Kama sio wewe kunilinda Bwana wangu ningeangamia,,,,Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU,BWANA azidi kukuinua kwa viwango🔥🔥🔥🌬
@cakesbyerry1306 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo❤️ Mungu azidi kukulinda na kukubariki siku zote Amen
@mabondokwandu1625 Жыл бұрын
Nimebarikiwa mtumishi Mungu akubariki ninabarikiwa sana na nyimbo zako
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen Uzidi kubarikiwa.!
@albertratera9096 Жыл бұрын
💥👏👏
@pkaykivungi3606 Жыл бұрын
A very nice song Mtumishi, Vocal Kali Sana.
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen. HALLELUJAH. Barikiwa zaidi.
@justinekataraihya1185 Жыл бұрын
Good song Mungu akubariki
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe zaidi.
@albertratera9096 Жыл бұрын
Taifa letu unairuhusu lini tupate access ya kuidownload
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Download tu, kwani imezuiliwa ?
@albertratera9096 Жыл бұрын
Ndio siipati kwenye mfumo wa mp3
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Kwa hiyo unataka Audio?
@albertratera9096 Жыл бұрын
Ndio.. Au kuna utaratibu wa kuutumia ili niupate
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Kaupakue 𝔸𝕌𝔻𝕀𝕆𝕄𝔸ℂ𝕂, upo kule..
@simas.a1003 Жыл бұрын
Lol! Kwakweli nyimbo ninzuri sana, melodi na tungo zote ziko vzuri. Hapotu nakukubaligi sana anko. Uwezo wako nimkubwa kushinda hatatuzo zenyewe wanazopatiwa watu kwa makadirio. (Hapa nasubiria album niinunue nataman sana nikuchangie katka huduma yako maana ni injili) .😄😄