Ahadi ya Yanga kupata uwanja ipo pale pale

  Рет қаралды 53,277

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 136
@alimwinyi4650
@alimwinyi4650 3 ай бұрын
Twahitaji kadi za uanachama Mombasa Kenya
@nicolausfrancis2948
@nicolausfrancis2948 3 ай бұрын
Mungu awalinde na kuwatunza, Uongozi pamoja na wachezaji, Mchezaji,
@FrancisMwamboma
@FrancisMwamboma 3 ай бұрын
Mwenyenzi mungu akujalie uzima rais wetu daima mbere nyuma mwiko
@MileyMziray
@MileyMziray 3 ай бұрын
Andre Mtine🔰🙌🙌we love you appreciation post
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 3 ай бұрын
Daaah Watu wenye akili timamu wanakera jinsi wanavyoongea Rais anongea kama hataki Ila hizo nondo anatoa Salute watani
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 3 ай бұрын
Acha mapenz ya kiboya ww unadifia mwanaume mwenzako kwani baba Yako Hana akili?
@clementmgongolwa8316
@clementmgongolwa8316 3 ай бұрын
Hapa ni wanachama wenye hakili timamu tu ndiyo wanaomuelewa rais wa club hii ya yanga lakini ukiwa na hakili pungufu kama akina magoma na wapambe wao hili hawawezi kulielewa
@ramseydasilva
@ramseydasilva 3 ай бұрын
​@@clementmgongolwa8316😂😂😂
@marystambuli8045
@marystambuli8045 3 ай бұрын
​@@abdulikilala5902 Una mawazo mgando. KAZI Yako kufikiria mambo ya ajabu ajabu. Huna ustaarabu kbs kwani amekosea nini hapo? kumsifia imekuuma. Huo ni Wivu tu unakusumbua.
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 3 ай бұрын
​@@abdulikilala5902😂😅😅ukichojibu na akichokiandika vitu viwili tofauti kolo yako kunywa maji
@athumanmapunda
@athumanmapunda 3 ай бұрын
Upo vizuri sana eng heris upo vizuri
@PATRICKPAUL-i9o
@PATRICKPAUL-i9o 3 ай бұрын
Uko vizuri kaka Mungu Akupe nguvu
@rudachrischris5300
@rudachrischris5300 3 ай бұрын
Uyu jama nakupenda sana tena na mukubaki sanaaaa mimi ni murwanda ❤
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 3 ай бұрын
Hongera Rai
@HamisiBakiri
@HamisiBakiri 3 ай бұрын
Big Brain president
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kuwa mlinzi na mtetezi wa timu yetu na uongozi wake na tutaendelea kumsifu,kumtukuza na kumshukuru YETE aliye kila kitu kwetu. Amina.
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 3 ай бұрын
Pamoja sana Rais Wa Boli Engineer Hersi Said 🔥💥💯💚🖤💛
@ABUBEKA-j3v
@ABUBEKA-j3v 3 ай бұрын
Umetisha boss
@saimonjmai801
@saimonjmai801 3 ай бұрын
Big up Rais wa mpira , Tunakuombea . Yanga bingwa 🔰🔰🔰💪
@petersynto2043
@petersynto2043 3 ай бұрын
Tunakukubali sana kiongozi upo vzr 🙏🙏🙏
@rajabumachemba7321
@rajabumachemba7321 3 ай бұрын
Hongera engineer hersi🎉🎉
@PlanetLeo721
@PlanetLeo721 3 ай бұрын
Perfect ! Hersi. ila reporter weka simu mbali. Your attentive is very important during this interview.
@stephanokaguo6531
@stephanokaguo6531 3 ай бұрын
Bravo La President Engineer Hersi Said. 🔰🙏🏿🌍✅
@emanuelsamwel999
@emanuelsamwel999 3 ай бұрын
Nimetranslate comment yako na hii ndo imeleta google " Raisi wa Bravo la Mhandisi Hersi Saidi" 😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
​@@emanuelsamwel999Ila wewe mwanangu mkorofi aswaaaa😅
@emanuelsamwel999
@emanuelsamwel999 3 ай бұрын
@@ukhutfatumah1154 serious ndo anaileta google 😂😂😂
@masoudmwakoba2757
@masoudmwakoba2757 3 ай бұрын
Huyu mwandishi ni moja ya waandishi bora sana, waandishi wetu uchwara wajifunze hapa
@daudasajile813
@daudasajile813 3 ай бұрын
We love young African sports club
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 ай бұрын
Hongera rais
@JumaMusa-q4y
@JumaMusa-q4y 3 ай бұрын
Hongera sana enjinia
@MsafrPop
@MsafrPop 3 ай бұрын
Habari zayaga
@sheezy96sarah55
@sheezy96sarah55 3 ай бұрын
Engineer ur the best president ever.Daima mbele nyuma mwiko
@OctavianMbunda
@OctavianMbunda 3 ай бұрын
Hongera injinia
@atupokilemwakajila7179
@atupokilemwakajila7179 3 ай бұрын
Bravo bravo
@willfredwilfred
@willfredwilfred 3 ай бұрын
big boss dar young african boss
@barakahmichaels1631
@barakahmichaels1631 3 ай бұрын
Young African's 🙌🏿👊🏿
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 3 ай бұрын
Injinia yupo vizuri.
@musatv9688
@musatv9688 3 ай бұрын
Ukimsikiliza magoma huambulii kitu 😂😂 ila kwa huyu nmemwelewa sana tna rais huyu aongezewe mda atatufikisha mbali
@ElizabethMichael-fo4cn
@ElizabethMichael-fo4cn 3 ай бұрын
Mungu akubariki rais wa mpira
@ElikanaMashauri
@ElikanaMashauri 3 ай бұрын
We love you President and no one can take you from us 💛💛💛💛💚💚💚💚💚
@User92.invisible
@User92.invisible 3 ай бұрын
Safi
@makundyajaphet9823
@makundyajaphet9823 3 ай бұрын
Tunasubiri uwanja tunakuamini Rais wetu
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 3 ай бұрын
The president
@Josephstanley-vg7xe
@Josephstanley-vg7xe 3 ай бұрын
Mr President anaongea perfectly bila hata wasi wasi yaani ndio uzuri wa maengeneer
@ZulekhaBaksh-ii4fk
@ZulekhaBaksh-ii4fk 3 ай бұрын
Raisi wa Yanga Anavyoongea kwa ufasaha mungu akusaidie daima mbele nyuma mwiko💚💛💚💛
@omarybashiry5930
@omarybashiry5930 3 ай бұрын
💚💚💚🙌👆We love
@zayed8645
@zayed8645 3 ай бұрын
Tupo wananchi 💚💛🖤
@BrunoAndro
@BrunoAndro 3 ай бұрын
Ongera sana rais kwa kuijenga yanga Africans
@SamweliMoleli-j6y
@SamweliMoleli-j6y 3 ай бұрын
tarifa yabari bbccc
@PmanNkunga
@PmanNkunga 3 ай бұрын
Jamani ivi katiba ya yanga inaruhusu kumuongezea muda rahisi krabu hiyo? Kainawezekana helisi tusimwachie aondoke maana Yuko smart sana dah!
@issampenjage9960
@issampenjage9960 3 ай бұрын
Genius
@DanielGaspel
@DanielGaspel 3 ай бұрын
Hivi kiongozi wangu Mangungu anaweza kuongea kwa utulivu kama huu
@carlosakili3526
@carlosakili3526 3 ай бұрын
Hongera Rais wa wananchi,kuhabarisha jamii maendeleo na maono ya yanga ya kisasa,nyie hamwogopi ! Rais anapata platiform za vyonbo habari kimataifa subiri tuone 3yrs mbele.daima mbele nyuma mwiko
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 3 ай бұрын
Injinia usiogope tupe majukumu wanachama na mashabiki wako tuchangie hata kama kitakuwa kidogodogo kitasukuma tu. Mfano ukiweka special accounts za benk na simu tunachangia kila mwezi ndani ya miaka miwili ni income ndefu hiyo 🎉🎉
@dvj_don
@dvj_don 3 ай бұрын
Rais mwenye mafanikio makubwa ndani ya Africa eng hers ally said tunaye na tunatamba naye 🔰🔰# daimambelenyumamwiko🔰🔰🔰🔰🔰
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 3 ай бұрын
President hersi
@yohanamwamahonje5415
@yohanamwamahonje5415 3 ай бұрын
Yanga bingwa
@rymondkombe3263
@rymondkombe3263 3 ай бұрын
Yanga mpoooooo Daima mbele
@JumaMuhunzi-qf1uf
@JumaMuhunzi-qf1uf 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@mariakeyamba9757
@mariakeyamba9757 3 ай бұрын
MR. PRESIDENT ❤❤❤
@EdwardElikunda
@EdwardElikunda 3 ай бұрын
Tunakuombea miaka mingi
@marthageorge5043
@marthageorge5043 3 ай бұрын
💛💚💚💚💛🔰💚
@samweledward7664
@samweledward7664 3 ай бұрын
Yanga Bingwa ✅
@Ayubuchonya
@Ayubuchonya 2 ай бұрын
Engnia ukijenga uwaja Wana yanga watafulahi sana na utaongezewa siku zakuishi hers mludishe dg las
@alphajonathanurio1227
@alphajonathanurio1227 3 ай бұрын
Raisi wa dunia 💚💚💛💛💛💯💯
@SimonJeshi-nq1hs
@SimonJeshi-nq1hs 3 ай бұрын
Nikajua anasoma kwenye karatasi Aiseee pelekeni watoto shure
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 ай бұрын
Shure=shule, rekebisha hapo msomi wetu.
@ndembeamanzi8500
@ndembeamanzi8500 3 ай бұрын
Mr President ❤ Ivi uwanja lazma ujegwe jagwani?
@AbuhTechTz
@AbuhTechTz 3 ай бұрын
Kuna faida nyingi San uwanj ukiwa pale makao makuu ,
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 3 ай бұрын
Ndio kwani we unataka uwekwe wapi ulipo tupa kiwanja
@law93king
@law93king 3 ай бұрын
president💚💛
@BABAGVANY
@BABAGVANY 3 ай бұрын
President
@goldenbrown1826
@goldenbrown1826 3 ай бұрын
Kweli tuichangie timu yetu
@MgasaEmanoeli
@MgasaEmanoeli 3 ай бұрын
Jamaa yupo Smart vbaya mno ana IQ kubwa kinoma hana uswahili uswahili
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 3 ай бұрын
Angekuwa yule mnyaturu angeanza na hasara aliyoipata😂😂😂😂
@nicksonngogo7904
@nicksonngogo7904 3 ай бұрын
🎉🎉🎉!
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 3 ай бұрын
Magoma ana points,mpeni
@MauAgent
@MauAgent 3 ай бұрын
Huyu jamaa IQ yake ni kari sanaaa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Yaaan rais wa yanga anajibu kwa unyenyekevu aswaaaaa yaaan kwanza analielewa swali ndio anajibu na sio kukurupuka hongeren snaa watani
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 3 ай бұрын
💛💛💛💛💚💚💚💚
@tinamalele8560
@tinamalele8560 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@SiogopiMaster
@SiogopiMaster 3 ай бұрын
Siri kubwa ni mungu na baadhi ya dua za mashabiki "BAADA YA KUWA TUMETIMIZA MAJUKUMU YETU"
@franciskavyega280
@franciskavyega280 3 ай бұрын
Big BRAIN
@marystambuli8045
@marystambuli8045 3 ай бұрын
Wasiwasi wangu isije serikali ikachelewa kuanza hiyo project hapo kwenye daraja jangwani. Hiyo ikatusababishia Yanga kuchekewa kuanza ujenzi wa uwanja. Maana serikali mambo yao huwa hayaeleweki. Mara kwa mara utasikia "Tuko kwenye mchakato""
@davismwape7500
@davismwape7500 3 ай бұрын
Mbna akina mangungu hawaitwi kuhojiwa....kuhusiana na mustakhabari wa team yao...😅
@ibrahimmwasamila6412
@ibrahimmwasamila6412 3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@monicalucas3738
@monicalucas3738 3 ай бұрын
Rais wa mpira anaongea🎉🎉🎉🎉🎉
@silvestamwakilema662
@silvestamwakilema662 3 ай бұрын
Simba na yanga imekuwa ngumu sana kujenga viwanja
@gervaslukaya
@gervaslukaya 3 ай бұрын
Yani kuna watu wanjua kukosoa wenzao.ukiangalia hata kula yao shida mngekuwa na elimu basi mngepata hata iyo nafasi aliopo injinia
@nebathkilatu2610
@nebathkilatu2610 3 ай бұрын
Kiongozi bora
@e.e5698
@e.e5698 3 ай бұрын
Bonge la interview...Muuliza maswali hana kona...ni straight to the point maswali ya msingi....Injinia ni kiongozi mwenye ushawishi...anakufanya umsikilize..
@dicksonchilongola-wm7ou
@dicksonchilongola-wm7ou 3 ай бұрын
Maneno manase Niko pandambili tunafurahi kua narais Bora eating yet
@joycekilango8382
@joycekilango8382 3 ай бұрын
Tunahitaji huduma nakusajili wanachama iletwe vijijini wengi wanahitaji
@anthonymashaka8075
@anthonymashaka8075 3 ай бұрын
Rais 🧠🧠
@OmariPazi-j8p
@OmariPazi-j8p 3 ай бұрын
Injinia ombi langu na usisitizo wangu kwako na uongozi kwa ujumla, mjitahidi na muwe siriazi juu ya huo ujenzi wa uwanja.
@abbaslivene
@abbaslivene 3 ай бұрын
Rais wa mpira anaongea, Watu wote mkae kimya musikilize nondo wadaku na wachambuzi mkae na muelewe na muende mkayasemee haya huko
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 3 ай бұрын
Magoma Anaskiliza?
@MandelaNdauka
@MandelaNdauka 3 ай бұрын
Kila lakher Injinia mashabiki tuko pamoja nawe
@SV_astro
@SV_astro 3 ай бұрын
13:30 uwanja
@FrancisMwamboma
@FrancisMwamboma 3 ай бұрын
Sii Wana yanga tunaitaji uwanja TU ukitutimizia hayo itakua rais wa yanga milele
@Yassin-z6o
@Yassin-z6o 3 ай бұрын
Le prezidaaa!? Kwa hawaogopi??
@lwengephillip7516
@lwengephillip7516 3 ай бұрын
Sio ahadi ni mpango
@ABUBEKA-j3v
@ABUBEKA-j3v 3 ай бұрын
Saf
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 3 ай бұрын
Tantizo ni hawa waandishi wa habari wanafata maneno ya mitaani. Ni wavivu, hawafanyi utafiti wao binafsi wa kuwawezesha kuuliza maswali yenye mantiki. Swali la mzee Magoma linashusha hadhi ya chombo na mtangazaji jinsi alivyoliuliza.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 ай бұрын
Ww na wao Nani anajua zaidi.Ficha na toa upumbavu wako.
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 3 ай бұрын
MAGOMA loading......
@BugaJames
@BugaJames 3 ай бұрын
😊
@mohdkhamis3857
@mohdkhamis3857 3 ай бұрын
Kesi ya magoma t anawashindwa mjenge uwanja???
@AllyMuhando
@AllyMuhando Ай бұрын
MKIAMBIWA WACHEZAJI WENU WAZEE MNABISHA HAYA ONA SASA MECHI TATU GOLI NNE VIJANA MECHI TATU GOLI TISA SI AIBU
@Kenedy-pf1ke
@Kenedy-pf1ke 3 ай бұрын
Mtangazaji uko makini entavyu yamaana nyuma mwiko
@SaidSimba-y9i
@SaidSimba-y9i 3 ай бұрын
always forward backward taboo
@dadysamsungalaxt8289
@dadysamsungalaxt8289 3 ай бұрын
Inginia ninaimani na wewe . Mchakato wa uwanja ninaomba ufanye hesa za costi za uwanja wasiwaachie wawekezaji pekee bali na wanachama pia washiriki
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 3 ай бұрын
uwezi kujenga uwanja jangwan tafuta seem nyingine
@FarahaniSalehe
@FarahaniSalehe 3 ай бұрын
unataka ajenge kwenu
@ramseydasilva
@ramseydasilva 3 ай бұрын
Atakuja kujenga matakoni kwako 😂😂😂
@youngshisha6115
@youngshisha6115 3 ай бұрын
Ukiwaa na hela unaweza jengaq ataa kwenyee baharii
@haidhautumwahawezikuisha8779
@haidhautumwahawezikuisha8779 3 ай бұрын
Subir uone
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Athari za maandamano  ya 'sufuria na vijiko' Msumbiji
3:51
BBC News Swahili
Рет қаралды 156
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 5 МЛН
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 86 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,5 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 203 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 21/11/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
Singeli: Muziki wenye utata Tanzania
32:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 4 М.
"Nilihisi mimi ni sauti ya watu wenye sauti zisizosikika”
49:38
BBC News Swahili
Рет қаралды 16 М.
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 5 МЛН