AIBUU!! MTOTO WA KIUME WA MONALISA AWALIZA WENGI KWA HIKI ALICHOFANYA | TUWAFICHE WAPI WATOTO WETU!!

  Рет қаралды 63,482

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Жыл бұрын

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Пікірлер: 85
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Жыл бұрын
NAOMBA IWE NI UONGO YAH ALLAH WANUSURU WATOTO WETU NA MAJIRANI ZETU AMIN🙏
@ahmedyhassan4059
@ahmedyhassan4059 Жыл бұрын
Alahumaaa aaamin aaamin yarabbih duar
@ummymohd4921
@ummymohd4921 Жыл бұрын
Amin
@luluabdul2800
@luluabdul2800 Жыл бұрын
Uskute typing error……..ilkua aandike I am a guy and proud. Sio mtumiaji wa simu hajui km simu inakuag sometimes inaleta other words.
@maximumtvonline
@maximumtvonline Жыл бұрын
Mmh
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Innalilah 😭😭😭😭 Mungu amnusuru, isiwe kweli, isiwe kweli, isiwe kweli, Aamin.
@ummymohd4921
@ummymohd4921 Жыл бұрын
Amin
@azzizazizion5056
@azzizazizion5056 Жыл бұрын
ttz wanawapa sana maisha ya kizungu wanawalea kimandaz mandaz ndio matokeo yake yankua kama ayo
@severinndunguru6270
@severinndunguru6270 Жыл бұрын
Nimekulia boarding jamani kule watoto wanaharibika Sana tumuombe tu mungu tumuombee
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Naomba awe amekosea kabisa Mungu ampiganie, yuko sawa kabisa anatakiwa kutulia kwanza ndio atasema labda
@aimanshija4230
@aimanshija4230 Жыл бұрын
Mungu amnusuru,,inauma sana,,,Kuna muda tunawaza kuacha kuzaa kwa sasa kwani tunaumia mno akinamama,,
@ummymohd4921
@ummymohd4921 Жыл бұрын
Bila kiasi tunaumia
@aimanshija4230
@aimanshija4230 Жыл бұрын
@@ummymohd4921 sana mpenz mm nikisikia hizi habar chango zinanicheza tumboni
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
mungu amnusuru jaman
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Mungu naomba uwalinde watoto wetu.
@sharifjuma227
@sharifjuma227 Жыл бұрын
Allah amuepushie na hayo na mengine
@sharifjuma227
@sharifjuma227 Жыл бұрын
Allah amuepushie kabisa na majanga ha
@ummymohd4921
@ummymohd4921 Жыл бұрын
Amin
@rahiymaallawi6551
@rahiymaallawi6551 Жыл бұрын
Pengine english jamani imeenda vbaya iyo lugha sio yetu
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Huu ni mtihani wazazi wanajitahidi lkn wtto cki hizi imekuwa tabu mungu atucmamie
@salhakyande3905
@salhakyande3905 Жыл бұрын
God
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Жыл бұрын
Binadaam wanapenda kukuza mambo mungu amuepushie ameen
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Na watoto wa Yombo, Buza kwa ushoga wanaongoza sasa km alianzwa utoto Subhannallah Mungu atuepushe na hii dhima
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Kuwalea watoto vizuri hakufanyi watoto wasiwe mashoga kuna watoto wa wachungaji na vigogo lakini watoto mashoga kama mtoto kazaliwa shoga ni shoga tu hata mlee vizuri namna gani
@munalove450
@munalove450 Жыл бұрын
Yaraby tuhifadhi na watoto wetu🤲🤲😭😭😭
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
Labda ni typing error ........ila ukweli anao yy na mungu wake
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Mnapenda sana kutangaza ushoga, simu hizi zinakosea na kizungu sio chetu acheni kumchafua mtoto
@julianasekela9251
@julianasekela9251 Жыл бұрын
Lbd hujaelewa hawatangazi ushoga ila huyu mtoto wa Mona yeye ndio kajitangaza shoga
@zahrasalim5533
@zahrasalim5533 Жыл бұрын
Yes do not judge him maybe his trading to say guys
@yusrahjoseph7247
@yusrahjoseph7247 Жыл бұрын
An hizi media zinapenda kukuza mambo dah😏sasa hii ni kitu ya kukibeba na kukileta hapa…he’s not a gay acheni uswahiliiiiiiiiiiiii ww nae unaongea 😂😂njaa zitakuua
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Жыл бұрын
Mama bora sawa ila watoto shule wanajifunza mapenzi ya jinsia moja unakuta mtu anasoma boding anadigri lkn nishoga
@wivinaanatory7813
@wivinaanatory7813 Жыл бұрын
Hiyo ni kweli Kuna mtoto alisoma shule za gharama duh kaambulia ushoga na bangi
@mussamayawa817
@mussamayawa817 Жыл бұрын
Kabisa unachosema 👍👍
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
​@@wivinaanatory7813 waaaaa huzuni ina uma sanaaaaa
@aishamaganga5304
@aishamaganga5304 Жыл бұрын
Hawa watoto wanaiga mambo yamitandao. Anamuiga mtoto wa Zari maybe.
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 Жыл бұрын
Duh hatar sana
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Tatzo ni utandawazi usio na mipaka , Mungu atupiganie maana kila Kona tunawindwa
@neemajeremiah2848
@neemajeremiah2848 Жыл бұрын
gl 2:37
@sashoright8213
@sashoright8213 Жыл бұрын
Innalillah wainaillah rajoun Mungu atuepushie sie na kizazi xhetu
@ummymohd4921
@ummymohd4921 Жыл бұрын
Amin
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Nikama utani hivi usodoma ndiyo huo halafu mnasema mnawasanii wakubwa mngelijua namna wasanii hao walivyo iingiza nchi hii kwenye vitendo vichafu Kama ushoga mngeacha hata kuwashabikia
@citymwacheo4497
@citymwacheo4497 Жыл бұрын
Labda aliandika makosa hakujua
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Mimi naona aambiwe Baba yake miaka kumi na tano kupewa cm bado Sana Monalisa mhusishe Baba yake
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Shule zinazalisha ushoga sana mtoto kaamua kujitanganga dah😢😢 wazazi tunamtihani mzito😢😢😢
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
MUNGU aepushe mbali isiwe kweli kwa jina la YESU.
@fetychina3969
@fetychina3969 Жыл бұрын
Mh!au aliandika kimakosa jamani??🙄🙄
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Жыл бұрын
😢Duh naogopa mm😢
@AnthoniaDavid255
@AnthoniaDavid255 Жыл бұрын
We ni nani kwani kwa hiyo familia privacy should be respected ajieleze ili ili iweje let people live their lives kha!
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Cha kwanza ni mtoto Na kukosea ni kawaida ,mama Ake ata asipoongea kwa watu kuwatangazia akiongea na mtoto wake akimuelimisha inatosha .alichokifanya kinatosha kwa wenye akili kuona kama hakupendezwa na alichokifanya mtoto Hana shida ya kuwatangazia watu
@diodaud9264
@diodaud9264 Жыл бұрын
Utandawazi huo we siunaona nahako kengine katusukia kengine ka uwoya nakale ka ley kigosi yan wanavilemba vitoto vidogoo sasa wengoja tuh
@ibrashani8012
@ibrashani8012 Жыл бұрын
Akuna utoto wowote hapo ila kama anapumuliwa daaah!! Mapema mno...
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Iwe kweli au uwongo Mimi ninasubiri jibu la serikali kwakuwa Hadi Sasa sijaona kauli yoyote mhimu Toka viongozi,waserikali juu ya uchafu huo au walivyokuwa wanajipigapiga vifua wabunge ndiyo Basi?
@WahidYahya-bf4lq
@WahidYahya-bf4lq Жыл бұрын
is not true the account is active
@Binti-wakinyakyusa
@Binti-wakinyakyusa Жыл бұрын
Ila unajua mtoto wa kiume asipolelewa na baba yake anakuwa na tamaa kwa wanaume.
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 Жыл бұрын
Daaaah 😭😭😭😭😭 emungu tusaidie
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Jamani alimaanisha guy spelling ndio amekosea kwasababu ashamaliza shule yy si student tena ndio maanake akasema yy ni guy upande. Wa mamake nikama alishtuka pia yy hakuona kama. Amekosea maandisha
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Mungu amnusuru lnshallha asije akawa kaaza hichi kitabia arafu huyu mtt kasoma shule za kislam jamani arafu amelelewa sana na upande wa baba ake me nikisikia hivi moyo unaniuma nyie
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hana adabu tu au kakosea speling
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Shetani haogopi dini yeyote anamuogopa Yesu tu.
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 Жыл бұрын
Hivi vitu vipo jaman 😭 Mwenyezi mungu Atulindie watoto wote kama mzazi naumia sana
@rajabu4692
@rajabu4692 Жыл бұрын
@@leahmgunda4154 pole Kwa upotevu maana hata yesu mwenyew anauheshimu uislamu maana ndiyo dini sahihi na hiyo ndiyo dini aliyekuwepo Nipe Andiko katika bibilia linalosema kuwa yesu alikuwa mkristo Kondoo mkubwa wewe uliyepotea
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
​@@leahmgunda4154 🤣Yesu tena
@KhamisMAli
@KhamisMAli Жыл бұрын
Pengine hata Hakuandika yeye hayo maneno
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Жыл бұрын
Mungu amnusuru huwenda amekosea na bora alivyomnyanganya
@zullyrajj7419
@zullyrajj7419 Жыл бұрын
Me huwa sielewagi kabisa waandishi wanapo ficha jina and then labda anakupa jina la mzazi au sometimes anakuandikia namba ya nyumba na mtaa and they expect watu kutomjua muhusika na hizo details zote I think mubadilike
@maximumtvonline
@maximumtvonline Жыл бұрын
Ndo maana ya uandishi wa habari...
@celinaandrew3648
@celinaandrew3648 Жыл бұрын
@@maximumtvonline rrrrrr rrrrrrrrrrr try rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrfrrrrrrrrrrfrr
@celinaandrew3648
@celinaandrew3648 Жыл бұрын
@@maximumtvonline rrrrrr rrrrrrrrrrr try rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrfrrrrrrrrrrfrr
@celinaandrew3648
@celinaandrew3648 Жыл бұрын
@@maximumtvonline rrrrrr rrrrrrrrrrr try rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrfrrrrrrrrrrfrr
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Watu wanavojua kutafuta followers ashatrand
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Жыл бұрын
Hahaaaa acheni umbea mtoto wake anatafuta followers
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Жыл бұрын
Jamani msimuukumu mtoto.muda kwingine hajui hata maana guy. Kwahiyomnachomuwazia sio kabisa.tena msirudie.wapumbavu nyie.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Tunamjua hata usipo mtaja 😏
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
nashangaa
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Ww tena🙄
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@jasmineedamu6089 😁😁😁😁
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
@@khadijahali4837 me npo kwa huyu dada aliemvamia diamond 😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@jasmineedamu6089 sijaiangalia hy
My mama's 40th birthday.
7:16
Sonia Monalisa
Рет қаралды 104 М.
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 105 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 12 МЛН
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,6 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4 МЛН
Paula kajala Vs Kajala masanja nan mkali
8:28
Eshe Salum
Рет қаралды 67 М.
OUR LOVE STORY W/ BSS S13 WINNER- ASAGWILE (WA NYIMBO YA NDOA) AND JACKLINE | EP 07
1:00:34
Breaking: Disturbing News from Igembe in Meru shakes Kenya
9:50
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 10 М.
Ronaldo & Mom Emotional Moments ❤️
0:31
Flush
Рет қаралды 3,5 МЛН
Роналду сверх человек 💪⚽
0:35
Спортивные Моменты
Рет қаралды 1,3 МЛН
야차룰 2대1  #valetudo #2vs1
0:58
야차클럽
Рет қаралды 7 МЛН
Она играет в футбол лучше всех 😯
0:28
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 476 М.
hay estan las bestias 💀☠️
0:12
Un colombiano mas del monton
Рет қаралды 1,6 МЛН
Тайсон рассказал что было в ту ночь.
1:00