest in peace mr
@rosemarykatogomusanga16195 жыл бұрын
Oh my God l cant Control my dear.....This man Kanumba may God Rest his soll in Peace. Watching now 22..dece. 2019 from here Germany. ho gone too soon
@RehemaOrodo8 ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Nzur mwaya dah kanumba weye😭😭wema nawewe usikubali kukonda bwana we mzur ila huko kujikondesha ndio mbya napia mungu akufanyie wepesi upate mtoto 😊🙏
@BintimwalimuKogo5 ай бұрын
Amiin😊
@meshackkoech71854 жыл бұрын
Hongera watanzania ndugu zangu, mnatutia darasani sisi wakenya🤗🤗 , Uigizaji wenye hisia tamu sana....May God Bless Yu all,,,, Kaka Kanumba Rest in eternal Peace
@saidomary78804 жыл бұрын
We Dada unafaa kuwa kamanda wa jeshi maana unesi haukufai😂😂😂
@mujunvicta63794 жыл бұрын
Mm siangaliagi movie nyingine tofauti na kanumba
@paulmosomi6217 Жыл бұрын
Natumai Leo hii kanumba angekuwa hai basi tungepata picha nzuri kuliko hii
@magrethpoulpoul85855 жыл бұрын
Wallah nikimwona steve Charles kanumba moyo wagu wauma kam vile hajafa jmni this is pain reast in peace my brother 😭😭😭
@filberthabashi33665 жыл бұрын
Poleee sana neema
@magrethpoulpoul85855 жыл бұрын
@@filberthabashi3366 ahsante momy inauma wallah
@lucybaya31835 жыл бұрын
Kanumba kanumba kanumba mungu ailaze roho yako pema peponi..
@aishadaba70455 жыл бұрын
Ameen
@georgemashauri46575 жыл бұрын
Kanumba! Mmmmmmh! Ulifaa kuwa mwanajeshi uvae gwanda unes haukufai.
@JulianaMasinde7 ай бұрын
Nimeipenda sana
@aminasarah20493 жыл бұрын
Msichana mbichi 😂😂😂 kweli haiboeshi ,naitazama Leo July 2021
@wahidabogoyo89095 жыл бұрын
Aisee doctor yupo vzr mungu akubariki
@abelmsugala-io3jy Жыл бұрын
What an act from wema sepetu and kanumba💥
@chrissblack84774 жыл бұрын
Rip Steven mungu ailaze roho yako mahala pemA pepon everyone say ameen by like
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Mm naitazama leo siku ya valentine nani mwengine gonga like
@milliardere91773 жыл бұрын
Fanya utupe zile nyimbo zako
@shitudeko7063 жыл бұрын
EDUUDUHHDY3R0@@milliardere9177 QA qqqil KK pillows ikooonmmkkASKK7
@MarthaMutheu-u7y2 ай бұрын
Iko poa movie 🍿🍿🎥🎥
@AminaAbrahmani3 ай бұрын
daah inauma ungekuwa mpk leo kanumba mngeowana na wema mmependezana sana rest in peace
@shadyowino14062 жыл бұрын
Kanumba remains the best imajini
@twalibumasinga62534 жыл бұрын
Daah siku kama ya leo 7_4_2012 ulitutoka saiv yapata miaka 8 tutakukumbuka daima kanumba😭😭
@christinarobert475 жыл бұрын
Movie hii naipenda sana hata nikiangalia kila cku ham haiishi love sana
@lilianeliasi31374 жыл бұрын
best wife
@mtaanitrendsonline72304 жыл бұрын
wewe ni kaa mimi
@ModesKazimil11 күн бұрын
03.01.2025 nimeangalia hii movie nimekumbuka mbali sn maisha ya legendally wangu kanumba ,pumzika kwa aman
@masikevin2268 Жыл бұрын
The best bongo movie ever 💕💜
@salumukaisi42223 жыл бұрын
Wemaaaa nakupenda mpaka Basi dah unallamika mpaka unsniliza dah
@jescaahpiusy78322 жыл бұрын
Jamani nzuriii sana kanumba rest in paradise
@mwanaidithabit88502 жыл бұрын
Utoke hapo utoke in kanumba voice!tunaoangalia 2022 tujuane hapa
@ebenyokatia59845 жыл бұрын
Nice movie........... Missing our great man Stephen kanumba🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mdangamdanga65354 жыл бұрын
Bonge LA muv
@paulondiek13454 жыл бұрын
Kanumba alikuwa akijitwika gunia la mizumari ingawa kichwa chake kina upara 😂😂😂😂😂😂😂 hakika mmenimalisha kabisha.
@modestarubunda42504 жыл бұрын
Huwa mara kwa mara nikiangalia hizi move za Kanumba, najiuliza kuwa hawa walokuwa wakiigiza naye, hawakuiga ht kidogo jamani?!
@bonvivant37044 жыл бұрын
MODESTA RUBUNDA aisee hata mimi najiuliza sana
@dannysishimwe35024 жыл бұрын
P) ll
@SaraaSaraa-i1j5 ай бұрын
3704
@NiyonkuruMustafa-c7m3 ай бұрын
Nimapoyoyo😂
@saudahassan66673 жыл бұрын
Mashaallah wemaa mlikua mnaendana saana na kanumbaa