No video

AHMED ALLY"DEBORA NI BORA KULIKO CHAMA?/ANAKUJA KUTOA SOMO KWA VIUNGO WA MPIRA/KOCHA AMEPAGAWA MISRI

  Рет қаралды 46,635

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

EXCLUSIVE INTERVIEW NA SEMAJI LA SIMBA, MASHINE YA KUONGEA @ahmedally_ itakujia Saa 2:30 usiku huu kupitia Chaneli ya KZbin ya @mpenjatv_
Mwamba ametapika🤣🤣🤣, Semaji ameshusha Madini kuhusu @simbasctanzania 🔥
Kuna stori nyingi sana katika Mahojiano haya ambayo yameongozwa na New Boy ndani ya Mpenja TV @tom_machupajr
Subscribe mapema kabisa🔥🔥🔥🔥

Пікірлер: 70
@daseselele5198
@daseselele5198 Ай бұрын
Sawasawa semaji la CAF 👍Simba SC nguvu Moja 💪
@meryceanaadrian3593
@meryceanaadrian3593 Ай бұрын
Huyu ndo semaji sasa ❤❤❤
@meryceanaadrian3593
@meryceanaadrian3593 Ай бұрын
Na maua yako nakupa💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
Semaji noma hasubr umhoji anajihoji mwenyew na kujielezea vzr tuu 😂😂🎉🦁
@BADAWY575
@BADAWY575 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwana umenifurahisha sana nikweli kama anatunga kitabu au muhubiri flani
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Ай бұрын
Jamani jeni yuko wapi?? Semaji ukihojiwa na jeni mnanoga sana jeni fanya huo mpangi unihojie semaji nicheke kidogo
@Elly-z3q
@Elly-z3q Ай бұрын
Nakubali broo unatupa hamasa sana ukweli ww ndio namba 9 simba
@JosephMapunda-q9r
@JosephMapunda-q9r Ай бұрын
Simba nisimba tuuu kaka
@soniimedia2440
@soniimedia2440 Ай бұрын
Maisha yangu ya mpira yanaongozwa na semaji la caf. Like za mo ni hapa.
@user-hg6zv6ii9s
@user-hg6zv6ii9s Ай бұрын
Hatali sana ongera sana Ally🎉🎉🎉
@RonjoSalum
@RonjoSalum Ай бұрын
😂😂😂 semaji hatar moto sana
@user-cu8mm8fw6u
@user-cu8mm8fw6u Ай бұрын
Hongera mzee wetu
@Hamisi-uw1mc
@Hamisi-uw1mc Ай бұрын
😂😂😂sema ahmed ally anajua sana kutamba
@user-cu8mm8fw6u
@user-cu8mm8fw6u Ай бұрын
Semeji kama semeji hongera
@abdurahiimjuma3661
@abdurahiimjuma3661 Ай бұрын
Hatari sn
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 Ай бұрын
Joshua anakwenda babaaaa😅
@AnjelaPhilipo
@AnjelaPhilipo Ай бұрын
Nakukubali kaka barikiwe
@OmaryhamisndugwaOmmymchina
@OmaryhamisndugwaOmmymchina Ай бұрын
😂😂😂😂😂Ahmed ally wa moto
@user-vp6tq4yg5j
@user-vp6tq4yg5j Ай бұрын
Ahmed Ally chukua maua yako,🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@tadeymwalongo1528
@tadeymwalongo1528 Ай бұрын
😂😂😂😂 mwamba kabisa
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Ай бұрын
Tatizo Mwamba anatuaminishaga mnooo yaani!! Mwishow magumashi! Tusubiri ligi ianze
@Athuman-e3g
@Athuman-e3g Ай бұрын
Happy. Sawa
@Amon-gj8tx
@Amon-gj8tx Ай бұрын
Sema interview za ahmed😂😂 ni moto
@FatherKunutti
@FatherKunutti Ай бұрын
😂😂😂 Ahmed huendi Pepo!😂😂😂
@stevensingela5851
@stevensingela5851 Ай бұрын
😂😂😂😂duhh😂😂😂
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Raha sana kumsikiliza huyu jamaa. Ila tu kama unaipenda Simba. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@bensonokwaro9225
@bensonokwaro9225 Ай бұрын
semaji la CAF nikilickilza2 mpaka nasahau magumu 2nayoptia wanacmba ni burudani jamaj💪
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 Ай бұрын
AHMEDI NJOO UPATE KIWANJA BURE UKONGORONI
@wizardmobile5493
@wizardmobile5493 Ай бұрын
Yani huyu ni semaji la caf simba msimu huu tutakiwasha moto Simba on fire👹 msimu huu atanguruma sana
@uniquehandxome6238
@uniquehandxome6238 Ай бұрын
Oya msela oya😂
@iddiramadhan
@iddiramadhan Ай бұрын
😂😂😂😂😂 this is 🦁
@UpendoKamala-yr6in
@UpendoKamala-yr6in Ай бұрын
Mm hoi tyu kicheko cha semaj la caf ......
@oscanyakunga
@oscanyakunga Ай бұрын
😂😂😂oya msela oyaaa
@nassorahmad6266
@nassorahmad6266 Ай бұрын
Semaji 😅😅😅 dah hahaha we jamaa achaa basi. Katika kumi moja tu😂😂😂 tunaaminiii. Haya ss tunafurahii semaji kama semaji
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@levocatuspjohn8638
@levocatuspjohn8638 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣kwaiyo semaji hapo mlituchapa ili tununue habari
@jaafarmanhekman
@jaafarmanhekman Ай бұрын
😂😂😂😂
@bhuzahope2746
@bhuzahope2746 Ай бұрын
Nani kasikia oya msela oya
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Ай бұрын
Semaji wana Simba bado tunawadai Mpanzu ama Jonathan
@user-vp6tq4yg5j
@user-vp6tq4yg5j Ай бұрын
Kwa maelezo ya semaji la Caf ligi ishakwisha na makombe yote ndani ya Simba Sport Club 😂😂
@FelixMwinami
@FelixMwinami Ай бұрын
Ahmed mwehu sana aise 😜😜😜 ila msimu huu uto tutampasua tu
@LoveBadro
@LoveBadro Ай бұрын
unatupa rah semaji
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Ай бұрын
Mashine yakuongea,semaji la Caf Nikweli ufaransa jina Hilo ni Debra japo linaandikwa Deborah
@DamianSoul-nh5hu
@DamianSoul-nh5hu Ай бұрын
Semaji la CAF umetisha xana
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el Ай бұрын
Tunasubiri tuonee
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
Semaji
@user-no7uo4ry7q
@user-no7uo4ry7q Ай бұрын
Mazezeta unayaaminisha kuwa mna wachezaj alaf kila msimu wanaishia kutalii tu wanarud kwao
@TwalibTwaha
@TwalibTwaha Ай бұрын
Sema msemaji wetu muongo
@johnmwalule3007
@johnmwalule3007 Ай бұрын
Hili semaji ni balaa aise
@Geofrey-ox2rv
@Geofrey-ox2rv Ай бұрын
😂 semaji huendi mbinguni
@severinlouis
@severinlouis Ай бұрын
HUYU jamaa😅😂😂
@Wallacenyusi3326
@Wallacenyusi3326 Ай бұрын
Nasikia walikula 6 sasa huu msemaji haoni ata aibu ?
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Ай бұрын
😂😂😂😂🇫🇯
@taucdulle7460
@taucdulle7460 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@BADAWY575
@BADAWY575 Ай бұрын
Wana mihemko wachezaji wenu .kumambegeres tutwapiga kama ngoma pakabwachezaji watapigana nawambia mapema tu chemalone atapiga mtu namuona atakua captain
@PaulKijame-cm8op
@PaulKijame-cm8op Ай бұрын
Semaji hilo linamikwara hatari
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Huyu anashabikia badala ya kuongea uhalisia
@jofreymwampamba1236
@jofreymwampamba1236 Ай бұрын
😅😅😅😅
@paultungu1775
@paultungu1775 Ай бұрын
Majina magumu
@godfreyluther2087
@godfreyluther2087 Ай бұрын
Hapo huyo anae hoji hajui ataahoji nini
@RichardJanuary-gx6df
@RichardJanuary-gx6df Ай бұрын
acha uhongo
@NeymantBoy
@NeymantBoy Ай бұрын
Du weee acha zako hizo pesa za usajil bora mkawap watoto yatima
@erickbarthazar9316
@erickbarthazar9316 Ай бұрын
Semaji 😂 letu wewe mafaniko yako yapo kwenye komediani 😅
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile Ай бұрын
Semaji la caf na kazi Yako unanijua Mimi atawangeondoka watu wote ukibaki wewe ni furaha kwetuuu
@benclever
@benclever Ай бұрын
Jane ndo anajua....huyu mwingine bado hajaizoea kazi
@user-no7uo4ry7q
@user-no7uo4ry7q Ай бұрын
Ww kaungane na kina ndaro kwenye uchekeshaji ila mpira huna timu broo
@noelthomas1227
@noelthomas1227 Ай бұрын
Wewe ally vipi acha uongo wenzio wako misri wewe uko mbagala kibonde maji wee vipi unatwambia uongo hapa toka hapa kawaongopee wajinga wenzio pumbafu wewe zuzu wewe
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 Ай бұрын
benchika alisema wachezaji wa simba vichwa ngumu, na huyo ni kocha namba tatu africa. huyu kocha msaidizi ataweza kweli. bira mngemuacha mgunda anajua kwenda na hawa vichwa ngumu.
@user-oy6kc8uy6f
@user-oy6kc8uy6f Ай бұрын
Alikwambia wapi kuwa ni vichwa ngum??😅
@BADAWY575
@BADAWY575 Ай бұрын
Hawa tushawafunga nyingi tu timu bado wachezaji hawajashikana kuna group wanaonekana tu
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA GANZI, DALILI NA MATIBABU YAKE.
18:36
MUHIMBILI MLOGANZILA TV
Рет қаралды 106 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44