AHMED ALLY“WAZEE WA SIMBA WASIKILIZWE/SIO WEHU/NILIBEBWA NA DIFENDA/MBEYA WANANIKUBALI VIBAYA MNOO!”

  Рет қаралды 28,625

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@HelmanMnazi
@HelmanMnazi 2 күн бұрын
Like zangu jamani nimekuwa wa kwanza kama shabiki wa Simba mnyama mkubwa
@hakikakassa8410
@hakikakassa8410 Күн бұрын
😂😂😂😂😂yaani Ahmed nikikusikiliza naishia kucheka tu
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud Күн бұрын
Kalabuuu amenikoshaaaa huyoo Jana Kwangu Mimi Ni man of the match ananiunga mikono naomba like hapa
@vitalisgoodluck1955
@vitalisgoodluck1955 Күн бұрын
Haswaaaa
@AUGUSTINEMARTINJIKA
@AUGUSTINEMARTINJIKA 2 күн бұрын
Hawawezi kututoa mchezoni hata kidogo mnyama ni mkubwa siku zote eeee
@hassanrashid-l3u
@hassanrashid-l3u 23 сағат бұрын
Mnajitoa mchezoni wenyewe,,akili hamna Kaz kubwabwaja tu timu bovu baadala mtulie mulekebishe mnakuwa kama mupo kitandani kwa pididi mnafilwa
@GeorgeKifaru
@GeorgeKifaru 2 күн бұрын
Watani wangu wahehe wanamla mbwa Ila Yanga wanamla Simba Supu.
@danielbegashe6126
@danielbegashe6126 2 күн бұрын
Huyu alikataa malakamiko, now kaanza mwenyewe😂
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix Күн бұрын
Ndio mwekezaji wetu tunakuomba timu yetu ya simba ihamishiwe zanzibar tu ligi ya bongo ishakua mbovu sana imeingiliwa na siasa tuwapelekee wazanzibar fulaha na tukaikuze ligi ya zanzibar kwanza zanzibar watu wakule wanaimani ya mungu siyo hawa wanajiita ally kamwe mara haji huku killa siku tunawaona wakikusanyika wanakula supu za nguluwe makafili wakubwa
@allyshaban406
@allyshaban406 2 күн бұрын
Hiyo ni taaluma, kumuelewa uwe na akili ya o+
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi 22 сағат бұрын
😂😂😂😂Ila semaji anajuaga kutupa raha bwana😅😅😂
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 күн бұрын
Makosa ya watu wengine au yenu?we hujui unasema Nini Kosa lenu kijiri nyau tu
@godfreymkelemi9663
@godfreymkelemi9663 Күн бұрын
Hujamuelewa wewe
@MAWAZOCHARLESDANIEL
@MAWAZOCHARLESDANIEL Күн бұрын
We hujui mpira tulia
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 күн бұрын
Goli la jana ni la mchongo kacheza na kipa lakini wazee wenu pamoja na wala ngada wenu hawaongelei kabisaaaa Kmc anaenda kuwakalisha chukueni hii Kolo Ubwela nyie
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v Күн бұрын
Simba waombe kucheza rigi Kuu Rwanda ama Moroko Tanzania mpira tena haupo sasa ni siasa tu
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 Күн бұрын
Huyu anajua kazi yake, siyo yule mlopokaji wa upande ule,,,,,,,,,,,asipoitaja simba haridhiki
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Makolo ni kama watoto tu,msemaji wao huwa anawadanganya lakini wao wanakubali🤣🤣🤣🤣
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 2 күн бұрын
Nyani haoni kundule, huyo wa kwenu unmuweka wapi
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 18 сағат бұрын
Namshukuru lunyamila alinishawishi niwe YANGA huku raha tupu😂😂😂😂😂😂💚💛💚💛💚💛
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 күн бұрын
Na hii ndo tafsiri sahihi siyo kukwepa maswali na majibu wawe wakweli nimeona Kalia analala mbele ati mwamuzi hapaswi kulaumiwa ati ilikuwa haraka haikuwa rahisi kuona matukio yale
@piusquwanga5992
@piusquwanga5992 2 күн бұрын
❤q
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Toka ulivyofungwa na ww huogopi?mbona hukuongea?
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi 22 сағат бұрын
Kayoko aliongea😂🐸🐸🐸
@allyshaban406
@allyshaban406 2 күн бұрын
Naumwa mafua kwa kumsikiliza huyu, mafua yamekata.
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 2 күн бұрын
Wazee wasikilizwe kwa lipi
@yusuphbenjaminkugaiwa7608
@yusuphbenjaminkugaiwa7608 2 күн бұрын
Nasisi tumekua wazee wa kimoko?
@athumanfuko199
@athumanfuko199 2 күн бұрын
Kimoko lakini unaangalia team kwa ujumla imetengeneza nafasi ngapi😂😂😂
@DuniaNdogo
@DuniaNdogo 2 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@mathahosea6783
@mathahosea6783 2 күн бұрын
😅😅
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 күн бұрын
We pimbi TU hao wazee wanasema upuuzi mtupu Ninyi mlibebwa sana ..Yanga walikaa kimya au unadhani Yanga nao hawakuwa na wazee? Timu mbovu mnajishika na wazee akili ndg sana
@godfreymkelemi9663
@godfreymkelemi9663 Күн бұрын
Wewe unamuita pimbi sababu gani
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l 2 күн бұрын
Comedian tupu ndo ninacho kiona
@patrinraura1397
@patrinraura1397 2 күн бұрын
Malalamiko Yaliyotolewa na Wazee wa Simba kuhusu GSM kudhamini Vilabu nane yanauzito maana kwa vyovyote vile yanaweza kumtengenezea Mpinzani Ubingwa kupitia Vilabu vilivyodhaminiwa na Kupoteza ushindani,Burudani,na Kuuwa Soka letu. Ni vyema TAASISI zinazohusika kulifanyia KAZI ili kuondoa hisia miongoni mwetu SIMBA NGUVU MOJA
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Kama vipi basi hata MO aondeke.
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 күн бұрын
Acha ushamba wewe Tofautisha mdhamini na mfadhili mkuu
@patrinraura1397
@patrinraura1397 2 күн бұрын
@@noelmakere1381 ASANTE Sisi ni washamba kw kutojua tofati ya mfadhili na mdhamini ndiyo maana ushamba wa Wazee Simba kulalamika Hongera Msomi
@khamissalim56
@khamissalim56 Күн бұрын
Makolo nyie 😂 bado mutateseka sanaa huu mwaka nyie na wazee wenu
@akidajulius8397
@akidajulius8397 2 күн бұрын
Anakuonea nan,Mizeee mizima,mnataka ushindi wa kupewa,Ondokeni mkacheze somaria
@godfreymkelemi9663
@godfreymkelemi9663 Күн бұрын
Kwa ni lazima uandike kitu
@JuliusKideula-qt4pq
@JuliusKideula-qt4pq 2 күн бұрын
Wewe Ally hai wazee wako hawana chocho wanacho Jua kuhusu mpira wanabwatuka tuu
@azizikassimu1690
@azizikassimu1690 2 күн бұрын
ushindi wa batr mmempola mpira mikonon goli kipa
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 Күн бұрын
Kipa katema mpira golini unategemea nini
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 күн бұрын
Na nyie mlitoa bahasha kwa golikipa wa tz prison? Maana ingelikuwa kwa wenzenu mngetishia kujiondoa kwenye ligi na kuwavisha sanda waamuzi.
@IsaacNyato-dt9we
@IsaacNyato-dt9we 2 күн бұрын
Na wangetishia kung'oa viti Kwa Mkapa.
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix Күн бұрын
Ndio mwekezaji wetu tunakuomba timu yetu ya simba ihamishiwe zanzibar tu ligi ya bongo ishakua mbovu sana imeingiliwa na siasa tuwapelekee wazanzibar fulaha na tukaikuze ligi ya zanzibar kwanza zanzibar watu wakule wanaimani ya mungu siyo hawa wanajiita ally kamwe mara haji huku killa siku tunawaona wakikusanyika wanakula supu za nguluwe makafili wakubwa
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 15 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 71 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 15 МЛН