AHMED ALLY AWALIPUA YANGA BAADA YA KUTUA DAR "LOLOTE LIWAKUTE"|ACHEKA | HATA TUFUNGWE 100 HATUTOKI..

  Рет қаралды 26,424

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@AminaLibisa
@AminaLibisa 20 сағат бұрын
Sisi aooooo thimbaaaaaaa ❤❤❤ che Malone tumesha msamehe ila awe makini anatuumiza sana sisi mashabiki tunampenda sanaaaa ♥️🥰😍
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy 20 сағат бұрын
Samehe bila mashariti mbona Mungu anatusamehe wanadamu bado tunakosea na ametuacha hai ❤❤❤❤
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 9 сағат бұрын
Sisi hadi finally insha'Allah tuilianza na 1 na ndiyo mwanzo wa hesabu sisi ndiyo majayanti wa African Bado hamjasema
@ErickNjole
@ErickNjole 18 сағат бұрын
Utopolo wanaumia wakisikia tunajenga timu...
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 9 сағат бұрын
Beki mbovu yahe fukuza au ndo wanje!! Angekuwa beki wa hapa nchini mshamfukuza
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 9 сағат бұрын
Labda ndiyo wanaanza kucheza upya ndiyo maana bado wanajenga timu ila mmenimewashtukia wakifungwa iwe kisingizio 😅😅😅
@mlekwadaud2530
@mlekwadaud2530 17 сағат бұрын
Achana na Simba Sc kama ni Utopolo FC usi comment ngoja yakwako ndio useme. Kila timu ina mipango yake na usilazimishe unschokiamini wewe basi ndicho kizuli. Simba Nguvu Moja DAIMA Wacha TUENDELEE na furaha yetu. Ubaya Ubwelaaaaaaaaa.
@VeronicaJohn-l5s
@VeronicaJohn-l5s 11 сағат бұрын
Humu kwenye peji Kuna wanyuma mwiko?? Mbona makasiliko😅😅😅
@magrethjacob1191
@magrethjacob1191 20 сағат бұрын
kumbe kuna wa2 wamefufua matumaini semaji na hausemi
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 9 сағат бұрын
Ubaya ubwela Roho zina wauma tumefuzu Haoooo simba nguvu 1
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 9 сағат бұрын
Makolo ni mwaka robo daima na ndiyooooooooo tamati yenu
@abdallahmlaponi5826
@abdallahmlaponi5826 14 сағат бұрын
Utopolo awana cha kusema wamelala yoooooo
@YaaquobFonga
@YaaquobFonga 18 сағат бұрын
Yaaani bado tunajenga timu hata kama hamtaki utopolo
@magrethjacob1191
@magrethjacob1191 20 сағат бұрын
Tuxhamxamehe huyo Chemalone ila acrudie tena hayo makoxa yake
@jumaibrahim476
@jumaibrahim476 9 сағат бұрын
Timu bado mbovu kila siku mnajenga au mnajenga gorofa
@terrence9477
@terrence9477 13 сағат бұрын
Hivi hawa wanashiriki kombe gani vile?
@stephanolulale9716
@stephanolulale9716 5 сағат бұрын
Kombe ulilopigia kelele 2022/2023 baada ya kufika fainali. Hatukulala maana ungeshinda kombe tusingepata pakupumua😂😂😂mngetufungia hewa tusipumue
@SudiSaid-u7p
@SudiSaid-u7p 14 сағат бұрын
Ndio
@HelenaPerta
@HelenaPerta 15 сағат бұрын
Na WWe ulizia nn kama tim mbovu inakuhusu nn yakwkwo ik wp
@Udugusports
@Udugusports 12 сағат бұрын
Upuuzi unao wewe unaye umia na malengo ya watu Malengo yetu nikujenga timu hata ikiwa miaka 3 ndiyo malengo nn miezi6
@Enockmkwazu
@Enockmkwazu 13 сағат бұрын
tuliza nyege
@athumanisenkondo1674
@athumanisenkondo1674 18 сағат бұрын
Ww utopolo sisi wakubwa we mechi nne point 4
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 13 сағат бұрын
Ni mashindano tofauti, ya wakubwa na watoto
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 10 сағат бұрын
AHMEDI ALLY KWELI ANAPENDA SAANA KUWAONA WANA SIMBA NI MAPOYOYO HIVI KWELI UNACHEKELEA KURUDI KWA EX WAKO SIMBA ROBO NDIYO MWISHO WA SAFARI YA TIMU YAKO KILA MWAKA
@stephanolulale9716
@stephanolulale9716 5 сағат бұрын
Wewe umefika hio robo Mara ngapi katik mashindano yote kwa ujumla kama umetuzidi basi ongea kama hujatuzidi basi tuliza nyuma mwiko wako kuiwazia game Yako ya jumamosi
@IddyNchama
@IddyNchama 18 сағат бұрын
unanyodo sana mshinzi
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 9 сағат бұрын
Hivi wewe timu ndiyo nzuri Inafungwa na Tabora kenge mjusi
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 18 сағат бұрын
Muda wote anaocheza mazoez,mechi za kirafiki,mechi za ligi. Na kila mara Chemalone anacheza, bado hajielewi kaja Tanzania kufanya nini? Yaani mchezaji utoke Cameroon uje mpaka Tanzania kuja kucheza kijinga vile? Uongozi fanyeni maamuzi.
@RaymondMuya
@RaymondMuya 14 сағат бұрын
Weee unaeona Che malon anakosea sana nendenivnyie machete nyie
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 19 сағат бұрын
Mungu anahekima yake kubwa sanaa kuwafanya koro wawe shirikisho hivi kwa kikosi hichi msimu huu clab bingwa mngeifunga timu gani..😂😂
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 19 сағат бұрын
Sasa wewe utopolo umefunga maiti ya tp mazembe, hamna timu hapo utopolo simba kama simba tunacheza ligi yoyote ile sio km nyie utopolo, jiandaeni na mc alger.
@MatiasBroo-z7b
@MatiasBroo-z7b 18 сағат бұрын
Tungemfunga mama yako
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 17 сағат бұрын
Mavi ya nguruwe pori yanafanya kazi kichwani kwako saiv kama ulivyonitukana na wewe kauza kwa mzazi wako pia..
@ZumaAmangu
@ZumaAmangu 21 сағат бұрын
Timu mbovu eti tunapenda kuanzia ugenini. inamana mkianzia kwenu 😢😢😢😢 ndo itakuwa jibu. Tafadhali mniulizie semaji
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 20 сағат бұрын
Naww nyumbu aujui mpira tulia
@omariaman7818
@omariaman7818 20 сағат бұрын
Nan anapenda kuanzia kwao?
@ZuwenaSaid-t1r
@ZuwenaSaid-t1r 19 сағат бұрын
Mwehu huyu anaeichukia simba
@Khalidniya380
@Khalidniya380 19 сағат бұрын
Ametolewa muAngola anaumia utopolokwinyo 😅😅😅
@MudrikJuma-c4q
@MudrikJuma-c4q 17 сағат бұрын
Ww mwenyew inaonekan hamn k2
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 18 сағат бұрын
Mpuuzi wewe semaji haulizwi ujinga huo,pointi 1:38 7 kwa mbinde kafanyebkazi na utopolo wako
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 20 сағат бұрын
WAPUUZI NYIE MIEZI 6 BADO MNAJENGA TIMU?
@omariaman7818
@omariaman7818 20 сағат бұрын
Ndio kwan usichokijua nn
@mtolela12
@mtolela12 19 сағат бұрын
Mpuuzi wewe shabiki maandazi nyau wa bar
@MgazaMhina
@MgazaMhina 18 сағат бұрын
Kwahiyo timu inajengwa kwa muda gani
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 18 сағат бұрын
@mtolela12 Mandazi msiwe nyie mnaoshangilia kupitiliza wakati mmekutana na timu zenye level mdebwedo kama nyie Mikia fc
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 18 сағат бұрын
@mtolela12 Yaani Mikia fc mmemfunga kwa taaaabu Cfaxien muarabu anaeshika nafasi ya 3 kutoka mkiani kwenye ligi yao,hatua ya makundi hana hata point ya kusingiziwa lkn kelele nyingiii mtaani!!!
@MsellemAbeid
@MsellemAbeid 20 сағат бұрын
Beki bovu hilo fukuzeni
@MatiasBroo-z7b
@MatiasBroo-z7b 18 сағат бұрын
Tega mkundu wako uwe bek
@TusajigweMwaipopo
@TusajigweMwaipopo 15 сағат бұрын
Hatufukuzi tokea umezaliwa umemkosea mama yako mara ngapi ,na mpakq sahivi upo
GB 64 AIBUKIA ISHU YA SIMBA KUFUNGIWA NA CAF MECHI YA CONSTANTINE,
15:40
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Magoli Yote Yanga vs Al Hilal SC 1-0 Highlights leo 2025 Al Hilal vs Yanga Young Africans
10:03
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 119 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН