AHMED ALLY:”YUSUPH KAGOMA MGENI RASMI DHIDI YA AL AHLY TRIPOLI/HAWAMPATI NG’O!/HATA WAANDAMANE"

  Рет қаралды 18,324

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v Ай бұрын
Simba sasa wazee hakuna kulala mpaka waarabu wa Libya wafungweeee❤❤❤ goli za kutosha Simba nguvu moja na mashabiki siku hiyo hakuna kupoa shangilia mwanzo mwishoiooo
@shakilakasilo9286
@shakilakasilo9286 Ай бұрын
Mashaallah Simba nguvu moja ubaya ubwela
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 Ай бұрын
❤️ PUTIN KAGOMA❤ALHAMDULILLAH UBAYAAA UBWELAAA 🇹🇿 🇦🇪
@RehemaPeter-s8n
@RehemaPeter-s8n Ай бұрын
Et kagoma ngoja ziwagomee mtatueleza vzr Majina mengne cy
@amoumussa720
@amoumussa720 Ай бұрын
Unatisha sana semaji kaza buti kakaa😊😊😊
@bahatigaitas299
@bahatigaitas299 Ай бұрын
Hizo ngoma ziwe zakutosha nakufanya zisikike uwanja mzima
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza Ай бұрын
Tuandamane kwaajili ya kagoma we kweli akili chache tunajua mnatafuta furaha kwa nguvu yanga ni next level kwa sasa
@dyanakibauri3068
@dyanakibauri3068 Ай бұрын
maana juz anaongea kwer mpaka anataja na pesa eti million 30. yanga kwer ni uupuz
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 Ай бұрын
😂😂😂😂sizitaki mbichi hizi..makasiriko ya nini..sasa😂😂😂
@michaelmwita7321
@michaelmwita7321 Ай бұрын
Mtasema San mwak huuu
@EdsonKilaga
@EdsonKilaga Ай бұрын
Unaumwa utopolo
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Semajiiiì kazi ya GB 64 hiyo..sana name Matawi mengine tununue time name vikundi vingi
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
ASANTE SANA SEMAJI LA CAF. MUNGU IBARIKI SIMBA NA WACHEZAJI WAO.
@athumanhatibumkombolaguha
@athumanhatibumkombolaguha Ай бұрын
Tushangilie kistaarabu,tusilipe kisasi kwa Al ahly Tripol,tuudhirishie ulimwengu wa soka kwamba TANZANIA 🇹🇿 nitovu cha AMANI,
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
Hakuna kitovu cha amani ila ni kitovu cha uvumilivu wakija mashabiki wao lazima tuwachangamshe
@lwimikomwakasungula3222
@lwimikomwakasungula3222 Ай бұрын
Nipo Mbeya nijiandaa kuja dar naomba tubadili namna ya ushangiliaji,tushangilie hata kama hatujafunga gori
@dyanakibauri3068
@dyanakibauri3068 Ай бұрын
na yule mwanasheria uchwala na press yake juz na hadi akawa anaonyesha kadi za harusi oooh kagoma kagoma kumbe utopolo ni utopolo tu. 🎉 gonga like kwa simba yetu
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v Ай бұрын
Yn leo mmekuja mshaanza amasa
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
MAISHA YA BONGO YANANISHANGAZA MWENYE ZAMU YA UMEME KARUDI NA MSHUNAA 😂😂😂 nani ameisikia hiyo
@JulicanMsolla
@JulicanMsolla Ай бұрын
Safi sanaaaa
@chefr3020
@chefr3020 Ай бұрын
❤❤❤
@REHEMAMGANDA-bh6jj
@REHEMAMGANDA-bh6jj Ай бұрын
Simba nguvu moja❤❤
@REHEMAMGANDA-bh6jj
@REHEMAMGANDA-bh6jj Ай бұрын
Semaji huna baya
@chrissmpangala
@chrissmpangala Ай бұрын
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaa ushindi lazima iwe mvua liwe jua
@StevenWimbe
@StevenWimbe Ай бұрын
Nakukubarisana semaja rasimba
@GraphixDesgner
@GraphixDesgner Ай бұрын
Ushindi ni lazima ili tusonge mbele wachezaji mjitume tuko nyuma yenu,lete furaha
@GraphixDesgner
@GraphixDesgner Ай бұрын
Tupo tupo
@BoniphaceMenganyi-k5s
@BoniphaceMenganyi-k5s Ай бұрын
Ubaya ubwela 😂😂😂😂
@barakabaraka8665
@barakabaraka8665 Ай бұрын
Simba wajiandae vizuri zaidi katika mechi hii,wajilinde vizuri hasa katika counter attack,washambulie kwa nguvu na kwa usahihi,wawe watulivu katika eneo la mwisho na watumie kila nafasi wanayoipata.NB:Simba ijiandae pia kwa matuta in case mechi ikienda draw!!
@MerryGaspa
@MerryGaspa Ай бұрын
Wataiga naiyo ubaya ubwera
@neemamwijage
@neemamwijage Ай бұрын
Wataiga au washaiga mbona wanaliongea sana hilo la ubaya ubwela
@HagaiLusoli
@HagaiLusoli Ай бұрын
ubaya ubwela
@athumanhatibumkombolaguha
@athumanhatibumkombolaguha Ай бұрын
Semaji waambie wachezaji wetu kisasi chetu ni wachapa 5 au 6 pale Lupaso,Simba nguvu moja
@MerryGaspa
@MerryGaspa Ай бұрын
❤❤❤❤❤
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 20 МЛН
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 27 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 20 МЛН