Ata mashabiki tuwe ivi,utani wa jadi utapendeza sana,nice
@JosephMwaipopo-r9cАй бұрын
Kweli kaka utani mzri nimependay sana
@LindaMbilinyi-n3nАй бұрын
Kbsaaa,lkn kwa mashabik inakuwa vita yaan mbk aibu
@mohammedkidody561828 күн бұрын
Yn hadi raha
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 күн бұрын
NDO inatakiwaa Kuwa Hivyoooooooooo umeongeaa pointingss
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 күн бұрын
Hamedy Ally Aliongeaaa Ukwelii mtupu tatizo lake aliongeaa kwa batasamu nono mpk ALLYMAKUNDI Akawa Anamchanganyaa Akili
@AminaMkumba-u3zАй бұрын
Halafu Mimi Hawa watu wawi huwa nawapendaga sana,maanake ni watu wanaofurahisha jamii. Kwanza Hawa ni marafiki Toka awali wakiwa Ofisi Moja hukoooo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@CheerfulRallyCar-sy8dqАй бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu ibariki Yanga Africans
@mohammedkidody561828 күн бұрын
Nafurahi sana kuwaona hawa watu pamoja kweli mpira sio vita❤🎉
@ramadhaniharuna5441Ай бұрын
Aliongea tangia 2020, Ahmed Ally yupo very smart kwa yale anayoongea.
@yasintairafay7030Ай бұрын
Inshallah yanga itashinda
@abdallahluhindaАй бұрын
Umesema kweli kabisa.
@Eligidiusjohn29 күн бұрын
Ndiyo!! Maana alisema ndani ya misimu minne!!
@ApterUpvcAluminiumАй бұрын
Sema napendaga sana wakikutana awa jamaa😂😂😂😂😂
@shanelmbunga130128 күн бұрын
Hamed na Ally nawakubali sana ❤
@PendoKaaya29 күн бұрын
Awa jamaa wanajua sanah Hadi wanaboa utani wao NI hatari
@ANGELUrassa-dm9rf4 күн бұрын
Jamn mnaikumbuka hii
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
MUNGU awatangulie huko 🙏
@OmaryNjalaleАй бұрын
Ally si unapenda watoto wenye macho mazuri, huyo kulia kwako kk kajiletaaa😀😀Kila la kheriii Wananchi, ushindi lazimaa🙏🙏💪💪💪💪🦵🦵
@boscosamson863029 күн бұрын
Kabisa
@Salumuhassani-v3y26 күн бұрын
Champion n young
@WanuSita29 күн бұрын
Kabisa washabiki tuwe ivi❤
@batashqiraa9936Ай бұрын
Hii inapendeza sana, utani kama huu ndio tunataka, sio uadui na matusi na kuvunjiana heshima
@MrishoMhina-y5fАй бұрын
Amesema kuanzia 2020 sio tokea tucheze klbu bingwa ni kuanzia mwaka 2020 hatujecheza mech 4 tukawa na point 4 Ahmed yupo sahh
@ribelatharaymond428329 күн бұрын
Mwisho wa siku mnaishiagaa wap....😂😂😂
@YvanHabonimana-g5u28 күн бұрын
Nice
@AmailahHassanАй бұрын
Imetokea kuwapenda sana🎉❤
@catherinecostantino203420 күн бұрын
Yametimia
@CheleleJames28 күн бұрын
Yang lazim tutoboe
@sharifushabani390627 күн бұрын
Dah ili semaji aise liishi miaka mingi
@elipidhugotesha1909Ай бұрын
Utani Wa.watani😂
@AbuuBinallyАй бұрын
Wenyee wanataniana nyi mnapanik nn
@DanielChaulaАй бұрын
❤❤❤❤
@sharifushabani390627 күн бұрын
Huyo utopolo amesha mpigia cm ahamed ally
@DJnaniiDjnanii27 күн бұрын
Mpira ni burudan
@CheleleJames28 күн бұрын
Ayo ni maneno t yang lazima atoboe
@maharagendondoАй бұрын
WANACHAMA WA TIMU HIZI MBILI MWAUNA UTANI HUO NA NYINYI INATAKIWA MUE HIYO UTANI MBONA MTAMU SANA
@SuleimanIbrahim-lp7qsАй бұрын
Mbona kinyonge sana kabwe
@NoorSaid-x2qАй бұрын
Yaani ally kamwe unabwabwaja maneno unaropoka hovyo
@JosephMwaipopo-r9cАй бұрын
Hapo we ndo umeropoka mbona wao wanaelewana tu
@emmanuelbitungwa76629 күн бұрын
Duuuuuuu....hivi unateswa na urafiki huu ukiwa wapi 😅😅
@mohammedkidody561828 күн бұрын
😂😂😂
@Ahmedsalum-l5sАй бұрын
Dua la kuku hali mpati mwewe kamwe hayo ni maneno ya mkosaji yaani hapo unapoongea kamwe roho inakuuma uso wako unaonyesha tu ibenge anawasubili kamwe😂😂😂
@relaxstarmanАй бұрын
Hawa jamaa nawakubali sana wanatupa raha sana 😂😂😂😂 uto awatoboi
@tiffan2807Ай бұрын
😂😂hawa watu me siongei niwaachee tuuh
@AmosJoseph-d7m20 күн бұрын
Mkummbusheni kamwe
@RashidHamis-o6w28 күн бұрын
Kamwe kamdomo kamdomo
@ZaituniHamis-g7d27 күн бұрын
Tatizo watani wetu wana simba wana hasira uhu mchezo autaki asira. Tulia mwana simba.
@eligiuskatombo92520 күн бұрын
Waandishi watafuteni hawa maafisa habari leo ndo tarehe 20
@relaxstarmanАй бұрын
Mchungaji amesha tabiri kuna kitim kidogo akitoboi lobo fainal, na dalili ishaonekena ni utopolo, hii ndio safari ya mwisho ,😅😅😅
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 күн бұрын
MGONJWA KABLA HAJANYWA DAWA ZAKE MAONGEZI YANAKUWAGA HIVI
@NuruShabani-h5z27 күн бұрын
achana na semaj lashilikisho
@MusaJuma-y4n27 күн бұрын
Wakaze
@daviceshau6447Ай бұрын
Ally ww ni zaidi ya kocha,uchambuzi unaujua
@RahaMbwambo26 күн бұрын
Tusha malizana na ibenge
@WilliamMaicko29 күн бұрын
Ubaya ubwela!!
@FatumaAthumani-y1o29 күн бұрын
Yaan wenyew wapo fair wanachekeshana na kuenjoy Kuna mijitu inapanik duuh😂
@Josephtibu-l9eАй бұрын
UBAYA UBWELA
@MatiasBroo-z7bАй бұрын
Uyu alkamwe mdomo unamponza sana
@josephgomalo41Ай бұрын
Anaoongelea 2003 wakati watu wazima tulikuwa tunamwangalia Edward Chumila, Dua Said, Malota Soma, Mohammed Mwameja, George Masatu, Jonathan Hoza, Kasongo Athumani, Selemani Matola, Hussein Masha, Deo Mkuki, Modest na wengineo wakimmaliza kipa la CAF Kanka Vemba wa Aviacao Angola uwanja wa Taifa? Hivi Ali Kamwe alikuwa bado anajinyea kwenye mapaja ya mamake au vipi..?
@HassanPyagulaАй бұрын
Ndio kaz yake ulitaka akae kimya😂
@jayman7865Ай бұрын
Kumb huy umbwa ni mpole sana maji yakiwa shingon. Ila uto bana
@josiacharles2778Ай бұрын
Mimi huu utani siutaki😂 mimi na yanga mhm 🤔 Simba na swala wakakaa pamoja kwa amani!😂😂
@IsraelMwakagire-hn8pnАй бұрын
Sisi hatusemi mengi
@robertzamani5612Ай бұрын
Huyu mwandishi wa kichwa habari ni muongo amemchana wapi bila woga wakati walikuwa wanapiga story na kutaniana
@BakariJuma-i7v29 күн бұрын
Hakuna utani wajadi ulishaishaga jadi
@HanaanOmaryАй бұрын
Yani Ali kamwe duu utalud umenuna
@PamelaHezronАй бұрын
Wamesha mlilia kheri wa mdumani poleni tp mazembe wameshasema mlichowafanyia vyumba vya changing kwa mkapa juzi wanasema hawana Cha kupoteza wanagawa utamu mechi zote.
@DaudiNasari-o9r29 күн бұрын
Unakuta watu wekine mtusi ya nn Ona awa mpir usapiki siyo matus
@Salimramsey-x8uАй бұрын
Mmh
@salomemongi1246Ай бұрын
Hao Simba wataenda robo fainalibila km kawaida hao ni mwakarobo Kwa hio wasijigambe sana
@YoungTjay-b9t20 күн бұрын
Pend San Simba
@CikeTanzaniaАй бұрын
😂😂😂😂
@AzhadSaid-j1tАй бұрын
6 Xavi mtupu
@BarakaNyakuruha26 күн бұрын
Uto wapi uko shirikisho mmefeli huko tumesha pita sisi ndo wakubwa bwana na tunaingia robo nyie vibondo makoro