A powerful miracle preaching gospel be blessed Apostle 🙌
@Estherwangui-e8vКүн бұрын
Amen 🎉i receive it
@annltendiritu8639Күн бұрын
I love God of Jesus winner ministry roysambu.
@favourjoel3229Күн бұрын
Mungu niponye nakusihi
@ruthgiikwa7522Күн бұрын
marigiti neno smart inajenga sana
@RuthwanzaRuthwanzaКүн бұрын
Amen and amen God Guide me to your way
@JosephKamau-fb9rcКүн бұрын
I need a lot of prayers plz
@cmuthoni-e4jКүн бұрын
Amen 🙏 nitapelekana na Mungu kila wakati
@LucyNjoki-vj5zvКүн бұрын
So powerful sermon glory to be to God
@CatherinekungsКүн бұрын
Amen
@sherrienduati2038Күн бұрын
AMINA. Wakristo Mwenyezu Mungu Ataponya mji wa Kenya. Vile Mungu Alikuwa Ametubariki hapo awali hivyo ndivyo Atakavyotubariki. Atatutakasa dhambi zetu zote. Ile tulifanyia Mungu mwaka uliopita na miaka iliyopita hiyo uovu wote Ametusamehea na Ametutakasa. Mji wa Kenya utakuwa sababu ya furaha kwa Mungu na mji wa sifa na fahari mbele ya mataifa yote duniani. Mataifa wataogopa na kutetemeka kwa sababu ya fanaka Atakayoletea mji wetu wa Kenya. Katika mji wa Kenya na katika barabara za Nairobi ambazo ni tupu humo kutasikika sauti za vicheko, furaha, harusi na sauti za waimbaji wakileta dhabihu za shukrani katika Madhabahu ya JWM wakisema: Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.
@sherrienduati2038Күн бұрын
AMINA. Wakristo Mungu Ataweka moyo wa kumuogopa ndani yetu ili tusimuache. Kwa hivyo hatutafikiria kitu ingine, tutafikiria tu Mungu. Leo Mungu Anataka kuweka Roho Yake tuwe tukimsifu, tukimuabudu, tukimuomba, tukimuinua, na tukimtukuza. Mungu Atafurahi Kututendea mema. Atatupanda na Atatubarikia kwa hii mchanga hata kama tulilaaniwa na tulirogwa, na Akitupanda nasi ni kukua na kuendelea. Kama vile mabaya na mashida ilikuja Amebadilisha leo na Amesema hivyo hivyo ndivyo Atakavyotuletea mema. Mashamba yatanunuliwa nchi hii ya Kenya ambayo tunasema Nairobi hakuna kitu. Imekuwa ukiwa kwa sababu ilipeanwa kwa maadui. Tutanunua mashamba kwa fedha, tutazitia sahihi, tutapiga mhuri na kuweka mashahidi.
@DavidKioko-x3rКүн бұрын
Amen ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@eussiengugiКүн бұрын
Amen Amen 🙏
@muthonimaina9652Күн бұрын
Amen . year of perfection
@Salomenyambura-u4lКүн бұрын
Lets have faith in this year,,
@DavidKioko-x3rКүн бұрын
God bless you
@Salomenyambura-u4lКүн бұрын
Thanks for the power full ward
@Salomenyambura-u4lКүн бұрын
Thanks for the powerful words.
@MarianaWangareКүн бұрын
Kenya must heal
@hannahnyaguthii-hk5bmКүн бұрын
Mungu wangu niponye .It's a very blessing word
@DJFREDDIE254KenyaКүн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏 Amen and thank you for the good word of Goy
@MarianaWangareКүн бұрын
Amen and Amen
@JosephKamau-fb9rcКүн бұрын
Amen 😊
@elyhillary2000Күн бұрын
Ameeeeniii 🙏🏿
@CelebVibe01Күн бұрын
Amina. Wakristo kile tuliahidiwa kitatimia mwaka huu kwa sababu Mungu ni wa Ahadi na Ahadi ya Bwana haivunjiki
@JaneWanjiku-v3zКүн бұрын
Ni ujumbe ulikuwa na nguvu za kipekee our God is very powerful
@sherrienduati2038Күн бұрын
AMINA. Wakristo Ahadi ya Bwana itamimia mwaka huu. Kile kilitawanywa na maadui Mungu Anaenda Kukusanya siku ya leo na chochote chetu kilipotea kinaenda kurudishwa tena mwaka huu wa 2025. Sisi tutakuwa watu wa Mungu na ikiwa sisi ni Wake lazima tutabarikiwa. Atatupa roho moja na nia moja, kwa hivyo mwaka huu kile Mungu Atatuahidi Hatakuwa na nia mbili. Nasi tuondoe hiyo roho mbili tuweke roho moja ya Mungu. Tutabarikiwa, watoto wetu wabarikiwe na watoto wa watoto wetu na watakao kuja wabarikiwe. Mambo hatujawahi ona, sikia, na kufikiria ndio Mungu Anatupangia mwaka huu. Hivyo ndivo Mungu Anafanya kwa wanaompenda. Mwaka huu tumpende Mungu na mioyo yetu, mawazo yetu, mafikira yetu na miili yetu. Naye Atafanya Agano la milele nasi ya kwamba Hataacha kamwe Kututendea mema.
@AnnoyedAntenna-fm6rk14 сағат бұрын
Wow😂🎉 Merry Christmas 🎄
@esthermurage514820 сағат бұрын
Thank u apostle...these is exactly what God is going to do for me these year.