Wanasimba 🦁🦁🦁🦁 twendeni tukalipe lakini ukihakikisha na MAMA na BABA yako umewatumia mara mbili ya huo mchango wa CAF
@shaibumohamedi685013 күн бұрын
Mwanga we n yanga waz waz uache unafki uspangie watu cha kufanya
@saimonntani683113 күн бұрын
Sasa mchngo waSimba unahusiana nini na mchango wa wazaziwako? Acha umbuzi mbuzi wewe bwege.
@Yuleyule-u6c13 күн бұрын
Nyiye ndo wale mlio telekeza wazazi wenu ndo maana unadhani mzazi anachangiwa kama timu ya Mpira.
@Jumamajate-is9ii12 күн бұрын
Bakuli iloooooooooooo limeanza uko mnyamani tajir kafokewa na familia kutoa pesa za upuuuuzi wa simba 😂😂😂😂😂kaichoka timu bakuli iloooooooooo
@saimonntani683112 күн бұрын
@Jumamajate-is9ii waache wachangishe kwani umeambiwa wewe uchange? Kama unawashwa sema watu waje na mafuta mjomba yapo kibaao. Wenyewe wamekubaliana kuchangishana kwani kunadhambi gani au umedhulumiwa wewe? Mkundu wako
@pascalmayo12912 күн бұрын
Mm nimechoka kushabikia Simba maana mambo yao ni ya ajabu sana kwnn tusiigi wezetu yanga wana soko safi cc kila cku michango afu hamna maajabu inaumiza sana hii😢
@ismailngulingar213313 күн бұрын
Watu wa simba walipofikia Imani ya mtu kutoa TV yake nje itakuwa ngumu sana wanaweza kuivunja kwa matokeo yoyote Yale maana mtu akishazoea kuharibu vitu akili yake itakuwa ni kuharibu tu Wacha waende bar au waangalie majumbani mwao
Alafu utatupa Nini maana timu tunaichangia inatupa burudani ww unayo burudani😂.
@EmmanueliEmmanuelimwita12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Six-k4b13 күн бұрын
Simba nguvu moja
@TumainiSawee13 күн бұрын
Tusha toa kesho Mungu akipenda itatimia
@KingFood-v6t13 күн бұрын
😂😂😂 bakuli limeanza mapemaaaa
@saidbakari799813 күн бұрын
Utopolo bhana umeelewa kinachoongelewa kwel
@NoelaJohn-p5d12 күн бұрын
Mtu utak kuchangia acha maan kuna mashabik wenyew wanatak kuchangia kwan wamekuj kukuambia ulip uwez acha ulazimish acha kulalamik simb ni kubwa tunalip sis ambao tumeomb watum namb tutume mashabik pia😮
@MikidadiAbdu-s6o13 күн бұрын
Duh kuna hela ilichangishwa ya kujenga uwanja mara baada ya babra kuzuiliwa kuingia na watoto uwanjani ilienda wapi ile
@alitante427913 күн бұрын
Semaji rudia hio mix by yas 😂 nimeipenda
@florasele19313 күн бұрын
Simba ya bakuli
@GwamakaAmosi13 күн бұрын
Bakuri leteni huku mlipiwe
@theodorasimbae730813 күн бұрын
Nitumie hiyo namba
@FrankMtwale-g3q12 күн бұрын
Bakuli mapema😂😂😂😂hamna boss me nlishasemaga hakuna team pale ni genge la wahuni😂😂😂😂😂
@mtalimaaloyce786013 күн бұрын
Nawakumbusha tu viongozi wetu, Kua hizo namba mlizo zitaja mnazifuatilia vzr mana pia wezi wapo. Kupitia hizo hizo namba zenu so kuweni makini
@ramadhaniraphael695513 күн бұрын
Bakuli mapemaaaaa😂😂😂😂
@ramadhanimanga907813 күн бұрын
Wanasimba tusiwasikilize watu wa upande wa upinzani ambao wanatushawishi na kikatisha tamaa tusichangie, ukifiatilia uharibifu wa viti na fujo ni mipango iliyokusudiwa kuiharibia Simba heshima iliyoijenga caf
@abednego387613 күн бұрын
Timu la wasenge.
@kilagane18313 күн бұрын
😅😅😅
@thomaswamburasautvipaummeo755613 күн бұрын
hahahahaha 😅😂😂😂😂😂😂 bado hujasema na hela za uwaja zilieda wap
@djbestseries563413 күн бұрын
Mo kagoma kulipa😂😂😂
@FrankMtwale-g3q12 күн бұрын
Hata mimi ngekuwa mo ngegoma asee siwezi endekeza upuuuzi😂😂😂😂
@FrankMtwale-g3q12 күн бұрын
Simba team kubwaaaa maviiiiii nini maaana ya team kubwa😂😂😂😂😂mchongo kama huu boss simu moja anamaliza
@saimonntani683112 күн бұрын
@@FrankMtwale-g3q kwani timu gani kubwa hapa Tanzania?Ndiyo Simba timukubwa imecheza robo fainali 6 naiko nafasi sasahivi ya5 Africa hakuna timu nyingine Tanzania nzima na East Africa yenye mafanikiio hayo. Yaani sababu watu wameamuwa wenyewe kuchangishana kwa mapenzi yatimuyao ndiyi useme hivyo? Kwani mnapo kula supu unajuwa ilasupu pesa inatokawapi?ilesupu mnayokulaga nipesa za dhuluma tunalijuwa sana hilo jambo.sababu sio shidazetu. Hizi dhuluma Mungu atahukumu siku ikifika.
@FrankMtwale-g3q12 күн бұрын
@ hivi we ni kiazi hee😂😂😂robo fainal mara6 ni kitu cha kujivunia kwanini usioneshe ukubwa wako ucheze fainal emu acha kelele bhna
@yudamagesa559412 күн бұрын
Kati ya mashbiki ziro ni ww yaani unafurahia robo kila mwaka kweli hamnazo @@saimonntani6831
@yudamagesa559412 күн бұрын
Hiiii ni ajabu kweli yaani mnajiita mashaabiki bora ndo mfungiwe kwenda uwanjani 😂😂😂
@Yuleyule-u6c13 күн бұрын
WANASIMBA TUTUME HATAKAMA NI BUKU 5.
@JoselinahChristopher12 күн бұрын
Kama unayo toa kama huna nyamaza
@jovinejaphet167512 күн бұрын
Natumaaa hapo semajiiiii
@Abuu-gs1yi13 күн бұрын
Duh tumeanzisha BAKULI kimtindo aseee😢😢😢😢😢😢😢😢
@LucasRuben-x1t13 күн бұрын
Tutashinda kwa pamoja na hili
@ManzabaySalim13 күн бұрын
Bakuliiiiii hiloooooooo
@abednego387613 күн бұрын
Hapo Mo hakosi milioni 100 ya kula na cabinet yake. 😅
Wewe ela ya kuchangia Simba ni Bora nikusanye nipate bati niezeke nyumba yangu
@TumainiSawee13 күн бұрын
Unafikiri kila mtu anawaza mabati wengine Mungu alisha tuvusha huko pole sana
@TheresiaMhagama12 күн бұрын
😂😂😂😂@@TumainiSawee
@adorchmassimba441312 күн бұрын
Haya sasa wanasimba inabidi muonyeshe ukubwa wenu ktk kuchangia club yenu pendwa
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg13 күн бұрын
Pia msirudie
@DaudMeck13 күн бұрын
Wanasimbaaaa hatuna ela
@LucasRuben-x1t13 күн бұрын
Wewe huna siyo hatuna
@TumainiSawee13 күн бұрын
Hatuna wewe vipi watu tushatoa
@pacomezouzoua917513 күн бұрын
Hili timu kila siku nasemaga ni genge la wahuni hii sio timu😆😆😆
@MirajiSoud13 күн бұрын
Kwani timu inapopata pesa kwenye mashindano mbali mbali na viingilio viongozi Wana wagaiya hiyo Hela na wapenxi wao kama hapana basi walipe wenyewe viongozi wasikwepe Majukumu yao
@saidbakari799813 күн бұрын
We nae utopolo tu kwaiyo mashabik wanavyojichangisha pesa kuwapa kina azizi k tuiiteje
@@saidbakari7998huna point bhna😂😂😂kaa kimya na genge lenu la wahuni😂😂😂
@saidbakari799812 күн бұрын
@@FrankMtwale-g3q sindano fc vp tena naww
@GwamakaAmosi13 күн бұрын
Matapeli sana haya
@AyubuAudax13 күн бұрын
Hatuchangi ngoo, nyie Cndomunapokea Bahasha
@ManzabaySalim13 күн бұрын
Njaaa kubwa hioo simba
@ismailngulingar213313 күн бұрын
Msizunguruke sana kosa mmefanya wote kwahiyo wewe semaji ndio uliowatuma kun'goa viti na kupiga wageni? Acha mambo ya siasa semeni viongozi tunaomba wanachama na mashabiki mtuchangie club inaukata acheni siasa weka bakuli tuchangie
@AlbertNgailo-l5k13 күн бұрын
Ahamed kilainapochezwa mechi ya simba tiketi tumeni namba kama ya leo tununue wamikoani hatakama hatutaingia kwentemechi
@GwamakaAmosi13 күн бұрын
Fujo tu mambululu nyie
@scopy042813 күн бұрын
Mudi katema Bungo 🤣🤣🤣🤣
@SebastianSabatho13 күн бұрын
Utaratibu wa kulipa faini ya CAF.😂😂😂😂
@alexandernyambo773913 күн бұрын
TIMU MASIKINI, VIONGOZI HAWANA PESA YA KULIPA FAINI YA UJINGA WA MASHABIKI WAO, KISHA MNAJIITA TIMU KUBWA,,, NA MLIVYO WAHUNI HATA HAMUAMINIANI BATA WACHAFU NINYI... HAYA TOENI PESA ZA UPUMBAVU WENU NA NDIYO MKOMEEEEE KUFANYA UJINGA UJINGA
@DullhFeyy13 күн бұрын
Kwani wewe unaumia nini hayo nimawazo ya baadhi ya mashabiki wenyewe wamelpeleka kwenye uongozi nawao wamekubali mawazo waliopewa huo nikama umoja na mshikamano nanimfano wakuigwa sasa wewe unaumia nanini bakia na tim yako inayo jiweza achana na simba hayo ni maombi yamashabiki wenyewe
@alexandernyambo773913 күн бұрын
@DullhFeyy Lazima tuwaambie ukweli bhana, kila wakati ni ninyi tu mnafanya vurugu😏😏 Mnaharibu sifa njema ya taifa letu... Tanzania 🇹🇿 ni nchi ya amani, ila ninyi mnafanya upumbavu wa vurugu kila mara... Kama hamjui kucheza mpira si muache sasa 😟😟😟
@SalvatoryMtunga13 күн бұрын
Kenya mda wote huwa ni vuruguvurugu sana, simba hamieni kenya mkachukue degree ya vurugu na msirudi tz kwenye ligi inayosimamia na tff.
@SalvatoryMtunga13 күн бұрын
Siyo inaumuza tu bali mmeleta aibu kubwa ambayo haijatokea kwenye taifa hili toka enzi hizo.
@alexandernyambo773913 күн бұрын
@@SalvatoryMtunga Haswaaaa, hawa Makolo tatizo lao wanajifanya wajuaji saaaanaaa, hawataki kujifunza kwa wenye akili timamu.. wao wamekalia ujinga ujinga tu 🖐️🖐️
@MohammedHimba13 күн бұрын
Mawazo hayo mnayatoa viongozi unataka kukwepa majukumu ni mafala tu ndiyo watalipa
@gabrielmwambogo389113 күн бұрын
kwan waliong'oa viti ni viongoz kwel ww ni ng'ombe
@TumainiSawee13 күн бұрын
Ngombe mbona unashindana na mwehu ndugu yangu@@gabrielmwambogo3891
@PoulinSimon13 күн бұрын
Bakuli saidia muhindi
@fadhilifadhili135313 күн бұрын
BAKULIIIII MDOMO MWIINGI SASA MMEHAMIA KWENYE BAKULI
@MaulidAthuman-y4h12 күн бұрын
Ndo mkomr
@fadhilifadhili135313 күн бұрын
Muongo muhindi kasema mtalipia wenyewe ujinga wenu bakuli hilo
@FatumaIbrahim-u5k13 күн бұрын
Tupe utaratibu semaji
@BoscoMsigwa-e9j13 күн бұрын
Tunazo tuache utopolo
@MethodkifokaMethodkifoka13 күн бұрын
Kalipeni fain wajinga nyie
@charles-lc4pp13 күн бұрын
SEMAJILETU TUMEKUSIKIA,NA TUMEKUELEWA TUNACHANGA SIMBA NGUVU MOJA
@costantinemabusi-k2z13 күн бұрын
Ujinga kabisa😅😅😅 yaan vadala ya kukemea vitendo hivyo