Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
Пікірлер: 43
@bahatimellita66193 күн бұрын
Tumepiga mbwa ,mwenye mbwa na mlisha mbwa. GSM 😂😂😂
@ambakisyemwanjemba57873 күн бұрын
mchezo waliocheza pamba ingekuwa wanacheza hivyo kama leo wasingekuwa nafasi walioko jamani mpira wa kibongo mmmmh!
@salvakimati19443 күн бұрын
Hata KMC ile mechi waliyocheza na Simba wangecheza jinsi walivyocheza na Yanga huenda ile mechi na Simba wangetoka na ushindi.
@Josephtibu-l9e3 күн бұрын
Ubaya
@EsterMjema-n8c3 күн бұрын
@@salvakimati1944mmmh ah umekosa maneno ww
@NkondokayaJoe3 күн бұрын
Hata nyuma mwiko ingecheza mechi ya Tabora kama ilivyocheza na ken gold,wasingehama chamazi complex @@salvakimati1944
@maftahmusa95133 күн бұрын
@@salvakimati1944 hata hivi walivyo cheza na simba kwa mchezo huu wakicheza na yanga wanapata ushindi wa zaidi ya goli moja
@kyambarungwe69603 күн бұрын
Semaji la CAF wew na mkuu wa mkowa wa mwanza wew ni zaidi
@ramadhanimrungu58063 күн бұрын
Ww na uyo wote mnapididiwa
@Josephtibu-l9e3 күн бұрын
SIMBA AKIKOSA NYAMA ANAKULA MPAKA PAMBA 😂😂😂😂UBAYA UBWELA🎉🎉🎉🎉
@SuleimanSiraji-y1i3 күн бұрын
Hiyo logo ya simba perfect 👌 sana
@BATULIALLY-x4s3 күн бұрын
Jamani simba tumekua watoto yatima ila maadui wajue yuko mungu wayatima sisi hatuogopi tunae jemedari asieshindwa
@ibrahimuakwilombe3 күн бұрын
Hongera SSC wadhaminiwa na mdhamini wote wabanwe
@anithawidambe75433 күн бұрын
ASANTE SANA MUNGU KWA USHINDI WA SIMBA.
@ambakisyemwanjemba57873 күн бұрын
maneno anasema binadamu kasuku anayarudia tu! semaji kwa misemo!!!!?
@HassanKassim-ei8ko3 күн бұрын
Mashabiki wao nili wapa box la panado wakikataa. Walijifanya awaumwi na vichwa.
@AshelyDidas3 күн бұрын
Wapelekee moto
@nurusanga9953 күн бұрын
Wapi karabaka semaji
@VailethLukas3 күн бұрын
E kaka hapo shingon nishangaa au ndo kaurebo ka jezi yetu
@EliyaKudaga-u4q3 күн бұрын
Nawashauli PAMBA WABADILI JINA,,sio la PAMBA ,,maana PAMBA ni nyepesi mno
@deogratiouswipson84483 күн бұрын
Na wangecheza vile na yanga wacngefungwa goli 4 zile wangeshnda wao😂😂😂
@gloriadaniel38273 күн бұрын
Na wasingekuwa WA pili kutoka mwisho. Wakomae hivyo hivyo wasishuke faraja😂😂
@NoahSimchimba2 күн бұрын
Samaki mkubwa kama Chasambi
@christophermbuga96233 күн бұрын
Ni upumbavu kila wakati kuirejea Yanga.
@hawamasanje95893 күн бұрын
Ila bodi ya ligi na TFF mmmmm kwa kweli wajitathimini mapema magori yanayokataliwa ya timu zikicheza na Simba siyo bure kuna kitu kinachoendelea
@allyrembo67143 күн бұрын
Wewe ni mpumbavu goli lilikataliwa kwasababu kuna madhambi yalifanyika na firimbi ilikwisha pigwa kabla hata goal
@kakore_jr3 күн бұрын
Kweli TFF NA BODI YA LIGI WAJITATHIMINI KWELI KAMA GOLO YANGA WALIOWAFUNGA COAST UNION NI OFFSIDE KABISA😭😭YANI INAUMIZA SANA
@EmmanuelMandela-f7k3 күн бұрын
Mbona kayoko alikataa penatitatu za Simba dhidi ya yanga hukuongea Bado hujasema
@mbwanarajab72383 күн бұрын
GSM ITOLEWE KWENYE UDHAMINI KWANI INAZIDI KUIHARIBU LIGI , YEYE ABAKI NA KAMARI ZAKE HUKO
@julianajeremiah43533 күн бұрын
😂😂❤❤
@MakameAbdallah-wn3hc3 күн бұрын
Ushindi wa tia maji tia maji
@IssaVullu3 күн бұрын
Mpinzani wenu Pamba au mmepambana na Nani?
@ambakisyemwanjemba57873 күн бұрын
Bodi ya ligi walitupanga na vibaraka tuanze nao ili watupoteze mapema kwenye mfumo na mtego tunautegua mmoja baada ya mwingine
@ambakisyemwanjemba57873 күн бұрын
mchawi binadamu paka katumwa tu!
@Abdul_wahidMohamed-g5l3 күн бұрын
Jaman mim nisimb sjapt matokeo yajan simb vs mkuu wamkow wamwanz ngapi ngapi
@InnocentRushambya3 күн бұрын
Mkuu wa mkoa 0 Simba 1
@MohdAbdalla-j6y3 күн бұрын
GSM ni muharibifu wa ligi kuu tz
@ambakisyemwanjemba57873 күн бұрын
sasa hivi kufa kupona tu dili na waliodhaminiwa na GSM maana hao ndio vibaraka wa wachawi!
@mbwanarajab72383 күн бұрын
GSM tutakataa hata bidhaa zake kwani kaja kuleta chuki kwenye mpira kwa kuleta propaganda na kuhonga waamuzi na timu