Eee mungu baba naomba nami nifunguriwe nitenganiswe na ndoto mbaya
@maggiemuturi5010 Жыл бұрын
Mungu nikubuki ewe Elshaddai
@barakawilliams53865 ай бұрын
We Mungu wangu kupitia ushudà huu na maombi ya Mtumishi wako niponye na Mimi miguu, kiuno, mgongo, mishipa ya dam, weka Ute kwenye mifupa yangu, niponye
@barakawilliams53865 ай бұрын
Mungu nakuomba kupitia ushuhuda huu, na maombi ya Mtumishi, nifungue na Mimi na uzao wangu na familia yangu vifungo vya ibilisi vituachie, tukutumikie wewe peke yako Mungu
@salomeelias4748 Жыл бұрын
Nami naomba unifungue katika jina la yesu.
@ProphetMasunga5 ай бұрын
Niguse nami bwana Yesu niko hapa mombasa nifungue.
@HadijaYahaya-hu9ze5 ай бұрын
Eeh mwenyz mungu kupitia ushuhuda huu nifungue na mi.
@FurahaAmani-v8g4 ай бұрын
Pia mke wangu afungulie ktk jina la yesu
@jennynico3034 ай бұрын
🙏
@HildaBernard-t3n4 ай бұрын
Mungu anisaidie mm nipat mume mwema
@PendoKaaya-i2tАй бұрын
amina
@LeahChiro5 ай бұрын
Amen ,pia mm nifunguliwe na hio roho ya ndoa za kiroho ,mungu anibariki na ndoa yangu
@esnartkayuni558 Жыл бұрын
Mungu funguwa watoto wangu namimi puyaa
@AlfonceGwambiyeBilantanye4 ай бұрын
Mungu akubariki pastor, nimebarikiwa na ushuhuda huo nguvu ya ufunuo izidi hakika.
@ReineDorDiamant8 ай бұрын
Mungu naomba na mimi unifunguwe ukifunguwa wangine na mimi niko na mtu ananigusa usiku nanamusikiya naamuka naomba naomba Mungu anifunguwe sana🙏
@ChanceKahambu-c3q8 ай бұрын
Mungu nikumbuke nami nifunguliwe mbona shida zinanisonga,
@WinifridaMsafiriАй бұрын
Nitafunguliwa kupitia mathabahu hii kwajina la yesu
@esnathshop77805 ай бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi 🎉🎉🎉
@josinteromondi3 ай бұрын
Nami pia naomba nifunguliwe kupitia haya madhabahu nipone chronic infections na ndoto mbaya yaishe kwangu in Jesus name
@jeriahonkoba4 ай бұрын
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏
@Dieudonnemasango5 ай бұрын
Ufunguo wetu ni yesu kristo , kumwabudu katika roho na kweli ndo ufunguo wetu
@AmissaNduwimana-wt6ud8 ай бұрын
Asante Mungu Naomba namimi unifunguwe unapo gusa wengine Nami niguse usinipite😢
@lilianowti5477 Жыл бұрын
I tap the deliverance in Jesus Christ,amen
@elishaathumanathuman1611 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏
@esnathshop77805 ай бұрын
Asante nimebarikiwa sana nitafunguliwa kupitia ushuhuda wa huyu dada.
@franswazNyiramuhiza8 ай бұрын
Nami naomba unifungue katika jina la yesu usinisahau mungu
@rukiafredy81615 ай бұрын
Mungu naomb nifungue kupitia huu ushuhudu
@florajohn-z8g5 ай бұрын
AMINA anavyofunguliwa mama huyu katika ndoa yangu nami nafunguliwa.
@ruzindazajonas8506 Жыл бұрын
Ahwiiii !! Rose! Rose!!! Kweli !! Mbona hivyoo? Mungu wee!! Sijui niseme je!! Hio ni message tosha!! Mungu weee! Wasaidie walio wa kwako !! Yesu ni njia na uzima na ukweli !! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na hufanikiwa ktk yote.
@BEATRICEKEMUMA-r4l4 ай бұрын
Pastor niombee msichana wangu apate KAZI tumetexeka sana
@naimarishedy152310 ай бұрын
Eee mungu naomba nami nifunguliwe🤲
@RehemaMwaikenda4 ай бұрын
Ameeeen tenda miuniza
@monicaisuja8917 Жыл бұрын
Bishop sumbe niombee nipone magonjwa yote na nifunguliwe kiroho Roho ya kuomba imeondoka mwezi wa tatu sasa naumia sana
@purymumykarisa88637 ай бұрын
Amen and amen in the might name of Jesus christ
@naimarishedy152310 ай бұрын
Barikiwa sanaaa 🙏 mchungaji
@adventurio-co4ro10 ай бұрын
EeeMungu tunususuru na hizi roho Kwa jina la yesu
@JoshuaUlomi-h4o5 ай бұрын
Nisaidie yesu mwema
@Dieudonnemasango5 ай бұрын
Akufungue Kwa lipi, kwanza tupu zambi zako alafu umwabudu mungu katika roho na kweli ndo kufunguliwa: hiyo ndo ufunguo wa maisha yetu
@KastuliJohn-p1p Жыл бұрын
Bishop nakufuatilia vizuri, Nina shida ya kukataliwa, Kila nikipanga haitimii.😊
@RachelTulia4 ай бұрын
Eeee Mungu nikumbuke na mimi
@MamaroziNestory4 ай бұрын
Naomba mungu anifungue na mimi
@elizabethchiwamba83725 ай бұрын
Naomba unifungue na mimi Mungu
@Monicamallange Жыл бұрын
Eee mungu naomba na mim nitenganishwe na ndoto mbay za kutisha
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Dunia ina mengi kumbe watu wametekewa Hasa Mungu fungua Watu wako Wanaoteseka
@philistersbibi180 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU ni mwaminifu, naomba mimi pia mwenyezi MUNGU anifungua katika jina la YESU christo
@anjelamalaas8054 Жыл бұрын
Amina namimi ninaamini nafunguliwa kwa jina la yesu
@annalivini3940 Жыл бұрын
Yesu kwa kupitia mama huyu napokea uponyaji kwa jina la Yesu, Yesu niondolee na nguvu za giza zinasonitesa miaka mingi,Ee Yesu nisaidie.
@annalivini3940 Жыл бұрын
Mchungaji ndoto za huyo mama zinafanana za kwangu, Yesu nisaidie nipone.
@mikasangida10805 ай бұрын
Niguse na mm mungu
@elishaathumanathuman1611 ай бұрын
Amen Amen papa
@sifabeatricekelly9495 Жыл бұрын
Amen bishop, naamini na Mimi nimepona kupitiya iyi Maombi naufungulivu.
@بدرعبدالرحمن-ل5خ8 ай бұрын
MUNGU akubariki sana
@Eben-ezerNtumba11 ай бұрын
Sifa zi murudi mwenyezi Mungu
@lameckmbise4834 Жыл бұрын
Mungu mkuu ninakushukuru kwa uponyaji
@bahatikaaya3884 ай бұрын
Mungu anitendee na mimi jamani, nimeipata misscarage 6, na hapa nilipo nina ujauzito na doctor kaniambia hakuna mapigo ya moyo ya mtoto, mungu anitendee na mimi.
@enockmumbere84 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ amenn
@lilianowti5477 Жыл бұрын
Hata mimi nafunguliwa in Jesus name.
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa Wema wako
@jeriahonkoba4 ай бұрын
Baba naomba kufunguliwa nipate ndoa yangu na nipate mtoto ee mungu niulumie
@pricillaakoth417 Жыл бұрын
Mungu nami nfunguwe ukaniondele hayo mateso
@emanuelshila9343 Жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@agnesspaul18665 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@NGUVUYAMUNGUTV Жыл бұрын
May the Lord Jesus Christ deliverer you
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Eee mungu nifungue na mm sijaolewa na mda uumeenda nataman ndoa kupitia dada wa uganda alivyo funguliwa na mm yesu anitendee
@apiutsimiyu23544 ай бұрын
Niko kenya
@JosephSiparo3 ай бұрын
Utaolewa tu dada yangu ingia Kwa maombi
@RachelKingu-x6g3 ай бұрын
Ee mungu naomba nifunguliwe na mm kupitia madhabahu hii
@lilliannamusoosa5012 Жыл бұрын
Amen
@ScolasticaJoseph-r8y4 ай бұрын
Niombeee naumwa mgongo na kiuno
@elizammary71869 ай бұрын
Kweli Mungu yupo🙏
@olaissmollel8mollel8-ou6dm Жыл бұрын
Ameen baba
@peterkimanthi5874 Жыл бұрын
Aminaa
@marykhaday7533 Жыл бұрын
Ee mungu nisaidie na mm mwanao kupitia maombi ya mtumishi wako
@beatricerichard6046 Жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu, Mami najiungamanisha na maombi haya , Mami naomba kufungjliwa na kuondolewa jini mahaba kuazia sasa, niwe huru kwa jina la Yesu Kristo, Amen
@lilianowti5477 Жыл бұрын
Ameeeeeen
@millicentrabera Жыл бұрын
Pia mimi nasumburiwa namajini kaba niombeeni n jesus name
@julietrehema9845 Жыл бұрын
Hiyo iliisha sasa
@NancyKilei4 ай бұрын
Nimeachika 10 yeas paster niombee plz
@ManirakizaAimee5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@millicentrabera Жыл бұрын
Wonderful from God
@UpendoMfimwa9 ай бұрын
Njoo na iringa mtumishi
@DevotaLedawi5 ай бұрын
Devota ezekieli kutoka keñya watoto Wangu wamekuwa vituko sijui ñini nisaidie mtumishi
@felixbenos6365 Жыл бұрын
God is everything
@lovelynermbuche1635 Жыл бұрын
Glory be to God🙏
@annaemidi8049 Жыл бұрын
Powerful 🔥🔥🔥🙏
@ConsolataFabian5 ай бұрын
Naomba pasta niponye nyonga inauma na pia nimeshuka kiuchumi nisaidie baba
@Eddylast Жыл бұрын
Nami pia namini nitafunguliwa kupitia huyu dada
@HurumaMalipula2 ай бұрын
Mtumishi naomba uniombee na mimi nipate mume sahihi wa kunioa
@lilliannamusoosa5012 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@Dieudonnemasango5 ай бұрын
Huyu mchungaji awezo kuwa ufunguo wa maisha yako wewe
@ruthsagome6220 Жыл бұрын
Nifunguliwe kutoka kwa maroho ya ndoto mbaya na watoto wangu wafunguliwe kimasomo walirudishwa nyuma na watu najua
@nikolaus-ez7lu Жыл бұрын
Nami naamini yesu ananifungua sasa hii.amina.
@julietrehema9845 Жыл бұрын
Imeshindwa kuzimu kwa jina la yesu
@ReginaGhati8 ай бұрын
Ikawe kwangu kupitia ushuuda huu
@mmas3978 Жыл бұрын
Emungu na omba na mimi nifunguriwe
@Mary-hx9yn Жыл бұрын
Hio ni roho imenikalia kwa muda mrefu lakini kupitia kwa huyo dada nitafunguliwa kwa jina la yesu
@vestinedusabe4285 Жыл бұрын
Mimi pia dada angu kama hivo namimi ninaimani itafunguka🙏🙏🙏🙏
@KhadijaJacob4 ай бұрын
Amina
@JosephSiparo3 ай бұрын
Amina
@rerisamba5 ай бұрын
Watu wanajua kutesa wenzao
@immahkisuke1564 Жыл бұрын
Amen hakika ww ni MUNGU TU
@ElinaBernard-ih7xp5 ай бұрын
Unapogusa wengine baba naomba niguse na mm
@lilianowti5477 Жыл бұрын
Niko Kenya,nawapata vipi watumishi,nataka kuja kanisani.
@lucychamwi3903 Жыл бұрын
Kila ufanyacho fanya kwa upendo
@TatuRashid-d6t5 ай бұрын
Uko mtaa gani mwanza pia dar?
@franckkalao78919 ай бұрын
Kufunguliwa, Sawa. Kwa Nini ameachana n'a même wake wa kwanza? Atengeneze n'a mumewe wa kwanza
@بدرعبدالرحمن-ل5خ8 ай бұрын
MUNGU ndio aichunguzae mioyo yetu..
@eptz20204 ай бұрын
Kuachana kwake kulisababishwa na hayo majini mahaba na yakitoka yawezekana mume wake akarudi kumtafuta.HAYO NI MABAYA SANA NA YANAVURUGA KILA KITU
@ljaymasaai7038 Жыл бұрын
Abariko mutumishi wamungu naitwa saitoti laizer naomba uniombee maana Niko kazi nafanya lakini sioni mavanikio nalipwa kbisa lakini sinyanjii kitu maisha yangu inayumba yumbatu nataka kuja kwako baba uko wapi
@AnitaJohn-o4r3 ай бұрын
Samahan asikofu mbona huyu mwanamke alikuwa ni mwana maombi lakini imekuwaj haya mambo kwamba alikuwa hajasimama vizuri kiroho au shida ilikuwa nini?
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Mch,naomba maombi yako natamani ndoa na walionizalisha wamenikimbia nimebaki na watto wang wachumba wanakuja ila hawarudi kutoa mahari ila kupitia ndoto naona yupo mmewang ila bado kumuona naomba yesu anikumbuke na nivuke mlima
@jacklinemfangavo84644 ай бұрын
Yesu nikumbuke na mimi
@ObadiahMutambo5 ай бұрын
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑛𝑖𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑖
@josinteromondi3 ай бұрын
Nami pia naomba nifunguliwe kupitia haya madhabahu nipone chronic infections na ndoto mbaya yaishe kwangu in Jesus name